I'm an African child who is so proud of what JPM is doing in Tanzania, May The most High continue protecting you and May He shower you with wisdom and strength. Tuko nyuma yako my president. It's time for Africans to unite, lend support to one another where needed. #hapakazitu#uzalendo kwanza#love you baba.🖤
@immamlowe71515 жыл бұрын
Gee the blessedone very good to seeing what our lovely president doing
@jedidahbintidaudi82414 жыл бұрын
Thank u sir thanks for your beautiful comment
@esperancakombat77974 жыл бұрын
Nothing to say thank u
@abbeancesitta23075 жыл бұрын
They will never see those with blind brain.. Watabaki kulalamika tu kila kukicha pasipo kupima upana wa upeo wao wa kufikri kile mioyo yao inavyokili kwa undani... Big up BEN MWANANTARA... Big Reli TV ...great president ever Hapa kazi tu
@Yaredimakule5 жыл бұрын
That's true Mr. Sitta I finally got my self as a preacher of my friends who don't really understand Mr. President, they always keep saying that life is tough in this regime but I always tell them that life has never been easy
@dickisonmajula56685 жыл бұрын
2020 kura yangu chukuwa.
@marystella30955 жыл бұрын
Mungu Mwenyezi tunakushukuru kwa zawadi uliyotupatia ya Raid wetu, Tunakuomba umlinde, umbariki, ukaitunze pia familia yake. Pia Ee Bwana kwa mifano hii ya uwajibikaji wa Kiongozi wetu. Tunaomba utuandalie mwingine atakayekuwa na moyo huu huu wa kizalendo. Amina. Bariki nchi yetu Bwana.
@shtatsalfa16685 жыл бұрын
Unajua msema kweli ni mpenzi wa Mungu!! Mm na enjoy na najivunia sana kuzaliwa Mtanzania!!! Alhamdulil Llah!! Nakupenda Tanzania na hasa pale ilipopata kiongozi mwenye kujituma mwenye uchungu na jasho letu!!
@wanwan-sd4yu5 жыл бұрын
kutoka kenya... hongera sana ndugu watanzania kwa kazi nzuri. ... hongera kwa kiongozi wenu shupavu mhe.JPM
@Rolemodel_wa_taifa5 жыл бұрын
I love U my Country I love U Tanzania I love our peace... ViVa JPM the best presdent Ever
@romeoromeo41255 жыл бұрын
Asante kwa update ya utoboaji tunnels. Nilikuwa naisubir kwa ham sana. Kazi nzuri, hongera wahusika wote.
@estarjuma79834 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 pamoja na Rais wetu 🙏 🙏 🙏
@ramadhanbinally35015 жыл бұрын
Hongera kwako mzee magufuli,usijali maneno,viungo vya mwili wa binadam avijaringana so huwez kua sawa kwa kila jambo,fanya lile ambalo wew unaona lina mas,lahi na nchi yetu,good good good mzee
@amazementtv26215 жыл бұрын
Mauaji Yakutisha South Africa kzbin.info/www/bejne/j4bQhXyfls59Z6s
@silvanostephen85045 жыл бұрын
Mungu bariki Tanzania 🇹🇿,mungu mmbariki rais wetu mpendwa,mhe Dct John Pombe Magufuli
@godlistenmaridadi7545 жыл бұрын
Kwa kweli kazi nzuri sana inafanywa
@freddymello32275 жыл бұрын
Hongera Serikali ya awamu ya tano kwa kazi nzuri mnayofanya. J.P.M ni kiongozi bora na wa kipekee hapa barani Africa. serikali yake imejaa wachapakazi na wazalendo wa kweli.
