No video

Maisha ya Ughaibuni baada ya kazi

  Рет қаралды 7,851

Dnyota usa

Dnyota usa

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@AliMjohi
@AliMjohi 4 ай бұрын
Hongera sana kaka kwakutuelimisha tutakutafuta
@mikidadimsosa
@mikidadimsosa 3 ай бұрын
Hongera msera unainjoi life
@sadichamissadic3811
@sadichamissadic3811 Жыл бұрын
Mungu akujaalie na akunyoshee kwenye maisha yako🙏🙏🙏
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Asante sana
@saleherehan
@saleherehan Жыл бұрын
Bro kuja huko ghalama sh ngapi
@AmiraballahChicg
@AmiraballahChicg 4 ай бұрын
Nataka viza
@michaelgeorge1147
@michaelgeorge1147 5 ай бұрын
Kaka nakubali
@Boaz-Gwanko
@Boaz-Gwanko Жыл бұрын
Mungu akutunze Kaka.
@adammussa2730
@adammussa2730 Жыл бұрын
Tuko pamoja xana nashukuru kwa kunifungua mungu azidi kukupa uhai mlefu
@wilsonembete3850
@wilsonembete3850 Жыл бұрын
Ishalaa tu tuhombeyane bro,nina ndugu yangu nilimwelekeza kwako Sasa hivi yuko yues akika wewe ni mkweli 🙏 🔜
@simonjohn1865
@simonjohn1865 3 ай бұрын
Vip kazi za upishi mimi ni mpishi
@AljabirNzali-lj7iv
@AljabirNzali-lj7iv 4 сағат бұрын
Naje kaz za fork lift ku opaeat mashine ni vp kaka au mamb ya kuchomelea
@Bigsmart-xx6ou
@Bigsmart-xx6ou 4 ай бұрын
Naomba no ako
@merissjuvinari2535
@merissjuvinari2535 Жыл бұрын
Nimechelew live leo kak man nilikua na kaz night ila nipo na review apa kak thanks 🙏🏾 kwa kutupa madini.
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa karibu sana
@oslojob5688
@oslojob5688 Жыл бұрын
Dnyota kazi nzuri ,naomba kuuliza kwasisi maoparator ya mitambo ya kujenga Barabara vipi inshu hiyo zinapatikana ,au tunaweza kupata makampuni ya construction ?
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 Жыл бұрын
Nakubari bother kaka skupigi
@alfredaloyce6835
@alfredaloyce6835 Жыл бұрын
Sana brother nakubari kazi yako tunapambana
@mussakinyogoli4738
@mussakinyogoli4738 Жыл бұрын
Haya mafundi sonara nao Wana kazi zao huko
@Bigsmart-xx6ou
@Bigsmart-xx6ou 4 ай бұрын
Naomba namba yako
@ReganiIsrael
@ReganiIsrael 8 ай бұрын
Brother D nyota Habari ninafurahia unavyo tupatia Habari za mambele Sasa mbona huwa nasikia kuna kupiga box ndo kaz gan hiyo?
@muhamedeldhawi9332
@muhamedeldhawi9332 Жыл бұрын
Safi sana brother
@saadysaidzahaze5980
@saadysaidzahaze5980 Жыл бұрын
Maashaallah dulla
@jordanminja3074
@jordanminja3074 Жыл бұрын
Thanks Mzee unatupa madini yakutosha
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa
@RasulyOg
@RasulyOg 4 ай бұрын
Brother nashida na namba zako kaka
@mihamboissa8195
@mihamboissa8195 Жыл бұрын
Mambo vp D star tupo live pamoja sana bongo ni kitu saa tano usiku tunaelekea night mea
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Sawa 😅
@KimaroBuilder
@KimaroBuilder Жыл бұрын
🎉🎉
@ramadhaniamora7493
@ramadhaniamora7493 Жыл бұрын
big up
@neemaluambano3073
@neemaluambano3073 Жыл бұрын
Mashallah 😍😘
@HalimagloryMakwaya-tb6ox
@HalimagloryMakwaya-tb6ox Жыл бұрын
Naomba namba ya whasapy nahitaji visa nataka tuongee
@jumakatundu3668
@jumakatundu3668 Жыл бұрын
Ok
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 Жыл бұрын
Safi kaka
@hassanisamuya
@hassanisamuya 2 ай бұрын
kaka nakukubali saana ila lazima nije uko
@aizackemmanuel1043
@aizackemmanuel1043 Жыл бұрын
Nakubali kk dula endelea nauhouho kk
@kolofaida5286
@kolofaida5286 9 ай бұрын
Safi sana
@simonjohn1865
@simonjohn1865 3 ай бұрын
Weka namba waasp
@HamisZakaria
@HamisZakaria 3 ай бұрын
Je Mimi Nina passport jee gharama zinakuwa za nani
@user-cc1fq5sk9e
@user-cc1fq5sk9e 7 ай бұрын
Nimda gani baada ya kuingia upate makaratasi
@benjaminibanigwa5361
@benjaminibanigwa5361 Жыл бұрын
Vp bro kwa ambaye hajapata makaratasi analipwa kwa cash? Au analipwaje? Je unaweza kuwa account Bank bila kuwa na paper? Twambie kaka tunakukubali
@Osmarnkanjo
@Osmarnkanjo 7 ай бұрын
Brooh nakuamin saana
@mihamboissa8195
@mihamboissa8195 Жыл бұрын
