Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya
Пікірлер: 485
@abdul_azeez_almaamir3 жыл бұрын
Kazi Ni nzito shaykh Allah akuruzuku kauli nzuri na subra na msimamo na akupe mwisho mwema
@jumaothman94493 жыл бұрын
Sheikh Muhammad Allah akubariq tayari umeshafikisha. Hao ndio masheikh wa kiserekali waiyuza dini yao kwa matumbo yao. Allah awaongoze ktk njia iliyonyooka na ikiwa simiongoni mwetu Allah awalani hapa ulimwenguni na awachome siku ya kiyama
@kassimiddi52943 жыл бұрын
Yani haka kajamaa katangazaji nacho kinaplkeshwa vbaya au had watangazaji wamnunuliwa pia?
@shekhally57413 жыл бұрын
Maashallah tunastafiidi sheikh wetu bacho katika hili inshaallha Allah atakulipa kwa juhudi zako katika upotevu huo wa Tashabbuhu minanaswaara ambayo mtume (s.aw) amekataza kujifananisha na manaswara hatarikubwa ni ktk nguzo kwabwa ya dini nayoni shahada
@abdallahmzonge96223 жыл бұрын
Huyu sheikh anaongea kwa daliil lkn wale wengine wanaropokatu, hawana elmu elmu zao ni kaswida na madufu tu
@oman61243 жыл бұрын
بارك الله فيك شيخنا ماقصرت الله يثبتك في دينك دائما يارب
@pakashume7253 жыл бұрын
Mashaallah! Allah akuhifadhi shaikh wetu!
@amezahor30103 жыл бұрын
Mashallah Sheikh Muhammad bin Nassor kwa kuwadarisisha hao.
@ndalusanzekassim59023 жыл бұрын
Mwenyezimungu akujalie uhai mrefu afya njema na mwisho mwema shekh Bachu uzidi kupigania dini yetu.
@salimsaleh93542 жыл бұрын
masha allah tupo hapa kwa ajili ya kujifunza zaidi allah akuzidishishie kila lenye kheri na akukinge na shari insha allah
@benjaminkangolo20172 жыл бұрын
Allah Akbar Allah Akbar. Allah akulinde na mabala yote kwenye dunia hiyi na akulinde na shari za hao walim
@HafidhAli-lt5xt Жыл бұрын
Hallelujah imekuwa shahada wah basi wamesilimu wakristo wengi.
@allymnimbo43043 жыл бұрын
Allha akuzidishieni wote ambao mmesimama ktk haq Sheikh nimekukubali kwa namna unavyoingia ndani zaid haswa kwny lugha dah upo vizuri allha ukuzidishie haswaa ktk ufahamu wako
@wamanja55723 жыл бұрын
Takbiri Allah Akileta mitihani pia Huleta na Watatuzi ili mwenye akili apambanue ipi haki na ipi Batili Sub hana wallah. Allah akuzidishie Elimu na Afya @Sheikhmuhammadibachu.
@suleimanmussa32123 жыл бұрын
Allah akuwafikishe kwenye malengo yako ya kuitetea dini ya Allah na akuhifadh na akuzidishie afya njema na hekima pia
@ayishaayisha80533 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe umri mrefu waelimishe
@saeedabunajash62353 жыл бұрын
@@ayishaayisha8053 amin
@moasitymemo98943 жыл бұрын
@@saeedabunajash6235 امين يارب العالمين
@hamisabdalai17753 жыл бұрын
Asalam aley kum, diwani umefeli sana tena. Nataka kujua siku zote mlizokua mnalingania mbona hamjaweka bayana neno haleluya ni shahada.!!! Kunasiku nasibu abduli aliimba aleluya mazinge akasema Sana kijana wa kiisilam anaimba aleluya, sasa Leo yusufu diwani unatetea nini, kuweni wakweli alhadi ni mwanadam anapokesea anatakiwa akosolewe, acheni unafiki uwisilam sio dini ya mtu. Semeni ukweli japo nichungu.
