Amen mtumishi nazidi kubarikiwa na mafundisho yako ya ki MUNGU ubarikiwe sana
@ShukuruDaudi-ue6inАй бұрын
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie 🙏
@VincentNdunguruАй бұрын
Amen barikiwa sana
@petrohermani57219 ай бұрын
Ongera kwa kazi njema ya Mungu by mtume Petro kutoka shirika la huduma za kiroho S.H.K.mission
@paulojohn55044 ай бұрын
Amina mtumishu tuko pamoja
@KizaJacqueline-dw8eh Жыл бұрын
Amen bwana nifudishe kuoba
@KizaJacqueline-dw8eh Жыл бұрын
Amen bwana Ubarikiwe mtume maliyabwana❤❤
@NduguEzekiel Жыл бұрын
Ameen ndugu maliyaBWANA nashukuru Mungu amenihakikishia zaidi kuwa yeye ndio ananifundisha
@asminmakoha68898 ай бұрын
Amen Hallelujah MUNGU akubariki mtume MALI YABWANA
@AzAz-sy6zp6 ай бұрын
Aminaa ubarikiwe pia
@anasialauwo4922 Жыл бұрын
Amina sana mtumishi wa MUNGU barikiwa sana sana sana
@julianawanjala6495 Жыл бұрын
Amina ubarikiwe sana mtumishi Maliyabwana nami nimebarikiwa sana na somo hili
@blessingsshams2287 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@clareotuba4777 Жыл бұрын
AMEN and AMEN mtumishi wa Mungu kwa mafunzo mema be blessed
@Deboraclementgm Жыл бұрын
Amen amen barikiwa Maliyabwana kwa mafundisho
@alicekthoya96 Жыл бұрын
Ameen Ameen hallelujah 🙌 🙏
@mmm4199 Жыл бұрын
Mariam musa Amen Amen Amen kwamafundisho ya kuomba Amen
@JOVINSTORY1984 Жыл бұрын
Amen Baba Asante kwa somo
@pascopaul-o5k Жыл бұрын
Aisee kweli neno la Mungu halizoeleki kila siku linatufunza jambo jipya, kweli leo nimejifunza na kuelewa kuusu maombi naomba BWANA YESU anisaidie.
@victorialauwo8324 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtume nami nitaanza sasa Bwana akutunze
@JOVINSTORY1984 Жыл бұрын
Amen Baba
@rowenalilie993 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtume wa Bwana
@HolinessMichael Жыл бұрын
Amina sana Mtume wa Kristo Yesu
@YESUNIBWANA84 Жыл бұрын
Amen Amen MTUME MALIYABWANA
@doricemrema2177 Жыл бұрын
Amen Amen
@diananaswa4842 Жыл бұрын
Asante mali ya MUNGU ubarkiwe nmejifunza
@beatricemwamini204410 ай бұрын
Amen.
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Hallelujah amen
@bettyadhiambo9557 Жыл бұрын
MUNGU ni mwaminifu😊
@annakimari8649 Жыл бұрын
Amen 🙏
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@teresianjeri2257 Жыл бұрын
Amen
@Nyota1-en4oq Жыл бұрын
naendelea kujifunza mengi mazuri
@quintavitalis926 Жыл бұрын
Amina
@BIBLE-STORIES-KISWAHILI Жыл бұрын
AMEN AMEN
@adakenzo4412 Жыл бұрын
AMEN
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Asante sana maana mie mambi yangu sio marefu sana Ila huwa yakumanisha na maombi ya Mara mara
@queenesther26397 ай бұрын
Nashukuru sana nipo kwenye maombi ya siku kadhaa nimepata kitu kikubwa sana. Ww ndiye Mchungaji wangu. Where are you?
@FarijiMvella-qi2rj Жыл бұрын
Mungu amekuwa Mwema Sana Kwangu Hadi Namwogopa, Mungu akuongeze Mtume Mali ya Bwana, Kuna package yangu hapa Tena kwa wakati
@rebeccamsami4580 Жыл бұрын
🎉
@alimasiabongyo9950 Жыл бұрын
iyo nikweli.
@glorytojesus818 Жыл бұрын
Asante kaka ila towa izo nywele please kaka yangu
@kanyerekighoma1549 Жыл бұрын
Àçha ujinga, nyele za mtume zimekufanyia nini?
@glorytojesus818 Жыл бұрын
@@kanyerekighoma1549 mbona unasema kama mpagani atamahubiri wanatuhubiri hausikiye
@carolinederi5690 Жыл бұрын
Karibu kweny ukweli ministry Mtume hunyoa iwapo Roho Mtakatifu amemtuma lakin sio mwanadam unavyo muona alinyoa January hajui wala hatujui ni lini atapokea agizo la kunyoa tena😊
@asminmakoha68898 ай бұрын
Wachana namtume MALI YABWANA Fanya KAZI yako
@judicagodwin6147 Жыл бұрын
Kwa kweli hapo pa Mungu ktk nafsi tatu.pananichanganya.Mbona Yesu alipobatizwa.Sauti ilitoka mbinguni kusema huyu ni Mwanangu mpendwa ninayependezwa naye msikieni yeye Hata pale mlimani Yesu alipobadilika na kungaa sana sauti hiyohiyo ilijirudia na wale wanafunzi watatu waliisikia? Na hata Yesu Kriso mwenyewe alisema amekuja kuyatimiza mapenzi ya babake.Yaani Yesu Kristo mwenyewe alimtaja babake several times Na alisema tukimwomba baba lolote kwa jina lake atalitenda. Naomba kuelimishwa hapo cause it confusing kusema Hakuna nafsi ya Mungu baba Mwana na Roho Mtakatifu
@mariahyera37376 ай бұрын
Mungu alifanyika mwili akakaa kwetu. Yesu ni Mungu, alipozaliwa na Maria alifanyika mwana ili atukomboe, na anapotusaidia anakuwa Roho Mtakatifu. Lakini ni yeye yule yule, tofauti yake ni ktk utendaji tu.
@dorcasmugure5699 Жыл бұрын
Kindly I would love to know the time that you start preaching please
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Na kujiandaaa pia mda ule tunaotumia kujiandaa kwenda mbele za BWANA Mara Unaona huwezi kuomba Kama vile ukivyotaka
@ElipendoElias-no6ki Жыл бұрын
Samahani mtumish hiv kuomba kwa kunena ninatamka tu kama ninavokuckia hapo unanena namm nitamke Ivo,inawezekana?maana najua kunena ni mpaka uwe na uamsho
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Raha ya maombi ni yakushutukiza pia mazuri maana shetani ata sijui Kama utaomba, maana ukijiandaa sana na shetani anaweka kigoda chake pembeni,