Hakika ya Mungu hili linauma sana!! Tena inatisha. Ila Mungu wetu uonae sirini naamini % Unajua ukweli..Kwa ajili ya Machozi ya walio wengi,na uchungu wa Roho zetu! Sasa yatosha Bwana, simama Ujidhihirishe, dhihirisha ukuu na mamlaka uliyonayo Jehovah Nisi, Tunakuomba Baba..🙏🙏🙏
@GladnessSamson-xk2iiСағат бұрын
Amen🙏
@HappyElias-t9f12 сағат бұрын
Kwanza ukifatilia toka tatizo linatokea, Kuna tatizo, mwanzo utagundua kulikuwa na simu za muharakisho sana wa kwenda bandalini kufuata mzigo wake, 2 gari iliyomgonga haijulikani mpaka Sasa, jeshi la polisi haisemi ajali ilitokea maeneo gani na kuthibitisha😢😢 mtetezi wa haki ni Mungu
@hassanlikwenangu847112 сағат бұрын
Msikie vzr Kamanda Muliro punguza upambe
@MiriamKhalid-z6o12 сағат бұрын
@@hassanlikwenangu8471upambe Gani? kumbuka muliro alisema alipelekwa na wasamaria wema huku tunaambiwa alipelekwa na police
Allah ni.mjuzi kwa yaliyo fichikana. Yeye anajua tusichokijua. Inalillahi waiinailahi rajuun. Allah amueke panapostahili
@VERONICA-o7n11 сағат бұрын
Amin
@Fatima-v9k6f11 сағат бұрын
From 🇧🇮 uyu kamanda muliro wenu mungu anamuona na dunia zima mimi si mupendi uyo baba ni shetani san kila habari yeye anasema yake
@mkondomkondo472111 сағат бұрын
Hàjui kama ipo cku ataagana na hili gwanda,kiburi san
@salomewandya725711 сағат бұрын
Dah ni huzuni sana
@hassanlubola41410 сағат бұрын
Marehemu alikuwa amekwisha fariki,,,askari walimleta, police walikuja kujiridhisha kama Ulomi alifia hospitalini hapo,,, bonge la MOVIE
@mshua3376 сағат бұрын
Rudia utaelewa
@asinahussein21764 сағат бұрын
@@mshua337yani watanzania siku hizi wengi hawana akili wanapenda kusikia mabaya tuu ndigu wameridhika waliomuona haya wewe uko kwako nikuropoka tuu.
@JosephKimea-q1oСағат бұрын
Sio kusikia mabaya tu tumechoka na matukio ya kutekwa kwa watu ndgu zetu wanapotea hafu tunaanbiwa Kuna watu wasio julikana binafsi inaniuma hakuna mtu asiejulikana hapa Tanzania hakuna ambacho hatukkijui ww endelea kutetea ndgu zako
@Zaynab-ny6gr13 сағат бұрын
Polisi wasema wasamaria wema daktari asema kapelekwa na police nchi ngumu hii
@josephjohn211412 сағат бұрын
hapo sasa wenye akili wameelewa
@petrolconrad425012 сағат бұрын
😂😂😂😂kifupi kuna suala la kiufundi linapotezwa. Marehemu ni detective na kaka yake ni ACP ELISANTE ULOMI. kuna za ndani zinadai alikuwa akifanya kazi kituo cha mabwe pande. Maadam DC kwa niaba ya familia imekubali basi tuwape pole tu
@PrinceHendry-hp8vv12 сағат бұрын
Makubwaaa
@rosemarealle305312 сағат бұрын
Kwani alitakiwa kufa lini??
@PrinceHendry-hp8vv12 сағат бұрын
Yani alikua ndugu wa askari wakakosa taarifa za mtu kama huyo sasa kwasisi mbulula imekaaje
@Vike333-l8o11 сағат бұрын
Wanafamilia poleni sana Mwenyezi. Mungu awape Subra Pumzika kwa Amani
@IbrahimMadulo10 сағат бұрын
Yana mwisho haya mambo Mungu siku zote hazihakiwi
@FamtamAli-vl2wx12 сағат бұрын
Uwongo jamani zambi mungu ana waona siyo kweli adi pikipiki Mh🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@My_day_my_future12 сағат бұрын
Ukweli upoje dada?
@NemaAli-zh6hr10 сағат бұрын
Wew nae nyamaza hv uoni km maigizo hyo kuna v2 wanaficha@@My_day_my_future
@asinahussein21764 сағат бұрын
Nyie malalamiko fc mnauchungu kuliko ndugu wamarehemu kama mnaelewa kilichomuuwa cmkaafungue kesi. Hata wewe unaelalamika utaishi milele.
@Shaniatwain0630 минут бұрын
@@asinahussein2176Maelezo yanasigana kati ya Dr na Mulilo amka ww wakati sio huu😂😂
@hamisaally968Сағат бұрын
Sasa polisi wanasema alipelekwa na wasamaria wema uku hospital alipelekwa na askari alafu ata sehemu aliyopata ajali awataji wallah Allah anawaona na anawajua mlichomfanya uyu baba wsllah😢😢
@humoudseyd731011 сағат бұрын
Hiii ni case rahisi sanaaaa mchongo huo...Pana jambo hapo nyuma ya pazia...
@husseynomar95239 сағат бұрын
@MILLARDAYO TUNAOMBA SASA UENDE ENEO LA TUKIO UKAULIZE WENYEJI WA HAPO NAMNA AJALI ILIVOTOKEA NA MASHUHUDA WALIOSHUHUDIA ILI HII KESI TUIMALIZE.. AU KAMA SAA 7 MCHANA WAKATI AJALI INATOKEA KULIKUWA HAKUNA WATU PIA MTWAMBIE
@hamisaally968Сағат бұрын
Wanasema basii ata alipopata hiyo ajali ndugu wanaruka tuka tuu kama bisiiii
@Furahinikatkabwana12 сағат бұрын
Hiyo bandama iligongwa na hao mbwa askar maana hawawez kusema aliletwa na wasamaria wema leo aliletwa na askari
@petrolconrad425012 сағат бұрын
😂😂😂acha tu
@ZUWENADELLOW10 сағат бұрын
😭😭😂🤣😂
@MohammedAwadh-gq9si2 сағат бұрын
Mawazo yako ni ya kipumbavu na hujui kitu
@MohammedAwadh-gq9si2 сағат бұрын
Tunawaamini madaktari na sio wajingawajinga wasio na akili timamu,wao wanachojua ni kutekwa tu ,
@philipokizzale10 сағат бұрын
Hili tatizo litawafanya msifike Mbinguni ukiangalia sakata hili utagundua kuna viashiria vya sintofahamu,inawezekanaje awe anafuatiliwa na watu kisha ajali itokee,na ajali zote zinazitekea hapa nchi lazima tuone mitandaoni.Mungu ndiye ajuaye
@Furahinikatkabwana13 сағат бұрын
Muliro ni muongo mkubwa,yeye anatakiwa auliwe mtoto ili ajue uchungu,
@HolloJuma10 сағат бұрын
Hasikali kaokotwa na wasamalia wema!!!? Makuburi kaletwa naasikali hii imekaaje asikali kwann asimpeleke mojakwamoja hosipito kubwa maana hakuwa polini au kijijini!!? Unajua hujui iko !!!!!!!
@RenaldaZeramula13 сағат бұрын
Mhandishi tafuta.maboda watakueleza ukweli km kuna ajali.iliyokea
@josephjohn211412 сағат бұрын
kweli watafutwe boda boda yaani ajali itokee boda boda wasijae uliona wapi tena mchana
@pascalmsegea456310 сағат бұрын
Ila External huwa huwa hapali njaa pale famu inamwagika sana kwa uzembe wa bodaboda, kama huamini nenda kashinde pale utaujua ukweli
@abdul-azizmuawiya37348 сағат бұрын
Kwani unamshaka Gani, ndio keshatangulia, nasi safari Ni hiyo. Haisaidii Tena. Madaktari wamejitahidi Kwa uwezo wao, bwana ametoa Na bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.
@ahuriladaniel984912 сағат бұрын
Sasa askari wamempeleka then askari walikuwa kimya na mtu alikuwa anamtafuta na walikuwa kimya😮😮😮😮😮
@PendoMatemba12 сағат бұрын
Haiingii akilini
@FatumaJuma-b2g11 сағат бұрын
Kunajambo
@christopherjoseph833010 сағат бұрын
Sitetei askari lakini marehemu hakuwa na utambulisho wowote.