MashaAllah sheikh wetu bachu kwa kurekebisha wasiokuwa na uwelewaji
@seifalihassan98373 жыл бұрын
Allah akupe wepesi akupe kheir usinyamaze sheikh Mohammad wambie kweli hao wanafiki wanataka umaarufu tu
@minahadi21903 жыл бұрын
Allah atuongoze kwakwel ni mswiba Usife moyo shekh wetu endelea kurekebisha Allah atakulipa
@issajuma4297 ай бұрын
😅
@jumasaid16193 жыл бұрын
Alah akulinde na hasad zote pia akubarik
@fadhilimussa50673 жыл бұрын
Jazakallah shekh Bachu pigaa misumari watu weny tamaa za duniaaa waache upotoshajii wa makusudi
@ramadhanimtetu72463 жыл бұрын
# Kazi na iendelee mwanzo Mwisho Mjukuu wangu Bachu Endelea
@salmabintuthman32433 жыл бұрын
Alhamdulillah. Shukran sheikh. Kaza kamba mpaka watu wanyooke. Na anae kosa ni bora ajifunze. Lugha ya kiarabu ni ngumu sio ya kuchezea na kufanyiana vishindo au kubaranganisha. Waislamu TUSOMENI KISAWASAWA.
@ismailowino28663 жыл бұрын
Allah azza wa jal akuhifadhi sheikh na akuongezee ilmu yake na ya dini yake!ameen.
@ndalusanzekassim59023 жыл бұрын
Subhana lahu anajisifu kaema makusudi bila ya hofu ya Allah! Shekh bachu tunakuelewa unatetea dini ya Mwenyezimungu hutafuti ushindani usio na msingi.
@AminaHatibu-kn3nm Жыл бұрын
mungu akuongoze sheikh muamnif na endlea kuwaumbua na usiwaogop coz unatetea uislamu bhasi mungu wetu atakulinda....maana asaiv masheikh wakubwa ndio wanaupotosh uislam
@fundsim31833 жыл бұрын
He mtihani, Ndugu yangu, zidisha kutufahamisha
@mrishongwikwi64482 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh Bachu akupe nguvu zaidi za kuutetea uislamu na pia Allah awaongowe hao kina diwani waijue kweli na kuihubiri.
@nadhraabdulaziz91933 жыл бұрын
Msifanye mchezo na vyeo jamani pamoja na njaa nimbaya Sana asikwambie mtu tusomeni dini yetu vzr
@nshimirimanadjamilla72703 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu allah akukinge namahasidi tuko pamoja
@abubakarsiwa3453 жыл бұрын
Allah Allah akuhifadh shkeh Mohamad bachu,tusomeni dini yetu
@salehrashid-fx9rq Жыл бұрын
Allah akuhifadhi. Ila wasikumbue saana hawa wanaojiita mashehe njaa hawana mpango na dini wao wanaangalia matumbo yao zaidi
@maheralfarsiy18602 жыл бұрын
masha allah sheikh tunakuelewa kabda tupo pamoja bega kwa bega
@aboudsaidaboud76673 жыл бұрын
mashaalla sheikh bachu. twakufatilia mpaka kenya
@ismailowino28663 жыл бұрын
Naam,tupo naye!
@alliabdallah2243 жыл бұрын
Va kurithi vinazidi..hongera xana kijana wanyooxhe'
@iddijumaali71923 жыл бұрын
Shukran sheikh bachu
@nusalim33893 жыл бұрын
Juzi kwa jina la yesu, Jana haleluyah kesho utatu mtakatifu pia tunao ,maka Madina na aqswa, lengo kuleta mushabaha za ajabu kuridhisha wasiowaislam ya kwamba njia yetu moja,tusichukiane, na lafdhi anazoleta Ni ghareeb hazijawah kutamkwa hata na waislam waliopinda zamani wala hata wa Sasa, na anakuwa amejifananisha na makafiri kwa lafdhi zao wanazotamka
@mahmoudhamisi6733 жыл бұрын
Sheikh hongera Sana maashallah allah azidi kukupa elimu uzidi kutuelimisha mm ni mtanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 lkn masheikh wa Tanzania wengi wapo kwa ajili ya maslahi Yao binafsi wanapenda sana kiki halafu ni washirikina vibaya mno
@saidomar14083 жыл бұрын
Allah akulipe kheri sheikh Muhammad endelea kuwatoa matongo ya macho masufi ao
@matitutvonline41843 жыл бұрын
We koma hao masufi unawajua wewe hebu njoo whatsap utetee hoja yako kuwa masufi ni wapotevu si wewe wala huyo mtoto wa marehemu Sheikh Bachu. Amekimbia kujibu hoja huyo kwa masufi akakimbia sasa wewe mponze tu
@tvimaaanonline12223 жыл бұрын
Shulman she he Allah akupe umri mrefu wenyemanufaa
@seanmurray65163 жыл бұрын
بارك الله فيك شيخ الله يحفظك الله يحفظك يا شيخ محمد
@khamiskhatib9143 жыл бұрын
Yaani ww sheikh wangu upo sawa
@modredamour97133 жыл бұрын
Shukrn shekh wape somo bakwata hao
@ramsomwenjumahasani3757 Жыл бұрын
Shekh hawa masufi wanamatatizo sana yote hayo wanafanya ili watetee mpunga Mana wanajua wakikubali hawatakula tena wakati mchele upo mwingi2 ila akhy bachu uko vizuri enderea kuwalingania mpaka wataelew haqi nawataifuata inshallah barakallah fiika
@musayuzufmusa94353 жыл бұрын
Yaani anazusha live hata hana haya kweli watu wa biddaah wanapoteza ummah.ustadh bachu uko sawa na sisi twakuombea Dua
@yusuphkassim81173 жыл бұрын
Shekhe bachu allah akujaalie kila LA kheri hao washirikina wamlete huyo shetani wao mkubwa wa mkoa
@hasnaalharthy54333 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh usife moyo endelea kuwakosoa Allah akuzidishie elim akukinge na kila Shari (Amiin)
@ismailowino28663 жыл бұрын
ameen
@hamisabdalai17753 жыл бұрын
Asalam alley Kim. Yusufu diwani mm uwa nakukubali Sana lakini kwahili umefeli. Mm binafsi nimefatilia mihadhara tangu wakati wa marehem sheikh ngariba mpaka sasa sijawahi kusikia muhadhiri yoyote akifundisha aleluya maana ni shahada!!!! Semeni ukweli kuhusu hili ndugu zangu yusufu diwani. Dini sio ya mtu ata ukichukiwa kwakusema ukweli. Hamza issa aliingia kanisani kufunsiaha uwisilam mlitaka kumtoa roho. Japo kwa sasa kawa jahli.mbona siku ileile baada ya alhadi kuondoka alipanda muyahudi alisema aleluya hamkuitikia wote wahadhiri!!! Mpaka muyahudi akasema inamana hamjamuelewa sheikh wenu.halafu ukisema aleluya muitikiaji anasema amen iyo nishahada kweli!!??? Shahada ikisomwa utasema Alina??? Mimi naona aleluya ni sawa nakusema takibiriiii. Tubuni yisufu diwani.
@husseynhamad97903 жыл бұрын
Tumekuelewa sheikh muhammad bachu. Ao masheikh ubwabwa tunawajua
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Nakuombe shekh allah akupe afy yakuendelea kupambana na bidaa na allah asikunyime ujira wako tulijuwa watu wa maulid tumeacha na tumeingia kusoma baraka lahu fikaa
@yahyasaid93533 жыл бұрын
Shekh moh'd upo sawa kabisaa upo kwny mstari
@omariweldingfabrication7630 Жыл бұрын
Allah akuzidishie haqi
@abdallaali5793 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Bachu tuzidi kufaidika katika dini yetu
@arafazahor37603 жыл бұрын
Allah akupe umrimrefu ili uweze kuitetea diniyake na sisi tukopamoja na wewe inshaallah
@biramsakh92123 жыл бұрын
Bas aleluya itajwe et misikitini nasie waislam tuwe tu nasema.... Kama yy hodar had akaiseme leluya yake misikitini. Nambona hajitokez kujibu hana hoja
@hassanhamid43593 жыл бұрын
Alla akujaze elimu shekh wangu
@kassimsuleiman7333 жыл бұрын
MASHAALLAH kijana wetu Allah akujaalie upate afya uendelee kutupa ukweli. Kiswahili cha kutafsiri Quran Ustadh Diwan bado hakijui akasome kwanza kwa wafasiri Quran kwa lugha ya kiswahili mm naona aendelee kufasiri dawa za nguvu za kiume na dawa nyengine akitaka Ushekhe akasome tena.
@zubeiramlanzi24802 жыл бұрын
Kweli jamaa ongo sana ndo shida ya mashee wa bakwata
Mwenyezimungu anaona na anasikia usiwe na hofu shekh Bachu hatokuacha kwenye ukweli.
@amehussein32953 жыл бұрын
Akuje kheri mungu . Umenifurahisha kwenye lugha
@festochula76963 жыл бұрын
Shekhe kunawatu watembea uchi hao ndio wa kudilinao na mashehe wenzio
@hansimassirhassan81543 жыл бұрын
Sheikh wangu awa watu minaona kunadili la pesa wanalolitafuta upande wa pili mana wamekuwa wabishi sana katka maswala ya dini ila Allah yuko anawaona sheikh Muhammad Allah akuzidishie elimu na hikma ya kukosowa makosa kwa baadhi ya masheikh wetu in shaa Allah
@fathiyasalim39463 жыл бұрын
Allah amrehemu Sheikh Nassor. Kutuachia kijana wake ili aendeleze dini. Sheikh Muhammad waelimishe hao usichoke
@AbuuNasir-q9w8 күн бұрын
Allah akuhifadhi
@mamialsawafi80203 жыл бұрын
Wallahi Allah akupe kipaji zaidi usiwafatilishe hao mapunguani huyo sheikh kidudu mtu yy na sheikh wa mkoa mapungani
@twaibumikidadi73773 жыл бұрын
kweli bidaa haiwez kung'aaaa panapo hakki! Ushaur wangu; Diwan unaxid kupumbs tu n bora ukaw kımyaa watu watakuacha kukufuatıkıa maana humuwez muhammad Bachu atakuhaıbısha vıjana wanasoma cku hız cıo kama mlıvyosoma nyınyı zaman mnafuata tu madufu kwa hıyo bora ukaw kumya Dıwan yusuf utatıka nıshaı vıjana hawa wamesoma wameelewa vızur dını Huyu Dıwan anapotosha watuu anaongea tofautı na maaana. Dıwan kaa kımya tu umeıngıa ktk levo cıo ysko huyu muhammad Bachu n mtu wa sunna hakısemwı kıtu ıls kwa dalili cıo mtu wa bıdaa husema vıtu kwa fıkra zake kama ww!
@shaadenshaduni77553 жыл бұрын
Mi hadi natamani kijana wangu awe kama yy natamani awe mwalim wamwanangu haki Bachu elimu yake inanikosha ✌
@issaisacha23873 жыл бұрын
Assalam alykum tunakushukuru sheikh kwa kutupa elimu sisi tunaosikiliza tunaakili na tunafahamu tanbihi tuwe na hofu ya Allah.
@muslimmassoud26733 жыл бұрын
Mashallah sheikh Muhammad Bachu Allah akulipe Kheir
@abdurazaqabdurazaq4043 жыл бұрын
Wewe nasoro bachu kajifunze adabu
@muslimmassoud26733 жыл бұрын
@@abdurazaqabdurazaq404 ajifunze adabu ya nin
@yasinishabani88533 жыл бұрын
Sheik shukuran sana uwe na moyo wa subira .
@maryamibrahim40393 жыл бұрын
Sheikh Nassor mashAllah unafundisha kwa evidence, endelea kutupa ukweli.
@yusuphnjechele30733 жыл бұрын
ALLAH akuhufadhi mtt wa marehemu Sheikh Bachu Aamiina
@fathiyasalim39463 жыл бұрын
Na bahati njema na ﹰMama mzazi wa ﹰMuhammad bachoo nae anaitwa ﹰBi ﹰAmina. Maa shaa ﹰAllah
@UMMAHWASATIYYAH3 жыл бұрын
Aameen
@seifalihassan98373 жыл бұрын
Asante sheikh Mohammad Allah akuhifadhi ameen
@mohammedsalim9743 жыл бұрын
Ma sha Allah tuko pamoja kila hatua.
@faisalashraf80313 жыл бұрын
Wapo kimaslai Hao watu WA bidaa we ujumbe Usha wafikia wenye kusikia ukweli tumesikia shukraan Sana
@muslimmassoud26733 жыл бұрын
Naam akhy tuko nae pamoja bega bega lazima haki isemwe na bidaa ikemewe
@IbrahimAli-ns1lj3 жыл бұрын
Ustazi mm nakukubali wale mashehe waserekali wappo kimaslahi na wanamuogopa
@eliazaemanuel43783 жыл бұрын
nimekuelewa shekhe wangu allh akupe kher nying achana na wanasiasa hao wanachandanya hak na batil
@abuuikramkalokaza14963 жыл бұрын
Allah atuongoze alama za mnafiki Diwani hata haangalii kamera
@mohamedimiraji54953 жыл бұрын
una dalili yoyote katika aya au hadithi kuwa moja ya alama za mnafiki ni kutokuangalia kamera?
@gwijiigwijii3846 Жыл бұрын
Katka dunia kuna shekhe kuna shehe kuna shee na sheha sasa hao ni masheee nasio mashekhe
@abdallahmattar20443 жыл бұрын
Wafahamishe waelewe kama hawakuelewa kazi kwao kwani unapambanua na kuelezea kila kitu mashaallah
@ramadhanimgeni53242 жыл бұрын
Naam shekhe nimekuelewa
@jumakumala13373 жыл бұрын
Shukran Mungu akulipe kheir kwa kutufikishia elimu , kumbe tulikuwa tunapotezwa na Masufi
@hafidhuayubu62563 жыл бұрын
Tupe faida sheikh. Wetu
@ramadhanimsita53563 жыл бұрын
Nipo pamoja naww shekh wangu bachu wanjooshe mashekh njaa wa bakwata
@mwanamkuurashid77823 жыл бұрын
Hakuna mtu mbaya zaidi kama mtu ambaye hajui alafu anajifanya anajua diwani rudi darasani usipoteze watu nauyo mwanafunzi wako.
@ahmadsaid58453 жыл бұрын
Maneno yako yanafaa kuandikwa kwa wino wa gold
@hajielmi75183 жыл бұрын
Wabongo wanapenda sana sifa ktk dini
@minahadi21903 жыл бұрын
SubhanAllah nimswiba kwakwel
@aleyabra41603 жыл бұрын
Sheigh yusuf unaweza kwenda msikitini ukatamka haleluya nataman nikuone msikit wowote
@abdulwakasso90403 жыл бұрын
Allah akuhifadhi azidi kutumia elimu aliyo kupa kwa kuelekeza na sio kujikweza kama wao
@ramadhanmwandambotuntufye59723 жыл бұрын
Naam sheikh bachu , Allah akuhifadhi hawa madufi wanatekeleza mikakati ya wamarekani na mayahudi kuumaliza uislam, hiyo ni jihad l elim.
