Majibu kwa Izuddin||Umeipata wapi Tafsiri hii||Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 58,039

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya.

Пікірлер: 544
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Sheykh unmkosoa mwenzio usimtukane heyh mwenzio usimwite mwenzio kosa lakutoto duniani katika wanaadam hakuna mkamilifu tumia kiswahili chenye.hekma unapomkosoa mwenzako
@aidhajamillah5042
@aidhajamillah5042 3 жыл бұрын
Nimependa sana hii ni suala lililokuwa linanitatiza kuwa kuna watu maalum kwa dua ila mtu kama mimi Allah hawezi niskiza, shukran kuutoa khofu moyo wangu, Allah akulipe yenye kheri nawe na waislamu wote
@abdullyqadir1489
@abdullyqadir1489 3 жыл бұрын
Mashaallah shehe muhhamad Allah akuhifadh
@ahmedrey1188
@ahmedrey1188 3 жыл бұрын
Sheikh Muhammad sisi wa kenya twapenda sana ufasaha wako Allah akuhifadhi
@Learn4TechTrainings
@Learn4TechTrainings 3 жыл бұрын
Mimi namkubali Sheikh
@surealfredkabasa4518
@surealfredkabasa4518 3 жыл бұрын
Allah akuongoze na akuzidishie elimu zaidi na zaidi Insha-Allah
@seiflion6350
@seiflion6350 3 жыл бұрын
Izzudin ni maalim mzuri sana
@zuhuranasoro9006
@zuhuranasoro9006 3 жыл бұрын
Na hapa kukosoana mtandaoni ndio hujenga chuki
@faisaloaljabry6400
@faisaloaljabry6400 Жыл бұрын
@@zuhuranasoro9006 kwa mwenye Elmu ya sawa akikosolewa akakasirika ujue elmu yake haiko sawa bali anatakiwa amtake Allah amuongeze Elmu aliye mkosoa na awaambie waislamu nilichosema mimi si sawa na huyu aliye nikosoa kasema sawa. Allah ni msahamevu na hakuna aliye kamilika kukosea ila Allah peke yake
@ZuleikhaAbdallah
@ZuleikhaAbdallah Жыл бұрын
​@@zuhuranasoro9006na kwann tukosoane mtu siaje tu atoe video na yeye ya kuzungumza mada kama hiyo kwa uelewa wake basi hivyo mtu atafata alichojaaliwa kukiona sahihi
@maalimjumabinmuhammad6128
@maalimjumabinmuhammad6128 Жыл бұрын
Jawabu kwa bachu kzbin.info/www/bejne/nYSsoa1oqbSmbKMsi=lVrl8rEgU_2xwLOJ
@mohammedkassim7651
@mohammedkassim7651 3 жыл бұрын
Jazaka Allahu khaira sheikh muhammad Allah akuhifadhi endelea na daawa mashaAllah
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 3 жыл бұрын
Mashallah sheikh Muhammad Allah akujaalie kila la kheir akuzidishie elimu zaid ya hii na ukiona jambo lolote LA bidaa usiwache kulizungumzia inshallah
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhini masheykh wetu
@saidalhabsi6485
@saidalhabsi6485 3 жыл бұрын
Asalam alaikum shekh tunashukuru kwa haya mafafanuzi. Swali langu haya matatizo mlimwita au mlienda kwa masheikh wake wakubwa mkasema makosa anayoyafanya. Jaribu kuwa muungwana na masheikh wenzako sio kuwafedhehesha kama hawajuwi dini. Jaribu kupita katika channel nzuri ili masheikh wenzako wakupende. Samahani kama nimemkosea
@salimmapande4668
@salimmapande4668 3 жыл бұрын
Usiwache kuzungumza haki ili ututowe ukungu machoni mwetu, ALLAH akuhifadhi
@kihozaramadhani1828
@kihozaramadhani1828 3 жыл бұрын
Hakika wajinga km yeye watasema mengi ila wapo walo mtangulia kielimu tuseme yeye ndo kashushiwa wahyi kua sahih ktk hayo au walo ona hy kua walikua hawana elimu ila yeye au kishataka Kusoma hayo akaona uharam wake ruqya imetok kwanan?
