Rayvany sio mtu wa kiki,, yeye KAZI ndo zinaongea na haringi yani kama wizkid
@fuadaladawi1255 Жыл бұрын
Revani is good more than hatmonizen and diamond
@charlesjanualyeniatmgeni4567 Жыл бұрын
Chuiii ndo king wa tz
@braynbreezyoficial666 Жыл бұрын
Chui na hapendi gumzo sanaa
@rachidemomademomaderachide5897 Жыл бұрын
Una jipya umepewa ela
@mrsinia3064 Жыл бұрын
🤣🤣
@GabrielSalamba-zy2mi11 ай бұрын
Yaaaaap kuwa mfano ionyeshe jamii namna ambavyo jamaa anafanya makubwa then wote tuseme Rayvanny on fire
@mugishagerard8241 Жыл бұрын
ILA ANAJITAIDI HUYO JAma, sio kama ule nsenzi diamond wa makiki,
@pablookocha2640 Жыл бұрын
Wewe mwenyew nikuhulize swali kwa hit gani ametoa ili awe mwana mziki bora east Africa naomba unijibu. Hizo ni tunzo za mchongo na ndo kwamaana watu awawezi kumpongeza kwasababu wanajua astaili. Acha maneno nawew tuambie kaimba nyimbo gani usitwambie Habari ya kuwa nomineted
@daviddeus41 Жыл бұрын
I miss you, Tequero, pelepele na macollabo mengi aliyoshilikishwa na wasanii toka nchi mbalimbali za Africa kama Nigeria, Ethiopia,Angola,Zambia,Zimbabwe so anadiserve
@daviddeus41 Жыл бұрын
I miss you, Tequero, pelepele na macollabo mengi aliyoshilikishwa na wasanii toka nchi mbalimbali za Africa kama Nigeria, Ethiopia,Angola,Zambia,Zimbabwe so anadiserve