MAKONDA AKASIRIKA, ATOA MAFUTA YA KUPAMBANA NA WEZI WA ARUSHA "TUTALAUMIANA"

  Рет қаралды 27,903

Millard Ayo

Millard Ayo

22 күн бұрын

Пікірлер: 70
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 19 күн бұрын
Mh Makonda Allah akulinde dhidi ya wabaya katika juhudi zako za kujitoa kwa ajili ya wananchi wenzako, huo ndo uzalendo na ubunifu wa uongozi,...wananchi tumuunge mkono Mh Makonda ktk harakati zake kwa kweli anajitoa kwa ajili ya wananchi wenzake... Kwa kweli Mola akulinde, tupo pamoja na ww mheshimiwa.
@Innocentnyika-ml5tr
@Innocentnyika-ml5tr 20 күн бұрын
Safi you are more than leader
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 20 күн бұрын
Makonda Allahu Akuhifadhi wewe na Family yako
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 20 күн бұрын
Makonda Mbunifu sanaaaaaaa ila kua na Subra ya kufika mbali Utanikumbuka ❤❤❤❤❤❤
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 20 күн бұрын
Unamaana anaharaka kufika mbali au mbona sielewi 🤔🤔🤔
@salimsoyo8118
@salimsoyo8118 19 күн бұрын
,,😂😂😂😂😂😂😂​@@user-nb6yh2bn9y
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n 20 күн бұрын
Umetoa mafuta mengi sana mkuu toa lita 100 tu kwa wananchi wenye hasira kali utakuwa umeokoa mafuta mengi sana
@ms123ru
@ms123ru 20 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 daah kaka
@RubenMmassy
@RubenMmassy 18 күн бұрын
Mhe. Paul Makonda hongera sana kwa kuanzisha hilo zoezi la kutoa mafuta na vitendea kazi kama magari na pikipiki kwa ajili ya kukomesha zoezi la wizi
@juliusdonard933
@juliusdonard933 20 күн бұрын
Mm kwa kwel nasema kutoka moyon CCM mpen nafac makonda ambayo atatugusa watanzania wotee hata ya uwazir mkubwa nabbaadae ikiwezekana kwa mapenz ya mungu aiongoz Tanzania
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 19 күн бұрын
No awe mkuu wa majeshi yote Africa
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 20 күн бұрын
Wanapigaga konyagi ya kupima usiku mkuu chai watatapika
@PeterMichael-ks4jw
@PeterMichael-ks4jw 20 күн бұрын
Asante sana makonda kazi nzuri
@GervasiMwacha
@GervasiMwacha 19 күн бұрын
Haya sasa. Na kahawa ya usiku mtapata pigeni kazi wakuu.
@user-yc3hb9wl6b
@user-yc3hb9wl6b 20 күн бұрын
Mungu Makonda mpe awe rais wa nchi Mungu naomba mpe nafasi hiyo
@HamadBashir-bs5wo
@HamadBashir-bs5wo 20 күн бұрын
Wawekewe nakupigwa picha kwenye vituo vya mafuta
@emanuelavaleriani8646
@emanuelavaleriani8646 20 күн бұрын
Arusha mpo vizuri
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k 20 күн бұрын
Mmmh dogo ww, kongole,ni.mbunifu sana. Endelea kuna nuru mbele yako.
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 20 күн бұрын
Mkuu mm naamin utatoa ila wana tabia yakusema hawana mafuta yan hiyo haikwepeki hiyo ni tabia yao hapo wataoiga salut sana ila kwenye utekelezaji mh
@user-xw3kj6dt7p
@user-xw3kj6dt7p 19 күн бұрын
Mmmh wewe ni mfano wa kuigwa upo vizuri sana barikiwa sana
@user-js7lr8vr9i
@user-js7lr8vr9i 20 күн бұрын
Pamoja sana bingwa 👊
@kolumanialoyce4623
@kolumanialoyce4623 19 күн бұрын
mkuu wangu wa mkoa MUNGU yupo pamoja na wewe fanya kazi tupo pamoja
@yessesamsom961
@yessesamsom961 19 күн бұрын
Safi sana kamanda makonda ila la zisda? Ni huu usafiri wa Costa zinazoenda moshi kutoka arusha upakuani wake sio mzuri siti ziko nne 4 ila aburia wanafisiwa wake watano haifai mkuu tunaomba ilikemee hilo tafadhali sana kwaujumla hata zinazoenda kikatiti nikitokea arusha mjini na zo ni hivyohivyo tunaomba ilikemee hilo tafadhali sana tuko pamoja mkuu wetu.
@hbdina
@hbdina 20 күн бұрын
😂😂😂Makonda watu weusi tuige mfano wa Kiongozi huyu kwa moyo wa dhati anahudumia taifa la Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
@hbdina
@hbdina 19 күн бұрын
Kwanini viongozi weusi wasiwe kama Makonda?Nchi za Kiafrica zingekuwa mbali kiuchumi na maendeleo ya jamii kiujumla
@nickmkude7571
@nickmkude7571 20 күн бұрын
Makonda ananikumbusha historia ya Yusuph alivyokuaga mbunifu kuitoa kwenye njaa nchi ya misri
@hassanmkono1563
@hassanmkono1563 19 күн бұрын
Well said broo
@daudimichael7338
@daudimichael7338 20 күн бұрын
Usalama ukishakaa vizuri ingia kwa wakulima wapate pembejeo wazalishe vya kutosha. Nani kama wewe? Hakuna!!
@Franco_carlo25
@Franco_carlo25 19 күн бұрын
Nilidhani ni mafuta ya kuwachomea wezi😂😂😂😂
@GiftAyo-s9e
@GiftAyo-s9e 19 күн бұрын
Tunamshukuru mama kwa kutupa uyu kiumbe jamn
@dingadinga6674
