MAISHA YA MAMA ANAYELALA CHINI YA MTI NA WATOTO SITA NDANI YA RAMADHANIÅ

  Рет қаралды 32,442

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

4 ай бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 232
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 4 ай бұрын
Mama ulomsaidia Allah akulipe pepo na ukusamehe makosa yako
@CalmGlassRose-oy3qv
@CalmGlassRose-oy3qv 4 ай бұрын
Amin
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 4 ай бұрын
Samia afutarisha wasanii kina mondi nawashezi wengine ety ndio kuupiga mwingi huko
@princesaha3262
@princesaha3262 4 ай бұрын
Hela azitoa ktk mipira ili mradi atengeneze legacy Kwa wananchi apate kura 2025
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@princesaha3262kura yangu ataisikilizia chooni😢😢😢😢😢
@KhadijaAbdala-vy8tw
@KhadijaAbdala-vy8tw 3 ай бұрын
Mtihan wallh😢😢
@samwa9496
@samwa9496 3 ай бұрын
Hata serikali ya kujiji ndio ya kwanza kupata taarifa hiyo huyo Samia atafika mpaka vijijini. Kijiji kilishindwa tatua basi kuna kata kata wilaya, wilaya mkoa ndio itafika kwa serikali kuu acheni lawama kwa Samia
@allahmamana
@allahmamana 3 ай бұрын
Mm na ww tusichoke kumuombea madua ishaallah mola awapewepes aamiin
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 4 ай бұрын
Mama Samia saidia mama huyu Achana naa hao wasanii hela yako inaenda kukuza haram. Allah ataskia kilio chako mamaangu
@hamadyussuf5307
@hamadyussuf5307 4 ай бұрын
Wenye uwezo yaani kazi yao kusaidia mpira na wasanii tu, ujinga mtupu. 😢
@thuraiyathuraiya401
@thuraiyathuraiya401 4 ай бұрын
Mama yangu usikate tamaa mungu mbele yako dada yangu huyu mama angepatiwa nyumba mungu atawajalia
@abdullatwifmuhammed7412
@abdullatwifmuhammed7412 4 ай бұрын
Allah awape subra, na makaazi mema hapa dunian na akhera. Kiukwel inauma sana, kwa wale ambao Allah amewapa uwezo wa kumiliki chakula chao cha siku au zaid ya hapo tusiwasahau ndugu zetu kama hawa kwani wapo wengi sana wanaohitaji. 😢😢😢
@feisaljuma3169
@feisaljuma3169 4 ай бұрын
Yaan inauma mpaka bas najiuliza huyo baba aliowabomolea hilo banda ana roho gan
@salimkhalfan5805
@salimkhalfan5805 4 ай бұрын
Allah atufanyie wepesi inshaallah hatuijui kesho yetu tusaidiane jaman
@mariyamgharib940
@mariyamgharib940 4 ай бұрын
Uyu bibi alihojiwa last month na millard ayo, kumbe bado hajasaidika huu mtihan bas zenji izi media nyengine. Inshaa allah al fatah itamsaidiya kwa uwezo wake maana ni media yenye kuaminika
@zainab8251
@zainab8251 4 ай бұрын
Yaani ciku zimepita nyingi jamani
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 4 ай бұрын
Hizo media nyengine ni contact tu wanataka awana msaada wwte
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 4 ай бұрын
Hasa iyo Millard cjasikia imesaidia mahali imeshindwa hata na max tv ya Zahir
@user-nt1lv8un1c
@user-nt1lv8un1c 4 ай бұрын
