Ndege 10 za Kivita Bora zaidi duniani! Marekani, China na Urusi wachuana

  Рет қаралды 10,272

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 116
@JohnMilulu
@JohnMilulu Күн бұрын
Ndege ya kwanza ni B 2 spirit na F 22.. sio F 35... F 16 ni super.. nafasi ya 5 ni yake Mfano. Marekani amezigawa f 35 ulaya na baadhi ya nchi mfano s korea na japan. Lakini hajawahi kuzigawa F 22 na B 2 bomber ( hata israel hawana hizi, japo waga zinakuja kuilinda tuu)
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq Күн бұрын
Waipeleke Ukrein tuone kama hazionekani sio kutuambia kwenye media za magharibi 😂😂ziko wapi f 16 vifaru vya Abraham 😂😂😂
@georgemasumbigana7434
@georgemasumbigana7434 Күн бұрын
vifaa vinavyopekekwa ukrein ni vifaa enzi ya vita vya pili vya dunia 😅 vifaa vipya vya magharibi havijawahi pelekwa
@IbraEliudy-e9e
@IbraEliudy-e9e Күн бұрын
Una akili wew jinga jinga tu?? Wew una penda vita je? Una jua weeks wanavo teseka mother fant wew
@festohaule9716
@festohaule9716 Күн бұрын
Afrika inapeleka Nini hapo!!! Tanzania Bado tunafundisha Maisha ya panzi😂😂😂😂😂
@EnogiveGeneralSupply
@EnogiveGeneralSupply Күн бұрын
Mimi ni mpinzani wa USA lakini kwenye ndege vita Marekani wapewe maua yao.
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 Күн бұрын
Hata Mimi ni mpinzani wa USA ila kwenye hili naona wao ndo wanaongoza
@donizzo9570
@donizzo9570 2 күн бұрын
Hizo za wa marekani waambie wazipitishe kwenye anga la Urussi tuone kama kweli hazionekani..
@Njiwamichael-km1dm8et9x
@Njiwamichael-km1dm8et9x Күн бұрын
Je urusi yeye apitishe ndege zake marekani
@raydanfrenk
@raydanfrenk Күн бұрын
😂😂 ujui American unalopoka tu tu kwa ushabeki😅😅
@OmariChanja
@OmariChanja Күн бұрын
Umavyoropoka sasa utafikiri hao warusi ndo wana uwezo wakupitisha za kwao kwenye anga la Marekani. Hivi US unaíchukuliaje kwa mfn unafikiri ni hapo kwenu bongo, pumbavu kbs ww
@donizzo9570
@donizzo9570 Күн бұрын
@@Njiwamichael-km1dm8et9x Urussi alishapitisha sana tuu nabila wao kuziona kama unafuatilia mambo yakiuchunguzi vyema basi fuatilia kwanini marekani alianzisha base ya area 51.. Blackhawk yenyewe ya marekani ikikatiza kwenye anga la Urussi inaangushwa.. Urussi sio mzungumzaji na sio mtu wamaonesho yeye ni vitendo tuu na ndio taifa lakwanza kuwa na siraha bora zakisasa zakivita na za technology kubwa Duniani.. Kila atakachokitengeneza Urussi marekani inamchukua miaka 10 hadi 15 kukifanikisha
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Күн бұрын
😂😂😂😂😂
@mimibusarachibu
@mimibusarachibu Күн бұрын
kwenye vita, hizi stori zenu hazina mpango;hatujaona nyingine kazini na kwa hiyo hatuendi na upepo wenu na kama ziemtumika, basi hawakukutana na peer opponents! Tumeona F-16 zenu zikifeli kule Urusi mpaka Marekani anaogopa kupeleka F-35 maana anajua Putin Hana machezo na hawezi kuwapa nafasi kwenye anga yake
@Robinson24560
@Robinson24560 18 сағат бұрын
Mtangazaji umesahau kuwambia hizo za marekani ndio wana Israel wanatumia kuwafunza adabu mahasidi zake na hakuna inchi inaweza challenge fighting jets za American mpaka leo hii urusi ni watoti china wanijaribu lakini bado sana
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 Күн бұрын
Baathi ya watania mmejas umbeaa tuu ukishajua kingereza tuu unajiona unajua Kila kituuu marekani kibokoo wanaijua Dunia zaidi ya miaka 300 iliopita wewe unahata miaka 50 unajiona unajuaa🤣🤣🤣
