JAMAL ANAYETREND DUNIANI, ASIMULIA UKARIBU WAKE DON JAZZY, P DIDDY, STAR WA MAKACHU FORODHANI

  Рет қаралды 52,168

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@amourhemed4343
@amourhemed4343 2 жыл бұрын
Perferct jamal mwanangu wa kipindi kirefu Allah akusimamie katika hili akukimbe na hasadi ufike mbali ulipotarajia blessing💪
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 Жыл бұрын
Home sweet home zanzibar ni nyumbani
@jerryloventikha1456
@jerryloventikha1456 2 жыл бұрын
Jamal seems to be a good researcher and narrator.. nice talent bro, keep it up..
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 2 жыл бұрын
Yes you can big up cool dude!
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Ila azidishe ubunifu wa kupiga makachu au ngema sio wanachupa tu katika maji wapige makachu sahihi itakuwa safi sana
@misscoast3174
@misscoast3174 2 жыл бұрын
Wee vile unaweza😎🥱
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 2 жыл бұрын
@@misscoast3174 sindo nashangaa ivo ivo2 amesha pata umarufu
@misscoast3174
@misscoast3174 2 жыл бұрын
@@yakoboesenga5754 walimwengu hawasarifiki hâta ufanyeje
@SupremeCryptos
@SupremeCryptos 9 ай бұрын
Ubunifu mzuri sana
@giftchristianmeela1409
@giftchristianmeela1409 2 жыл бұрын
Kwanini asipewe ubalozi wa utalii Zanzibar...
@yassirabdallah3230
@yassirabdallah3230 2 жыл бұрын
🤭🤭🤭
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Hongera kwa kuitangaza Zanzibar yetu.
@yussufmohammed9299
@yussufmohammed9299 2 жыл бұрын
Kazi nzur Brother,ila ningependekeza kuwachek n Wachez move w zmani km JECKSHENI,RAMBO,VAN DAME Nk
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
Go.. JAMAAL Go....
@hussencode2.117
@hussencode2.117 2 жыл бұрын
yessjamal on five
@blackpanther4825
@blackpanther4825 2 жыл бұрын
Sio professional ni profession
@omarmuhnzi7412
@omarmuhnzi7412 2 жыл бұрын
Yes he deserve to be Zanzibar tourist Ambassador. Jamaa anataka kufika mbali sana, wizara ingekuwa vizuri ikawaangalia na kuwashika mkono ili kusaidia kupush utalii wetu. Tukipata mastaa wengi ambao watakuwa wanaijua Zanzibar mambo yatakuwa Bulbul utalii ni mwendo mdundo.
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Bulbul eh...nataka nije kuoa huko mtoto mkaliii wa kizenji🤓
@queeneva3709
@queeneva3709 2 жыл бұрын
KEEP UP THE GOOD WORK.
@maryamomar2034
@maryamomar2034 Жыл бұрын
✌✌
@ramaaman4020
@ramaaman4020 9 ай бұрын
Komaa braza kwanihiyofaniunayoifanya nikubwasanasemakwakwetutanzania watuwengihawaijui sema kwasisituliotembea tunajua hiyofanikubwajitume
@saidcharleskarata02
@saidcharleskarata02 2 жыл бұрын
God bless you bro❤️🙏🏻
@papaamasauti5944
@papaamasauti5944 2 жыл бұрын
Nainjoy kuzaliwa zenji
@mazengomanyama7106
@mazengomanyama7106 2 жыл бұрын
Bara wana itajika kujenga ocean wall kama izo hapa dar au pwani yeyeyote sio kuruka sarakasi bungeni dadeq zao
@shabriah20
@shabriah20 2 жыл бұрын
😂😂😂
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Bangi bora isihalalishwe
@issamatola2031
@issamatola2031 2 жыл бұрын
Noma
@abdallahally842
@abdallahally842 2 жыл бұрын
Jamal nakukubali
@zanfastfood7300
@zanfastfood7300 2 жыл бұрын
Big up bro
@lilnizoea370
@lilnizoea370 2 жыл бұрын
Nice
@halidjuma9633
@halidjuma9633 2 жыл бұрын
safiiii💎
@yuleboytv6104
@yuleboytv6104 2 жыл бұрын
Comfidence
@ramazaniddy4231
@ramazaniddy4231 2 жыл бұрын
yessjamaal🐳
@husseinlali2137
@husseinlali2137 2 жыл бұрын
Good broh
@mundhiraly3368
@mundhiraly3368 2 жыл бұрын
❤❤❤
@jamesobedy3940
@jamesobedy3940 2 жыл бұрын
💪💪💪
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
💗💗💗💗
@h_sasytz
@h_sasytz 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@erickabel6201
@erickabel6201 2 жыл бұрын
🙆❤️❤️❤️🤩
@is-hakacena78
@is-hakacena78 2 жыл бұрын
🙌🏿✌🏿
@smfkingdom9944
@smfkingdom9944 2 жыл бұрын
Ka🌴mti pombe kzbin.info/www/bejne/e6C4f61-j9SqfLs
@king_agil6297
@king_agil6297 2 жыл бұрын
Anasifa balaa anajiona kama super star😏
@nasrinassor9178
@nasrinassor9178 2 жыл бұрын
Punguza makasiriko 😄😄😄
@saidigede4771
@saidigede4771 2 жыл бұрын
Hater😕
@sadraaly3410
@sadraaly3410 2 жыл бұрын
Ww ni hasad
@anwarmsabah8668
@anwarmsabah8668 2 жыл бұрын
Dah Kuna waja mna roho mbaya aiseee km hapo kajiona kitu Gani?? Jifunze kusifia jitihada za mtu ili nawe ubarikiweee
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 2 жыл бұрын
Huyo ni Star tayari
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 2 жыл бұрын
Nilimjua huyu jamaa baada ya kuona video moja aliipost dogo mmoja aliruka kudive kwa umbali mrefu saana akawa kama jet fighter, hadi nilimpost namimi kwenye insta yangu kwangu. Katika video zote ile ilikiwa ni amazing kwangu
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.