@mugerajakatarama21445 жыл бұрын
Hapa kazi tu nilikuwa nasubiria kwa hamu Sana kuona hi andachi kweli nimefarijika sana Kama vile nimefika mwenyewe JOHN MNANTALA 👏👏asante sana kwa kazi nzuri ya kutujuza 👏👏🙏🙏
@imallya65135 жыл бұрын
Viva JPM viva TRC..... Nafurahia kulipa kodi
@mwinyipossa60625 жыл бұрын
safi sana JPM kwa kazi unayoifanya mungu akupe afya njema
@abbyjustine79065 жыл бұрын
Mtangazaji uko gud, sana inafaa uhifadhi historia ya ujenzi huu
@freddymello32275 жыл бұрын
Nato Simchimba wazo zuri sana.hizi video akizihifadhi ni hazina kubwa kwa vizazi vijavyo.
@jeninunu91775 жыл бұрын
Fantastic work!! Thanks Ben Mwantala for sharing progress with us all the way keep it up the good report.
@TRCRELITVTANZANIA5 жыл бұрын
Thankssss
@2danadem5 жыл бұрын
I like the video bit i do not understand Swahili can wu have a translation in English please?
@asanteyesu46325 жыл бұрын
Pmj sana
@abdallahmshana48474 жыл бұрын
Kaz nzuri......pongezi kubwa kwa rais magufuli
@tanzaniakwanza16995 жыл бұрын
Hapo sasa!! Nililisubirije zoezi hili!! YAHU IS GREAT!!
@hamzalaus95995 жыл бұрын
Nimependezwa Sana kwa usimamizi wenu mungu awabaliki
@HASASON5 жыл бұрын
Tupo Patamu, always we shall viva Tanzania and vivaaaaa JPM
@geetheblessedone56755 жыл бұрын
Viva Tanzania Viva JPM!!!
@mussamaduka28285 жыл бұрын
Mungu mbariki JPM na umlinde na kila mitego ya wanadamu wabaya ili asije sumbuliwa kama alivyosumbuliwa Musa na wana wa Israel kuwavusha nchi ya ahadi Kanani. Mungu ibariki Tanzania na utuepushe na watu kama Yuda aliyemuuza Yesu Kristo mwana wa Mungu. Amen.
@damianmakala29135 жыл бұрын
Hongera serikali kwa kazi nzuri kwa kweli
@ababuumwana51025 жыл бұрын
Tanzania Mbeleee JPM Nambari 1 anatosha Sana'a Miaka 40 Kazi Inaonekana Waziii Kabisaaaa
@omaryidd56505 жыл бұрын
JPM mbeleee
@jamesnteleva70735 жыл бұрын
Wow! Viva MY PREZIDAA JPM! Long live JPM!💪🏾👏🏾👏🏾👏🏾 Natamani 2020 niruhusiwe kupiga kura mbili ili nifidie ile kura ambayo sikumpa 2015!🤪😜🤪😜🙆🏾♂️🤦🏾♂️ Viva Ben Mwanantala! Hujawahi kuniboa aisee, tangu enzi ukiwa Star TV & RFA. Bravo sana jamaa yangu...!!!💪🏾👏🏾👏🏾👏🏾 And, Viva my beloved country TANZANIA!🇹🇿💪🏾👏🏾👏🏾
@kelvinjohn68515 жыл бұрын
We ndo kama mimi. Nataka kufidia kura yangu ya 2015. Cjui kwanini ckumpa kura cjui ndo hasira za FISIEMU.
@jamesnteleva70735 жыл бұрын
@@kelvinjohn6851 😂😂😂Bila shaka mdau...ile ya zamani kwa kweli ni halali tu uiite fisiem🤪😜
@Laughters_club5 жыл бұрын
James Nteleva hhh
@sondanzingulasondasam40295 жыл бұрын
Bro umeongea kitu kimeniuma sana aisee unaweza kulia ukifikilia hata mie sikumpa kura Rais wangu
@mariasimon75455 жыл бұрын
Yaani kila nikiona wapinzani na mafisadi wanavyomshambulia Rais wetu na kazi anazofanya kwa kujitoa kwa ajili ya TANZANIA natamani kama wewe vile nifidie kura yangu ya kwanza😢
@mussaamosstevenjr45715 жыл бұрын
Kanyaga twende bwana Ben Mwanantala. Great reporter
@zuuumaiyah69105 жыл бұрын
Brio uko
@mussamayele31344 жыл бұрын
anacho kitenda raisi mnaona kwa macho alafu mnamwacha tundulisu akiwa anamtukana raisi na mnafuraia ni watu gani nyinyi msio na maono mungu anawaona mtapewa uyo mnae mtaka alafu mjute kenge nyinyi
@maulidhussein6675 жыл бұрын
Vitendo vinazungumza kuliko maneno nashangaa wanao lalamika jee hawaoni haya? Au nikukosa tu uzalendo molla ampe afya nzuri laisi wetu pamoja na watendaji wake amin
@papafikiri5 жыл бұрын
Maulid Hussein waliopenda hizo pesa ziingie mifukoni mwao
@edwardsichilengwe23305 жыл бұрын
Raymond Kaswaga hahahaha kweli
@mariasimon75455 жыл бұрын
Hapo ndo ujue kuna watu na viatu duniani, kuna watu wasiopenda maendeleo
@edwardsichilengwe23305 жыл бұрын
Maria Simon kweli kabisa
@immamlowe71515 жыл бұрын
Maulid Hussein wanao ongea wana wivu kwa magufuli anavofanikiwa
@amaninaupendo.35395 жыл бұрын
Amen amen. Mungu atusaidie kwa kila jambo. Mungu ambariki sana Rais wetu. Amen.
@geofreynalisis85225 жыл бұрын
TANZANIA for life am so proud na nchi yangu hope you fellow do the same😌😌😌
@hamzasimbakila70455 жыл бұрын
Hatuna budi kum_support JPM kwa kazi nzur hizi zinazoendelewa ndan ya nchi yetu
@ambakisyekanyige38404 жыл бұрын
Kwa kweli baba yetu Dr. John pombe magufuli hakika umeipndezesha Tanzania
@joemunyasya79584 жыл бұрын
The reporter and the engineer mko sawa we are getting u loud and clear
@eddechriss26645 жыл бұрын
WATANZANIA Tunaweza, TANZANIA sio maskini maneno haya ni ya MY HERO JPM, MUNGU atuongeze kwenye vita hii ya kulipigania TAIFA letu kwa manufaa ya vizazi vijavyo
@wilsonmoses27615 жыл бұрын
Itaeleweka tu safi sana JPM
@mimaakenirram14055 жыл бұрын
nakupenda rais wetu magufuri mungu akuweke lnshallha
@mussabusuha59755 жыл бұрын
Congratulations Magu, umepewa maono, God bless u
@mahirwilliam51095 жыл бұрын
Tanzania kama ulaya viva Jpm viva Tanzania
@jacksonjoakim41155 жыл бұрын
mungu awabaliki sana kazi kubwa JP anafanya sa
@manjaleikumbo32094 жыл бұрын
Good work thanks jpm 5yrs again to u.
@besumitv86744 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kuitizama video hii
@mangegervas96515 жыл бұрын
Gud saana... Tulikuwa tunaona nchi za wazungu
@sadikidaudi12235 жыл бұрын
Hongera Mhe Rais maana kazi inayofanyika Mungu atakulipa maana naiona Tanzania mpyaaaaa.
@zobakazizi76375 жыл бұрын
Watanzania wanaounga mkono kazi hizi kubwa tuko milioni nyingi na za kutosha. Tukisema tuko tayari kuchangia 1000....kwa hiari...tutapata milioni za kutosha.
@shaibumandova61085 жыл бұрын
Aisee, nimependa hii idea.
@mathiaszakaria70525 жыл бұрын
Tunachangia za nin akat tunalipa Kodi na nchi ni tajiri
@zobakazizi76375 жыл бұрын
@@mathiaszakaria7052 Si lazima. Ni kwa wale wenye mapenzi mema. Hata Ulaya watu hujitolea mbali na kulipa kodi.
@josphatoyondi33765 жыл бұрын
daah pongezi rais maghufuli kwa kuonyesha bidii ,sisi wakenya twakupenda sana ,mungu akulinde ili uwendelee kutenda mema kwa watanzania.
@ahadimgedzi19105 жыл бұрын
JPM THE GREAT!
@paopaowell5 жыл бұрын
SGR is the best fast innovation from poor into rich country of africa keep it up good work
@malupex62995 жыл бұрын
Well done Jpm ama kweli ww ni Jemedari. Wtz tunakuunga mkono 100%
@dottojohn47055 жыл бұрын
Nakuona Eng wangu Amir piga kazi
@amirihamis76005 жыл бұрын
Thank you Dotto
@goldenteotv91185 жыл бұрын
Asantee kwa reports
@veronicadickson18595 жыл бұрын
Kumbe Tanzania kuwa Kama nchi zilizoendelea inawezekana, Mungu mbariki rais wetu, mtie moyo kwa magumu ktk utendaji wa kazi zake.
@d.mkenda18855 жыл бұрын
Miaka kumi haimtoshi. Naomba sana watanzania tugome muda ukifika asiondoke. Tulitaka rais ma MUNGU ametuletea. Inafurahisha sana
@kelvinkajuna66895 жыл бұрын
Sio tugome tu tuandamane na mabango
@husseinloyy19125 жыл бұрын
kweli hadi amalizie miradi yake mungu ampe afya njema na hekima
@lukaspatrick41175 жыл бұрын
Sahh
@ahadimgedzi19105 жыл бұрын
Mtindo wa kuiga watu ndo kunatuliza tunapaswa kuwa na katiba hai. Maana utasikia katiba hairuhusu kama vile tupo kwaajili ya katiba wakati katiba ipo kwaajili yetu
Jpm piga kazi tunaona maendeleo KWA vitendo wanaokubeza hawana jipya
@t1910j5 жыл бұрын
Impressive 👌🏾
@lamecktheonest2255 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzani
@amourmtungo6235 жыл бұрын
Inaonekana tunaelekea kwenye mwelekeo mzuri kabisa wa maendeleo. Hongera wafanya kazi hongera wananchi tuzidi kulipa kodi kwa dhati ili tuone haya maendeleo kwa haraka.
@psfilmstz60745 жыл бұрын
Jpm woyeeeeeeee hapa kaz tu Tanzania mungu katubaliki katupa layisi mchapakazi mungu akutangulie kwa chochote unachokifanya JPM wetu
@rahimmjawir79095 жыл бұрын
Mashallah, watanzania sasa tunafanya kazi hongera raisi wetu.
@leopoldnyikera4185 жыл бұрын
watu kama ww ni adimu kupatikana, hata kma wapo ktk jamii hutengwa na mizengwe hua mingi sana juu yao, ila wanapopata nafasi hufanya kazi kubwa sana, huwa wana macho ya TAI, huona mbali sana ambako wengine hata hawafikilii, hakika Nchi itakukumbuka, chapa kazi Rais wangu, sikukosea kukupa kura yangu
@derickkalinga53585 жыл бұрын
NITAANZAJE KUTOLIPA KODI ..wakati naona matumizi yake .......VIVA TANZANIA
@zaheerqassimalarmiye61725 жыл бұрын
Hakyamungu namuomba mwenyezi Mungu anipe afya, uhai na uzima ili siku moja nipande hiyo SGR
@richardmchonde70515 жыл бұрын
Hongera serikali yetu, lakini tukumbuke eneo kubwa la Kilosa uhusika na ajali nyingi za reli hasa vipindi vya mvuha.
@husseinhkitambi17015 жыл бұрын
Safi sana ben
@richardkalubu46855 жыл бұрын
Viva JPM,2020 Chagua Magufuli kazi iendelee ☑️
@elinamilyatuu74935 жыл бұрын
Good move..God bless you all
@stanslausangelus87145 жыл бұрын
Hatari sana hongera Watanzania
@idrissatuppa39975 жыл бұрын
Tanzania mpya.pongezi kwa usimamizi mzuri wa mh jpm.👏🏿👏🏿
@malijanihamadi83105 жыл бұрын
Raha sana Tanzania
@charlesenock85865 жыл бұрын
Magu nomaa dah
@longinofelician58935 жыл бұрын
Inapendeza sana tanzania kama ulaya
@emanuelchaplingi63665 жыл бұрын
Duuu magufuli atabakikuw juu juu juukabis uyoooo chiiii atabakikuwkileleni daima
@mzeewahbiomar.59125 жыл бұрын
safi sana 🇹🇿Tanzania
@Wastara0015 жыл бұрын
Hiki kutakuwa kivutio kikubwa cha utalii. Mie mkenya Ila nitakuja TZ nipitie humo ndani nikiwa ndani yaSGR train. kwa nini watu bado wanamlaumu JPM??
@ommyshopangi95435 жыл бұрын
Wanao mlaumu ndiye wale wachawi kwa maana wachawi hawaonagi jema!!!
@Wastara0015 жыл бұрын
@@ommyshopangi9543 Santaaaa brother
@husseinloyy19125 жыл бұрын
ndugu yetu karibu sana tz
@Wastara0015 жыл бұрын
@@husseinloyy1912 kaka Hussein, Nashukuru sana. Huwa napenda kuzuru TZ wakati wa likizo. Nimetembea Moshi, Arusha, Babati, Singida, Dodoma, Morogoro, Darsalam, Zanzibar, Tanga. Niliipenda miji yenu.
@daudimaniseli7595 жыл бұрын
Saidi maneno tazayar wewe nimtanzania hayo maeneo uliotaja ulipo fika inaonyesha nijins gani unatupenda ndugu zako wa tz karbu sana tz.
@stephanomchenya63445 жыл бұрын
Kazi zuri mzee wetu
@hdmtanzania26175 жыл бұрын
No one like Mh Magufuli👍👍👍👍👍
@nyanchokachacha69755 жыл бұрын
Nimetoa machozi,niwaombeni watanzania kila binadamu anaweza kukosea kwa namna moja au nyingine neno moja tuunge jitihada za raisi wetu.
@ruttajames12635 жыл бұрын
Kabsa
@Laughters_club5 жыл бұрын
Kweli ase
@nassorkupeh84825 жыл бұрын
Mungu mkubwa .....magufuli kathubutu
@hamzasimbakila70455 жыл бұрын
@@ruttajames1263 hakika
@rockcitymusicmusicians71215 жыл бұрын
Nyanchoka Chacha Amiin, nikwel
@Tariqxxtenations5 жыл бұрын
Nimefurah sana💪💪💪
@princekassim40895 жыл бұрын
Congrats Mr #Magufuli
@husseinomari59725 жыл бұрын
Tanzania na Maendeleo. Viva Magufuli viva Tanzania
@sayilameck69305 жыл бұрын
Mungu awabariki jamani
@augustinoevarist67545 жыл бұрын
Ebhanaaaa eeeeeeeeeh tutaelewana tu.
@mabrukimawazo81405 жыл бұрын
nasemakweli kabisaa ile siku ya kupiga kura niliamka saa kumi ya usiku kwanza nilikuwa na mwonea uruma sana magu maana paala ninapo fanyia kazi wengi wao walikuwa hawampendi magu liliona kura yangu aitoshi ila namshukuru mungu magu safi
@mossymtwana64225 жыл бұрын
Ubaya huwa unaoneka sana kuliko wema wengi waliompenda walikua wanakaa kimya mpaka sasa wache wanaompenda wanasema subiri kura utashangaa ushindi wa 90 2020 Mwenyeezimungu azidi kumtunza
@mengojulio96235 жыл бұрын
Kazi kazi hakuna siasa.
@Yaredimakule5 жыл бұрын
Wana macho Lakin hawaoni Wana masikio lkn Hawasikii MAANDIKO YANATIMIA
@shomarymussa69705 жыл бұрын
Tanzania oyeee magufuli safi
@faustinasamwel50305 жыл бұрын
Nice work
@kinyemkira56235 жыл бұрын
Kazi nzuri, Tz inaenda pazuri!!
@williamuphilipo74475 жыл бұрын
Hii ndio Tz tuliyokuwa tunaitaka, na ninaona fahari kulipa kodi, hongera sana Rais wetu JPM.
@emmanuelrugambwa5884 жыл бұрын
Hongera Magu!
@moshisamaitu66233 жыл бұрын
Ukweli JPM, alikuwa ni kichwa adimu sana, The great thinker
@alizahranmohd40955 жыл бұрын
Magufuli hongera sana aisee.
@mohdsalum38325 жыл бұрын
Safi
@renatusmisigaro63325 жыл бұрын
Arafu kuna wa Tz wenzetu wanapambana kutaka Mr president afeli!!
@brysonnicholaus53695 жыл бұрын
time will tell bro...mbona wengi tunamuelewa..mimi sina shaka akiondoka ndio utaona baadhi ya wa tz walivyo wanafik...
@balozidaud50925 жыл бұрын
Akili zao hazitoshi
@blandinamnyinga83185 жыл бұрын
Nabii wa kweli hakubariki kwao endelea kutoa miongozo watendaji wapige kazi cku ujenzi ikiisha HAO HAO wanaokuponda ndio watakuwa wa kwanza kupita na hata wakipita na kuona ubora na uzuri wa kazi hawatakaa wasifie uzuri rais hana na watu ambao wanakaa kutoa kasoro kwenye utendaji wake wakati wao hata kwenye kata wanazoziongoza hawana walichofanya.Hapa ni kazi kama hutaki hamia North korea ukilea ujinga shaba ya kichwa.
@avax57175 жыл бұрын
Yaani, inabidi wapimwe akili
@gurumijapragton93225 жыл бұрын
Tunajivunia
@Ngaizavedastus2 ай бұрын
Yaan kwa utaalam tulioona tujenge sgr had mutukula.inawezekana
@tanzaniakwanza16995 жыл бұрын
Ktk biblia yule kipofu alisema, "NINAONA! Na mm nasema NIMEONAAAA!
@jamesnteleva70735 жыл бұрын
😂😂😂nimeipenda sana hii...na mimi pia nimeonaaaaaaa...!!! Ubarikiwe mtumishi.
@mutalemwagabriel22775 жыл бұрын
@yeshua 😂😂😂😂😂😂😂umenichekesha walah😀😀😀
@eliudijastini98405 жыл бұрын
Mipia nimeona
@edwardsichilengwe23305 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@renatusboniface31205 жыл бұрын
Nitainua hats mawe
@othumanmaulid74065 жыл бұрын
Kitu kilicho nifurahisha kila kitengo wanajielezea vizuri kudhihilisha usimamizi wa kazi uko vizuri ipasavyo
@immamlowe71515 жыл бұрын
Hana kiongozi ambae angeweza japo kuwaza tu mambo mengi aliyoyafa nya Rais Huyu
@edinamutakyawa68725 жыл бұрын
hongera sana
@aginiweyessayakyando98555 жыл бұрын
Well done
@maalimrajabu16345 жыл бұрын
Hii ndio tanzania mpya tunayo itaka
@mgendimussa72245 жыл бұрын
Hii ndo Tanzania tunayoitaka ss Mungu ibariki Tanzania