@lilyjones358410 сағат бұрын
@@christopherjoseph8330Polisi wangeweza kufuatilia usajili wa pikipiki. Mengine yangefuatia baada ya kumfahamu mmiliki. Kuna mgongano wa maelezo kati ya Muliro, Bomboko na Daktari wa Makuburi. Muliro anadai wasamaria wema walimpeleka kituo cha afya Makuburi! Bomboko anadai ajali imetokea saa saba na dakika 55. Daktari anasema majeruhi alipelekwa na polisi, alipokelewa hospitali ya Makuburi saa saba na nusu mchana. Lugha gongana 😢
@joshuanassary507212 сағат бұрын
Hapa Kuna kitu hakipo sawa , taarifa za jana na Leo zinanichanganya kabisaa
@MiriamKhalid-z6o12 сағат бұрын
Uongo mtupu manyumbu😢😢😢😢😢
@josephineokama22009 сағат бұрын
washatuona sisi ni Wa kunyea
@jovinmancomedytz10 сағат бұрын
Yani uyo kamabda Murillo sinaga Imani naye lakini anausiasa sana uyobaba Mungu atamlipa Yale yote anayowafanyia Binadamu wenzake nasikuizi malipo nihapahapa duniani yanikama haujafa lazima ujutie kidogo uliyoeafanyia watu
@Mariam-w9s3b12 сағат бұрын
Kesho litatoka tamko lingine ni wazi mungu awaumbua kwa maovu mnayoyatenda ila mjue tu akuna atakaeishi milele
@MiriamKhalid-z6o12 сағат бұрын
Yaani MWENYEZI MUNGU anawaumbua IPO cku
@khadejakhadeja971349 минут бұрын
Dada dada umebabaika sana dada na wewe utakufa hakuna huduma yoyote hapo wamemuuwaa kupoteza ushahidi ULOMI😢😢😢😢
@MaryBiyaki-t4y8 сағат бұрын
Ni ujungu sana,uongo hapa,wa Tanzania mwenyezi mungu awalinde maana mtazidi kutekwa,msiamini hawa waongo
@joshuanassary507213 сағат бұрын
Kumbe kapelemwa na police duuuh, afu mtu anatafutwa siku nne zote izo
@johnmlay836612 сағат бұрын
Kwa kweli maelezo haya ukichanganya na yale ya Muliro unapata maumivu ya kichwa! Yaan polisi wameitwa kwenye ajali then wanaenda mpeleka mgonjwa zahanati! Na wakala kimya hadi jana?
@josephineokama22009 сағат бұрын
ila wewe mama mara mlimtafuta mishipa mara mlivuta dam tumboni mara hukuwepo woi Wacha kutuokota banah
@annajohn1758 сағат бұрын
Mama kavurugwa..kashtukizwa@@josephineokama2200
@peterpetermdaku169113 сағат бұрын
Wasamaria wema🙏 oya hebu nendeni makuburu police tukapate askari walio mleta,,pikipiki namba ipo je namba ya lori lililomgonga?
@MiriamKhalid-z6o12 сағат бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@zulphasaid95910 сағат бұрын
Kuna janja janja mbuzi nyie mtalipia tuu Kwa namn yyte😢😢
@frankdominic6649 сағат бұрын
Dùùuh apana apa kuna kitu kimefichwa mnamteka mtu akiwa mzima mnamuacha akiwa mahiti wauaji najua wako humu kwenye comment endeleeni kuuwa kila mtu atakufa alivyopangiwa na Mungu ata nyie mtakufa tu
@Shaniatwain0632 минут бұрын
Uongo ushabainika shubamiti Dr kaletwa na Police. Kule Jumanne Muliro wasamalia wema ndy wamempeleka huyu kauliwa mseme tu ukweli 😂😂😂😂😂
@josephjulio611210 сағат бұрын
Tanzania tuwe makini kwa uongo huu ata uwe na akili ya gb 1 unaelewa kitu
@bishopmosesmagadula757210 минут бұрын
MASHAKA NI MAKUBWA SIKU NNE ZILIPITA IKIWA HAJUKIKANI ALIPO POLISI WAKIWA HAWAJUI NDUGU WALIZUNGUKA MAHOSPITALINI KISHA TAARIFA HII INAKUJA MAELEZO YANAPISHANA PISHANA MUNGU ATUSAIDIE..
