Рет қаралды 142
Katika kuhakikisha tunaendelea kuunga mkono shughuli mbalimbali za Serikali, Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia kinywaji cha Strong Dry Gin tulishiriki katika zoezi la Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoani Manyara tukijihusisha katika nyanja tofauti ikiwemo burudani na uhamasishaji.
#MWENGE #UHURU #samia #MATI #SUPREBRANDS #STRONGDRYGIN #HIINDIYOYETU #MANYARA #tanzania