@dingadinga6674 18 күн бұрын
Safi sana
@cosein
@cosein 20 күн бұрын
Hapo kwenye kahawa ni htr sana
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 20 күн бұрын
Wizara husika mpoo
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 19 күн бұрын
Nikweli selikali inaweza kasa mafuta, hii ni mbinu za kisiasa,kutishya watu polis wanafeli makonda anazalilisha jeshi mafuta ni aibu
@paulolmabu7161
@paulolmabu7161 16 күн бұрын
Kuna wakati unatamani baadhi ya matamko ya Makonda yatimizwe na mikoa yote
@aloyztv8434
@aloyztv8434 18 күн бұрын
Safi sana ila sasa katabia ka kusema tuchangie kataisha hauuu???
@aguumoppao15
@aguumoppao15 19 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@NeemaNjera-ho6ln
@NeemaNjera-ho6ln 20 күн бұрын
Hao.polisi.wenyewe.waizi.
@feysalramadhan8541
@feysalramadhan8541 20 күн бұрын
Eye ndo mwekit wa usalama mkoa..ivo lazima atengeze usalama wakutosha kwenye mkoa wake,,aman ikiwemo laia hufanya kaz vzur ..binadam mda mwngne tusibeze kilaktu .
@broka_genius3615
@broka_genius3615 20 күн бұрын
Mitano tena
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 19 күн бұрын
Mafuta yatauzwa hayo sio mda na watendaji waovu unao humo humo,,,, tena washatafuta wateja vile tu ulivyowaambia
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 19 күн бұрын
President poul makonda
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 20 күн бұрын
Yani makonda bn kila sem akipita anaacha alama Yani kapewa mkoa anafanya kazi kweli kama kapewa nchi sasa akipewa nchi sibalaa iyo
@DM_15
@DM_15 20 күн бұрын
Safisana
@ShamsiKasoma-fn4cl
@ShamsiKasoma-fn4cl 19 күн бұрын
kuna mtu anasema msomi halafu maarifa hana ili jamaa hata lisingeenda shule hata darasa mmoja kwa kaz hz ni zaidi ya msoma piga kaz kaka
@dizzosukariyaoSukariyao
@dizzosukariyaoSukariyao 19 күн бұрын
Hiii Millard ayo. Niyakinafki Mambo ya CHADEMA hairushi achaaaaa roho mbayaaa u jamaa
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 17 күн бұрын
Ushaona chadema wanahudumia wananchi wacha siasa
@dizzosukariyaoSukariyao
@dizzosukariyaoSukariyao 17 күн бұрын
@@AllyMaya-yj3xdKwan u umeudumiwa unavyo sema Chadema aiudumii wananchii 🤣 unafel
@msafiriomary893
@msafiriomary893 20 күн бұрын
Watayauza yote hayo mafuta
@msafiriomary893
@msafiriomary893 20 күн бұрын
Hapo Sasa wanainchi mjiandae kubambikizwa kesi hro diri kwa polis wamepata
@ukweli255
@ukweli255 20 күн бұрын
Kuna Ubaya Gani hili Taifa Likapata viongozi Jasiri na wenye Maono tu...Hasa kutoka Kanda ya Ziwa Fikiria John Heche Rais wa Tanzania halafu Paulo Makonda Waziri Mkuu🤠
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 20 күн бұрын
JWTZ unaiingizaje huku?
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 19 күн бұрын
Kwani ndo nn wasiingizwe huko? Shda ni nn kwa mtazamo wako
@celestinermantenga2463
@celestinermantenga2463 19 күн бұрын
@@salvatoryboniface1089 hao JWTZ lazima wawepo wezi wengine wana mbinu za Al-shabab lazima wakutane na hiyo kubwa yake JWTZ.
@mataypanga5262
@mataypanga5262 20 күн бұрын
Lakini ujue hiyo siyo yako,ni kazi ya wizara ya mambo ya ndani.Wewe fikiria kwa nini kuna wizi na ukomeshe umasikini wa wananchi masikini wasio na kipato. Hata uwape mapipa ya mafuta kama hujui namna ya kuondoa umasikini ni bure. Ni bahati mbaya sana kuwa na viongozi wasiojali wanyonge. Halafu hayo mafuta unayodai mpaka Mungu aseme basi 😂,kwani ni mvua?
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k 20 күн бұрын
Unashangaza sana
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 20 күн бұрын
Wacha Choyo 😢😢😢😢
@KevinJamesVictor-os5xd
@KevinJamesVictor-os5xd 20 күн бұрын
Kwn ukiwa maskini ndo ufanye uhalifu? Makonda tunakuombea sn bro pga kzi
@florianhenry7198
@florianhenry7198 20 күн бұрын
Wewe kibaka nn umasikin anawezaje kumuondoa kwako usipofanya kazi na kulindiwa Mali zako Kwa usalama ??
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 19 күн бұрын
Sawa hyo cyo yake nahc itakuwa y'ako,,,uvunjifu wa Amani unapotokea katika mkoa anaewajibika ni wizara cndyo😂😂 kweli Akili ni nywele
@robertngowi9228
@robertngowi9228 20 күн бұрын
Vibaka wanachomwa kila leo mh usiwalee hao wanaojiita wadudu futa kabisa huo ujinga wa wadudu watakuangusha mh
@tanzanianpatriotic3532
@tanzanianpatriotic3532 20 күн бұрын
Sio wote niwahalifu mkuu,japo ndani Yao Kuna wahalifu.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН