MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID

  Рет қаралды 144,270

DARSA TV

DARSA TV

4 жыл бұрын

MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID
FULL VIDEO YA MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID TANZANIA USISAHAU KUTU FOLLOW KWENYE FACEBOOK PAGE YETU NA INSTAGRAM NA KU SUBSCRIBE KWENYE KZbin CHANNEL YETU KWA VIDEO NYINGI ZAIDI THANKS
SUBSCRIBE
COMMENT
LIKE
SHARE
THANKS

Пікірлер: 297
@ashiimohmedi6051
@ashiimohmedi6051 Жыл бұрын
Shekh walidy wallah nakupnda,kwasjil ya Alla wallah wabillah mwenyezimungu akupe umri mrfu tena wamanufaa"" na akufe mwisho mwena"" nmeandka sms hii kwa mapenz makubwa sana"" allah akuongezee elinu yko mpka ukinahi"" mm bado ni kijana mdgo lakin siku alla atanijaalia nitaoa akisha akanijaalia watto wema lazma nikuletee watto wangu mja wapo umleee"" Allah akuweke mpka hpo nitakapojaaliwa kuoa"" na kma amekuchukua basi akupe daftar lako la amar kwa mkono wa kulia"" napia akuingize peponi bila ya hesabu🤲🤲🤲🤲
@wamanja5572
@wamanja5572 3 жыл бұрын
Allah Akuzidishie Elimu imamu na sisi angalau angalau tupate kitu In shaa Allah.
@halimaauthman9324
@halimaauthman9324 2 жыл бұрын
Shukran sana shekhe Walid Allah akuhifadhi na mabaya ya duniani na Akhera
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana al akh Yaani umeongea maneno yale tulikuwa tukiyasikia zamani kwa watu aina hiyo
@daudikhamis1595
@daudikhamis1595 4 жыл бұрын
Allah akujalie katika kudumu kudarasisha Darsa hili la Quran
@issabinmaryam7450
@issabinmaryam7450 4 жыл бұрын
Angepanda mnazi angefika America...
@fatumahamisi7064
@fatumahamisi7064 2 жыл бұрын
Allah akutangulia sh. Wetu akuhifadhi na madhila wa masheytwani
@columbusdoo593
@columbusdoo593 3 жыл бұрын
Assalamu Alaykum. Tafadhali ni postiye video zengine. Hizi nisha zi repeat sana. Na khutba za ijumaa pia usisahai kuni postiya
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 11 күн бұрын
Rabii akuzidishie na akuongoze
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 3 жыл бұрын
جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ الحبيب وليد
@ruubajuni1641
@ruubajuni1641 4 жыл бұрын
Unajua ndugu zangu wakat mwingine inategemea pia na umekulia makuzi gani au umezaliwa wapi,na ndiyo maana wengi wanakuwa hawaamini,lakin karama zipo sisi watu wa bagamoyo tulikuwa nao hao watu wengi sana,kwa waliokiwa nje ya bagamoyo walikuwa wanasema bagamoyo kuna wachawi wengi sana,lakin si wachawi illa palikuwa na watu wengi wenye karama,si wanaume si wanawake,ni mkweli mtu akikunyooshea kidole unaathirika kama hautozikwa,so nakubakiana na Maalim Walid maana hata Mimi nimehadithiwa na pia nimebahatika kuona baadhi ya vitu kwa macho yangu
@abilugome7461
@abilugome7461 3 жыл бұрын
Uchawi mtupu hakuna lolote na ivyo vitabu vya Mambo ayo vipo watu hawavitumii coz ni vya kishilikina
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
Kabisa wanakataaa karma je miujiza ya enzi hizo nawao sindo wange kuwa katika makundi ya kushirikina kuziita uchawi😭😭😭😭😭tusiwe wajinga hivyo karama zipo zipo zipo
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
@@abilugome7461 Weww lugome usiwe kama mushrikiina akhii wakina abuu jahli wao miujiza waliipinga kwa lakabu kama hizo kuita uchawi doh😳😳😳😳Chunga imani yako
@sammarley1413
@sammarley1413 3 жыл бұрын
@@ahlutwariqaalqaadiriya3538 TATIZO LAO HAO NIKIBRI YANI KITU ASICOKIJUA YY BASI HICO HAKIPO. KABAKWAMBA YY NDIO MWENYE KUIDHINISHA KUWEPO AO KUTOWEPO KARAMA.
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
@@sammarley1413 sasa huyu leo kakutana na mimi aniongopei chochote mpk hapa ajatoa hadith wala aya mm namchapa tu kwaajili ya allah 😆😆😆
@ashagrace3333
@ashagrace3333 3 жыл бұрын
Assalam aleykum warmtlh wabrkth sheikhe,mm miko kenya nakufatilia sana Allah akulinde sana.
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 2 жыл бұрын
Wallah sheikh nimekuelewa sana...
@ashrafukirya1947
@ashrafukirya1947 4 жыл бұрын
Allah akulipe inshallah
@fatumashaibu1461
@fatumashaibu1461 4 жыл бұрын
Subhanallah, Allahu Akbar baada ya kuomba uwe na umri wenye heri we unataka umri mwingi. Allah akujalie umri mrefu wenye heri nawe. Aamin
@janataninaim9193
@janataninaim9193 2 жыл бұрын
Amin
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 жыл бұрын
Toba yarabbbi Allah tizama waja wako wanayoyafanya na dini yako vinavovurugwa ya Allah.
@asgarsidi8021
@asgarsidi8021 2 жыл бұрын
MashaAllah. Ustad Walid wewe ni Shariff SubhanAllah. Tu kumbuke kwa dua.
@swabrianwar1020
@swabrianwar1020 2 жыл бұрын
ndugi yangu asgar sidi, shariffu n ambae nasaba yake ni mpaka mtume sallla lahu aleihi wasalam
@afric01
@afric01 Жыл бұрын
Aslm alkm ww... Masha Allah!!!! Uko na miaka 55 kama hungeongea hatungejua. Kweli ukiwa mcha Mungu huzeeki haraka. Shukran sana Kwa darsa. Allah akuzidishie umri. Jazakallah kheir 🙏😊😊😊
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 жыл бұрын
ALL IN ALL SHEIKH IS SOO CONFIDENCE WHAT IS TALKING ABOUT IT LIKE IT mashallah and I enjoy my self
@mtimbaabdallah681
@mtimbaabdallah681 Жыл бұрын
subhaana llah yaani masufi wanatabu sana yaani makosa hayo ya kiaqida yote chafu na mwamsifia..innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiun
@hosnabintmariam3287
@hosnabintmariam3287 Жыл бұрын
Allahumma Aamiyn. Alumri twawiyl ziadah sheikh
@mwanakheirkihambwe6824
@mwanakheirkihambwe6824 4 жыл бұрын
Amina shekhe wangu mungu akulipe umri refu wakutumikia dini yetu
@missrukia9661
@missrukia9661 4 жыл бұрын
Mashallha shekhe
@neemainabikorwa5570
@neemainabikorwa5570 3 жыл бұрын
امين يا رب العالمين
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Mashaa Allah dini ya Allah hi dini ya Allah haina pengo Tunakuomba YA RABBI ss na vizazi vyetu na vyawenzetu tujitahidi kuelekea ili utuongoze kuwa ktk watu wema ili uweze kupata radhi zako hakika tukipata zako radhi tutakuwa ktk watu tulio faulu tasamehe yetu madhambi hakika ww unasamehe madhambi Alhamdulilah Alahuma swali ala saydina muhamadi S.W.S. Amiin
@mussakasimu2811
@mussakasimu2811 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea ukweli mtupu. Maashallha shekh nakupata nikiwa tanga mjini hapa
@uthmanihimbawe5244
@uthmanihimbawe5244 2 жыл бұрын
Allah Akbar 😭
@saumtolbazi8616
@saumtolbazi8616 2 жыл бұрын
Masha Allah
@bilalihussein-dg8dp
@bilalihussein-dg8dp Жыл бұрын
mashallah tunastafidi kwa elimu hii, Allah akuweke sheikh
@tumajunior6080
@tumajunior6080 3 жыл бұрын
Mashaallah
@abdilllahimohammed219
@abdilllahimohammed219 3 жыл бұрын
Nimeshuhudia Mimi na mke wangu sana mungu atuongoze na shukran kwa mawaidha
@janataninaim9193
@janataninaim9193 2 жыл бұрын
Mashaallah swadaktah sheikh subhanaallah
@ashagrace3333
@ashagrace3333 3 жыл бұрын
Subuhana allah.
@doddyhassan862
@doddyhassan862 3 жыл бұрын
Shukran sheikh Waleed
@omaralwi3946
@omaralwi3946 Жыл бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
@abdulhamidisiraja4930
@abdulhamidisiraja4930 Жыл бұрын
Mashaaaallah
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 3 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@feiz3180
@feiz3180 4 жыл бұрын
Sadiki ukipenda.
@rahmaabuubakar1751
@rahmaabuubakar1751 Жыл бұрын
HAWA MASHARIF WALIKUWEPO WALLAH NA NNAHISI MMOJA MMOJA WAPO. ALHAMDULILLAH
@doddyhassan862
@doddyhassan862 3 жыл бұрын
Yeyote anayeona kwamba sheikh amekosea ni vizuri kumfata kama unaweza vinginevyo utakuwa utovu wa adabu katika ilmi,
@ernestmagoda3824
@ernestmagoda3824 Жыл бұрын
Mimi NI mkristo hakika Huyu NI mtu wa watu.
@fatumahamisi7064
@fatumahamisi7064 2 жыл бұрын
Shekh walidi binafsi ninaomba namba zako ili niweze kukutafuta sh. .in sha allah kwaajili ya allah
@barackhaamidu7841
@barackhaamidu7841 2 жыл бұрын
maa shaa ALLAH ALLAHU AK'BAR
@abeliever6823
@abeliever6823 3 ай бұрын
أكرمك الله يا شيخنا الفاضل
@muhrajovic752
@muhrajovic752 4 жыл бұрын
innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun!!!!!!!!!
@athumanikaoneka7413
@athumanikaoneka7413 3 жыл бұрын
Nicee
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
maashaallah maashaallah
@nilihamhamisi1927
@nilihamhamisi1927 Жыл бұрын
Asslam alykum warahamatuallahi wabarakatu sheikh walid naomba niwe mke Mdogo kwa baraka za Allah ndani ya Rajabu hii ya rabby takbar dua ya Yangu
@khalidmuhsin8430
@khalidmuhsin8430 Жыл бұрын
Ucjali q
@omarijuma6692
@omarijuma6692 Жыл бұрын
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri
@meandme3437
@meandme3437 Жыл бұрын
Subhanallah bibi maryam mamake nabii issa alikua akiteremshiwa chakula kutoka peponi direct mpaka nabii zakaria akamuuliza ni vipi? TUMCHENI ALLAH SANA😢
@Mbaraka_Mbwambo
@Mbaraka_Mbwambo 3 жыл бұрын
Baaaaraka Allah
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 3 ай бұрын
Mashaallah tabarakya Rahman
@suleimanally2065
@suleimanally2065 4 жыл бұрын
Watu wengi tunapenda muhemko unafikia kumwita sheikh walid muongo huku ni kukosa adabu kwa masheikh zetu tuwaheshim hawa ndio walimu wetu na watoto wetu
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 жыл бұрын
Uongo ni uongo tu. Haijalishi shkh wala mtumwa.
@hassanomar7340
@hassanomar7340 3 жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 kweli kabisa bro....kw nini lkn watu tunatekwa nyara kiasi hiki. Dini yetu ni ya dalili c kwa matamanio au rai ya mtu.
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 uongo ni uongo lakin kumuita Sheikh muongo huko ni kukosa heshima na hayo anayohadithia ni ya kweli kabisa
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 жыл бұрын
@@aliabdalla9297 Kila anaesema uongo ni muongo. Na hayo anayoyasema mimi nina ushahidi kuwa ni uongo. Je, wewe unaemtetea, unao ushahidi wa ukweli wa hadithi hiyo!?
@slamecktz
@slamecktz 2 жыл бұрын
@@abubakarmuhammadsaid3244 Kwani uongo upi umesemwa hapo tuelimishe tukuelewe
@jumannesaidi2917
@jumannesaidi2917 4 жыл бұрын
Allahu akbar
@abdallahahmed7983
@abdallahahmed7983 2 жыл бұрын
mashallwah
@muryd6999
@muryd6999 4 жыл бұрын
Mimi naamini yote aliyozungumza..Karama zipo
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Kabisa Kama zilikuwepo zamani na dini ndo hii hii itashindwaje kuepo Sasa
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
Pamoja tupo waache washirikina walipinge
@user-mt4sd6cj5y
@user-mt4sd6cj5y 11 ай бұрын
JazzakahAllahkheir.
@chafimcaisse6340
@chafimcaisse6340 Жыл бұрын
Shekhe tunakupata vizur sana na tunakupenda kalibu Mozambique
@chapwinto1091
@chapwinto1091 2 жыл бұрын
Mashallah
@user-cv8kw8kd4k
@user-cv8kw8kd4k 7 ай бұрын
Haya anayosema shekhe Walid ni kweli kabisa.
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
Allah Akbar
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 2 ай бұрын
Kwaviongozi wa namna hii waislam tuna mtihani wallahi
@DarsaTV.
@DarsaTV. 2 ай бұрын
tunakupa wewe uongozi
@omarmohammed7132
@omarmohammed7132 2 жыл бұрын
Mashàallaah
@cholomsury1548
@cholomsury1548 4 жыл бұрын
Hakuna kinachoshindikana kwa idhni ya Allah refers kisa cha nabii suleyman na malkia balkis kuhusu kiti chake
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Twayyib
@mzeemzee7503
@mzeemzee7503 8 ай бұрын
ALFU MABROOK SHEIKH WALEED
@luqmanjumanne4667
@luqmanjumanne4667 Жыл бұрын
Shukraan sana maa asha allah
@asiaidi3700
@asiaidi3700 4 жыл бұрын
sheikh walidi 55 kama miaka 38 vile
@abdebasalsalum1309
@abdebasalsalum1309 4 жыл бұрын
Kila la kheri shekh
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 2 жыл бұрын
Shehe wamwlimu wetu Allah amtehem ilkuwa ukiiba ndiz shambn kwake wapeleka kwako hamaki umefka kwake unasem shehe nimeleta Amana😀
@hollyfildspinks2161
@hollyfildspinks2161 2 жыл бұрын
Takbiir
@TheSalimMash
@TheSalimMash Жыл бұрын
Allahu akbar
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Allahu Akbar
@SeifRupatu
@SeifRupatu 5 ай бұрын
Nanyinyi WAZEE wakupinga tuambieni masheikh WENU walikuajee Kama mnaoo Hao Masheikh
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
A/a ndugu wa islam tujaribuni kuisoma Tawheed ndio njia pekee kuujua uislam safi.
@abamohamed7092
@abamohamed7092 2 жыл бұрын
Sheikh walid hakika maneno yko ni kweli kabisa ,Mimi Kuna jambo Moja lilinitokea ,nikayaona makarama ya as sayyid abdul qadir bin abdul Rahman Al juneid
@abdul-waqeljuma8868
@abdul-waqeljuma8868 3 жыл бұрын
Sio kwa uislamu huu ndugu moyo bado mzito rekebisha aqida na simamisha dini tuache hadithi!!
@hudkhan.2920
@hudkhan.2920 4 жыл бұрын
Anasema kweli sheikh visa hivi vipo kabisa
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Allah Akbar!!!
@ramadhanimussahramadhani4868
@ramadhanimussahramadhani4868 Жыл бұрын
Wengine hawamjui walidi tunaemfahamu tunajua anachokiongea Na Allah atamlinda
@kadoditsa3805
@kadoditsa3805 3 ай бұрын
Sanaaa
@abuumudhakkir3688
@abuumudhakkir3688 3 жыл бұрын
Mnatumia majini kisha mwajidai makaramaaaa. Hebu acheni uchawi huooo
@issabinmaryam7450
@issabinmaryam7450 4 жыл бұрын
Visas visas wengi uongo mnatia chumv ndimu pilipili hii toooo much
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 жыл бұрын
Una ushahidi
@abuumudhakkir3688
@abuumudhakkir3688 3 жыл бұрын
hayo sio makarama bali ni uchawiiiii
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 жыл бұрын
Raha iliyooje kwa wale wanazuoni walioleta fani ya mustwalahul hadiith,maana isingekuwepo ile mbona uongo ungekithiri na mtume angezushiwa kila aina ya matukio,lkn alhamdulillah watu wameijua ilmu rrijaal na wakatunza maneno ya mtume kwa ufahamu wa wema waliotangulia,asa hvyo visa anavyovitoa sheikh walid ni uongo mtupu,ataka kujifanya yuwaona ghaibu sasa
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
Wewe adamu juto unaandika usiyo na uhakika nayo kutoka na mashekh zenu wakiwahabi wakina bin tayma waharibifu wa uislamu bin Baaz wote ni waharibifu wa uislamu allah atulinde na shari zao
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 жыл бұрын
@@ahlutwariqaalqaadiriya3538 kitendo cha kusema ibnu taymiyyah ni sheikh wa kiwahabi tiari nishajua kua kiwango chako cha elimu ni kidogo saana, sasa kasome kisha ndo uanze kutukana hao unaowaita mawahabi kama utaweza,na hautoweza moka qiyaamah إن الرسول قد جعل الجهل داء،و شفاء العي هو العلم Hvo soma utoe huo ujinga wa kusema ibnu taymiyyah ni sheikh wa kiwahabi
@ahlutwariqaalqaadiriya3538
@ahlutwariqaalqaadiriya3538 3 жыл бұрын
@@adamjutto5849 mpaka naandika hivi nimesoma mengi na nimetosheka ibnu taymia si mm nilietamka maneno hayo ni sheikh ibin batuta istoshe unataka mjadala???😁😁😁maimamu ni shafi.hambali.maliki na abuu hanifa nimemaliza..
@shabanijuma4162
@shabanijuma4162 3 жыл бұрын
اللإسناد من الدين فلولا اللإسناد لقال من شاء ما شاء
@adamjutto5849
@adamjutto5849 3 жыл бұрын
@@ahlutwariqaalqaadiriya3538 kadhaaaab,kaaah ibnu batuutah yupi huyo aliyesema ibnu taymiyyah ni sheikh wa kiwahabi,vile vile mie sitaki mjadala na wewe kwa sbbu huwezii,mi najua wewe ni mtu unaeskia sikiaa tuu masheikh alaf ndo unakuja kusumbua huku kwenye mitandao,kaa chini usome dini haipatwi kwa udaku,inatakiwa usome,uelewe na kuhifadhi mas-alah,hahahhaa eti ibnu batuutah kasema wamjua ibnu batuutah wewee au unaropoka tuu
@jumamohamedi4495
@jumamohamedi4495 4 жыл бұрын
Kamba / sound za waziwazi! Tumche Allaah ! Eti mtu kapanda mpapai! Shekh mche Allaah
@bakarimketo188
@bakarimketo188 4 жыл бұрын
Naionea huruma nafsi yako ambayo kumbe hata ibada zako hazina faida nawe...haya hata wewe unayaweza ukiondoa huo ujinga kichwani mwako inshaallah
@hijamaulidi7382
@hijamaulidi7382 4 ай бұрын
Mm kila nikijitabiria mambo mabaya na mazuri yanatokea kweli sjui nna Nini yaan kama maono yanakuja
@aboudsaidaboud7667
@aboudsaidaboud7667 3 жыл бұрын
ndevu hana
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 жыл бұрын
Shetwani anawachezeaga mpaka masheikh msishangae do!!!
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
Tuletee ya kwako wewe sasa
@user-pu8yl2zj8x
@user-pu8yl2zj8x Жыл бұрын
Hhhhhhhhhh
@simmyndamo6539
@simmyndamo6539 4 жыл бұрын
Allahu akhubar
@saidbanga
@saidbanga 4 жыл бұрын
Ni Vizuri ila angalia usije kuingia kwenye Ghurur na Kujisifu....!
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Naam alhabib
@bakarimketo188
@bakarimketo188 4 жыл бұрын
Subhanallah huyu hasemi kwa kujisifu Bali anazipa uhai nafsi yako na yangu sisi vipofu ndiyo maana karama zote ansema ametendewa siyo yeye mtenda
@mohamedhatibu4046
@mohamedhatibu4046 4 жыл бұрын
Duh apa kuna darsa au story za kushika watu maskio???
@omarikunguru1487
@omarikunguru1487 4 жыл бұрын
kuwa na adabu kk huyo ni mwanachuoni muheshimu bac ss tunampenda na tunamuelewa sheikh wetu
@hamedag7911
@hamedag7911 4 жыл бұрын
Maashaallah
@yahayaali7970
@yahayaali7970 2 жыл бұрын
Kama hujui usiseme hakuna anaye jua/ kwasasababu hujui daarsalam unasema hakuna fly over
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 3 ай бұрын
Kweli hata mimi pia ninayo makarama
@ModaxMedia
@ModaxMedia 2 жыл бұрын
Mbona sielewi anadomesha nini?
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 3 жыл бұрын
Allah ibarek
@muhammadbilali8209
@muhammadbilali8209 4 жыл бұрын
Si amesema passport yake huwa anasafiria angalau mara 20 kwa mwaka ss iweje kusafir wiki mbili iwe kutoroka darsa!
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Brother msikikize vizuri huwa anasafiria but ikifika kipindi Cha darasa ambayo no ramadhani huwa yupo darasani
@jamalabdul6113
@jamalabdul6113 4 жыл бұрын
Hilo darsa liko ktk mwezi maalum tu (ramadhani).
@slamecktz
@slamecktz 4 жыл бұрын
Ndugu yangu jifunze kusiiliza na kuelewa kisha uliza usichokielewa utafaidika hapa duniani na kesho ahera. Darasa hilo la tafsiri ya Quran Shekh Walid alikabidhiwa na Mashekh zake na walimuhusia asiache darasisha mpaka mwisho wa uhai wake yeye ni binadamu kuna wakati anakuwa na safari sasa kama ni kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kipindi alicho elezwa asiache fundisha akipanga kusafiri ndo hua yanamtokea hayo anayoyaeleza sasa. Mwenyezi Mungu akipuka uhai ukafika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani jitahidi uhudhurie Masjid Kichangani baada ya swalath Laasiri utafaika sana kwa darasa la kiwango cha juu kabisa linalotolewa pale. Mwenyezi Mungu akuhifadhi.
@amenaafrica7046
@amenaafrica7046 3 жыл бұрын
@@slamecktz shukran na mashaAllh
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 3 жыл бұрын
@@slamecktz Watu wengi wanasikiliza kwa mihemko thn waanamini kwa masheikh wanawajua wao waliowachaguwa kuwa ni wa kweli na wenye dini wengine wamewaweka kwenye daraja la si ktkt watu na masheikh wa kweli Ndio haya yanakosekana kwao na yanaonekana ya uongo coz kuna vitu hawajashikamana navyoo
@munirahmed7753
@munirahmed7753 4 жыл бұрын
Mmhh mbn mabalaa hayo
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
A/a na muomba mwenye ezimungu atuhifadhi na hizi bidaa uzushi,uzushi za mpeleka mtu atembee kwenye giza bila kuogopa mwenyezimgu aropokwa tu iblis ampeleka bila kujali wala kuzingatia hi ni Dini ya mwenye zimungu, naukikosa imani ya dini ni hatari muislam.
@alliyrubea5731
@alliyrubea5731 Жыл бұрын
Uko vizuri sana lkn uvaaji wa hizo pete ktk mikono miwili sheikh sio mafundisho sahihi au mm sikuelewa vizuri!
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 3 жыл бұрын
Hiyo simu ya vibrate yakeraa darsaa
@omaryabduli7328
@omaryabduli7328 4 жыл бұрын
Chaiiiiiii
@abuibra
@abuibra Жыл бұрын
Hayo makarama mnayo nyie tu hatujasikia kwa AS'HABU NABII wala kwa wajukuu wa (NABII MUHAMMAD S.A.W)
@hassannasir4561
@hassannasir4561 4 жыл бұрын
Unacho ongea ni sahihi kabisa sheikh Walid wajinga tu ndo watakao pinga
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Hatuna Imani Sasa watu ndo tatizo letu
@muryd6999
@muryd6999 4 жыл бұрын
Mawahabbi wengi wao hawaamini
@msakaramohamed1244
@msakaramohamed1244 3 жыл бұрын
@@DarsaTV. sikupingi upo sawa kabisa
@saidisalum1514
@saidisalum1514 Жыл бұрын
MAJITU YA MAULIDI YOTE NI MACHAWI YANALOGANA HADI MISIKITINI
@HassanKatongo
@HassanKatongo 18 күн бұрын
Kweli siku hizi waislam tunajidharau
@mwatimeabdallah7945
@mwatimeabdallah7945 4 жыл бұрын
Mmhh jamani sio majini kweli
@mohamednas4262
@mohamednas4262 4 жыл бұрын
Binaadamu akiwa MchaMungu sana anakuwa bora na uwezo kuliko majini, bali bora kuliko hata malaika ambao hawamwasi Mola. ndo maana akawa Khalifa/kiongozi.
@gharibsheikh3632
@gharibsheikh3632 4 жыл бұрын
Subhanallaah sidhani kama ni hekima kusema haya siku zote dumu kama hujalitikisa hujui kama lina maji au halina
@muhrajovic752
@muhrajovic752 4 жыл бұрын
sio majini ni makarama!!! na pia huwa wanayatumia kwenda hija kuhiji wkt historia inatuambia masahaba walitembea masafa na masiku kuitafuta haram (hija) na kueneza dini hii, hawa wamerahisisha siku moja tu unafika na kuhiji na kurudi siku moja tu!!!! INNA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN!!!ALLAHUMA ARINA HAQQA HAQQA WARZUQNA ITTIBAA, WAARINAL BAATWILA WARZUQNA IJTINAABA!!!
@neemafatu7885
@neemafatu7885 4 жыл бұрын
@@mohamednas4262 sasa nani anajinua kuwa yy ni mchMungu hata kama anajitahidi?BALI HATA MASWAHABA WALIKUWA WANAJITILIA SHAKA,NA HOFU ZA IBADA ZAO.Vipi mimi na wewe!
@mohamednas4262
@mohamednas4262 4 жыл бұрын
Neema Fatu, Ukifikia darja kubwa za UchaMungu utafahamu tu, lakin haina maana hutokuwa na khofu na ALLAH bali khofu yako itazid mara dufu.Kuhusu makarama hakuna shaka kwamba maswahaba wa Mtume rehma na amani zimfikie walikuwa na karama kubwa zaidi yetu, masheikh wa aqida tofauti ikiwemo Salafi na Sunni wameelezea kuhusu karama za maswahaba hata humu You tube clips zao zipo nyingi tu.
PAZIA LA KUJIKINGA NA MISUKOSUKO YA MAISHA - SHEIKH WALID ALHAD
37:29
ZAINAB ONLINE TV
Рет қаралды 75 М.
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
MAMBO YALIYOZUSHWA KATIKA MAZISHI SHEKHE NASSORO BACHU
56:06
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 13 М.
SHEIKH WALID AKIMKARIBISHA SHEIKH OTHMAN MAALIM KWA AINA YA KIPEKEE
40:58
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
UTAFURAHI SHEIKH SHAFI ALIVYO KUTANA NA WAHUNI WAKATI WA KUZIKA
10:05
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 69 М.
Kusoma kwa mifano - Uganga - Imani Sheikh walid Al had
46:07
DARSA TV
Рет қаралды 21 М.
Папа гений
0:23
Вельзевул
Рет қаралды 3,4 МЛН