@mwanaishaabdi39283 жыл бұрын
Mungu amsamehe uyo sheh yussuf na uyo kibaraka wake hawajui walitendalo diwani soma kwanza
@lileoh38932 жыл бұрын
Mimi ham yangu nataka kujua maana ya aleluya
@abdillahsleyyum27683 жыл бұрын
Allah, akubariki
@ibrahimally93173 жыл бұрын
Tunaomba majibu krip ya mwisho.. Moja ya mwisho haujaijibu shekheee
@omarsaid67443 жыл бұрын
MAA SHAA ALLAH TUKO P1 ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHERI
@mwanaidwakanai11252 жыл бұрын
Shekhe uko sahihi kabisa umetumia hekima
@abuuazhar37383 жыл бұрын
Kweli shekh
@sadruinfinix84913 жыл бұрын
Ama kweli uadilifu ni jambo kubwa, Ila kizuri waislamu wanaelewa haqq na batiri, Nakuomba Allah atuoneshe haqq na atujaalie kuifuata.
Wachape nao awo vichogo hawana elimu pimbi tu washapewa pesa hawana ishu mungu atakulipa endelea kuwachapa nao usiwache mungu atakulinda
@muddybreezy45953 жыл бұрын
Nakukubal miaka yote MashaAllah
@ndalusanzekassim59023 жыл бұрын
Mashallah shekh bachu.
@salimmapande46683 жыл бұрын
Allah akuhifadhi kamwe usiwaache wapotoshaji waendee kutupotosha endelea kutuelimisha wakati wowote wanapo haribu nasisi tunakuomba kwa Allah akuhifadhi na akupe mwisho mwema
@abamohamed70922 жыл бұрын
Haupo ktk kujenga umoja bali kuvunja umoja,
@ahmedmalick28623 жыл бұрын
Mashallah sheikh wangu siku hzi naingia KZbin kwa kuangalia video zako tuu
@amatullahummufurqaana72833 жыл бұрын
😔😔😔Uwe NA subra pia Nimeona una subra kwel
@abusultanzimbawy5013 жыл бұрын
Subhana Allah ..Hawa s wakuachwa wakisema ya ujinga waradiwe
@mwawekomiuda97793 жыл бұрын
Sheikh Muhammad endelea kufundisha na kurekebisha wasojua dini ya ALLAH. Haiwezekani LAILA HAILALLAH Iwe sawa na haleluya hata siku moja usiku na mchana vifanane Laaaaa! Hata wahadhiri wanaopambanisha vitabu sijawasikiapo.
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Sheikh tumekuelewa vizuri sana mashaallah. Mpaka hapo hawana hoja zenye mashiko zaidi ya kujinadi wao ni watoto wa mjini, wamezaluwa uswahilini, kijiweni, Tandale, Mwananyamala mmmh...! Hivi hizo ni sifa za kujisifu kwa Muislamu Muumini?! Kama wanaona sifa kujivunia wao wanajuwa uhuni (wamejidinza uwanja wa fisi) si wakajiunge na Watandale mwenzao Waimbe miziki wapate huo umaarufu?! Kwa mwenendo huu as usanii na utapeli ktk kuichezea dinini (kuchezea maneno ya Allah na hadithi as mtume) ndomana hata dua hazijibiwi, vituo vya Uganga na kuuza dawa mpaka Miaikitini lakini hali ngumu.kila kukicha maradhi, shida, na mabalaa hayaishi. Sheikh wachana nao hao wapuuze na waelewa tumeshawaelewa mashaallah. Waache watafute sifa kwa Rambo sizo na faida duniani wala Akhera, dunia ni mapito na starehe za muda..
@techmuuuseif50433 жыл бұрын
Na wakimaanisha kuzaliwa kijiweni kumtukana shekhe muhammad bachu so shida wakiona anawazingua. Ni lazima kwa mtu alitazame kila neno analoliongea sana ambalo ataongea kwa watu wengi.
@wafaumelikolinji71513 жыл бұрын
Nakupenda kwaajilli llah
@anasmalongo64493 жыл бұрын
allah akbar tafsir safi kabixa
@HafidhAli-lt5xt Жыл бұрын
Tanzania mnashida kubwa na dini, innalilahi waina illaihi rajiun.