@FamtamAli-vl2wx12 сағат бұрын
Jamani uyo wame muuwa wao wenyewe apo viswaili vina gongana Mh hamani tuwe makini na Tanzania saizi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@MiriamKhalid-z6o12 сағат бұрын
Kauwawa Jana walisema ni wasamaria wema leo tunaambiwa ni askari police 😢😢😢😢😢😢 IPO cku MWENYEZI MUNGU yupo 😢😢😢😢😢
Yesu Yupo na anaona chochote mnacho kifanya wana damu Mungu anaona Ole Ole wenu Parapanda litakapo lia mtahulizwa na waonea huruma sana Watanzania tubuni 🤔🤔🤔🤔
@salomewandya725710 сағат бұрын
Askari wanasema alipelekwa na msamaria hospital wanasema Alipelekwa na Police🙄🙄🙄🙄
@leokamil628410 сағат бұрын
Mimi najua hospitali hawawezi kupokea bila Polisi wanaogopa wasijehudumia jambazi mara zingine
@josephineokama22009 сағат бұрын
kumekucha
@VictoriaCosmas12 сағат бұрын
Dr, usiseme amepata majeruhi sema amepata majeraha, au amejeruhiwa
@Venas-uh3wz5 сағат бұрын
Asante, hao ndiyo madaktari wetu walivyo, wanamfanyia mgonjwa operation ya kichwa wakati anaumwa tumbo. Yaani ni mambo ya kuhisi, hana taaluma utasemaje inawezekana amepasuka bandama wakati mnakisia tu.
@shabanimbega4011 сағат бұрын
Ukipokea maiti unatakiwa humjue Jina la huyo askari aliyemleta na alieleze alimpata wapi kama ni ajali ilitokea wapi ili uchunguzi uanzie sehemu ya tukio. Mbona rahisi sana hii kujua ukweli
@asinahussein21764 сағат бұрын
Wewe ujue ukweli ili ndugu wameujua ukwrli inatosha.
@Hamy110911 сағат бұрын
Tukio linasemekana limetokea kati ya gereji na mwananchi relini, kama ni hivyo tulitegemea wananchi mfike kwenye eneo ilipotokea ajali muhoji mashuhuda. Hapo ndio tutajua ukweli wa tukio. Huko kwingine ni rahisi watu kulishwa maneno ya kusema.
@asinahussein21764 сағат бұрын
Ukikamatwa ukapewa his kesi utalalamika.
@ZakariaMnzava-q1v11 сағат бұрын
Mungu nakuomba uwauwe askari wote wanaotesa watu
@melvinkanje7012 сағат бұрын
Huyo Asikari Anayesemekana Kumfikisha Hapo Hosipitalini anahitajika Kuandikisha Taarifa Makao Makuu Ya DCI Ili Asaidie Katika Uchunguz Zaidi Tujue Aligonga Nn Gari au Ilikuaje
@japhethlameck109012 сағат бұрын
Amesema amegongana na roli sasa unataka maelezo gani tena
@bintmrisho352611 сағат бұрын
Kwanza piki piki yake iko wapi..?
@LaizerBoy-n5t9 сағат бұрын
Pkipki imetangazwa namba tangu siku ya kwanza anaanzwa kutafutwa na kama iko police hawkujua kuwa anatafutwa huyo mtu au walitoa tangazo wap kuwa wana mmliki marehemu asiyefahamika
@YusuphBakari-k9p8 сағат бұрын
Na hao manes walianzaje kumtibu bila PF3😢😢
@asinahussein21764 сағат бұрын
@@YusuphBakari-k9pkweli watanzania hamna akili sasa mnaojua ukweli cmseme mnalalamika mpaka kero. Wewe umemuona na pikipiki umeiona.
