Assalam aleykum, nashkuru kwa kutatua kwa ufasaha hili swala la madhheb Alhamdulillah leo nimefahamu umuhimu wa kuwa na msimamo katika madhheb moja.Allah swt akuzidishie hekma na elmu yenye manfaa kwa ummsh Amyn
@muniramohamed88879 ай бұрын
Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin
@IbrahimMohamed-et3yy9 ай бұрын
My biggest fan
@roseatienoogutu76419 ай бұрын
Allah awaongezee umrymasheikh wetu naawaoe hatmaa njema yarrabh soteni.
@maymgaya41929 ай бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah Azzah wa Jallah
@nomadicman67819 ай бұрын
Masha Allah Muhimu sana anayomfuata na wengi hawaelewi masala hili Jazzakumullah Kheir Sheikh
@a.8569 ай бұрын
Jazakallah khayran
@Aishaa-s4w6 ай бұрын
Je yafaakunga ndoa ikiea uko mbali na mke au mbali na mume