MCHUNGAJI DACHA AULIZWA SWALI MOJA TU AKIJIBU SAWA AJISHINDIE

  Рет қаралды 6,845

MHADHARA RE-LOADED

MHADHARA RE-LOADED

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@Jamali-l4f
@Jamali-l4f Күн бұрын
mungu nakushukulu kuzaliwa katika uwisilamu hakika dini ya kweli na yahaki ni wisilamu❤❤
@ZawadiMusa-q9z
@ZawadiMusa-q9z 18 сағат бұрын
Uislamu ni dini ya Mohammad alyepewa na Bi khadija na mjomba wake Khadija ila sio ya Mungu...
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 3 күн бұрын
Hongera Ndacha umejibu ki ufundi halisi ,majibu mema kabisa na yenye nguvu
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 күн бұрын
Hivi kweli mungu anazini kweli hata wewe huogopi bibilia nimtihani kweli harafu mnasema nimaneno ya mungu manabii pia wanazini Yani mpaka naogopa kuanfika haya maovu ausheikh kadanganya haya maandiko hapo ndani ya bibilia???? Maana hatasiamini ngoja na Mimi nikazibitishe katika kitabu cha isaya 23 vs17 pia kazibitishe zaburi78vs65 pia nyinyi wakristo kazibitisheni wenyewe msije mkasema mmeonewa harafu mje mtuambie kweli haya nimaneno yamungu??
@MorisKiliungu
@MorisKiliungu 3 күн бұрын
Waislam karibu kanisani ndugu
@MohammadsTimimieysz
@MohammadsTimimieysz 2 күн бұрын
Kanisani ni wapi ..hata huyo YESU hajui KANISA. Kaimbe Kanisani na ........................... Maliza mwenyewe hapo.
@AminiIlungajuma
@AminiIlungajuma 5 күн бұрын
I’m proud to be a Muslim
@mhadhara-reloaded
@mhadhara-reloaded 5 күн бұрын
Kwa uchache daima ni ALHAMDULILLAH..
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 23 сағат бұрын
Hapo kutoa zawadi ya mke sheikh umekosea
@IMRANITV1
@IMRANITV1 5 күн бұрын
Kumbe ndacha mweupe sana khaa ata kujibu hawezi
@IsaacNzai-e7s
@IsaacNzai-e7s Күн бұрын
Quran ni hadithi sio kitabu cha mungu
@OmarHamad-c3u
@OmarHamad-c3u 7 сағат бұрын
Wewe naomba andiko Moja TU linalo sema ukristo nidini ya mungu namimi nikufuate
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 Wallah ndio maana nilitoka ktk Ukristo yaan ujanja ujanja tu
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 4 күн бұрын
Bora umetoka mana sisi magaidi sio dili kwetu
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 4 күн бұрын
​@@michaelthobias9967Sasa magaidi si ndo waliouleta ukoloni na ukristo Afrika?
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 4 күн бұрын
Mungu anatubu Mungu anatenda uzinzi Mungu anapiga mvinyo Mungu analala Hizo ni miongoni mwa sifa za Mungu kwa Mujibu wa Mafundisho ya Biblia Maandiko yametolewa tayari Huu ni msiba
@abdulJambe
@abdulJambe 4 күн бұрын
Waislam takbiiiiiiiir
@Husseinmohammad446
@Husseinmohammad446 4 күн бұрын
Allah Akbar
@isaiahosiemo5417
@isaiahosiemo5417 3 күн бұрын
Takbiir Ni ya Wanawake achaneni nayo
@MugendiJaphet
@MugendiJaphet 5 күн бұрын
Waisililamu ni waogo napia wanapenda uongo
@mhadhara-reloaded
@mhadhara-reloaded 5 күн бұрын
Are you sure about that
@nassourrashaad4488
@nassourrashaad4488 5 күн бұрын
Katika Uislamu uwongo ni madhambi makumbwa sana
@petermgonja8547
@petermgonja8547 4 күн бұрын
Wenyevit ni wastaarabu sana
@georgeachiengrestinpeacebr7215
@georgeachiengrestinpeacebr7215 3 күн бұрын
Quran ni hadithi zilizotungwa zamani Wala ni KITABU hakiwezi jisimamia bila biblia...Quran hakina mwongozo ni hadithi za Mohammed,mtume asiye na sifa za kuwa mtume Mungu...huwezi rape mtoto mdogo wa 6yrs Kisha ukajiita mtume
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 6 күн бұрын
Allah akbar.ukweli uko wazi tu .someni Quran mtajua kweli n kitabu Cha muumba wetu
@mhadhara-reloaded
@mhadhara-reloaded 5 күн бұрын
Ujumbe unawafikia kwa kila namna labda wabishe kukataaa ukweli....... Shukran pia
@AssumaniBavumiragiye
@AssumaniBavumiragiye 5 күн бұрын
Ndacha amenaswa kabisa.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@IsaacNzai-e7s
@IsaacNzai-e7s Күн бұрын
Waislam ndio mumenaswa😂😂😂😂😂😂
@sulefromcongo7187
@sulefromcongo7187 18 сағат бұрын
Oh lala kumbe ndio hivyo Pasta Kapondewa
@OmarHamad-c3u
@OmarHamad-c3u 7 сағат бұрын
Sasa wewe toa andiko Moja TU linasema bibilia ni kitabu Cha mwenyezi mungu au yesu. Mwenyewe amesema kwambia yeye ni mungu kama bibilia sio maneno yakutungwa nawatu
