No video

Maisha ya ughaibuni

  Рет қаралды 7,429

Dnyota usa

Dnyota usa

Күн бұрын

Пікірлер: 121
@SaidMkambo
@SaidMkambo 2 ай бұрын
Mungu ata kuzidishia kwa wema
@kombohamad5615
@kombohamad5615 Жыл бұрын
Allah akupe Kila lakheri Kwa Imani yako hii endelea kusaidia
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Asante
@allyshomari7417
@allyshomari7417 9 ай бұрын
Sawa kabisaa!! Wabongo ciyoo!! Bora ukutane na raia wa nchi yoyote usiemjua. Kaa nao mbali. Hawana pigo. Na usiseme mengi yenye faida. Tafuta wachache unao wAamiini. Pamoja. Kaka Yako Shomari. Ndani ya Bongo. Big followers!!👍
@allyshomari7417
@allyshomari7417 9 ай бұрын
Wengi wetu cc wabongo!! Tuna roho za kimaskini. Zilizo pitiliza. Big up sana mdogo wangu kwa moyo ulio nao!!
@jamesmakim5701
@jamesmakim5701 Жыл бұрын
Kaka uko sawa sana nakukubali mungu akubaliki
@RedRose-rj6ro
@RedRose-rj6ro Ай бұрын
Kaka pole san nakuomba uwe makini san atakaye kutaka atakutafuta mwenyewe rangi nyeusi sio nzur wanaroho mbaya san
@jonathankillenga3223
@jonathankillenga3223 3 ай бұрын
Upo Sahih sana
@boy-pq6ow
@boy-pq6ow Жыл бұрын
Congratulatin my brother God bless you .God give you high Life.
@GodfreyMdemu-uw2lv
@GodfreyMdemu-uw2lv Жыл бұрын
Hao wabongo hachana nao Wana roho mbaya sana mm nakukubali sana
@boy-pq6ow
@boy-pq6ow Жыл бұрын
Hongera kwa sababbu u nakubalii kwenu mkataa kwao ni mtumwa
@angelinamayombo5511
@angelinamayombo5511 Жыл бұрын
Kweli mwanangu hata Mimi nimewaona wabongo ni noma,ubarikiwe sana tuko pamoja
@user-wf9xq3ns3q
@user-wf9xq3ns3q 7 ай бұрын
Endelea bro na kazi nzuri unayofanya kwa kutufahamisha,mengi ya huko hao wazushi wapotezee hawana mpango
@IddKilongo
@IddKilongo 3 ай бұрын
Asante d Kwa kutusaidia
@michaelabeil8330
@michaelabeil8330 Ай бұрын
Kaka mungu akusaidie nataman na mim niwe kama wewe
@allyhusseinally2461
@allyhusseinally2461 Жыл бұрын
Kabisa bro mungu akuongoze zaidi
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA 9 ай бұрын
Fire
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 Жыл бұрын
Watu wana roho mbaya sanaaaa. Na hivi huko marekani hamnaga waganga wa kienyeji lau wangekuwepo wangeshaenda wakuloge wakumalize kabisa
@AbuuAidan
@AbuuAidan 4 ай бұрын
Kaka kizazi sana pambana
@davidkadama4596
@davidkadama4596 Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka
@boy-pq6ow
@boy-pq6ow Жыл бұрын
Asante sana kaka Mungu akuinue kichumi mimi naitwa mariam John Mjema.
@ashimushi6894
@ashimushi6894 Ай бұрын
💥💥💥
@saidmikidadi5752
@saidmikidadi5752 Ай бұрын
Babduu unaeleweka sana
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
Tusiangalie maslahi dunia tu..bora .tunduma lakini Imani yako iwe hai...
