Dunian ni ubatili mtupu haya mafundisho sijawahi fundishwa kanisani kwetu asante mtumishi umenisaidia sana sana ubarikiwe.
@estermadahs79472 жыл бұрын
Amen wew ni mtumish wa mungu kweli nakufatilia nko tanzania
@faithe40632 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki siku zote za maisha yako mtumishi wa Mungu,hii mafundisho imeniinua sana 🙏
@musyokMatele Жыл бұрын
Tangu niokoke siijawai PATA mahubiri ya kunijega kama hii,
@anasialauwo4922 Жыл бұрын
Amen amen barikiwa sana baba yangu barikiwa sana nakupenda sana mtumishi wa MUNGU niombee jina langu ndo hilo hapo juu
@ErickKalomo Жыл бұрын
Hakika wew nimtumishi wa Mungu. leo ndio nimeyaona haya mahubiri na nimepokea kitu kikubwa sanaaaa. Mtume mesha Mungu akubariki sana sana tena sana
@anyesileifu-bs1fy Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU na akutumie zaidi
@theresentumbakazadizadio15862 жыл бұрын
Yesu nisaidiye niishi maisha ya utakaso ili nipate mwisho muzuri.mtumishi Niko Bujumbura .Bwana yesu akubariki akujazenguvu
@theresentumbakazadizadio15862 жыл бұрын
Yesu nisaidiye niishi maisha ya utakaso ili nipate mwisho muzuri.mtumishi Niko Bujumbura .Bwana yesu akubariki akujazenguvu, asante.
@theresentumbakazadizadio15862 жыл бұрын
Asante yesu
@janethmwihumbo12892 жыл бұрын
Namuona Moses kulola kwenye huduma yako ,mungu akulinde injili inayo fungua
@asnathlaizer46032 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa kuanza kuliandaa kanisa lake atakalolikuta atakapokuja mara ya pili wengi watabadilika watakaposikiliza injili kama hii Yesu akutunze mtumishi 🙏
@pendaelilaizenaitakiayanga644610 ай бұрын
Mungu Akubariki sana mtumishi wa Yesu
@bubasharajabu30682 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe🙏🙏👏
@marypeter45842 жыл бұрын
Amina Mtume wa Bwana. Mafundisho haya yamenibadilisha sana na nyumba yangu. Barikiwa sana
@liesharehema51932 жыл бұрын
Hakika ukweli utabaki ukweli tu makahaba kanisani niwengi mno siku hizi MUNGU ATUSAIDIE SANA
@joelmgaya42382 жыл бұрын
AMEN ,AMEN, BWANA AMENIBARIKI MIMI JOEL VIWANGO VYA KUNENA KWA LUGHA ,NA NIMEMPATA ROHO MTAKATIFU WA SIMBA KUPITIA HUDUMA HII YA UKWELIMINISTRIES SIKU NILIKUWA NATAFUTA WOKOVU NILIKUWA KAMA NATANIA LAKINI SASAIVI HUWEZI NIDHANIA :SIFA NA UTUKUFU NI KWA YESU.
@pendaelilaizenaitakiayanga644610 ай бұрын
Niko tayari kubadilika mtumishi
@cristianojorge6822 жыл бұрын
Mungu alibariki sana na sana tu, na atubariki na sisi pia tunaokusikiliza
@rabinzsinoya14342 жыл бұрын
Nakushukuru MUNGU wakati tunasali nawe nikaanza kunena kwa lugha. MUNGU nakuinulia sifa wewe ni MUNGU wa kweli. MUNGU azidi kukuongezea vipawa zaidi na zaidi.
@Lighthopetv12 жыл бұрын
Mungu asaidie wanawake sana maana hii mafundisho ni mafundisho ambayo wanawake wamekataa kabisa
@florencechebet37952 жыл бұрын
Watambue hawataingia mbinguni
@peninakashindi81392 жыл бұрын
Nami namshukuru Mungu kwaku nihonekania siku ya Leo 😭😭🙏🙏
@fideleemmanuel30352 жыл бұрын
Asante Mtume wa Mungu, nasikiya kusikiya watu wamefunguliwa
@peninakashindi81392 жыл бұрын
Amen Sana Mtumishi
@ezekielomondi83042 жыл бұрын
Mtumishi angalia volume kwa mfano iwe kama ule wa ujumbe wa kunena kwa lugha iyo vol. Ilikuwa juu tulikuwa tunataka hata hizi ziwe na volume ya juu
@cristianojorge6822 жыл бұрын
Mungu akujaze...
@joannanekesa77582 жыл бұрын
EE YESU KRISTO UKATUOKOWE EE BWANA WETU YESU KRISTO
@_Ananias2 жыл бұрын
Amen Yesu tufungue macho
@gambonmgaya12862 жыл бұрын
Amen.
@monicangayai25782 жыл бұрын
Amen amen ame
@queenesther26392 жыл бұрын
Hata thika nimeliona hilo kanisa la wavaa vizuri na kuna wakati mwingine wanatakiwa bibi na bwana kuvaa nguo za kufanana
@monicangayai25782 жыл бұрын
Amen amen
@queenesther26392 жыл бұрын
Nimezingirwa hasa
@queenesther26392 жыл бұрын
Yaan mm kushoto kulia nyuma na mbele wachawi
@joannanekesa77582 жыл бұрын
MUNGU AKUTIE NGUVU MTUME WA MUNGU UBARIKIWE
@annwangechi69692 жыл бұрын
Mtumishi hakika wewe umetoka Kwa Mungu mafundisho Yako ni ya kweri. Je ni kweri wanawake ambao wanahumbili kwenye madhabahu hawataenda binguni pamoja na washika wao,naomba unijibu.niliskia Kwa promover tv,eti wanawake wanapaswa kukimia kwenye makanisa ,sana sana wasikanyange kwenye madhabahu.
@queenesther26392 жыл бұрын
Si ya kuchekesha ni mbaya sana lkn mm nilikuja nikidhani Mtume Meshak ana maanisha makahaba wameanza sasa kuokolewa maana Neno linasema makahaba na walevi watawatangulia kuingia kwenye UFALME WA MUNGU
@dorcasmugure56992 жыл бұрын
I think you need an assistant to help you out you seem to be very busy mtumishi