Рет қаралды 2,019
Kwa muda mrefu sasa, mashamba mengi katika eneo la Nyanza yametumiwa kukuza mpunga, ila sasa wakulima wadogo eneo hili wameanza kuvutiwa na upanzi wa vitunguu. Kwa wakulima hawa, mapato ya vitunguu ni bora ikilinganishwa na yale ya mpunga.