Kiongozi hana upendo na watu sana sibaguzi ndoma hana kila siku mungu ana mubariki sana devid mulokozi mungu hamulinde ❤❤❤❤❤
@luganomwaigomole7441Ай бұрын
AKILI KUBWA HII...MAGNETIC TYCOON IN OUR NATION. ❤
@arnoldnminja3476Ай бұрын
Umeshauliza "...boss wangu ameshawah...." ukumbuke kuna tofauti kati ya Boss na Leader (yaani Msimamizi na Kiongozi) Mwanzoni ulianza vyema kusema "...mfano wa uongozi....ni kuona umuhimu....uwajibikaji...ubunifu...nk. Tanzania yetu hii tuna 97% Wasimamizi.sio Viongozi. Bahati mbaya kabisa hata ukiwaambia ww ni msimamizi sio kiongozi ndio kabisa unakula adhabu. Inasikitisha sana.. Thank LORD I'm not on that side. Everyday learning...
@michaelsamwel4169Ай бұрын
Hongera sana kwa uthubutu na uwajibikaji wenu Mati super brand
@jofreysinchenje1995Ай бұрын
Great movie
@EnogiveGeneralSupplyАй бұрын
Big Up Malt Big up Mulokozi
@Papaa_Hillary_MremaАй бұрын
Big up sana kwa uwekezaji kuelekea Tanzania ya Uchumi wa Viwanda
@EdwardMushi-w2lАй бұрын
Hongera sana bosi mlokozi Mimi ni mdau sana wa bidhaa Yako ingawa Bei imepanda mkuu
@sawackmlingaАй бұрын
Tumeshusha
@EdwardMushi-w2lАй бұрын
@@sawackmlinga Bado singida wanatupiga sana halafu Kuna changamoto fulani samahani tarehe za expire hazionekani kabisa mkuu au Kuna mtu anafanya ujinga fake
@mandelasamson8401Ай бұрын
Tatizo ni kwamba pombe unazozalisha inawauwa watu wengi sana na ni hasara kubwa kuliko faida,,,,hata ungewatembeza dunia nzima huna chochote cha kuigwa,,zalisha vitu visivyozuru watu ndo ujiite una akili kubwa
@ramadhanmohamedi2496Ай бұрын
Mati ni kama maji
@karundetv9779Ай бұрын
Mati ni pana
@erickenock3198Ай бұрын
Kuna mtu nyuma yake uyo!
@mcback4384Ай бұрын
Ndio mawazo yetu ngozi nyeusi, angekua muarabu au muhindi usingesema hivyo
@EnogiveGeneralSupplyАй бұрын
Hata Kama,tuonyeshe wa mbele yako!😊
@sawackmlingaАй бұрын
Akili ndogo tatizo black people hatupendi kuona mmoja wetu anasonga mbele akisonga mbele maneno mengi kwani lazima kila jambo kue na mtu .....Akili kubwa na Moyo wa uthubutu wenye hofu ya Mungu na waupendo ndio unaomuongoza achene wivu