Huo ndio utukufu wa Allah! Kupanga riski na hali vile anavokadiria, na tukio hili ni ibada kwa wale wenye uwezo jee watafanyaje, wale wanaolala ktk magorofa, ma Acee nk, hakika dunia ni mchezo Akhera ndio makaazi ya Milele, Sura za watoto zinaonesha kahisa Utukufu wa Allah. Yaarab msaidie yeye na wengine wenye dhiki zaidi yangu. Ammin Yaarab
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 4 ай бұрын
Mama tunakuomba tuondolee haya majonzi, kila anayetazama anatokwa na machozi, kuna watu wanateseka mama katika jamii, pesa za kuwapa wasanii, mara goli la mama ungeliangalia vzr, wapo wanaokusifia lkn ukifikiria maisha yetu tunashindwa kukufikishia ujumbe
@faridapandu7579
@faridapandu7579 4 ай бұрын
😢😢😢 subhanallah heee viongozi mkowappi jamani masikini huyu mama pole Sana mama Millie mungu atakulipa na mama ulomsaidia mungu atakulipa heri inshaallah
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 4 ай бұрын
Pole mama,Allah (SWT) atakujaalia kila la kheir vuta subra mama.Inasikitisha kuna baba baba halafu kuna baba bora huyo wao baba baba
@user-yo8np7ce8n
@user-yo8np7ce8n 4 ай бұрын
Pole sn dd 😭😭kwakuwa alfata Imetumwa na Allah ikufikie basi naamini utapata msada kwa uwezo wa Allah mm nilijua ayo TV ulipata msaada lakini kwakuwa tumbo la kheri huzaliwa ndani ya tumbo la Shari Basi naamini utafika mbali na siku ukipata msaada Hilo janaume katili lisije likakurubuni aliki tena
@MuhdHasan-zq2bv
@MuhdHasan-zq2bv Ай бұрын
Allah atakufanyia wepes inshaallah katika kipindi hicho kigimu na mama samia mungu akufanyie wepes uwasaidie hawa
@user-ox3zp4he9d
@user-ox3zp4he9d 4 ай бұрын
SubhanaALLAH Allah atakuhifadhi inshallah mama kwa kweli nmetokwa na machozi hku watu wanakimbilia kujza mafriji na matumbo yao
@yassirrashid7802
@yassirrashid7802 4 ай бұрын
Subhanallah Allah atustiri waja wake
@MuhineBakari
@MuhineBakari 3 ай бұрын
Subhana allah Allah awape subra na awaondolee mtihani huu
@khamisali9907
@khamisali9907 4 ай бұрын
Subhanallah
@user-rk9qj9ob1p
@user-rk9qj9ob1p 4 ай бұрын
Ikisha anatokea mpumbavu 1 anasema hiyi kazi kubwa munayoifanga ni riya waulizeni wanajuwa nn maana ya riya wache ujinga shekhe wangu kama tunavoambia anaemstiri mwezake Allah na yy atamstiri jiulize umeshawastiri wangapi unakasiri yako peponi inshallah
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 4 ай бұрын
Kuna kitu ambacho kimejengeka ktk jamaan na sio kizuri cos kinakua kama sumu ktk maisha ya jamii . Kitu wenyewe ni kila serekali iko wapi. Allah ametujali nema watu wengi sana kuliko hiyo serekani muhimu ni tumeni na imani sote na kutatu majanga haya kwa pammoja sio kuhukumu serekali . Jamaaani ni muhimu kusaidiana Jamaaani tunahitajiana .tusiendekeze mamba ya serekali. Walah hili jamnagar ni la Jamaaani sote
@Naw89
@Naw89 4 ай бұрын
Huyu ni baba wa aina gani jamani Kweli hata adhabu za Allah haziogopi kesho na kesho kutwa Allah kawagungulia maisha baba aanza kutoa laana watoto hawamtizami hii laana inaweza kuwashika kweli?
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
Mtihani wanaume wengi .hawanahuruma. mm watoto wangu hata wanamtaka babayao ilahuyo baba hataki hatakuwaona anakuwasalimiatu.hataki ajuiwanakaa wapi walamia hatoi. Ajuiwanahishi vipi huyo mdogo miaka 10. Sasa hamjui baba yake anatamani nayupo Dar.salam nawatoto wapo. Daresalam. I lakini ajali walaastuki kamaanawatoto. Ila mm nashukuru nipo Oman napambania wanangu. Kwani niliteseka sana
@SheikhaAmeir
@SheikhaAmeir 3 ай бұрын
Allah amfanyie wepesi mama huyu na akupe subra kwa uwezo wake na atakulipa ujira wako yaani nimeumia sana ni mtihani mzito 😭😭😭 niulize anaishi pemba sehem gani
@dalilaabdulkarim4458
@dalilaabdulkarim4458 4 ай бұрын
Subhana Allah yharab mtihani mzito kwa dada huyu na wtt Allah akufanyie wepesi ameen
@thuraiyathuraiya401
@thuraiyathuraiya401 4 ай бұрын
Mungu atujalie jirani mwema
@user-nt1lv8un1c
@user-nt1lv8un1c 4 ай бұрын
Wapo Unguja maeneo gani hawa, halafu tunaomba namba ya mawasiliano yao na Namba ya Mchango pia.
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 4 ай бұрын
M mungu ataleta kheri ishallah😭😭😭😭
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 4 ай бұрын
Subhannallah subhannallah
@user-mj6vf4jc5o
@user-mj6vf4jc5o 4 ай бұрын
Pole sana kioenzi Allah atakufanyia heri inshaAllah mbona hamjatuambia anaishi wapi?
@khadejarajab844
@khadejarajab844 3 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu ktk imani allah atakustiri
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 ай бұрын
Yapo Zanzibar sehemu gani huyo mama
@MuniraAme-pb7pg
@MuniraAme-pb7pg 4 ай бұрын
Buyu
@Nassor2377
@Nassor2377 4 ай бұрын
Inauma sana ...
@Salhiya96
@Salhiya96 4 ай бұрын
Alf baba anakusubir umekuwa unakipat chako kdg anakuja kujion yy ndo mzazi najua hay maumiv ya baba kukataa mtt anakusubir unajiwez ss yy zk zimeisha Allah awafanyie wepes mama zet kw wanayoyapitia 😢😢😢😢😢
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Weeeee na mtoa nduki😢😢😢😢😢😢
@user-wc8ug6fc5c
@user-wc8ug6fc5c 4 ай бұрын
Hasbiyallah huyu mwanaume alieyafanya haya Allah yupo
@user-tu5ql4kq3y
@user-tu5ql4kq3y 4 ай бұрын
mama julie maida Allah akupe maisha marefu lnshallah
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 4 ай бұрын
Subhanaallah mwenyezi mungu jalia huyu mama na wanae. Kwa kweli duniani ni mitihani
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 4 ай бұрын
Jamani serikali ipo wapi au imekwenda likizo? Viongozi wabunge wawakilishi na wanawake na watoto wapo wapie? Au serikali inaona sifa kwa haya mambo kutangazwa kila siku? Viongozi na taasisi mna kazi gani?
@fatmamansour676
@fatmamansour676 4 ай бұрын
Angekuwa na watto Wa kupiga kura wabunge na mwakilishi wangefika lkn wanawe wadogo waa hawatomjali
@hamicpina1151
@hamicpina1151 4 ай бұрын
Eee Pana serekali apo kwa akili zako apo wapo wapiga hela tuu kuanzia raix mpaka sheha pumbavu zao
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 4 ай бұрын
Kabla ya serikali jaman hyu hna ndugu hna familia pia mm nnavyojua kma familia hawakos jpo chumba kuwastiri lkn ss waswahili mtu amuona damu yke inahangaika yy hna hata huruma. Allah ampe uzima na afya amfanyie wepes inshallah inaumiza wallah.
