MAKACHU: Sarakasi za Forodhani ZANZIBAR zinavyovutia WATALII! JAMAL aelezea zilivyogeuka kuwa AJIRA

  Рет қаралды 16,516

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@RaphaelKapesa-x6g
@RaphaelKapesa-x6g 10 ай бұрын
Yani bro sky wewe hauna noma na mtu Yani mtu anaitaja kampuni kama moja ya kuiplomoti but huwazi bro 🙏🙏 mungu akuzidishie
@salimsaid9852
@salimsaid9852 10 ай бұрын
Congratulations Yess Jamal you are special.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 10 ай бұрын
Mwandishi wa Habari nimevutiwa na sauti iko amezing kwa Habari yeyote
@RajiEmadaki
@RajiEmadaki 10 ай бұрын
Kazi nzur sky wiz
@Kiulaini
@Kiulaini 10 ай бұрын
Sky mtafute na Ally jape please ufanye nae interview the guy is very special
@othmaniddi7637
@othmaniddi7637 10 ай бұрын
Ally jape,,,mtafute kaka
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 22 күн бұрын
Huyu mbona simuoni siku izi kwenye makwachu namuona yule daivan au sielewi
@salimomar-n7s
@salimomar-n7s 10 ай бұрын
Good job
@smarttv8941
@smarttv8941 10 ай бұрын
Yes jamal
@husseinbugobe9037
@husseinbugobe9037 10 ай бұрын
Jamal my elder brother ❣️🤟
@KhadijaMasoud-d2z
@KhadijaMasoud-d2z 10 ай бұрын
Hapo mhe Rais Mwinyi kuna kitu atafanya patakuwa pana maana zaidi soon tutashughudia makubwa
@RamaNgari-b1d
@RamaNgari-b1d 10 ай бұрын
Sky wiz
@Nancywill-998
@Nancywill-998 10 ай бұрын
Sky my bro since radio free
@amourhasaan7242
@amourhasaan7242 10 ай бұрын
Salutii kiongozii nikikuona live tafautii na nikikuona kwenye mitandao broo nilikuona juzii wanjandege
@MuharamSalum
@MuharamSalum 10 ай бұрын
Ndugu ulikua usitaje kiwango rasmi ju serekali yetu wakishajua kama kuna kipato watakuja kuzuia
@rodgeronlinetv1083
@rodgeronlinetv1083 18 күн бұрын
Yashatokea sasa umetabiri vizur bro
@NassorHajiMUHAMADI
@NassorHajiMUHAMADI 10 ай бұрын
Jamal kwa idadi ya watu hiyo si kweli idadi ya watu forodhani huwa nyinyi na watu hupiga makachu toka mimi na wewe hatujazaliwa
@fahadfahmy
@fahadfahmy 10 ай бұрын
Salute kwa Sky
@BakaryOmally
@BakaryOmally Ай бұрын
Mimi naomba hapo aekwe majukwaa sijui au muonekano utakua mbayaaa
@dayana5513story
@dayana5513story 10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 10 ай бұрын
Mawingu ww ni mkali sana
@ibrahimameir8063
@ibrahimameir8063 10 ай бұрын
UYO SIO MZANZIBAR MBARA TU UYOOO WENYEWE TUNAKUJAAA
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 10 ай бұрын
Na MAMAAKO Mtu wa wap😂
@ibrahimameir8063
@ibrahimameir8063 10 ай бұрын
@@rajabukipara3008 ME NIMEFUNGA SINA MDA WA KUKUJIBU JIBU BAYA but MAMA ANGU AMETOKA ZANZIBAR
@ibrahimameir8063
@ibrahimameir8063 10 ай бұрын
@@rajabukipara3008 WABONGO MNATAKA MUITEKE ZANZIBAR HAMUWEZI BABAAAA HII NCHI INA WENYEWE
@BakaryOmally
@BakaryOmally Ай бұрын
Ibrahimameir wacha roho mbaya wewe unajihisi ni mzaliwa halisi wa huko? Na unajua ukoo wako asili yake wapii fanya kazi wacha kugawa watu
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 18 күн бұрын
​​@@ibrahimameir8063umefunga halafu unakuwa mbaguzi? Mfungaji hawi mbaguzi, hem jiangalie vizuri nafsi inawezekana hiyo yako ikawa na mashaka.
@NassorHajiMUHAMADI
@NassorHajiMUHAMADI 10 ай бұрын
Kwa busara tu usitumie neno "sarakasi" kwanye kitendo hicho, hivyo kitendo kinaitwa makachu
@HAKHASH312
@HAKHASH312 10 ай бұрын
Mbna unapinga sana inaonesha humkubali Jamaal 😂😂😂 tulia mtu wangu ww ulikuwa wapi kwan wakt yy anatake this opportunity 😂
@NassorHajiMUHAMADI
@NassorHajiMUHAMADI 10 ай бұрын
Dhana ni mbaya sana, lakini kusema ukweli ni bora zaidi mimi sina shida nafanya mambo yangu na napata ninachopata kwa maana hiyo sijali kuhusu yeye
@BakaryOmally
@BakaryOmally Ай бұрын
Mimi naomba hapo aekwe majukwaa sijui au muonekano utakua mbayaaa
Chakula maarufu Forodhani#Zanzibar
3:32
DW Kiswahili
Рет қаралды 23 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
MAKACHU ZANZIBAR - USWEGE MURDERER
2:45
Uswege Murderer
Рет қаралды 88 М.
Forodhani Zanzibar: Hatuoni Makachu Tena!
4:25
Kibaki Videos
Рет қаралды 621
HII NDIYO HELIKOPTA ILIYOUNDWA ZANZIBAR
10:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 823 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН