Acha unafiki wewe.. we unajuwaje wewe? Huenda angekuwepo pengine asingeweza kulikamilisha... we mwenyewe huijui kesho yako kama utaamka mzima au lah.. Sasa hayo ya magu eti angekuwepo daraja lingeshakamilika wewe unayajuwaje? au unadhani ujenzi wa daraja ni sawa na ujenzi wa kibanda Cha kuku eti?
@giftchristianmeela140924 күн бұрын
Pongezi kwa walipakodi wote cheers to us 🥂
@mancholotrasco835025 күн бұрын
Magufuli continue to rest in peace uncle 💌
@vellenahfuraha625425 күн бұрын
Mmechelewa sana.
@jamesmwita299525 күн бұрын
Jamani jitahidini sana daraja lianze kutumika kabla halijaanza kuchakaa Tena likakarabatiwa bila kutumika maana ni mda mrefu
@salomewandya725718 күн бұрын
RIP Baba yetu Magufuli
@user-rz2dt2cn3p25 күн бұрын
MUNGU AWAONGOZE MAFUND LIISHE KABSA MAANA TUMECHOKA KIVUKO CHAMKOMBOZI KUNAVUMBI NJIAYAKUINGILIA
@yustomwaisomania258724 күн бұрын
R I P JPM 😭😭
@mwemezieladius526124 күн бұрын
R.i.p jpm
@daudimichael733824 күн бұрын
JPM: Asante mwamba, pumzika kwa amani. Tutaendelea kukukumbuka daima.
@Madizizi25 күн бұрын
Sasa tarehe 30 desember kweli sasa hiyo si 2025😅
@vellenahfuraha625425 күн бұрын
Angekuwepo mwenyewe lingeshapitika.
@officialdana511424 күн бұрын
Magufuri wewe😢😢😢😢😢😢
@Hillary_Daudi_Mrema25 күн бұрын
At least Tanzania Kodi zetu Wananchi zinaonesha utekelezaji katika Miradi ya Maendeleo tofauti na wenzetu wa Kenya ufisadi umekithiri. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee🇹🇿🇹🇿
@bonvivant370424 күн бұрын
Mscheeew 🙄🙄
@richardbegga667924 күн бұрын
Umewahi fika Kenya lkn?
@fififay455817 күн бұрын
Useless,tafuta dongo kundu bridge hapa KZbin ,lamu lapset corridor all complete projects but hatuna kelele kama nyinyi
@user-bz7zt8np8m24 күн бұрын
Kazi iendelee
@DadysBoy.25 күн бұрын
million 500 au billion 500? jaman nisaidien wanda sijaelewa yan ilo faraja ndo milion 500 mbona ndogo sana.
@daudwilson832625 күн бұрын
Ni Billion 500 (500B) Tsh.
@iddikimia495125 күн бұрын
Billion 500 bila Kodi rudia ku play video
@erickwanjarajr570724 күн бұрын
I am not show, keep my words
@carolyneogall896723 күн бұрын
Alafu watu wanasema mama hafanyi kazi jamani hiyo nini aikazi 😊
@ivanherman623622 күн бұрын
Kajenga yeye😂😂
@upendoeliya932916 күн бұрын
Ni mwendslezo wa kazi alizozianza Magufuli 😅
@officialdana511424 күн бұрын
Shid ni kweny izo nukta .61 zinafanyaj
@DansonMtambi-fq2ff24 күн бұрын
Magufuri upo kwenye mioyo ya watanzania daima tutakukumbuka😢
@MadilishaSimon-sb9kk24 күн бұрын
Rais Samia tunashukuru kuendeleza mazuri ya Jpm
@aminata370224 күн бұрын
from FAST to SLOW
@MarryCharles-rc6ei21 күн бұрын
Hapa wa kushukuriwa ni sisi walipa kodi, congore kwetu watanzania woteee tunaolipa kodi
Izi ndo projects ambazo zinakidhi kuwa VAT free sio uhuni wa mwigulu na bashe kufanya VAT free uagizaj wa sukari zaid ya lak 4..akasemee VAT 510 billions sawa na ela ya kujenga ilo daraja...daaahhh
@charlesmwambinga435524 күн бұрын
Hongera Serikali Yetu Tanzania kwa Kutekeleza Miradi Mikubwa kwa Manufaa ya Wananchi..Hogera CCM hongera Raisi Wetu Samia Suluhu Hassan 2025.
@NammanaMobile23 күн бұрын
Mbona sijaelewa apo naona kama kuna ardhi imetoka mwanzo wa had mwisho kwann isingepigwa rami tu apo kwenye ardhi
@Bartle2022 күн бұрын
Hiyo sio ardhi hayo ni magugu maji yametuama hapo hata kama ingekuwepo ardhi ni lazima pangeinuliwa tu.
@musakatwale195915 күн бұрын
JPM KWANGU NI MUNGU MAANA JAPO AMEKUFA LAKINI YUKO NASI KIROHO NA ATATEKA UCHAGUZI UJAO 2025 JAPO KASHALALA
@Hillary_Daudi_Mrema25 күн бұрын
Hapa kwa manufaa ya Taifa tuseme pongezi kwa juhudi za Mheshimiwa Rais Dokta Samia na Wizara ya Ujenzi japo ni wajibu wao kuunganisha Wilaya, Mikoa na Nchi za Jirani katika ukuaji wa Uchumi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee🇹🇿🇹🇿
@user-jh9yv1zp1l25 күн бұрын
Pongez kwa magufuli wew❤❤
@AjiaMohamed-rt5pb25 күн бұрын
Watu wengine ni wapuuzi leo magu mnamsahau mpongezeni mam ila pia usisahau hii miradi ni ya magu
@fadhililihinda649124 күн бұрын
Mama Samia anaingiaje hapa? Tumwogope Mungu, hapa wa kupongezwa ni hayati JPM. Mama apongezwe kwenye utalii lakini daraja hili, lile la Dar, SGR, bwawa la mwl. Nyerere WA kupongezwa ni kijana wa Chato
@dancerboy268624 күн бұрын
wee nae ni nyumbu tu
@MohamedAhmada-ie7ke24 күн бұрын
@@fadhililihinda6491Tumia akili pia maana na yy angeiwacha akaja na miradi yake mengine uongozi ni taasisi alipo acha mwenzako wewe ndio una endeleza