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 4 ай бұрын
Mnapenda kulaumu Sasa serekali ni watu na watu wenyewe ndio sisi tuungane tumsaidie sio tungoje viongozi .ww kma binaadam mwenye huruma msadie kw kidog chako atakuja n mwengine ataweka kidogo tutafikia lengo
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 4 ай бұрын
Msaada atapewa mara ngapi na mpaka lini? Huyu anahitaji solution ya kudumu na sio ya muda mfupi. Kukaa kwa jirani si suluhisho la kudumu. Huyu ana haki zake amedhulumuwa, haki za msingi na huduma kutoka kwa mume wake au baba wa watoto wake kama ameachika. Mambo mengine hata ndugu wawepo wanaweza kushindwa. Panahitajika kupatanisha pia kifamilia, narudia tena viongozi wapo wapi na jamii ipo wapi au ndio tushuhudie kulia kilio tu. Basi kama napenda kulaumu ni juu yako kwa muono wako na kila mtu ana wake,😜
@user-sn4zr9ip9q
@user-sn4zr9ip9q 4 ай бұрын
Masha Allaah sii haba mitihn yte huyu mama bdo ana am in muungu ndio kila kutu daa hii klip inaniliza snaa nabk nalia tu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 3 ай бұрын
SubhanAllah kuna baadhi ya wanaume wana roho mbaya hawana roho ya utu hivi hawa watoto wadogo wamekukosea ni baba kama hilo watoto wakiwa na kazi zao ndio wanajishauwa mwanangu hanisaidii anamsaidia mama yake yaan acheni tu omba lisikukute
@HassanFaki-ko9wk
@HassanFaki-ko9wk 3 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi na subira inshallah kusema kweli inasikitisha sana
@madinaomar679
@madinaomar679 4 ай бұрын
Hee. Subhanallah
@umihanmohamed2564
@umihanmohamed2564 4 ай бұрын
Ya Allaaaaaah alhamdulillah nimeshindwa kujizuia kwa kulia alhamdulillah 😢 😭
@AsiyatAlly
@AsiyatAlly 4 ай бұрын
Pole sana mama angu Kwa mtihani ulionao mungu akupe nguvu na moyo wa cubra
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
Haya maisha hata mim nilipitia ila mie nilikuw na mtt mmoja tuy nililia machoz yote lakin mungu nae hakuniacha sai nipo oman dar nimejenga nyumban nimejenga alhamdullillah mam mlilie mungu tuy hawez kukuacha hata siku moja
@soamShs-cp4dl
@soamShs-cp4dl 4 ай бұрын
Pole sana Tena sana hakika Allah yupo na wewe huu mtihani mzito
@ilyasmuhsin3285
@ilyasmuhsin3285 4 ай бұрын
allah amjaze kheir sana huyo mama aliempokea mwanamke mwenzie i wish ningekuwa tajiri ambae kila kilio cha maskini kinifikie daah😢
@rehemamohamedy4007
@rehemamohamedy4007 4 ай бұрын
Subhana Allah
@user-cp2ns5cz6t
@user-cp2ns5cz6t 4 ай бұрын
Shubahanallah' Allah atakulipa kheir' inshallah.
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 3 ай бұрын
Yaa Allah have mercy on this family...😢
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 4 ай бұрын
Asante sana wewe mama uliye msaidia MUNGU ATAKULIPA
@MwanaidiMatary-cp2rf
@MwanaidiMatary-cp2rf 4 ай бұрын
Zanzibar sehemu gani 😭😭😭dahhhh nimejikuta naliya sana pole sana mama angu
@nairatomar9389
@nairatomar9389 3 ай бұрын
Inshaallah mungu tawafanyia weps inshallah 🙏😭
@mumtazibrahim6388
@mumtazibrahim6388 4 ай бұрын
Allah atampa shiffa😭😭 na ww akupe uwezo umlee kwa mapenzi yote
@swabrambarak7523
@swabrambarak7523 4 ай бұрын
Subhnallah
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 4 ай бұрын
Tatizo serikali, wanajenga majumba Mia mia wanasahau hawa watoto ndo taifa la kesho
@user-vo4gh1jl6v
@user-vo4gh1jl6v 4 ай бұрын
😭😭😭😭 Kakweli Allah ndie hakimu wa yote haya.. Namuomba Allah ampe subrah mama huyu na amlipe kwa subrah yake.