@bakarikayugwa329512 сағат бұрын
Mh michezo hio lugha gongana wasamairia police 😂mi ningekua mwana familia ninge kwenda sumbawanga tu na ndizi kisukali kama ulihusika razima na wewe uende tu yani hii kusema namwachia mungu na mapambana tu kama kweri umedhamilia kufanya jambo nguvu ya waafrica ipo achana na nguvu za mzungu za kuchonga
@elieneapalangyo69388 сағат бұрын
Taharifa ya mwanzo inasema ni wasamaria wema waliyompeleka hospital ya makuburi leo dakitari anasema ni asikari ndiye aliyemlete
@DeograsseMbinga12 сағат бұрын
Wamemua huyo hakuna maelezo sahihi hapo kutoka Dr. Kama dr aliona marehem alionyesha hana dam kwann wamtie damu???? Jaman mungu anawaona nyie watu
@fatumahapesamohamedfatumah463311 сағат бұрын
Kwl kabsa
@melanialeonard403110 сағат бұрын
Kwa hizi njaa za madktar hawawezi kumhudumia mtu bila kuwa ela au majeruh alikuwa na hela ya matibau ama huyo alomleta ndo alitoa hela? Hili linabaki kuwa funzo kwa watu haluna ukweli MUNGU atulehemu
@arafaally28958 сағат бұрын
Ajali nyingi watu huwa wanazirecord na kurusha mtandaoni.huyu ilikuwaje kimya
@asinahussein21764 сағат бұрын
Hivi Ajali zote unazionaga mtandaoni muongo mkubwa wewe.
@kisinza60779 сағат бұрын
Kiufupi tuseme amefariki basi. Lakini kiutrefu taarifa hizi zinakataana, Mungu ameshakataa utunzi wa taarifa! Polisi wanasema wakwanza ni wasamalia walimpeleka hospital, huyu Doctor anasema kapelekwa na polisi, ooooooh! Haya! Doctor anasema majeruhi alifariki saa nane, na wakati huo askari yupo, na hapo mke wa marehemu kapambana kuanzia saa 11 hospital na vituo vya polisi lakini hamna. Na Kwa Dar sasa hivi ajali mchana ikitokea watu wanariport kwa picha videos! Fb inatapakaa taarifa, je! Hiyo ilikuwaje ikawa siri hadi leo hakuna mwenye ushuhuda wa ajali? Tz ndiyo hii? Au mimi naota?
@GideonLenard11 сағат бұрын
Sasa siku zote hizo mbona ngumu Sana Yani mnakaa na mtu ambaye hajulikani na hiyo ajali ilitokea wapa mashuhuda hamna Tanzania Sina Imani na wewe Tena uwongo mtupu
@EuphrasiaNtawatawa12 сағат бұрын
Kwani maiti huwa zinasafirishwa na gari gani toka kituo kimoja kwenda kwingine kwa ajili ya kuhifadhi nawaza tu
@easternyerembe727112 сағат бұрын
Gari yyt lakini si Ambulance, ambulance ni kwa huduma okozi
@sheikhanRashid-ch8yqСағат бұрын
Insha llah mungu ndio Hakim wa yote haya atahukumu kw Kila hal yyte ile cc wanyonge ndio tunanyanyasika kw hal hii ya kinyonge. Polen Wana family shkurun mungu mungu ndio atajibu kilio chenu Amin
@furaha715412 сағат бұрын
SAAFI SAANA MILAD AYO,SASA ATAFUTWE HUYO POLISI ALOMUATENDI PALE MAKUBURI
@rosemarealle305311 сағат бұрын
Mwandishi anauliza maswali ya hovyo kabisa, kwenye eneo la ajali, vibaka nao wanakuwa kazini, kuna ajabu gani majeruhi/maiti kuibiwa vitu inapotokea ajali??
Ningekuwa Mh Raisi ningemtumtumbua mara moja, huwezi kufuga mtu asiekuwa mkweli anatia aibu na kufanya watu wasiamini kitu hata kama ni kweli au ni uongo
@asinahussein21764 сағат бұрын
@@leokamil6284wewe mwenyewe watu hawakuamini
@hadijahamza-l9z11 сағат бұрын
nimesikiliza nikarudi kumsikiliza muliro dah hii nchi ngumu sana
Nyie polisi mnatufanya sisi raia mafala eeh??? Mungu anawaona wajinga nyie!
