MashaAllah huwa na waelewa sn idhudin n othuman maalim namuomba Allah anikutanishe nanyi nitafarijika sn Allah awajalie umri mrefu wenye elim kubwa zaid 🇸🇦🇧🇮
@alimwasaria78542 жыл бұрын
Masheik hawa wanaelisha watu bila fitna na siasa zisizokuwa na mwelekeo. Allah atuongoze katika haki
@mayaindeed48643 жыл бұрын
Mashallah allah akupe nguvu uzidi kutuelimisha
@official_6ixer_3 жыл бұрын
Ameen 💅🤲
@salamajoma33843 жыл бұрын
sekh wangu nakupenda sana kwa darsa zako mungu akupe nguvu inshaallh
@hawaheri58333 жыл бұрын
Asalam alikum ustza mm naomba kuuliza swali langu mm nafanya kazi omn mabosi zangu wananilazimisha niunganishe swala je yafaa kuunganisha
@mamoulovecherry51213 жыл бұрын
Waleykum salam Allah akujalie subra naushid kwamtihan uyo muombe Allaah san awalainishe nyoyo zao aache kukuladhimisha kuchanganya sala in sha Allah Allah ndie hakim
@abufauzan94173 жыл бұрын
Lakini kwamuujibu washeria kwakuwa ukosafarini unaruhusiwa kuungasisha kwamuujibu wahadithi kwasababu hakuna hadithi yoyote iliosema mwisho wamsafiri kuungasisha swala nisikukadhaa hakuna bali maneno tu yabaadhi yawana vyuoni
@abufauzan94173 жыл бұрын
Abdallah IBNU umar aliwai kwenda urusi alikaa huko mwaka 1 na alikuwa akiunga swala nawenziwe ukisikia ukisikia mtu akakwambia labda mwisho wamsafiri sijui siku 3 au 19 au 23 hizo niqias tu bas siomtume aliefundisha hivo ispokuwa usafiri utaisha endapo utabadilisha nia kwamba unakuwa mkaazi wa nchi hiyo au mji huo
@rahmatahmed18712 жыл бұрын
Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu
@Remmy_Remmah3 жыл бұрын
Masha Allah Shukran Sana, nimejifunza mengi Sana kutokana na darsa zako.
East Africa hamna CORONA DRAMA tu.... TUNGEKUWA tunakufa kama kuku lau kweli ingekuwa ipo kama wanavo-exaggerate..... Allah Atatuhifadhi zaidi....
@ummuhkhalfan55423 жыл бұрын
Ameena Allahuma ameena
@ummuhassan7423 жыл бұрын
Mashallah tabaraka allah
@baisaboy41803 жыл бұрын
Nakupenda sababu ya Allah
@ashourarashid2893 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu shekhe wetu inshaallah
@alimwasaria78542 жыл бұрын
Nasaha safi
@maherzain6153 жыл бұрын
Swadaqta ustadh. na kuna waislamu huwatetea eti haifai Kuwaita makafiri na ni mungu alowaita sio ss.
@chayogasperi97833 жыл бұрын
Kama unaweza kujizuilia kuwaita kwa jina hilo ili kuepusha shari itafaa zaidi , kama kila unapowaita kwa jina hilo huleta shari usiwaite mbele yao . Tumia jina lingine . Tumeamrishwa kuishi nao kwa amani hata kama tunatofautiana nao kiimani .
@mohamedchege99763 жыл бұрын
Mashaallah sheikh
@awadhially37533 жыл бұрын
Allah mjahalie afya shekh wetu,,aendelee kutupa darsa
@hamzinatv97043 жыл бұрын
Mashallah
@jamalmarisanga50863 жыл бұрын
Ma sha allah
@YWCTRADES3 жыл бұрын
Allah Akbaru yani kwa upande wa jini kumbe kuna mambo yako hivyo