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
Tuchemshe akili zetu kuijua dining ya kweli na tufate
@young26ix32
@young26ix32 Жыл бұрын
Big up
@MasolaFarm
@MasolaFarm Жыл бұрын
Kweli kaka
@Elimishatv
@Elimishatv 3 ай бұрын
Tunakupata vizur tu kaka
@MasolaFarm
@MasolaFarm Жыл бұрын
Naitwa omary nipo tanzania nafatiria video zako sana
@AbuuAidan
@AbuuAidan 4 ай бұрын
Kaka niamini bongo Amna chongo Bora kutembe
@tonybake7120
@tonybake7120 26 күн бұрын
Naomba nakupataje in box nilikuwa nakuomba ushauli kaka
@Elimishatv
@Elimishatv 3 ай бұрын
Nipo bunju dar nakufatilia kaka
@user-dv8jo7cd3q
@user-dv8jo7cd3q 6 ай бұрын
Naomba kujua kupat Rafiki wa uko nikiw uku uku ndugu asante
@danielmartinKiondo-dq4jz
@danielmartinKiondo-dq4jz Жыл бұрын
Ndugu yangu usijali hao watu ni roho mbaya tu hawataki wengine tufanikiwe
@anwerdhira683
@anwerdhira683 Жыл бұрын
Sema mambo poa
@MasolaFarm
@MasolaFarm Жыл бұрын
Kweli mwanangu ubarukiwe uko tofauuti sanaaa kaka
@allyfatma7359
@allyfatma7359 Жыл бұрын
Daaah.kamati ya roho mbaya.wabongo noma.
@elibarickmateru6193
@elibarickmateru6193 8 ай бұрын
Nikulewa sana ndugu yangu usichoke pambambana kaka.
@user-es9zp4hx6x
@user-es9zp4hx6x 7 ай бұрын
Saruti Dully
@theobardtheophil
@theobardtheophil Жыл бұрын
Big up kaka, ila some time wajuz wa mambo huwa wanasema kwamba ucipende kuongea plan zako za maisha kwa watu kaka husaidia kuepuka roho mbaya za watu.
@neemahappyeverafter6181
@neemahappyeverafter6181 Жыл бұрын
nimekuona leo na nimekupenda bureee😆😆😆😆 pole kwa hao walio kukwaza jamani
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
Maisha popote tu ...east or west home is best muhimu kujua makusudio ya Muumba wetu ..M/MUNGU ametuumba ajili ya kumuabudu.
@salumusobo4009
@salumusobo4009 Жыл бұрын
Kaka dula wewe endelea kupiga kazi sisi tuko nyuma yako hao wachawi achana nao awajui maisha hao
@SaidMkambo
@SaidMkambo 2 ай бұрын
Tumebaki masikini kwa umbea
@amanamohd-bo8ih
@amanamohd-bo8ih 3 ай бұрын
Iv hat wanawake wanawez kuja au wanaume tu
@KatemboAugustin-pt7ue
@KatemboAugustin-pt7ue Жыл бұрын
Kaka nashukuru unatuelimisha sana
@muhamedsaid9545
@muhamedsaid9545 Жыл бұрын
Mambo tunaona vizuri
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
Ulaya toka asubuhi mpaka jioni back home unaangalia in the road vichupi hayo macho yanapungua nuru na Imani inashuka temperature..
@abdultimoc4625
@abdultimoc4625 Жыл бұрын
Dulla me nakukubali sana na mm na taman san nifike uko America sema changamoto ni ela2 broo ila mungu wa kwetu sote nitapatag2
@annangosso6680
@annangosso6680 Жыл бұрын
Yani wabongo bwana,wanaona aibu watu wakija huko wakajuwa shuhuli zao au wewe unavyoeleza ukweli wao roho zinauma wakiona unaongea ukweli halisi wa maisha😂na si hapo tu kote waliko watu wanaongea Swahili language ni mtihani.wanaona aibu wakikutwa wanaosha vyoo na kukusanya mabox lakini ndo ukweli wengi ni mishemishe tu sasa wivu wa nini🌚
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Atari kabisa 😊
@mbaganewslinetv
@mbaganewslinetv Жыл бұрын
Tahir najua Kuedit na nafanya video vizuri Kwan usinivute UKo tufanye vipindi
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 Жыл бұрын
Nakubar bother kak
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 Жыл бұрын
Usiieleze sana mambo ya kupata visa na Pepa kwenye KZbin kuwa nao makini sana
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa
@maptvnews6955
@maptvnews6955 Жыл бұрын
@@dnyotausa6154 Kaka nakupataje sasa unisaidie
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
@@maptvnews6955 +15167783253 WhatsApp
@rashidially4623
@rashidially4623 Жыл бұрын
Brother unaro nzuri san
@rashidially4623
@rashidially4623 Жыл бұрын
Bro nakuomba unipushi nimependa san huna loo mbaya
@why1056
@why1056 Жыл бұрын
Mimi huwa na share video zako kwa wana sasa ntakuwa nahofia hata kushare wanaweza kuharibu iabisa ujui roh ya mtu
@user-bs2wo7xn9y
@user-bs2wo7xn9y Жыл бұрын
Hi, brother nimezipenda videos zako namba namba yako ya wasapu plz