Dstar mm ni mkali wa truck na excavator operator, vp malipo yake hapo mbele na lesen yangu ya kibongo
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Wanalipa vizuri
@ibrahimmansour-iy1yh
@ibrahimmansour-iy1yh Жыл бұрын
Iko powa
@ramadhanimsolopa9840
@ramadhanimsolopa9840 Жыл бұрын
Oya mzee tunaendelea kuzichanga kazima nikutafute mambo yakikaa fresh mie ni dereva Ila hata kazi za ngum kumeza fresh Ila hio ya kuderever packeg imekaa poa kinyama🙏
@EmmanuelAndrew-rz3ct
@EmmanuelAndrew-rz3ct Жыл бұрын
Kazima marekan
@EmmanuelAndrew-rz3ct
@EmmanuelAndrew-rz3ct Жыл бұрын
Kazima marekan
@user-qv9hn9sm6i
@user-qv9hn9sm6i 4 ай бұрын
galama beigani kaka
@teresiamathias8636
@teresiamathias8636 Жыл бұрын
Ubalikiwe sana nitakutafuta kibunda kikikamilika
@alfredaloyce6835
@alfredaloyce6835 Жыл бұрын
Naomba namba yako ya wtasap tuchati bro natamani kuja kufanya kazi malekani
@EmmanuelAndrew-rz3ct
@EmmanuelAndrew-rz3ct Жыл бұрын
Umenitiamoyo kaka
@user-rf9mn9ls9p
@user-rf9mn9ls9p Жыл бұрын
D nyota Mimi English sijui inakuaje naweza PATA kazi
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 Жыл бұрын
Aise no ako hatuioni aise uko vzr nitakja na mm pia
@superwomansuperwoman2011
@superwomansuperwoman2011 11 ай бұрын
We kaka naitaji namba yàko jaman
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 11 ай бұрын
+15167783253
@amirimuhsin560
@amirimuhsin560 Жыл бұрын
Broo ile kamera mbona huitumii sas
@AliMjohi
@AliMjohi 4 ай бұрын
Poa
@lutumbajomtimba4643
@lutumbajomtimba4643 10 ай бұрын
Ndo Mara ya kwanza kuku check
@stephansimkoko1193
@stephansimkoko1193 Жыл бұрын
Pa 1 kaka tunapambania pesa kaka
@samwelmabula5642
@samwelmabula5642 Жыл бұрын
Hiyo ni state gani
@nizigiyimanacelestin9734
@nizigiyimanacelestin9734 Жыл бұрын
Kaka mkuu wewe unimtu muhimu sana wewe unatusaidia sana binafsi nakukubali sana
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Жыл бұрын
Nakubali
@jafarikilima368
@jafarikilima368 Жыл бұрын
Kamanda andaa kuhusu kazi zaujenzi mwanao nifundi tiles ile kunawengi wanatamani
@mohamedkarababa3543
@mohamedkarababa3543 Жыл бұрын
Mchezo kaka
@ramadhaniamora7493
@ramadhaniamora7493 Жыл бұрын
Kazikazi
@sulimanm6525
@sulimanm6525 Жыл бұрын
Sasa broo kwasisi tunahitaji visa tufanyie maalifa tuongee sepret mimi nipo qatar ni track driver ila contract yangu inamaliza march 2024 narudi nyumbani zanziba kwaiyo sijuwi tutaonana vip ili tuweze kuzunguza bradha
@ntumbankinga2496
@ntumbankinga2496 Жыл бұрын
Poa Kaka tunajichanga
@vitymteysemere4777
@vitymteysemere4777 Жыл бұрын
Tupo pamojq bro bado tunajitafuta tukijipata lazima nikuchek
@albertkiwia5651
@albertkiwia5651 Жыл бұрын
Mimi ni ticha but ninayo dream ya kuja huko man, Thanks Kwa info za connection man.Hivi kama mtu kaishia la saba viza itawezekana?
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Kaka uko safi sana kutu fumbua macho
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Nitumie namba
@patrickkimathkimath6992
@patrickkimathkimath6992 Жыл бұрын
broo vp mambo za afya mkuuu
@patrickkimathkimath6992
@patrickkimathkimath6992 Жыл бұрын
afya yako kutoka bongo kuja huko inachekiwa vp
@ashratyrashid
@ashratyrashid Жыл бұрын
Kaka weka namba ya whatsap nikuchek
@anithaanithajackson8576
@anithaanithajackson8576 Жыл бұрын
Kaka weka namb yako ya wasap bas please bro
@AliMjohi
@AliMjohi 4 ай бұрын
Poa
Nyumba za kupanga marekani mjini NewYork
17:51
Dnyota usa
Рет қаралды 3,3 М.
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 7 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Story kidogo ya mambo yetu
14:10
Dnyota usa
Рет қаралды 2,1 М.
Maisha ya ughaibuni
1:03:43
Dnyota usa
Рет қаралды 7 М.
Jinsi ya kupata mzungu marekani
44:20
Dnyota usa
Рет қаралды 31 М.
Abari njema kwa wanaomba visa ya marekani
29:11
Dnyota usa
Рет қаралды 15 М.
Safari yangu kuja USA na kuishi miaka 15 (Njia niliyotumia)
15:34