@abdulrahmanomar6189
@abdulrahmanomar6189 3 жыл бұрын
@@kihozaramadhani1828 soma ewe ndugu yangu tafuta darsa ujifunze dini yako
@kihozaramadhani1828
@kihozaramadhani1828 3 жыл бұрын
@@abdulrahmanomar6189 hakika kabla hujaanz nambia mm ungalianza ww kisha ukamwambie n huyo sijui Muhammed kisha ukaja nambia mm afu sitaki kaz comment kw mtu Kama huyu
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 3 жыл бұрын
@@kihozaramadhani1828 kama ayo sio sahih muache alete yaliosahhi na hawez kuleta milele yaliosahih
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi jazakallah khaira
@muhidinally3753
@muhidinally3753 3 жыл бұрын
Jazakullah kheir. Umetuwaidhi Allah akupe umri mrefu wa Daawa
@bobomuamarg3856
@bobomuamarg3856 11 ай бұрын
Allah Akujaze kheri. Kwa Mada hiyi kabisa umepatiya . Lakini ndugu usiwe ukijibu ma Sheikh wenzako kwa Kejeli ! Hekima yapaswa kuzingatiwa haswa pale unajuwa walimwengu chungu mbovu ni wenye kufatiliya kwa karibu unayo yazungumza . Shukran kwa kuzingatiya ushauri huu .
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 жыл бұрын
Asalam alaikum....MashaaAllah safi sanaaaa....Allah akuhifadhi...fajazakumullahu khairan
@smp6451
@smp6451 2 жыл бұрын
MASHEKHE ZETU TUNAKUOMBENI ITANENI SHURA MSIWE MNAKOSOANA KTK MITANDAO .....
@muhammadbarwani3321
@muhammadbarwani3321 Жыл бұрын
Masheikh wa sikuizi Kila mmoja anajifanyaa mjuajii kukosoa wenziwao na kujiona wao wanaelimu kuliko wenziwao
@muhammadbarwani3321
@muhammadbarwani3321 Жыл бұрын
Imamu shaafii anasema : epukaa kunikosoa mbele za watu hakika kunikosoa mbele za watu ni kunifedheheshaa ,Sasa nakwambia wewe mtoto wa bachu unaejifanya unaelimuu ! Wenye elimu hawawi wajingaa Kama wewe kumfedhehesha mtu kutaka kujiona wewe Bora kuliko wengine hiyoo ni riyaaa Wala hatukuoni kuwa unaelimuu kwa sababu adabu hunaa ! Wala hatukusifu tunakuona ni mpumbavuu tu mmoja basi!
@nambizajuma
@nambizajuma Жыл бұрын
Asalaam almkum walhamtul wabarakatu eshima ya din ni kubwa kulikon mtu ivo shekhe anakosoa ni busara kulekebisha makosa yake Ili waumini wasipotoshwe
@aminayusuf3051
@aminayusuf3051 Жыл бұрын
The young breed of shuyukh muhammad bachu and team great work
@ramadhanikhamisramadhani7326
@ramadhanikhamisramadhani7326 2 жыл бұрын
Nlikuwa stak ku comment Ila imebid to Mohammed masha allah allah akuzidishie hekmah
@omarsaid6744
@omarsaid6744 3 жыл бұрын
Safi ustadhi imeeleweka hio tuacheni ubishi masufu ustadhi amenukuu vitabu.NA MUOMBA ALLAH DIRECT alhamdulilah Allah hunifungulia mambo yangu,na kunifayia wepesi.tuna subiri part3.