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Kweli kabisa mjomba wazanzibari wengi mabaharia kitambo watu wa mtoko
@MasolaFarm
@MasolaFarm Жыл бұрын
Tunakuombea afya kaka kwani wewe nimmsaadaa kwetu kwa sisi aambao tunandoto zakuja uko kaka
@user-vx7cg8vt9o
@user-vx7cg8vt9o 11 ай бұрын
Naomba sana tuwasiliane kaka hapa dubai baba walabu mishahara yao wauwaji hawa hebu tuwasiliane nimekutumia namba yangu watssappy
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Жыл бұрын
Wabongo sio aisee
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Atari
@morispasco7920
@morispasco7920 Жыл бұрын
Kaka nakubari hata m ni artist was kuchora Nisha fanya nairobi Kenya Ila doto zangu nikufanyia mbele.nitumie namba zako tufanye kitu
@BarackLucas-eb1gt
@BarackLucas-eb1gt 6 ай бұрын
Bro najita visa
@isackmalole9268
@isackmalole9268 Жыл бұрын
Achana nao hawana uzalendo kaka.
@mjmswahil6244
@mjmswahil6244 Жыл бұрын
Brow penye risiki hakosi fitina kuwa makini sana Wachawi wpo wengi
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa
@leonardkiula4328
@leonardkiula4328 Жыл бұрын
Pole sana kaka.. Wewe endelea kupiga kazi
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa nakubali
@annangosso6680
@annangosso6680 Жыл бұрын
R.I.P wambeya wote😡
@Elimishatv
@Elimishatv 3 ай бұрын
Mi ngosha mwigizaji wa muvi , Naomba namba yako ya whasapp
@jamesmakim5701
@jamesmakim5701 Жыл бұрын
Kaka ukosawa
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili Жыл бұрын
Tusaidie kakaangu na sisi tuje hapo marekani au hata Canada na ulaya
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 Жыл бұрын
Roho mbaya zimewajaa wabongo
@ntumbankinga2496
@ntumbankinga2496 Жыл бұрын
Ndio kaka
@saidjuma7915
@saidjuma7915 Жыл бұрын
Bro vp mambo naitwa saidi abdalah nipo dubai nafuatilia video zko ila ckupat nakuomba nipatie namba ya wsp
@alisaleh9112
@alisaleh9112 Жыл бұрын
mzebaba msmbo vip mm naomba conection
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
+15167783253 WhatsApp kama pesa unayo
@user-ze8xz7pe1q
@user-ze8xz7pe1q 11 ай бұрын
Mawaidha mazuri
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 Жыл бұрын
Watanzania wengi Wana roho mbaya akiwa nje amefika yeye kwa ku aso basi anajio a mjanja kumbe ujinga achana nao mamba zako tunazo Watu wanatafuta Hela watakutafuta tu Mimi ni mmoja wapo Nina watu wawili nasubiria pesa tu itakuwa tayari
@why1056
@why1056 Жыл бұрын
Skukuwai live bro ila naskiliza hapa watu wenye mioyo kama wewe tuko wachache sana af wenye hasira za kutafta pesa ni wachache bro wabongo sio kabisa yan hata kukaa bo hawafai af wabongo wavivu kishenzi yan ila kw roh mbaya wana roh mbaya kichiz hata south si tumeona hawafai kabisa na ukitaka maendeleo piga kazi kivyako panga chumba kivyako tulia
@husseinkimbiyoko4897
@husseinkimbiyoko4897 Жыл бұрын
Nakupataje kk maana najalibu namba yko hautaki WhatsApp
@xideblacktz
@xideblacktz Жыл бұрын
Bro nipo na lugha 7 Ila Mambo bado
@allyhusseinally2461
@allyhusseinally2461 Жыл бұрын
Salute bro nikitaka kukupata nakupataje
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
+15167783253 whatsapp
@abelmasebo5521
@abelmasebo5521 Жыл бұрын
Weka namba sasa
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
+15167783253 WhatsApp
@alikasim6388
@alikasim6388 Жыл бұрын
utupe madini vizur tuwakwepe waduwanzi km hao
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa
@raheemahamees6410
@raheemahamees6410 Жыл бұрын
Kaka towa namba zako Tuwasiriyane
@annangosso6680
@annangosso6680 Жыл бұрын
Achana na hizo kunguni siyo hapo tu hapa nilipo mimi wanatabia hizo hata ukiingia chooni wanataka kujuwa ulienda kwa haja ndogo au kubwa yani ni moto jamani wabongo shikamooo🔥na hawanaga lolote hata visa hawana wanasubiri tu wakifa maiti ichangiwe wasafirishwe hawana lolote tumewachokaaaaaaaa🤔Bro piga kazi achana nao punda hao,me pia naishi kama wewe nimejikata kabisa sitakagi kuwaona wala kuwasikia kunguni walokosa vitanda hao.
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Atari sana
@hamisikimbatikwa6959
@hamisikimbatikwa6959 Жыл бұрын
Sawa we funguka mi jilani yangu mmarekani lakini Ananiambia maisha kama unavyo sema wewe lakini mukifikia habari ya campani ya kunivusha uko Ataki kabisa sijuwi sijuwi Ajuwi njia au roho mbaya hata simuelewi sasa wewe unaelekeza vizuri tatizo
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
@@hamisikimbatikwa6959 jitaidi usafiri mwenyewe,
@why1056
@why1056 Жыл бұрын
Mzee inabid unnue harley upige nayo matrip
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Harley?
@why1056
@why1056 Жыл бұрын
@@dnyotausa6154 harley davidson 🏍
@leoncjohn4515
@leoncjohn4515 Жыл бұрын
@@dnyotausa6154 bruh samahn wenye ndoto ya kwenda us tuko wengi sizani kam iko ndan ya uwezo wako vp unautartibu gn kutusaidia
@siasia5469
@siasia5469 Жыл бұрын
👂❤️
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
🙏🏾
@omamomanhelena9433
@omamomanhelena9433 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa ndugu tatizo ajira ngumu sana na kipato kipo chini Sana
@omamomanhelena9433
@omamomanhelena9433 Жыл бұрын
🤣🤣🤣Vzr bro umbea tupa kure
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 Жыл бұрын
Dula wesenge hao achana nao tusaidie tu Mimi nimesafiri sana nchi za Africa wabongo sio watu wazuri wa ovyo sana Kaa nao mbali mtu anasema anasaidia watu kujaza green lotary mi nakataa ni mlolongo mrefu sana wakati kuna njia rahisi kama hizo dura tinashukuru sana
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa
@alikasim6388
@alikasim6388 Жыл бұрын
pole dullah ila km vp ufungue group la whatsap au telegram ili wenye nia twende huko
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Жыл бұрын
Kabisa
@rabyasalehe6300
@rabyasalehe6300 Жыл бұрын
Nilipendekeza hilo ila naona hajalifanyia kazi bado
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Asante kk
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Kk usifunjeke moyo natafuta nyenzo Nita kutafuta
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Achananao
@aishasaid9110
@aishasaid9110 Жыл бұрын
fungua whatsap group wasije wakakuroga
@MasolaFarm
@MasolaFarm Жыл бұрын
Kweli kaka
@SaidMkambo
@SaidMkambo 2 ай бұрын
Tumebaki masikini kwa umbea
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 18 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 9 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 30 МЛН
Kazi kibao marekani kila aina
29:37
Dnyota usa
Рет қаралды 4,4 М.
KERO ZA JULIUS NYERERE AIRPORT na @EllyDavid  #zanzibar
17:32
Witness Vlog
Рет қаралды 5 М.
Maisha ya Ughaibuni ( marekani)
18:23
Dnyota usa
Рет қаралды 2,5 М.
Abari njema kwa wanaomba visa ya marekani
29:11
Dnyota usa
Рет қаралды 15 М.
Maisha ya Ughaibuni baada ya kazi
34:26
Dnyota usa
Рет қаралды 8 М.
Maisha ya ughaibuni na yc sehemu ya 1
20:08
BAB SEIF
Рет қаралды 2,3 М.
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 18 МЛН