@FettyMungenje-yg6xq
@FettyMungenje-yg6xq 3 ай бұрын
Mungu mkubwa Mama Angu kipenzi Yupo pamoja Nawe
@MuniraAme-pb7pg
@MuniraAme-pb7pg 4 ай бұрын
Allah akutie nguvu akupe subra na akuondoshee matatzo haya na mengne😢
@J4UPro
@J4UPro 4 ай бұрын
Allah awape malipo mema AL Fatah TV
@user-rx1bu2it2t
@user-rx1bu2it2t 4 ай бұрын
daa inauma sana mungu atamjalia mungu ampe moyo huohu inaskitisha sana mungu amjaaliy
@waheeda5138
@waheeda5138 4 ай бұрын
Yaa Allah😭🤲
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 4 ай бұрын
Subuhanallah
@asiasalim9323
@asiasalim9323 4 ай бұрын
Subhana ALLAH 😢😢
@user-vu1bf3rn6m
@user-vu1bf3rn6m 4 ай бұрын
Subhana Allah 😢
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Kweli waislamu tunashindwa kumsaidia huyu mwenzetu kweli?
@user-iz1er8vg7u
@user-iz1er8vg7u 4 ай бұрын
😭😭😭Allahu Akbar
@aishaabdalla4254
@aishaabdalla4254 4 ай бұрын
Asalam aleikum. Kama hajapata mahali Mimi Niko tayari kumlipie nyumba aketi kujiskiza
@aminapili2978
@aminapili2978 4 ай бұрын
Jaman mwanaume huyo nshetan wallah hataiman yawanawe hana
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j 4 ай бұрын
Mtihani huu mungu atulinde
@user-eu4pk3eh5d
@user-eu4pk3eh5d 4 ай бұрын
Na akitokea mfadhili kukupatia hifadhi huyo baba fanya kama humjui hakika ubinaadamu hanaa huyo hata kama kusamehe ni vizur samehe ila usimkunali kuwakaribu yakoo abadan
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 4 ай бұрын
Mama SAMIA TUNAOMBA MSAADA WAKO KWA HUYU MAMA NA WATOTO WAKE
@chikujuma18
@chikujuma18 4 ай бұрын
Zanzibar mko wap jaman hamuon mama anateseka na watoto hamna hata huruma
@princesaha3262
@princesaha3262 4 ай бұрын
Allah akupe subra na msimamo na dini
@KhelfuAbdallah
@KhelfuAbdallah 4 ай бұрын
Pole sanaa mama etu
@salimkhalfan5805
@salimkhalfan5805 4 ай бұрын
Location tukamtembelee
@CalmGlassRose-oy3qv
@CalmGlassRose-oy3qv 4 ай бұрын
Buyu nguzo tatu ukishuka waambie boda wakupoleke banda la maturubai mashamba ya njugu ila kwa sasa ulizia kwa bi riziki ni mbele kidogo na alipokua anaishi
@user-xt3zz7uj4g
@user-xt3zz7uj4g 3 ай бұрын
Me nauliza wanakiwanja tumsaidie kujenga ata vyumba viwil ama hakuna kiwanja...ili tujue tunamsaidia vip..
@FarhiyaThani-yc5et
@FarhiyaThani-yc5et 4 ай бұрын
Lailahailallah
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 4 ай бұрын
Pole sana mama😢
@user-hn6kv6xe7m
@user-hn6kv6xe7m 4 ай бұрын
😭😭😭😭inna lilahi wanna ilayhi rajiun
@omanoman2044
@omanoman2044 4 ай бұрын
Mzee kam huyu akizeeka ataangaliw na nan wallah mungu hato muacha
@hazardmjeshi5200
@hazardmjeshi5200 4 ай бұрын
Allah wafanyie wepesi kwa hili
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 ай бұрын
Jamani kwanini bado hajasaidiwa? Daah bas tumchangieni
@abdulaisha4145
@abdulaisha4145 4 ай бұрын
Msiba mkubwa Sana
@user-ft2vq5on6l
@user-ft2vq5on6l 4 ай бұрын
Kweli sasa dunia imeharibika maana zanzibar watu wanalala nje zamani haikua hivi
@soamShs-cp4dl
@soamShs-cp4dl 4 ай бұрын
Mama samia yupo busy kufutarisha wasanii
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Ni umbwa mwengine hana lolote na magoli ya Simba yanga na taifa star 😢😢😢😢
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 4 ай бұрын
INNA LILAAHI WA INNA ILAYHI RAJIUNA
@bkkomesho9272
@bkkomesho9272 4 ай бұрын
Allah atafanya kitu kwa ajili yako, naamini
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 4 ай бұрын
Huku mama samia anafiturisha matajiri kumbe wenye shida wapo ila viongozi hawaoni hila wakina mo dewji kazi kupeleka hela kwenye mipira hata kusAidia maskini hawawezi viongozi matajiri wanajifuturisha wenyewe kwa wenyewe wenye hela wakati maskini wapo mungu anawaona hawa wenye fedha
@hajijabir8677
@hajijabir8677 4 ай бұрын
Viongozi mnajukumu kubwa mbele ya Allah mnakula vizur waku wananchi wenu wanateseka
@user-hm5sl7jn3m
@user-hm5sl7jn3m 4 ай бұрын
Walah, nimelia xn😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 pole momy, mwnyz MUNGU atakusaidia
@MariyamusefukhamissiMariyamuse
@MariyamusefukhamissiMariyamuse 4 ай бұрын
Subhannal-llah 😭😭😭😭😭😭😭ya Rabby ww ndo twakutengemeya
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 4 ай бұрын
Mashallh jirani mwema😭😭😭
@mwanaherimatata8571
@mwanaherimatata8571 4 ай бұрын
Sio kama tunawadiscuss wenye Uwezo wenu Ila mkiona mnaweza kuwapa pesa na kuwalisha kwa mualiko wenye fahari , BASI TUNAWAOMBA MUWE MNAFUATILIA KAYA MASKINI MUZISAIDIE
@salassalas-eo6vo
@salassalas-eo6vo 4 ай бұрын
Hee jamani serekali haipo ikamuangalia huyu mama alau akakodiwa japo nyumba ya kawaida Alfatah mwambieni bopar amsaidie huyu mama atapata fungu lake kwa Allah
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy 4 ай бұрын
Huyo awara auwawe anaukimwi yeye n huyo mwanaume mbwa nguruwe ww mwanaume
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 4 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭 huyu baba
@awaahassan936
@awaahassan936 4 ай бұрын
Aya Allah 😢😢😢
@ZalhathamohdSaid-qn4jj
@ZalhathamohdSaid-qn4jj 4 ай бұрын
mbna namb za kutuma hamjaandik jina linakuja nani
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 4 ай бұрын
Sem huy jamaa nae mshenzi kw kweli
@user-zs4xz1vv4o
@user-zs4xz1vv4o 4 ай бұрын
Goli moja1milioni moja
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Halafu kesho wakuja kuomba kura , watakuwa wamwagiwe kinyesi Cha nguruwe 😢😢😢😢
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 4 ай бұрын
Kila lifanywalo na mja litalipwa na mwenyezi hata kama ni kwa uzani mdogo mnoo. Na huo ndio mtihani
SURA MPYA YA MAMA ALIYEKUA ANAISHI CHINI YA MTI
7:57
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
HII NDIO SABABU WAISLAMU 25 KURITADI
10:19
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 14 М.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 28 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 29 МЛН
YATIMA SABA WANUSURIKA KUMEZWA NA CHATU
7:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 33 М.
HUYU NDIYE MAMA ALYEFIKWA NA MTIHANI MZITO PEMBA
8:22
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 60 М.
KWA HALI HII KILA MMOJA ATAULIZWA NA ALLAH.
9:14
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 68 М.
MUUZA SAMAKI ANUSURIKA KUUWAWA ZANZIBAR
8:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 66 М.
TAJIRI ATOA SOMO LA MTU KUA TAJIRI.
4:45
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 11 М.
UGUMU WA MAISHA WAWALIZA WATU PEMBA
7:18
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 26 М.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН