Assallam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu Sheikh Izzudin nataka kueleza maoni yangu. Kulikua na suala kuhusu Heidh ukasema MIJANA IKE MENGINE WANA VOLTAGE KUBWA kiamaoni yangu naona ni dharau kutoa majina mifano hayo maneno mazuri zaidi yakutuita Shukran
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
Shukran sana kwa mauni mazuri na yabusara . nimefurahia sana kwa kunirekebisha . na kunieleza kosa langu mola akubarikie . na naomba msamaha kwa wanawake wote kwa jumla wasione nimekusudia kuwadharau bali ni mdomo umeteleza.
@zainabbereky7686 Жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin Shukran Sheikh na pia kama nimekukosea uni swameh sute ni binadam. Jazzakkallahu Khairan darsa zako hazinipiti Maasha’Allah
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
hujakosea kabisa mm napenda kurakibishwa kuliko kusifiwa . ukinirakibisha utaniepushia makosa ambao nilikua siyajui . ukinisifu utanibakisha kwenye kosa.
@ismailmustafa4553 Жыл бұрын
Assalam alaikum? Wawo husema ni bid"a na bda dwalal fi naar
@Aisha-go6mo Жыл бұрын
Asalaam aleikum sheikh mm nilikua nina swali kidogo kwa mfano mwanamke kamaliza hedhi yake kisha akatia nia na kuamkia kufunga saum na akashinda vizuri tu ila baadae ikawa bado lisaa kuadhiniwe ikatoke akapata damu kidogo tu je yafaa kuendelea na saum ama