@samiumussatv8558
@samiumussatv8558 3 жыл бұрын
Dawa nzuri ni kufikisha ujumbe wa allaah kwa watu ili tupate radhi zake kuna makafiri wengi sana hebu tujitahidini kuwalingania ili waje kwenye haqqy inshaa llaah nao waione haqqy yangu ni hao
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 3 жыл бұрын
jazaka llahu khera ukimaliza kumuweka saws Hugo geukia kwadokita sulle ambaye anaendelea kutepeli watu
@hussnasaad7503
@hussnasaad7503 3 жыл бұрын
A.aleykum mm maoni yng (afadhali tumuache shekh atuelimishe badala ya kuingilia ktk mzozano ambao tayari ulisha... ekewa vikao... yaani tunapenda anavo tuelimisha hatutaki apoteze mda kwa matapeli wakaidi... hata watu wenyewe washajua hilo wakienda kutapeliwa... hilo ni juu yao
@ahmadomar5114
@ahmadomar5114 3 жыл бұрын
Ww kijana wajishusha thamani usoliganiya watu ww kazi yako nikufwatiliya wenzako pole sana nakusitikiya sana
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq 11 ай бұрын
MashaAllah, sheikh Muhammad endelea kuwapa elimu hao vifuu tundu
@AliSaid-il7ko
@AliSaid-il7ko 2 жыл бұрын
Masha Allah elimu haina umri na unachofanya nikizur maana jamii ya kiislam inatakiwa kujua upotofu mkubwa unaofanywa na masheikh wengi tu
@awaznasor2913
@awaznasor2913 2 жыл бұрын
barakallahu feek sheikh nimefaidika sana katika hii muhazara jazakallah khairah sheikh
@alisalim2384
@alisalim2384 3 жыл бұрын
ALLAH akupe umri mrefu,uzidi kutuelemisha inshaallah
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 10 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Muhammad
@salumsaid1545
@salumsaid1545 2 жыл бұрын
UNATAKIWA USOME KWANZA KWA UMRI ULIOKUWA NAO, UTUKUFU HAUJI KWA KIJITUKUZA. SOMA MDOGO WANGU UMRI BADO SANA UNAKURUHUSU.
@asswiddiqwatamaaman979
@asswiddiqwatamaaman979 3 жыл бұрын
As'salam aleykum warahmatullah wabarakatuh, naam sheykh ama hapo ni kweli nimeafiki uko sahihi,lakini please jaribuni kuwa mnatumia maneno mazuri zaidi,Jazzak Llahu khair.
@salimmapande4668
@salimmapande4668 3 жыл бұрын
حفظك الله يا أخي وبارد الله فيك
@KhamisMdzomba-w6h
@KhamisMdzomba-w6h Жыл бұрын
Jazakallah kheir
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azid kukufanyia wepesi Sheikh wetu uzid kutulingania
@officialmutrahlg2484
@officialmutrahlg2484 Жыл бұрын
Izzudin yuko vizur sana hapa ni kutaka umaarufu mitandaon tuu,,hii clip imekatwa katwa
@asnatiasmani8811
@asnatiasmani8811 Жыл бұрын
Mhhh so kweli msiklze bachu vizuri ameikata kata ndio vile vipnde ambvyo havipo sawa sheikh bachu yuko vzur bhna
@AMI-ip1lx
@AMI-ip1lx 2 жыл бұрын
Allah Atujalie Tuwe Wenye Kuijuwa Dini Yetu Kiufaswaha Allah Akujaze Kheri
@hamisibakarimwahundu4861
@hamisibakarimwahundu4861 3 жыл бұрын
Kumbusha hakika ukumbusho uwafaa walio waumini,Usichoke sheikhe bid'aa ni mbaya sana na mashukio yake ni motoni😭😭😭
@asraoman735
@asraoman735 Жыл бұрын
Mashallah kofia umekupendeza shekh muhammed😊
@saidalhabsi6485
@saidalhabsi6485 Жыл бұрын
Hatujuwi nani mkweli wewe bachu kila shekh anamakosa kwako hajuwi mawaidha mara hajuwi kiarabu acha bifu na masheikh inamaana wewe ndio upo 100% mashaallah mashekh wengi wanajitolea kufundisha dini
@mullestv2680
@mullestv2680 3 жыл бұрын
Asie kua na elimu ngalau kidogo vigumu kukuelewa bali allah alowajalia neema ya uelewa tumekufaham mashaallah
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 3 жыл бұрын
Umesema kweli nduguyangu Allah anajibu dua za wajawake si lazma eti uende kwa mwengine akuombee
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Sio kila mtu anajuwa kusoma
@jumannengoffa769
@jumannengoffa769 3 жыл бұрын
Kuomba ni taaluma bila shaka hakuna ubaya wowote kuombewa, sasa povu linakutoka la nini .