@AmisiKaluta
@AmisiKaluta Күн бұрын
Aibu ni pale zinapo pigwa na drones za iran😅
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni Күн бұрын
Hizo hazipigwi na drones na hazijatumika bado vitani
@EriyaRichard
@EriyaRichard Күн бұрын
​@@FredMwamgogwa-td6niusilie Sasa
@amanilucy
@amanilucy Күн бұрын
Hazijawai dondoka Bali zinatumiwa pia kuzuia makombora na kushambuli
@MatridaAdam
@MatridaAdam Күн бұрын
Bro drone gani ya iran itapiga ndege vita aisee drone zenyewe hazina maneuverbility kurusha air to air missiles
@barakachristopher2504
@barakachristopher2504 Күн бұрын
Iran wenyewe uwezo wa kutengeneza ndege wanao? Hizo ni level za Russia, Marekan na China
@NoelNjementi
@NoelNjementi Күн бұрын
Wachambuz wako mbona wako kimya hamasi inapotezwa na iziboraa wanateketea uko naisrael imesema ichi yoyote ijipeleke ikione Chamtema kuni😂😂😂😂
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Күн бұрын
Hua una angalia na habar sehem nyengine au unasubir SNS tu
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq Күн бұрын
Hizo rada za Tanzania na kenya au😂😂😂😂
@joseaugust2805
@joseaugust2805 Күн бұрын
F 22 raptor , ndo maraekani wanaipenda ndo maana wapo radhi kuuza f 35 series zote ila f 22 raptor ni ngumu sana kuziuza nchi nyingine
@mdedsm5522
@mdedsm5522 Күн бұрын
F22 raptor....ni habari nyingine na marekani wamepitisha sheria isiuzwe kokote duniani
@benjaminibirama6664
@benjaminibirama6664 2 күн бұрын
Naikubari Urusi tyuu
@raydanfrenk
@raydanfrenk Күн бұрын
Kwa sababu ya akili za kipimbi imani ya kijinga ndio inakuendesha😅
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz Күн бұрын
🤣🤣🤣 tatizo mnapenda kuambiwa vitu mnavyopenda kusikia kuliko ukweli
@jacksonchilongani4478
@jacksonchilongani4478 Күн бұрын
Movie za marekani zilisha wahalibu sana ndio maana unaropoka, nikuulize marekani kapiga vita lin kwake ukilinganisha na urusi​@@raydanfrenk
@mgoshatozagosha2967
@mgoshatozagosha2967 Күн бұрын
​@@Aminmwansile-we8vnrekebisha kiswahili first alafu Urusi hajashindwa kumaliza hivyo vita kwanza nikuonesha ubabe na pili nikutaka kuwafilisi NATO wale wapumbavu alafu kuepusha mauaji ya halaiki kwa watu anaheshimu sana maisha ya wananchi hata Kama siwake
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f Күн бұрын
​@@Aminmwansile-we8vnwe naye hujui kitu. Lengo la Russia sio kuiangusha ukrein, lengo la Russia ni kuiharibu dola ya marekani. Hiyo ni yakwanza. Afu ukrein anasaidiwa nchi 60. Huoni au
@thomasmwambuba680
@thomasmwambuba680 Күн бұрын
Wivu tu huo mbona matunguli yetu hujayataja jamn😂😂😂😂
@BimHamdi
@BimHamdi Күн бұрын
Labda ya difenda za kukamata watu maandamanoni na washawasha tupo juu😅😅
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q Күн бұрын
Mwambie mrusi nae apite kwenye hanga za Marekani aone moto Ngoja nikeambie kiburi cha izraeli ni silaa za marekani
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 17 сағат бұрын
Marekani baaadhi ya ndege hawapi watu kwaajili yake tu zenye uwezo mkubwa hawapi watu wa inje
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q Күн бұрын
Ukweli acheni Marekani itawale Dunia wanao uwezo uo Kweli wana makombora manuari na ndege za kisasa mno wako juu
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro Күн бұрын
Sasa hizo ndege za Marekani akazijalibu Urusi aone moto
@thomasmwambuba680
@thomasmwambuba680 Күн бұрын
Wap f-16?
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni Күн бұрын
A 35 ya marekani ndio top kuliko zote.
@BimHamdi
@BimHamdi Күн бұрын
Zileteni huku mutuondolee ccm tumewachoka
@magretherick1478
@magretherick1478 Күн бұрын
S-57 bado haijaingia mzigoni bado mzee
@rashidalihamad7228
@rashidalihamad7228 Күн бұрын
Marekani wapo juu watu waache siasa za media ya kwamba urusi yupo juu
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Күн бұрын
Promo tu hiyo ni biashara mjomba
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Күн бұрын
​@@sultanbakary4292 Unaota ww
@amirisaid6341
@amirisaid6341 Күн бұрын
Yeah Wana ndege nyingi sanaa pia ndio nchi ambayo ipo vizuri sanaa kwenye vita ya angani
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz Күн бұрын
🤣🤣🤣 tatizo mnapenda kuambiwa vitu mnavyopenda kusikia kuliko ukweli
@amirisaid6341
@amirisaid6341 Күн бұрын
@@ShawnBeatz kiaje boss ww mtazamo wako upoje?
@Tanganyika-w5p
@Tanganyika-w5p Күн бұрын
Kama Kawaida URUSI ndiyo namba moja.. Marekani ni mtu wa Kujisifia wakati vifaa vyake vya kawaida. Mrusi ni mtu kazii.. Urusi ni balaa
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz Күн бұрын
🤣🤣🤣 tatizo mnapenda kuambiwa vitu mnavyopenda kusikia kuliko ukweli
@jbsilulatv4513
@jbsilulatv4513 3 минут бұрын
Tanzania tunamiliki aina gani
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Күн бұрын
Mrusi ameshajiandaa kwa vita muda mrefu sana... Bora wapigane ili kila mmoja amiheshimu mwenzie... Dunia itatulia kwa muda
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Күн бұрын
Usilazimishe
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Күн бұрын
Mshamba wee angekuwa amejiandaa SI angekuwa amempindua zerenzik Hana uwezo huo ndiyo maana ameshindwa kushinda Ukraine
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 Күн бұрын
​@@Aminmwansile-we8vn akili Huna
@raydanfrenk
@raydanfrenk Күн бұрын
Ww ni k hv unajua vita ni kutombw kwanz ampig Ukraine ndy tujue amejianda😂😂 nyiny ndy mlituimanisha kuwa Hezabrallah ni atari badae kmy
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Күн бұрын
@@Aminmwansile-we8vn yan huna kitu unajua aisee..usiwe unamaliza bundle lako kwa kufatilia taharifa zenu za kishoga.. Jaribu kufatilia historia ya mzozo huo ulianzia wapi utanielewa wewe pimbi nini namasnisha!
@jeanbosconibigira4637
@jeanbosconibigira4637 Күн бұрын
Umeyisahau popo ya marekani
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Күн бұрын
Sns muna umarekani sana wallahy
@yussufmkadam8894
@yussufmkadam8894 Күн бұрын
Oya GPS wiki hii mlalaa sio
@kombatv2069
@kombatv2069 Күн бұрын
Alaf isubirini SU-75 ipo kiwanda bado uzinduz tu
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz Күн бұрын
🤣🤣🤣 tatizo mnapenda kuambiwa vitu mnavyopenda kusikia kuliko ukweli
@muhseenmakpel5043
@muhseenmakpel5043 Күн бұрын
Hapa SNS sijawaelewa mbn urusi inandege za hatari na amjazizungumzia kama su 57 felon su 75 checkmate mig 40
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz Күн бұрын
🤣🤣🤣 tatizo mnapenda kuambiwa vitu mnavyopenda kusikia kuliko ukweli
@EnogiveGeneralSupply
@EnogiveGeneralSupply Күн бұрын
Zimeongelewa zote,Marekani wapo vzr japo Mimi ni team Russia
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni Күн бұрын
Urusi ndege yao Bora ndio hiyo sukho su 57
@NoelNjementi
@NoelNjementi Күн бұрын
Jmn mbona dj smahaa yuko kimya kiongozi wa iziboraa ameaga Dunia ila naona yuko kimya sn
@Aaswim-v9h
@Aaswim-v9h Күн бұрын
Atakuwa anaombolezaa
@josephpeter8511
@josephpeter8511 Күн бұрын
su 57 mbona sijaisikia
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni Күн бұрын
