Leo mumesema ukweli sns maana siku zote lazima muikosoe marekani leo mumeiweka mbele
@juliussamson6143Ай бұрын
Hivi ni mimi tu mimemisi makala zinazoandaliwa na na FRANK LACHMAN ebu tu like comment hii had iwafikie SNS na FRANK
@golebenson4597Ай бұрын
Hii uchambuzi ilimfaa sana masubi.
@AmmielNzala-fu4xuАй бұрын
Urusi ukiona kaweka wazi kombora moja kubwa zaidi ujue kuna kubwa zaidi ambalo ni siri tu, wanalijua wenyewe ambalo ni kubwa zaidi, yani kama anaonesha lenye uwezo wa kwenda maili saba, basi kuna moja ambalo lina uwezo wakwenda mala mbili ya hilo, hapo huwa hawasemi, maan wakiweza wazi yote ni rahisi kuzidiwa
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Kwahyo ww unaijulia Urusi zaidi kuliko Urusi yenyewe inavyojijua? Kama Urusi wanaficha kwn nchi zingne haziwezi ficha?
@EriyaRichardАй бұрын
Usilie Sasa 😂@@rumdeesonsoa1811
@africanQueeny-u7oАй бұрын
@@rumdeesonsoa1811😂😂😂😂 nimechaka yan mtu anajua Urus kuzidi inavyo jijua
@EmmaTembo-l7oАй бұрын
Ila watu mnajuwa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
@@africanQueeny-u7o Yaan kuna watu wa aina nyingi sana hapa duniani
@Brunotarimo10Ай бұрын
Naikubali Sana Sns
@HusseinAli-g9wАй бұрын
Ewe Mola wetu tujaalie amani duniani kote🙏🙏🤲
@MAHAN-SMARTАй бұрын
Duh! Silaha zote izo za hatari zimeandaliwa kwa ajili ya binaadamu kuangamizana wenyew Kwa wenyewe
@shabanibussara8454Ай бұрын
Yaanii...
@happymrema7487Ай бұрын
Tunatakiwa tufe wazaliwe wapy
@neemamarisamarisa-rd7cqАй бұрын
Bwana wee acha tu. Huyu Mungu tunamshiki tu. Mungu atujalie kumuona siku ya Mwisho. Ni huruma za Mungu kuwa hatuaangamii
@joakimmkedege8553Ай бұрын
Endelea kutusimulia mwenyewe hii sauti yako Ina haki ya sisi kutumia bando zaidi
@MrishoMambo27 күн бұрын
Shida yako ushabiki mwingi na naumarekani umeuweka mbele sana namsalaba pia
@MussaLutemaАй бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Hac12qАй бұрын
ila wamba una sauti nzuri sana na una juwa sana hongera 🎉🎉🎉
@msukumamnywamaziwa2785Ай бұрын
❤❤❤❤SAFI SANAAAA,RUSSIA/PUTIN
@davidsika5292Ай бұрын
Ogopa sana nchi ambazo hazionyeshi ovyo makombora yake ,, mfano Marekani sisikii ikitest makombora yake😂😂😂 siku ikifika watatest kwa binadamu
@amirisaid6341Ай бұрын
Huwa wanatest mbona
@bernardoleonard7331Ай бұрын
Marekan ndyo wanaongoza kutest tena kutest kwenye vita halisi
@FilbertRobert-e4uАй бұрын
Hatari 😢
@KingstonbagamoyoАй бұрын
Ok wenzetu pesa wanazo ,ss tz wazee wa fataki
@ElísioMadimbaАй бұрын
Dah garama yote hii kwajili ya binadamu tuu?
@ibrahimaziz7158Ай бұрын
Na usiambiwe limestaafishwa ukadhani halina matumizi tena My friend chuma kipo km kawaida jichanganye tu uone
@Chettymlambalipsi-lb9kmАй бұрын
Kaka sky kama likirushwa kombora moja hapa tz linaharibu miji mingapi?
@lusajomwaipopo5042Ай бұрын
Huku Africa hakuna hata inchi moja yenye kombora hata 1???
@richardomondi3107Ай бұрын
Ali Masubi ndio kinara wa uchambuzi wa silaha
@JimmyMwendaMichaelАй бұрын
Mimi naona ndugu mtangazaji unajichanganya kweli kweli,rudia ukaulizie tena
@SamweliJacob-bm2ijАй бұрын
Kwann usingetuletea wewe hii habali kama unaijua nyie ndo mnaokosoa nyumba zawatu et dilisha lingekaa hapa wakat mwenyewe huna ata wanjia tuletee wewe hiitalifa kama unaijua wàbongo bwana
@TalikiMnume-m8rАй бұрын
💣
@mndambokilavo2502Ай бұрын
Sijui binadamu ni mpumbavu au hivi izo gharama zote zingewekwa kwenye utafiti wa magonjwa kama cancer, pressure, kisukari na kilimo hii dunia ingekuwa bustani ya eden
@alphamenson3784Ай бұрын
True man
@oscartheicon2716Ай бұрын
The first one is even 1000 times the economy of Tz😂😂😂
@braystuskibassa3842Ай бұрын
Halafu unasikia Ukraine wanasema tunaomba siraha ghalama zake ni kubwa saana, utengenezaji unaghalimu material ya ghalama kubwa na pia usafirishaji unahitaji ghalama pia
@happymrema7487Ай бұрын
Kwan ukren amepewq hay makombira hiz ni nuclere tofautisha ina maan hizi zikitumika hakun dunia tena ndio mwisho wa dunia
@TeddyDickson-w5pАй бұрын
Umesahau N Korea
@mimibusarachibuАй бұрын
BUrevestnik liko wapi? Si mlimsema linakwemda zaidi ya 23km
@golebenson4597Ай бұрын
Mbona sio kombora la Tanzania 😢
@adamhashim3352Ай бұрын
Tanzania wanabeba magogo
@mwenebatuetabo5515Ай бұрын
Kuhuwa watu tu!!!!!
@SiabaFadhiliАй бұрын
Kumbe hata sisi tuna uwezo yakuyanunua 😂
@karimmunis8302Ай бұрын
Huwezi kulinganisha gharam za silaha jati ya usa na na china ..hata bullet watasema ni dolla 100
@josephkostans9128Ай бұрын
Hahahaha marekani ana siraa za garama kubwa ila akiingia vitani hawezi kukikimbia kichapo lazima apigike vilivyo. Mwambieni marekani apeleke Ukraine hizo maana walitupiga na F-16 sasa hawaongei tena
@truthnafact9081Ай бұрын
Akili finyu hii
@nemesjosephat5612Ай бұрын
Aisee nani Sky embu tupe hata historia ya malaika utupumzishe kidogo😊 make Kuna wakati nahisi kombora linaanguka karibu yangu😂
@emmanuelShayo-dk6vfАй бұрын
Wabonho kazi yetu ni midomo toothpick yenyewe hatuwezi kutengeneza tunacho weza ni condom tu ..vichwa Maji..alafu kuna watu wanaojifanya wanajua mambo ya nchi za wengine nchi yao wenyewe imewashinda ..kaeni kwa kutulia sns ndo wanafua kwa kina alafu wanatoa taarifa ..hawa wapo Dunia nyingine kisu chenyew hatuwezi kutengeneza .... bladfuu
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
😂
@lionofjudahtv8796Ай бұрын
Duh zote zinandaliwa Kwa ajili ya binadamu tu
@nassoroshakiru7094Ай бұрын
😂 😂 😂 Hawa lengo nikutufanya tuihame Dunia
@saleemsuleiman2220Ай бұрын
Ya vitisho hayo 😂
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Ndio
@adamhashim3352Ай бұрын
Binadamu sio poa lazima umuandalie
@LinosJohn-dp9xiАй бұрын
Ndege ipi yenye ufanisi mkubwa kuliko nyingine?
@rayakashdaАй бұрын
Link yako ya telegram mbona inakataa niki link
@IceCube-o6sАй бұрын
Tueletee za ndege za kivita kama F22 Raptor ya Marekani na SU57 ya Urusi