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 2 жыл бұрын
Je vipi na akina nabii yusuph walivyomwendea baba yao na kumtaka awaombee. Nyie vp
@sokomoko6757
@sokomoko6757 2 жыл бұрын
Ufafanuzi mzuri, lakini la busara ni ungalimtafuta huyo sheikh na ukwamweleza hayo, kisha ungemwacha ajirekebishe mwenyewe Na kama angalikataa ungefanya kama ulivyo fanya bila ya kumkejeli... Bali ungemuombea na kumtafutia udhru kwa kusema kuwa amepitikiwa.. Hilo lazalisha upendo baina yenu,.... Naomba ujirekebishe kwa kupitikiwa na hili... Hakuna mkamilifu illa Allaah
@MohamedMfaume-f7j
@MohamedMfaume-f7j 7 ай бұрын
Ukilesema kosa la dini ktk umma.lazima lirekebishwe kwa njia ile ile uliyotumia ili watu wasipotee.hivyo hana kosa bachu.shekhe angelifanya kwa siri,angelifuatwa kwa siri.
@allyathman9584
@allyathman9584 3 жыл бұрын
Allah akubariki shek wetu
@twahangenya4829
@twahangenya4829 3 жыл бұрын
ماشاء اللة yaani sheikh unawamudu kwa kweli ukiendelea kuwakazia naa mini ndani ya miaka mitano ijayo Afrika mashariki hakutobakia mzembe yo
@sulesumry9766
@sulesumry9766 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@mussamohamedmohamed7048
@mussamohamedmohamed7048 2 жыл бұрын
Swadakta,,shekh, Mohammed B heachu,,majibu yamejitosheleza,,ALLAH, BARIQ,,
@mussaudizi6013
@mussaudizi6013 3 жыл бұрын
Mashekh waongo wanafiki mazushi yaani bbidaaa ukweli sasa wamekithiri mnoooo . Shekh Abuu UBAIDA Muhammad nasour bachu ww nyooshatu tukopamoja Allah akuongoze ijapobaadhi wapo wasopenda hii .... Ilasolazima wao wasipende ww nyooshatu tandika radiizo
@saumukayaa3979
@saumukayaa3979 3 жыл бұрын
Si. Kweli. Allah.anasikia.mujawake.yoyote.hata.mimi.kusema.kweli.Allah.amenifanyia.mambo.yangu.vili.nilivumuomba.nasema.Alhumdullah
@kassimabdalla2359
@kassimabdalla2359 2 жыл бұрын
ما شاء الله. بارك الله فيك
@adilittv923
@adilittv923 3 жыл бұрын
حفظك الله شيخني
@itsmelatz
@itsmelatz Жыл бұрын
Planet of intellectual. Al ilm nuur. And the nuur is shining in the world let us continue to observing the challenges about ilm among ulamaa we learn thing from 🙏🏽 ( understandability competition is not a fault don't look bad our ulamaa they want to show us the reality of Quran and Sunnah ) i like much this system I learned more things and I continue to get a lot of knowledge which I did not know before. Mashaallah jazakat allahu kheir 🙏🏽
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Rylan Melody@ nakuunga mkono kwa asilimia nyingi
@abdulhaleemsalim1059
@abdulhaleemsalim1059 3 жыл бұрын
Wacha ujinga ww bachu hujakosoa chochote huna unalo jua wacha ujinga na ilimu huna bachu sote waja wamungu ila kuna Bora zaidi kwa mungu kama wacha mungu huwezi kufananisha na wale wakumshirikisha mungu ila sote waja wake ww bachu kasome
@abdulrahmanngaluma3768
@abdulrahmanngaluma3768 3 жыл бұрын
Mashaallah
@thedon8467
@thedon8467 Жыл бұрын
A wise man never knows all only fool know everythings
@kosemraul3419
@kosemraul3419 3 жыл бұрын
😂😂😂 ths video is a bomb💣. Allah akuhifadhi sheikh
@SWABRI18-yi6vx
@SWABRI18-yi6vx Жыл бұрын
Masha Allah.msema kweli na utabaki kua msema kweli,Allah hafidh
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 3 жыл бұрын