Niya tano kiubora ludia kusikiliza
@LukasSikanyi
@LukasSikanyi Күн бұрын
Marekani anaongoza dunia kwa nguvu ya kijeshi
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Күн бұрын
Kwa mitandao ila kisilaha mrusi na kivita
@OmariChanja
@OmariChanja Күн бұрын
​@@jumamussantuichekwa mitandao ila kiuhalisia Marekani baba lao the Super Power
@Goodluck-p9y
@Goodluck-p9y Күн бұрын
Na anaongoza pia kwa kuwaaminisha watu watu hasa nchi maskini kwamba yeye ndio anajua kila kitu
@valeriusfelix7379
@valeriusfelix7379 Күн бұрын
​@@jumamussantuiche....Mzee Ukweli huo ata Urusi anaujua. Huoni ndege zikifanya maajabu kule Israel... Ndege hizo nyingi ni kutoka Marekani siyo Urusi
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc Күн бұрын
China Apo Wamtoe Umeona Ndege za Chaina Kwenye Battle gani Bhn Wasitudanganye God Bless America today tomorrow and alway
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f Күн бұрын
Wazipeleke pale ukrein ili tuone uwezo wao.
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 18 сағат бұрын
Izo kwaaajili yake tu marekani
@nelsonsechambo
@nelsonsechambo Күн бұрын
Urusi nimbwa koko tu kwani anabweka tu.
@marcedeskaigarula
@marcedeskaigarula Күн бұрын
Una maanisha nini ?
@kombatv2069
@kombatv2069 Күн бұрын
Su -57 ndo namba moja hata marekani analijua hilo
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Күн бұрын
Unaota.Marekani ndio kila kitu
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz Күн бұрын
🤣🤣🤣 tatizo mnapenda kuambiwa vitu mnavyopenda kusikia kuliko ukweli
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni Күн бұрын
Umeambiwa ndege ya marekani ndio namba moja
@RonnieBertin
@RonnieBertin Күн бұрын
Marekani Kwa anga usijalibu
@RonnieBertin
@RonnieBertin Күн бұрын
Mbona akutaja ndege mweusi. Black bird
@evansogutu4167
@evansogutu4167 Күн бұрын
Ziingie vitani ndio tujue niipi Bora sio ati azionekani kwa rada ....labda rada ya KENYA na Tanzania manake ata Abraham tank na Leopard mulisema ivo
@EliudKatamba-qu7fg
@EliudKatamba-qu7fg Күн бұрын
Mm ninachotaka urusi na malekan waingie vitan wenyewe paxipo kua na taifa lingine la kuxaidia ndo tujue mbabe ni yupi
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Күн бұрын
Marekani hawez kupigana vita akiwa peke yake ndio maana ili vita apigane ashirikishe nato yte
@Manifestation123
@Manifestation123 Күн бұрын
Wakiingia vitani, nchi yako itakufa kwanza, ndipo zao zifuate
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Күн бұрын
@@MohamedAhmada-ie7ke uwezo wa urusi ni mdogo Sana kulinganisha na marekani marekani ndiyo baba wadunia hii
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 23 сағат бұрын
@@Aminmwansile-we8vn baba wa duni or anajipa uwo ubaba wa dunia na akikupaten kama nyie mnao msujudia tena na kumpamba hana lolote katengeza nato kwa sababu ya uwoga wake
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Күн бұрын
Hiyo ndio marekani yaani mrusi akasome
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 23 МЛН
NUNUA NDEGE KWA DOLA 200,025 TANZANIA
8:53
Daily News Digital
Рет қаралды 1,7 М.
Oliver Kahn will never forget this humiliating performance by Ronaldinho
10:07
Quantum Technologies - from research to reality
2:02:35
The Foundation for Science and Technology
Рет қаралды 2,1 М.
AREA 51 | UFOS, extraterrestrials and secret technologies
1:24:42
Lifeder Educación
Рет қаралды 4,9 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 575 М.
What REALLY Caused the Split Between Sunni and Shia Muslims
17:03
The Islamic History Hub
Рет қаралды 209 М.
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН