DAKIKA 30 NZITO ZA MKURUGENZI WA MATI SUPER BRANDS LTD NA FM MANYARA.

  Рет қаралды 61,653

Mati Products

Mati Products

Жыл бұрын

Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Mati Super Brands Ltd David Mulokozi, amefanya mahojiano maalum na kituo cha radio cha FM Manyara kilichopo mjini Babati.
Katika mahojiano hayo mambo mbalimbali yamezungumzwa na kujadiliwa kwa kina, hasa yale ya kuzifungua fursa mbalimbali, kuwatia moyo na kuwajenga vijana kiuchumi.
#Mati #FmManyara

Пікірлер: 45
@NakembetwaKitundu-tn7xx
@NakembetwaKitundu-tn7xx 2 күн бұрын
Mb hazijaenda bure aaiissee,Big up sana Mr Mulokozi
@jacksonkabaata6011
@jacksonkabaata6011 5 ай бұрын
Mungu akufanye kuwa tajiri zaid ya hapo MULOKOZI much respect brother 🙏
@user-iu8oj5gb6y
@user-iu8oj5gb6y 5 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki sana mkurugezi wetu
@irineadisa7289
@irineadisa7289 5 ай бұрын
Have Learned alot from him at the age of 45 l'll do better from now,thank you soo much Mulokozi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 5 ай бұрын
Namuelewa sana uyu mwamba
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 ай бұрын
Nafurahi sana nikiona mtu anatumia mkono wa shoto.. Mulokozi ni Mashoto mwenzangu.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 ай бұрын
Mulokozi ni genius
@user-eb8om4ur6h
@user-eb8om4ur6h 5 ай бұрын
Tunashukuru kwa Elimu nzuri ya ujasiriamali
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 5 ай бұрын
Hongera sana Ubarikiwe sana
@Shabbaentertainmet9382
@Shabbaentertainmet9382 Жыл бұрын
Pigania uko vizuri MTU Wangu
@stellapaul4844
@stellapaul4844 5 ай бұрын
Hongera kaka kwa kutuelimisha kibiashara
@charlesmarwa6513
@charlesmarwa6513 5 ай бұрын
Mbarikiwe Sana niokota pointi kadhaa
@user-yz2it2qm3p
@user-yz2it2qm3p 5 ай бұрын
Mlokozi mm mama kutoka Mtwara,nafuatia sana mazungumzo yako nakuelewa sana mm Mungu yuko mikononii mwako,akupe maisha marefu,
@user-yz2it2qm3p
@user-yz2it2qm3p 5 ай бұрын
Kinywaji mpaka huku mtwara kilo?
@jamesmassamakeri2418
@jamesmassamakeri2418 5 ай бұрын
Asante boss
@JosephJohanson
@JosephJohanson 5 ай бұрын
Hongera sana brother
@Shabbaentertainmet9382
@Shabbaentertainmet9382 Жыл бұрын
Kweli Mati ni pana
@PaulHondi-hl8sz
@PaulHondi-hl8sz 5 ай бұрын
Nimependa hiyo 🎉
@mzidalifazaid4389
@mzidalifazaid4389 Жыл бұрын
Mambo Ni moto
@stellapaul4844
@stellapaul4844 5 ай бұрын
Hakika ni kweli
@lissavalence169
@lissavalence169 Жыл бұрын
Naam safi
@Shabbaentertainmet9382
@Shabbaentertainmet9382 Жыл бұрын
Nikweli mkurugenzi
@victorsamaytu3487
@victorsamaytu3487 5 ай бұрын
David uko vzr, wish ufungue hospitali uwatibu watu afya zao kama ulivyowatibu kwenye vinywaji, Mungu akulinde ktk biashara yako
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Daah ila ww jamaa umejaa majungu balaa 😂😂😂😂
@user-ki8st9qt9w
@user-ki8st9qt9w 4 ай бұрын
Nimejifunza vingi kutoka kwa huyo braza
@doristusepile6792
@doristusepile6792 5 ай бұрын
@erickshayo1363
@erickshayo1363 Жыл бұрын
💪💪💪
@rasvegas8991
@rasvegas8991 5 ай бұрын
Dada ana utulivuuu wakuulizwaa maswalii atafika mbaliii
@rademm8924
@rademm8924 5 ай бұрын
Mbali wapi?
@niriacatering172
@niriacatering172 5 ай бұрын
Asante
@jumachambega
@jumachambega 2 ай бұрын
nakubari san
@evancekimath7405
@evancekimath7405 5 ай бұрын
Zi is the best
@user-un3np6ie9k
@user-un3np6ie9k 5 ай бұрын
Huyu mtangazaji ni kichwa sana, ametulia na anauliza maswali yenye tija sana.
@rasvegas8991
@rasvegas8991 5 ай бұрын
Kabisaaa mtangzajiii yupo vzurii mawswaliii
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Hapo ndo ataonekana zaidi, kesho au keshokutwa atakuwa sehemu nzuri zaidi.
@edwardlubega5428
@edwardlubega5428 5 ай бұрын
Madini ya kutosha
@MartinRupia
@MartinRupia 5 ай бұрын
Mimi Nina mipango lkn cna mtaji nimejiajiri nahitaji msaada wako
@othmanali7408
@othmanali7408 5 ай бұрын
Watanzania wengi tunaogopa kufanya kitu kwa kuogopa kuanguka na ndio maana watu wengi wakitaka kufanya biashara wanaangalia mtu alofanikiwa kufanya biashara fulani kisha na yeye ndio ataanza kufanya hiyo . Mtu anaogopa kutumia kichwa chake kwa kuwanza kuanzisha kitu fulani anajiuliza huenda nikaanguka yani icho kitu kinatulemaza sana .
@aminakassim831
@aminakassim831 5 ай бұрын
Tatizo kila mtu anakimbilia kwenye kufungua maduka ya nguo sijui viatu nawakati kuna fursa za ufugaji,kilimo mambo kibao
@Udindigwa
@Udindigwa 5 ай бұрын
Point tupu
@bintsuletv4095
@bintsuletv4095 Жыл бұрын
Mati ni Pana
@shenazissa7490
@shenazissa7490 5 ай бұрын
🙏🙏👍👍
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 5 ай бұрын
Nipenda sana hii kushirikiana watu mawazo ili wote mfaidike nitwatafuta kinywaji kunywa nvhi ni kizuri kiweza kupatikana hapo tanzania mnaweza kuwa no one nikija nitakuja hicho kinywaji aunaeeza kutuma mjaribu ii muweza kufikiria nina imani msaada watu kufanya pamoja ndio maana mafanikio makubwa wengine wachoyo kutumia watu good det mind Mungu hawabariki sana sana tiumuhunge mkono watanzania wote
@JOHARISIZYA-sh6fp
@JOHARISIZYA-sh6fp 5 ай бұрын
Mkurugenzi anatumia jiana gani kwenye mitandao ya kijamii
@aminakassim831
@aminakassim831 5 ай бұрын
David mulokozi
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН
Kujiajiri sio kutoka
56:25
MSASA PODCAST
Рет қаралды 2,9 М.
BIASHARA YA HEWA UKAA NA ZAO LA PARACHICHI KUBADILI KAKONKO
6:33
WAKANDA POWER HOUSE
Рет қаралды 2 М.
SSB FAHARI YETU   BAKHRESA GROUP   EPISODE 01
26:13
Bakhresa Group
Рет қаралды 16 М.
MIAKA MITANO YA MATI SUPER BRANDS LTD KIBINGWA ZAIDI. "DECEMBER TO REMEMBER"
1:54:48
MATI SUPER BRANDS LTD CHANNEL
Рет қаралды 1,4 М.
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН