MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE(10)

  Рет қаралды 10,542

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Күн бұрын

Пікірлер
@hajarahafidh7146
@hajarahafidh7146 3 ай бұрын
Alhamdullilah sikosi mawaidha yako sheikh yanifundisha mengi sana . Allah akubariki
@abdulhida8291
@abdulhida8291 Жыл бұрын
Barak Allah kheri
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@jamaalmallo136
@jamaalmallo136 Жыл бұрын
Sheikh Allah akuhifadhi akupe umri mrefu katika twaa yake....ameen. kila nkija mombasa lazma nje darsa yako
@muniramohamed8887
@muniramohamed8887 Жыл бұрын
Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
Munira
@azizaabdalla1264
@azizaabdalla1264 Жыл бұрын
Aa nataka mawaidha ya mambo ya kujifusahi
@halimamuketi6738
@halimamuketi6738 Жыл бұрын
Je waeza mfanyia mzazi wko umrah na yeye bado yuko hai
@tawaqalmuniss2902
@tawaqalmuniss2902 Жыл бұрын
assalam alaikum sheikh nlkuw naulza mtu ameenda kusali msktn kakuta rakaa ya mwsho ya swala ya maghrb akaiwahi rakaa hyo ya mwsho wakaketi mpk tahyatu wakatoa salamu je ataendeleaje?😢😢
@mariamnur1036
@mariamnur1036 Жыл бұрын
Mm Nina shida kila time na tokwa n manni je ntaoga kila mara😢😢😢
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
je umehakikisha kua yanao kutoka ni manii mwanzo hakikisha kish@ ndio uombe jibuu
@mariamnur1036
@mariamnur1036 Жыл бұрын
​@@IzudinAlwyDin nimehakikisha sheikh
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
Nikuombe kama haitakua tatizo kanuone shekh alioko kareb na ww ataweza kukusaidia maana mm mpaka sasa kila nikigkiria haiwezekani jambo hilo.
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
Mariam vp
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 Жыл бұрын
@@mariamnur1036 mariam nambie
@mulhatomar6953
@mulhatomar6953 Жыл бұрын
Sheh mm sijawahi kupta hedhi hata siju 1 na sasa nna miaka 26 nn nifanye na sijazaa au mm ndo tasa moja kwa moja
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
unaeza muona tabibu wa kienyeji atakusaidia kupata ada yako kwa uwezo wa Allah
@fatihaal-amoody6308
@fatihaal-amoody6308 Жыл бұрын
Asalam Aleikum sheikh jee ana dhambi mwenye kuambiwa utaachwa akakubali hilo baada ya talaka akarudi nyuma kuomba msamaha ili mume warudiane yule mume akakataa kabisa kosa nila nani hapo
@mulhatomar6953
@mulhatomar6953 Жыл бұрын
Vp kuhu janaba pia unatakiwa ufumue nywele maana hili ni jambo la kila siku au kila wkt
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
madamu umetokwa na manii aw umefanya tendo landoa lazma uoge amakufumua nyele yategemea nyele zako kama ni nyingi na maji hayafiki kwa kichwa lazma uzifumue
@MaryamJuma-dx9ei
@MaryamJuma-dx9ei Жыл бұрын
Yawezekana kuleta istikfari wakati imamu anaswalisha wakati wakufunga swala
MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE(22)
1:07:47
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 15 М.
MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE (PART 04)
1:24:26
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 18 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
PETE YA AJABU ILIYOZUZUA WATU
4:08
UMAIF TV
Рет қаралды 140
ULIZA UJIBIWE O11
1:07:06
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 13 М.
HADITHI YA 24 ARBAINA NAWAWY
1:13:14
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1 М.
MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE (PART 06)
1:09:34
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 10 М.
NAMNA YA KUOKOKA NA HASARA
1:30:54
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 12 М.
MAJIBU  YA ULIZA UJIBIWE (PART 02)
1:03:10
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 10 М.
WASIA KWA WANA NDOA
35:17
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,2 М.
MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE14
1:21:24
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 16 М.
MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE (PART 08)
1:01:14
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 15 М.