@zeidomar-f7g
@zeidomar-f7g Күн бұрын
Ndacha nimapepetu hana lolote waislamu niwasomi banaa
@MugendiJaphet
@MugendiJaphet 5 күн бұрын
Qur'an sio kitabu cha Mungu ni cha majini na walio pinga ukweli BIBILIA ni vitabu vya Mungu
@hamisiomari6181
@hamisiomari6181 5 күн бұрын
Kitabu cha bibilia alipewa nabii yupi ndio kiwe kitabu cha mungu
@mhadhara-reloaded
@mhadhara-reloaded 5 күн бұрын
Jaribu piya utuambie ukituonyeshako ushahidi wa maandiko jamani maneno pekee hayatoshelezi.. asante !!
@zaburionlinetv6245
@zaburionlinetv6245 4 күн бұрын
Maneno tupu bila ushahidi ni kelele
@Husseinmohammad446
@Husseinmohammad446 4 күн бұрын
Dhihirisha ukutumia andiko kutika bibilia
@binseif2216
@binseif2216 4 күн бұрын
Sorry nimekosea namaanisha toa andiko ndani ya Quran kuwa uislamu ni dini ya majini ni kitabu cha Quran ni cha majini
@Muniro_Mnyoro
@Muniro_Mnyoro 4 күн бұрын
Hakika wenye kusilimu ni wale wenye akiri
@petermgonja8547
@petermgonja8547 4 күн бұрын
Ila swali ameuliza mtaalam ni gumu san
@IMRANITV1
@IMRANITV1 5 күн бұрын
Upanga wa radi ndo bovu kabisa maswali matatu yasiyo mantiki
@AliAya-d6z
@AliAya-d6z 4 күн бұрын
Kwa ushahidi gani
@Fumokale
@Fumokale 5 күн бұрын
Sijaona mtu mrongo mpotevu m'baranganyishi kama ndacha muabudu shetani
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 5 күн бұрын
Nihaki yake coz anapita mule mule mule...ndacha acha kukwepesha .maandiko
@SamoraTabaga
@SamoraTabaga 2 күн бұрын
Cor,an si kitabu cha Mungu muhamadi alishushiwa iqra je hizi alifu na alifata tenina zingi zinamaana gani,
@fazahauzi5382
@fazahauzi5382 4 күн бұрын
Ndacha mtupu kabisa
@abdulJambe
@abdulJambe 4 күн бұрын
Kusema ukweli huyu ndacha anavo poteza wakristo ni hatari sana ni zaidi ya shetani.
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 4 күн бұрын
Huyu ndacha ni hatari sana anawezaje hivi
@aliroro9344
@aliroro9344 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂...Qurani eti n Hadithi 😂😂 Uyoo Mnafikii sanaa yani Ndacha utawapoteza hao makafiri wenzako
@machindafadhili3186
@machindafadhili3186 3 күн бұрын
Kumbe quran iliondikwa kwa karatasi ni uchawi!!!😂😂😂😂
@samuelondieki9164
@samuelondieki9164 2 күн бұрын
niko najibu lakini siwezi jibu kwakuwa atanipea zawadi ambayo ni shida nikue na shida mbili ila yeye ameshindwa kutipiti
@zuenahassan8882
@zuenahassan8882 4 күн бұрын
Ckuzote uwa nasema ndacha hana elimu yake ni danganya toto basi..swali la kwanza limekushinda waleta bunuasi nyiingi jibu hauna la kusema biblia ni muongozo kwa watu..kitabu cha wazungu icho mnae muita baba mtakatifu wa roma akubali ndoa ya jinsia moja wafkiri n dini iyo
@MamaBambala
@MamaBambala 2 күн бұрын
Ndacha kujiita mhubiri wa kimataifa anakosea;Mhubiri wa kimataifa ni YESU tu.Aseme yeye ni mtumishi wa MUNGU.MUNGU AMUBARIKI
@MamaBambala
@MamaBambala 2 күн бұрын
Shekh huyu ni mzinzi wa hatari mchunguzeni atakuwa na vimada huko nje,tena ajue quruan hairuhusu kuoa wake rundo ila inasema ikiwa atawatimizia wote haki sawa na hiyo mijike inafurahia mateso wanayoyapata.
@abdulJambe
@abdulJambe 4 күн бұрын
Alafu wajinga kama chanda wanapiga makofi😅😅
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 8 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 106 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 31 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 68 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 12 МЛН
TUTAUNGANA KIJESHI KUZITETEA NCHI ZETU
9:30
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 13 М.
Kukuru kakara Rasta man aleta swali moto kimeeleweka leo ujumbe umefika
1:27:18
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 6 М.
MWL.NDACHA & MWL. DANEL MWANKEMWA MUNGU MMOJA WA BIBLIA NI NANI?
29:46
Gospel Time TV
Рет қаралды 2,4 М.
Allan ajutia kusema mayahudi wa Zama hizi ni waislam...6 October 2024
1:26:47
Abass Online Tv, Daawa Kenya
Рет қаралды 2,2 М.
Kakara kukuru kiwanja cha pendeza leo ujumbe umefika kimeeleweka vinzuri
1:12:54
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 4,7 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 106 МЛН