Hii ni Funzo Watanzania, Mfano Mzuri sana. Natamani niwaone hivi Diamond na Alikiba. Gonga like kama unakubaliana na Mimi.
@omariaman78186 ай бұрын
Nilikuwa sikukubali rayvanny ila from today nitakuwa upande wako pia real love
@user-rc6lf7bs5h6 ай бұрын
Nimefulahi sana kutoa tofauti zao na kufanya mashabiki tusiwe na makundi natuwapende wote kwa pamoja nategemea kolabo nyingine kati yanu❤❤❤
@JuliethMiamoja-jk2xt6 ай бұрын
Big up to harmonize big up to rayvanny ❤️🌹🌹
@NurudinMtondo-sp2wq6 ай бұрын
vizuli loj
@G.r.e.a.t.I.Q6 ай бұрын
Safi sana Ray Vanny.. Kubwa! Kubwa! Kubwa! Harmonize!
@noeliddi14656 ай бұрын
Bnafsi nimefurahi sana
@greysonnicko9736 ай бұрын
Harmonize you always wise bro ukinywa unaongea ukwel ambao umeuficha longtime in your heart na hata usipokunywa always unabusara i'm proud of you my brother
@ginelisangakrambi95466 ай бұрын
Harmoniz umeongea point mpaka nkasisimka 🙌😊😂😂😂😂wewe ni noma sana gang
@dianasamson93116 ай бұрын
Nimefurahi kuwaona Pamoja... Mungu awatangulie katika Kuukuza zaidi mziki wenu. Inapendeza sana kuwaona pamoja.
@piusmayanga6 ай бұрын
😂😂😂😂 huonekan sasa
@pennykiruka93146 ай бұрын
Rayvanny I love u so much for wat u standing for ur hav good heart let the truth be told,ur enlightened bro thanx for showing love to harmonize kondegang for life❤❤❤
@youngchella43226 ай бұрын
Rayvanny kaongea fact kubwa sana👏🏿👏🏿👏🏿
@abraham922686 ай бұрын
Yaani ray vanny is so matured and wise .. Nimependa aliposema “madogo Kama Rema wanajaza arena globally sisi tunagombana,,it’s time to fight for global music “ I really like this guy .. Wishing him the very best
@Aminmwansile-we8vn6 ай бұрын
Of course my friend this guy is so skillful
@user-dv4to5hs9b3 ай бұрын
Harmonize mon idole. J'aime le petit Rayvanny comme il est à côté de harmonize ❤❤❤
@fatmaallyabdul17326 ай бұрын
Big up Mby boy 💐🍾🥂 SALAMU ZIMFIKIE rais wa machawa baba levo aache dharau kama amesikia maneno ya Vany HAKUNA TUZO NDOGO
@gulledahmed29545 ай бұрын
Kabisa
@michaelmbwanna11976 ай бұрын
Afuu kuna yule mmoja ana tengeneza makundi mabaya machawa rundo diamond 💎 acha usenge mziki nikushikamana ili uende mbali sana🎉🎉🎉❤❤❤ harmo 💕
@KhamisHamad-nz2jc6 ай бұрын
Harmonize Harmonize,huyu jamaa ana pambana kwaajili ya nchi hii nizamu ya sisi kum sapot jamaa yetu💪🏿
@LouigesKe6 ай бұрын
Im from Kenya en i sapot❤
@gulledahmed29545 ай бұрын
Hawaniwezi hawaniwezi...Tembo>"Simba"
@elibarikilairumbe54626 ай бұрын
Naisubiri kwa hamu Sana hiyo colabo❤❤🎉🎉
@stephenmelita34936 ай бұрын
More appreciate to you rayvanny
@milcahkikuyu-lf1vg6 ай бұрын
Congratulations guys much love from Kenya i just love this ,my big wish ni kuwaona nyote pamoja ,Babalao,chui , Kode boy
@icruzzofficial6 ай бұрын
i honestly love how Tz is showing support for its own from the artistes to the fans n media, Much love from Kenya
@ongapanyi91426 ай бұрын
nimewapenda sana maisha yapo na kila jambo linapita ni jambo la kheri kila mtu akijitambua
@user-qq2jl8lk4u6 ай бұрын
Congratulations 🎉🎉👏konde boy,harmoo songa mbele Kwa imani 🎉🎉🎉❤
@elibarikilairumbe54626 ай бұрын
Hata Mimi nimeipenda hii❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@peatykay6 ай бұрын
The things we love to see united make force push tz music to the next level
@sharifaomenda15356 ай бұрын
Nimefurahi sana sana sana ❤❤❤
@sulejmandj75826 ай бұрын
Harmonize blood mungu azidi kkuongoza katika maisha yako 🙌💪💪
@SerenakaremboDzombo5 ай бұрын
Niliomba sana hii ifike asante mungu this is incredible 🎉❤ big up am waiting for hot collaboration ✨💫
@pesambilimusic36496 ай бұрын
Napenda nikiona wasanii wa Tz. wanapenda one love my brother konde boy na Chui
@metrineokola77306 ай бұрын
Congratulations harmonise and ray
@BAHATIKIBA-ul6wx6 ай бұрын
Nimefurah San Kwa Kuon Bad Wako Pamoja Inalwta Taswira Nzur Kwenye Game Ya Bongo Fleva 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-cj6fi4gy5f6 ай бұрын
Harmonize kipenzi chawatu bro sema diamond 💎 apunguze machawa mziki wa tanzania 🇹🇿 usonge mbere zaidi kama Nigeria 🇳🇬
@danieljs42856 ай бұрын
harmonize machawa hana kwan mwijaku Mr pimbi etc
@danieljs42856 ай бұрын
harmonize machawa hana kwan mwijaku Mr pimbi etc
@salimalaquimane30776 ай бұрын
Ume kosa cha kukoment au
@salimalaquimane30776 ай бұрын
Ume kosa cha kukoment au
@brightonvictorkimsehyeon78926 ай бұрын
Umekosa chaku comment mbwa ww 😂😂😂
@user-tb7ul8ry8l5 ай бұрын
ni songoi kutoka selela Asante sana rey nimefurahi sana nyiyiyi kua pamoja kwa sasa ❤❤❤ Tanzania
@user-xi1pi4zr3b6 ай бұрын
Love this ❤👏🏿
@user-yd8sp4es9n6 ай бұрын
Raynny kipezi shawatu❤❤
@Henryson-beats6 ай бұрын
Machawa ndio wamemfelisha diamond kimataifa ndio maana anapambana na kina marioo huku😂😂😂😂 We need this love.❤❤❤
@georgejohny64226 ай бұрын
Tuzo ya mtv nani kachkua kaka mbn hamnaga point niny tm konde
@georgejohny64226 ай бұрын
Tena n tuzo kubwa kuliko hzo tuzo za kitto....
@georgejohny64226 ай бұрын
Na hizo tuzo simba kachkua 10 kaka kwa taalifa yako kama hujui chkua hyo
@calvinloveambroce8426 ай бұрын
Kuwa na heshima kidogo usimfananishe diamond na hao wakina marioo
@georgejohny64226 ай бұрын
@@calvinloveambroce842 huyu mwana n mbwa kabxa hana heshima ko kwa akr yake anadhan et hamo nd kamzd mond bin laden duh!!
@tjstylox24826 ай бұрын
I'm soo proud of this 🙌❤️🔥❤️🔥
@abdulstiles31476 ай бұрын
Safi sana... This is 🔥🔥🔥 Tusogeze mziki wetu kwa pamoja
@pedistone045ke-sv9fp2 ай бұрын
yeah
@JosephatWesonga-ef7gq6 ай бұрын
Dah nimeipenda❤❤from 254
@kasiarobert77286 ай бұрын
Hongela tembo na chui vzr sana na mm namuomba mungu mziki wang ukuwe naongea kama mm Kasia mungu awabariki sana
@user-gr4hz2vc1v5 ай бұрын
vinzuri sana bro zangu mme nifurahisha kwa mlicho kifanya❤❤❤
@muhiremartin67606 ай бұрын
These guys are grown now👏👏👏👏👏👏
@BoniphaceOketho6 ай бұрын
This is brotherhood congratulations vany boy😊
@aminata37026 ай бұрын
Naiona nuru ,Mziki wa Bongo ukienda kuwa namba 1 duniani🇹🇿👍💪
@BENGALIBAKARI-nb6cb6 ай бұрын
Safi sana rayvany big up ugomv Haina faida harmonize and rayvany is the best music
@zeyasultan57846 ай бұрын
I loved this one maaasha aaalah
@zakkaking27226 ай бұрын
Daaah! Inapendeza sana aisee. God bless you Brothers 😊❤😇
@WatulivuBoysClassic024 ай бұрын
Vrmt na furai sana kuona ivo wala sikutengemeaka kama inaweza tokea ivo harmonize kufanya kazi pamoja tena ni vyima sana niione ata engine siku harmonize ,rayvanny na diamond wakiwa pamoja💪💪💪
@PardonSports6 ай бұрын
Am happy for these guys. We need Tanzania we know music. Please 🙏🥺 give us another one ☝️🙏
@user-tf2yb3kw9x5 ай бұрын
M Mo
@mosesakwama34516 ай бұрын
❤❤❤❤for v. Vani boy uko saw San huwe na moyo kama huo
@SanyBrown.216 ай бұрын
Uwo ndo ungwana 👑👑🔥🔥🔥🔥
@happyhabenzu31926 ай бұрын
Am happy for the reunion guys...I love you all💣💥🙏
@pedistone045ke-sv9fp2 ай бұрын
manze🙏🙏🙏
@user-ro8zg8mg6q6 ай бұрын
Thank you so much rayvanny to come to family 🙏
@iyanyanarcisse38986 ай бұрын
The Wisdom behing these two minds; high kabisa ⬆
@artwit15856 ай бұрын
THIS IS THE BEST MEET UP💯💯
@dianamutanu93756 ай бұрын
I just love Tembo...this guy is winning ❤❤
@gulledahmed29545 ай бұрын
Bahreesa ❤❤😊
@joejackson92826 ай бұрын
INAMAANA HAMJAONA HARMONIZE ANAMTETEA MTOTO WAKIKE KUGOMBEZWA? ALAAH❤
@sadickponera24646 ай бұрын
😂
@mainazsteven3666 ай бұрын
Mwenzangu alisema nisigombezwe😂😂
@chrissengomacmuga84396 ай бұрын
Hiyo ndio anavotakiwa kuwa msanii,he's many people's role model
@blossomskitchen14666 ай бұрын
Tanzanian my pple❤
@mohammedkidody56186 ай бұрын
Konde boy na chui nawakubali sana❤❤❤🎉🎉🎉
@hamisayusuph59666 ай бұрын
Nimefurahi sana Rayvanny kaongea maneno ya busara sana
@maernov42576 ай бұрын
Nimependa sana ❤❤ nawapenda sana kk zangu
@kizittohescary12136 ай бұрын
Show love for harmo
@saudashani59816 ай бұрын
Nimewapenda sana ma boy zangu
@PETSFRESHLIFE6 ай бұрын
Nimependa zaidi ❤❤❤❤❤❤
@kennohg61526 ай бұрын
Perfectly said Rayvan....
@BatistaMocy6 ай бұрын
Nampenda xna vany....so much humbled Guy.
@user-jq9iq3ql3b6 ай бұрын
am really happy for this😍😍😍🥰
@user-op3ks5ir6s6 ай бұрын
Aliliiiiiliiiii nimefurah jaman😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤
@user-bg2je9to8z4 ай бұрын
Imepedeza xan ❤ kuonekan ivo jaman pedaneni namziki wetu utakua xan
@toniquemuthuri69826 ай бұрын
All i want is to see some love from harmonize and diamond
@EzzyEddy-il3ce6 ай бұрын
Daaaah katika vitu nimefurahishwa aiseee ni hii kitu pigen kazi vijana
@RubanzintwariJeanclaude6 ай бұрын
Salama mojakwamoja ziendi Kawa hamo Viviane boy nimefurahi sana kuwona wako vizuri kupatana Yani Niwana
@ChristopheretopLoburin4 ай бұрын
Rayvanny we are one nothing like nyamasa
@Aminmwansile-we8vn6 ай бұрын
Safi Sana Rayvan una akili ya kujitambua
@MARIAMUHAMAD-es1se6 ай бұрын
Mtu na baba mkwe wake much love❤
@Gml-wi5nv6 ай бұрын
😅😅😅
@NolysiRenald6 ай бұрын
Chwakwanza nhongeren kwajitambua na kumaliza tofauti zenu mungu awape nguvu mdondoshe mangoma makali🙏🏿
@user-it2ne5xu6k5 ай бұрын
Sana kaka umetisha
@zainabumsafir11826 ай бұрын
Mashallah ni kitu kizur sna ❤❤
@user-im4zr3hw5y6 ай бұрын
Good historical
@user-dg6vn3fp4l3 ай бұрын
Safi safi iyo vanny boy
@clauswillson7886 ай бұрын
Skuizi Konde umekuwa broo n unyamaaa❤
@mwanashagladys45816 ай бұрын
Nimependa sana kuwaona Konde na Vannyboy❤❤❤
@PardonSports6 ай бұрын
Come 2024 Give us a hit am waiting for that
@hassansaidjuma246 ай бұрын
Oya hiyo imekaa poa sana ❤
@sifaa73546 ай бұрын
Nimeipenda hiyo❤❤❤
@JohnBanda-lx7zz3 ай бұрын
rayvanny respect
@wahidatwalib48226 ай бұрын
We love you from Kenya
@user-lj8ig5gn4e6 ай бұрын
Big up sana kaka angu zangu💓💓
@Kikalemanager236 ай бұрын
Félicitations vraiment frère 🎉
@JadenPromesse4 ай бұрын
merci Sana' Ila sina mega
@user-jn3lb2jy1s5 ай бұрын
Nakupenda sana ❤
@lesliemgimba5 ай бұрын
This is the best
@ddontz6 ай бұрын
Hii nimeipenda hii😹😹🫶
@BenjaminMwigune-kf7nm6 ай бұрын
Rayvann mbona Njombe sana jmn lkn nipenda sana kwetu huko jmn kumetajwa
@user-hq9zk2ys3u6 ай бұрын
Kweeri Mondi Alitengeneza watu xo big up kwenu
@PrincessHellen-pg1oy6 ай бұрын
Nawapenda wote Hao wawili ❤
@HamisiMsami-ol3zk4 ай бұрын
Wow harmo umekuwa kweli bro
@YusufuMatale-pi2es6 ай бұрын
Poa sana ii kitu kifupi mm team konde I like konde gang
@shakshashalyrics_author43416 ай бұрын
can't wait to enjoy the best collabo ever Ray X Ham
@epafraditopajenga46506 ай бұрын
Miamba Ya Nyanda Za Juu Kusini Higher Musician. Harmonize & Rayvany