Assalaamaleikum warahmatullah wabarakatuh, wacheni ushabiki...hapa tunaelimishwa ima kutoka kwa aliekosea na au aliyeteleza...tusipende kuwatukana wasomi wetu ktk elimu ya dini
@zuleikhamohd5239
@zuleikhamohd5239 3 жыл бұрын
Kweli kbs
@alihassan-gd5lc
@alihassan-gd5lc 3 жыл бұрын
Sio kwa mfumo huu kaka kuelimishwa hapa nikudhalilishana tu.nakuonyesha tofauti zetu kwasio waislam haki mimi nachukia sana
@swafniesaid2331
@swafniesaid2331 2 жыл бұрын
@@alihassan-gd5lc unani matughu yakushishie usiwe hasidi ezudini alisoma akajuwa nawewe kasome ujuwe wacha uhasidi wako mawahabi nimahasidi ama kazi yakuighiza watu peponi namotoni allah alikupa wewe nakuona wajifurisha kho hakuna akutiyao akilini
@mwajitajunior7633
@mwajitajunior7633 3 жыл бұрын
Nyooshaa mtu Bachu mdogo wanafkir kila anaeweza kuzungmza anaweza kulingania
@OmerHamdan-be1um
@OmerHamdan-be1um 4 ай бұрын
Safi bachu
@OmerHamdan-be1um
@OmerHamdan-be1um 4 ай бұрын
Ww wape TU ukumbusho katika njia ya sawa....maana anae achwa kupotea na mungu mbinguni haongoki Wala hakuna wakumuongoa
@eddy8627
@eddy8627 Жыл бұрын
شكرا وجزاك الله خير يا شيخنا. العلم بحر
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Baaraka Allah fiyka Al Akhy Mo Bachu,. Hawa watu wanapindisha Aya za quruani maksudi sijui wana malengo gani?, Twamuomba Allah asiwakithirishe watu hawa wa matamanio.
@mohammedwedding6530
@mohammedwedding6530 2 жыл бұрын
من هم عبادى و من هم السلام علينا وعلى عباد الله الصالحين نطلب السلامة لنا ولعباد الله الصالحين.
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 3 жыл бұрын
Shekhe wetu kerebisha makosa mola atakuifazi kwasababu uko kwenye haki
@zuhuranasoro9006
@zuhuranasoro9006 3 жыл бұрын
Huku sio kurekebishana ni kutukanana
@alfaroukshabani4141
@alfaroukshabani4141 3 жыл бұрын
Sheikh usiache watu wapotezwe, Allah akuhifadhi
@allykhalfan9513
@allykhalfan9513 2 жыл бұрын
شكراً يا غالي بواضح الدرس
@albassambakili3757
@albassambakili3757 3 жыл бұрын
Masha Allah nakufahamu sanna muhammadi Allah akuhifadhi
@hamisiselemanishekhmtupawa3176
@hamisiselemanishekhmtupawa3176 3 жыл бұрын
Ww hunailimu kwakauli zako za zarau kwasa bab kuelekuelekeza niibada lakini sikwakuwazarau kwamtu mchamungu hawezi kukuacha kukuambia
@dullahmihuri
@dullahmihuri 3 жыл бұрын
Allah akuzidishie elimu na uzidi kuyafungua mafundo km haya
@addaalmedia
@addaalmedia 3 жыл бұрын
بارك الله فيك
@kijanamwepesi6997
@kijanamwepesi6997 Жыл бұрын
Wallahi huyu shekhe ana fundisha vzr kabsa ila tatizo n moja unapo mrekebisha mtu ama kama mtu kakosea kuna lugha unayo pasa kumuongelea nayo na hata yy atajua kwl kuna sehemu alikosea akarekebisha ila akirekebisha kama Ana kashifu hio sio kufundishana ndugu wailam tusikalifishane ili tuonekane fulani ndio bora wakti njia za kurekebishana kw utaratibu zipo
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 3 жыл бұрын
NAMUONA HAPO MTOTO WA SHEIKH BACHU KTK URITHI WA NYAYO ZA BABA YAKE KAZI KAZI #
@adijaamur962
@adijaamur962 2 жыл бұрын
Mwenyezimungu awanusuru mashehe wetu kabisa yani fataneni imbox kisha mtufikishiye ujumbe sa hihi mukono kwa mkono hadi pepon😘😘😘
@hamisali3826
@hamisali3826 3 жыл бұрын
Sheikh Muhammad maashallah elmu ulionayo itakua Bora kujiunga na shkh mazinge mukaleta wasio waislam katika dini ya Allah
@aboudsaidaboud7667
@aboudsaidaboud7667 3 жыл бұрын
mashaalla sheikh.ALLAH akuzidishie .AMEEN
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 2 жыл бұрын
Mumepewa ilmu lakin hamukupewa hikma
@saidkhalifa34
@saidkhalifa34 2 жыл бұрын
Alkamalulilah azzawajallah
@abuuharuna8820
@abuuharuna8820 2 жыл бұрын
Shekhe umefafanua vyema sana
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Inalillahi wainailahi rajuun. Mtihani kwa mashehe WA bidaa Hawa kama hawajui sijui kwanini hawakai kimya wengine sijui waganga wanataka watu waende kwao kuombewa
@adanissak6810
@adanissak6810 3 жыл бұрын
Wale masheik wapotofo lazima wakolewe masha Allah sheik
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Wewe sheikh muongofu ziko wapi darasa zako tuzisikilize?
@herimatano9636
@herimatano9636 3 жыл бұрын
Asslm Allkm Sheikh Wangu, kimaoni mimi naonelea ungefanya mawasiliano na mashekh unaowaona wamekosea, ili mupatianemawili matatu ya kusaidiana kiilmu , lakini kwa namna hii ni kudhalilishana.Waislamu hustiriana na kutakuwa na upendo baina ya nyinyi Mashekh na ss wasikilzaji hamtotugawanya.Maana ss wasikilizaji tukigawanyika tunavunja umoja.
@zuhuranasoro9006
@zuhuranasoro9006 3 жыл бұрын
Assalam aleikum nakupongeza sana... hili suala la kujirikodi na kumkosoa mtu mtandaoni skulipenda..hii yajenga chuki baina yao na cc wenye kuwatazama
@JK-um6op
@JK-um6op Жыл бұрын
Akiongeya na shehe aliye koseya sio suluhu.. huyo kesha poteza wengi tu, bora liwe mtandaoni ili walee walio msikiliza wapate ujumbe vile vile.. Wabillahi tawfiq.. shukran
@mansurabubakar3906
@mansurabubakar3906 Жыл бұрын
Wakomemashekhezetu
@saiditara7235
@saiditara7235 3 жыл бұрын
أحسنت يا غالي
@riziqalli64
@riziqalli64 2 жыл бұрын
Ni kweli Muhammad bachu Allah amesema Kuna watu dua zao hazipokelewi
@asnatiasmani8811
@asnatiasmani8811 Жыл бұрын
Sawa sawa sheikh bachu jr
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 3 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi shekhe Muhammad bacho akupe nguvu zaidi utufundishe kutoka Kenya khadija said Nahdi
@asiaghadija8333
@asiaghadija8333 3 жыл бұрын
SubhanaAllah
@saidpolish1988
@saidpolish1988 Жыл бұрын
Vyote vya mungu
@Seremani-ll2yf
@Seremani-ll2yf 4 ай бұрын
Wenzio wanataka maisha sio dini wanasemasema tu wale ubwabwa
@abuuhuzayl6549
@abuuhuzayl6549 3 жыл бұрын
Naam jazaakallahu khayran akhiy fillah. Nina nasaa kwako ndugu yngu penda Sana kutumia neno ALLAH badala ya Mwenyezi mungu Naam Baarakallahu fiika
@masoudmgongolwa1651
@masoudmgongolwa1651 2 жыл бұрын
جزاك الله الخيرا
@nzeyimaamini3282
@nzeyimaamini3282 2 жыл бұрын
NASHUKURU SANA KWA UFAFANUZI WAKO SHEIKH ILA NINA KUOMBA WEWE PAMOJA NA MASHEIKH WENGINE MSI AIBISHANE LIKI TOKEA JAMBO LOLOTE KAENI CHINI MLIMALIZE KIMYAKIMYA
@badikithi5327
@badikithi5327 3 жыл бұрын
Masheikh pia nyinyi ni binadamu.hamujakamilika ila ukamilifu niwake Allah.Na mwenye kujuwa zaidi ni Allah.zipo njia zakufanya mjadala lkn sio kukashifiana hapa.Dini nyepesi Masha Allah.masheikh tafadhalini tafuteni njia yakuelezana Kwa uzuri sio Kwa njia hii.
@F.j84
@F.j84 2 жыл бұрын
Subhanallah hao wamezoa kudanganya watu kujipa vyeo ili wapate maslahi yao,, njaa tupu ukiona wamevaa mipete mikubwa mikubwa kujifanya wako katibu na mungu lkn wanawapoteza watu kw maslahi na hawaa nafs zao.
@adijaamur962
@adijaamur962 2 жыл бұрын
Sana tu anatupoteza ila nihurumawake Allah
@mpongomwenda1599
@mpongomwenda1599 3 жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakat. Enyi wanawazuon, uisalam ndivyo ulivokufundisheni katika kuelimishana kinamna Kama hii? Kueni na kustiriana napia kuvumiliana katika tofauti zenu. Nikweli muyasemayo! Siwapingi! Lakini busara! busara! busara jamanii.......... Elimu na hekima...ndio........zinakwenda sambamba jamani....Niwilieni radhi masheikh zengu Tafadhali!!!
@shaimahisham8948
@shaimahisham8948 3 жыл бұрын
Kweli kabisa kwa unayo sema.hivi sivo tunavo takiwa kuelimishana.kua kama alivo kua babako.waislam ni kustiriana.sio kujionesha kua eti ww ni mjuzi zaidi.mkamilifu ni Allah.ongea na mwenzio muelimoshane.sio hivi hadharani
@ab.a8353
@ab.a8353 3 жыл бұрын
Subhanallah! Kashfa kubwa salaaala, Allah atustiri.
@omarzeda3119
@omarzeda3119 3 жыл бұрын
Shukran sheikh
@thedon8467
@thedon8467 Жыл бұрын
HAIPENDEZI KUKOSOA MASHEIKH WENZAKE KAMA IVO NI HERI KWANZA UKAMTAFUTA PRIVATE UKAMUELEWESHA MAANA HII NI KAMA UNAMZALILISHA HAIPENDEZI
@amanichanzi1824
@amanichanzi1824 3 жыл бұрын
Tatizo hamtaki kukaa chini kusoma ila nyinyi kusoma kwenu kusikiliza masheikh tu hamjui kutofautisha yupi wa wakusikilizwa mpompo tu kama mabubusa kwahiyo hata kikielekezwa kitu kwa usahihi wake harafu wewe tayari ushakaririshwa
@ahmedaliahmedahmed3003
@ahmedaliahmedahmed3003 3 жыл бұрын
Sasa sawa kakosea kwann usimfate faragha musiba huu
@salumabdallah2211
@salumabdallah2211 3 жыл бұрын
Kweli kabisa upo sahihi shekhe wangu.ombi lako c lazima umfikishie binaadamu mwezako.hata ww waweza kuomba na ukajaaliwa ulicho kiomba.kwa kutoka kwa allah masaada wako.
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 3 жыл бұрын
ukimaliza huyu othman maalim mzee wa visa vya uongo
@anarduk6438
@anarduk6438 3 жыл бұрын
Hahahahahaha KM ULOKUWEPO WANGU
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 3 жыл бұрын
Mhhhh kwel lkn
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 3 жыл бұрын
@@muslimmassoud2673 ndio
@ahmadiayoub1315
@ahmadiayoub1315 3 жыл бұрын
Hebu twambie je shkh othman katoa kisa gan cha uwongo?
@abuusuleym3676
@abuusuleym3676 3 жыл бұрын
@@ahmadiayoub1315 lete namba yako nikutumie kisha uwambie watu kama kwel
@adijaamur962
@adijaamur962 2 жыл бұрын
Alichukuwa naam kabisa sheikh wetu
@swabreenaali6441
@swabreenaali6441 2 жыл бұрын
Aliyekamilika ni Allah pekee kwa ivo tuweni makini tunaporekebishana tusidhalilishaneni jameni
@adilhabib8988
@adilhabib8988 3 жыл бұрын
Sawa sawa sawa
@mohamedally1868
@mohamedally1868 3 жыл бұрын
hayo NI mambo ya kipumbavu na NI bidaa mbaya zaidi kukaa na na kutafutamakosa ya mashekh wenzenu muwakosoe ili muonekane mnajua acheni ujinga watu wanakufa bila iiiman.
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 3 жыл бұрын
Vipi na wewe msufi naona umechukia
@hilaldiwan9660
@hilaldiwan9660 3 жыл бұрын
Yani Muhammad bachu ata sijui kasomeshwa na nani Mana kasoma lakini hajasomeshwa
@KaskasTHEfinderCLIP
@KaskasTHEfinderCLIP 3 жыл бұрын
Akuna bidaa hpo,unajua ubaya wa kuificha helimu wewe,bayana lazima iwekwe wazi ..unatka watu wafiche elimu ili watu wajinga kma nyinyo mpotee
@KaskasTHEfinderCLIP
@KaskasTHEfinderCLIP 3 жыл бұрын
Bayana ingekuwa infichwa kma unavyotka wewe baso leo ungekuwa ubaaliabudia jua tayari,wacheni mapenzi katika mambo ya msingi,kuweni kwenye ukweli msiishi kwa kukalili
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 11 ай бұрын
Wewe ndiwe mpuuuzi wa mwisho tena wa kuanzia chini kabisaaa hujui Qur'an inasema nini wewe! ALLAH ANASEMA HATA ELIMU YA DINI MTU INAWEZAMVIMBISHA KICHWA NA AKAWA SABABU YAKUPOTEA NA ELIMU YAKE,SASA ACHA IZZUDIN HATA ZAIDI YA IZUDIN AU HATA HUYO BACHU PIA AKIKOSEA AU KUTELEZA LAZIMA AREKEBISHWE,KWAHYO USISHABIKIE HAKUNA UTIMU KAIKA UISLAM NI HAKI NA BAATIL BAAAAS
@husseindiba2169
@husseindiba2169 11 ай бұрын
Mohamed bachu ni msomi
@kihozaramadhani1828
@kihozaramadhani1828 3 жыл бұрын
Duh anae kufuatilia hakika atakua na upungufu kam yako duh soma kwanz bad elimu chin San
@anarduk6438
@anarduk6438 3 жыл бұрын
Sasa km ww humfatiliii mbona ume comment? Hahahaha
Mawaidha mazito sana haya || Sheikh Nassor Bachu
31:22
Jiongezee Maarifa
Рет қаралды 22 М.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 42 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 68 МЛН
Majibu ya kielimu kwa Yussuf Diwani na Al hadi Mussa||Muhammad Bachu.002
34:32
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 37 М.
RADD UPOTEVU WA KISHKI, DR. SULLE, ABDUL ROGO |SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA
1:10:34
Raddi kwa Muhammad Mafuta juu ya maneno yake ya ufedhuli||Muhammad Bachu.
31:23
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 42 М.
MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE14
1:21:24
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 15 М.
KUFRU ZILIZOPO KWENYE KITABU CHA BARZANJI | MOHAMMED NASSOR BACHU
1:05:14
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 7 М.
Prof .Abdul Karim Hashim: Maswali na Majibu Al Masih ad Dajjal
2:02:39
Jami ya Vijana Inchini Holland
Рет қаралды 56
MUNAQASHA ULIOWAFUNGUA WATU MACHO- SHEIKH. MUHAMMAD BACHU MOMBASA 24/9/2023
2:54:48
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 42 МЛН