@annajohn1758 сағат бұрын
Daaah Asante dokta umenyoosha maelezo Mungu akubariki
@orivamkama45007 минут бұрын
Dr anasema walipokea majeruhi mida ya sa saba na nusu ivi, msemaji wa familia ajali imetokea muda wa sa saba na dakika 55. Watanzania wenzangu ebu nielewasheni, ajali kaipata muda kidogo tu baada kufika hospital ama??? Kichwa ngumu mm sielewi et!
@PiusKimaroСағат бұрын
Police wanasema wasamaria weka,Dr anasema aliletwa na police.sasa tunazidi kuaizi shwari siyo ajali.haki za binadam wachunguze hili suala.kuna kitu
@josephkessy3646 минут бұрын
Yaani bwana.... Mungu huyu.... Wasamaria Wema bwana
@GeorgeKarras-ry9bm4 сағат бұрын
JAMANI.. hii inathibitika kuwa ni ajali... Mbona manyoka nyoka ya kulaumu Serikali yamekuwa juu sana!?!!? Kwa hiyo leo ktk nchi ya Tz, hakuna TAJIRI atakufa kwasababu yoyote zaidi ya kutekwa na watu wasiojulikana??!
@asinahussein21764 сағат бұрын
Yani wanalalamika utafikiri wanaujua ukweli ipo siku watasaidia upelelezi.
@mussaelia86939 сағат бұрын
Muandishi ana maswali ya kinaa sana Kua specific kuna maswali mengine ni uchongez tu Hii wala mm siichukulii kama ni taarifa ya kuchongwa Pole kwa familia Maswali kama askari walikua wangapi n changamoto kabsa Kwa nafasi ya mtoa huduma za afya kufikiria jambo kama hilo
@benedictmrisho1800Сағат бұрын
Waandishi mnaojitahidi wasaidieni na wenzenu wawe mahiri waache ubabaishaji . Walau kulikuwa na mtiririko.
@WilleLonardСағат бұрын
Jaman Hawa. Askari wa tzania mungu anawaona haya mauaji kila siku.
@SiahMoshiСағат бұрын
Mbon walisem alipelekw na wasamaria wew unasem alipelikwa na polic mhhhhhh mnajikanyaga mara sikuwep nimefik nimekut tayar ameshafarik sasa unatoa maelez gn akat wanzo wa tukio hukuwepo
@tanzcanmediatv44735 сағат бұрын
Management ya kwanza mtu akiumia ni kupima damu na kumwekewa damu na maji na kustablalize kama dr ulivyosema unatakiwa uangalie ni kitu gani kinaweza kumuua mgonjwa haraka.kwangu mimi ni upungufu wa damu na upungufu wa maji.ningefanya hivyo kwanza vingine vingefuata
@sk-wj9or2 сағат бұрын
Ukisikiliza wote kama wanajigonga na kujichanganya
@josephkessy3642 минут бұрын
Daktari uko na Mungu... Kuna kitu natamani
@anithawidambe7543Сағат бұрын
SASA KM NI AJALI KWANINI WASITOE TAARIFA KWA NDUGU ZAKE? HADI ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE. C ALIKUWA NA CM YAKE MFUKONI?NYIE MUNGU ATAWAONA NA ATAYALIPA HAYÀ YOTE. MWINGINE ANASEMA AMELETWA NA ASKARI NA MWINGINE ANASEMA AMELETWA NA WASAMALIA WEMA SASA TUAMINI LIPI?
@josephjohn211412 сағат бұрын
ajali ilitokea wapi mbona hapasemwi kuna nini kinafichwa, ina maana ajali imetokea mchana hamna ata mashuhuda kweli
@MaryTomito10 сағат бұрын
Hapa Kuna kitu
@Zaynab-ny6gr13 сағат бұрын
Kazi nzuri bro bokq
@kelvinfasili4411 сағат бұрын
Kwa Akili zangu Samia haya yote ni sababu Yako Mungu atatenda Kwa Mapemzi yake yeye ndo anajua.
@dignakanje45088 сағат бұрын
Sasa mtu kapata ajali mpka simu watu wamebeba,kwanini hyo alichukua simu asingeta kwanza taarifa lafu ndio azime.Watanzania tuelimike nakuwa waunngwaPleni sana famiya
@SaumuSaidi-z2v12 сағат бұрын
Kuna umuhimu wa mtu akipotelewa ht vituo vya afya vidogo tusikimbilie hospital kubwa kwanza
@RutiMasaryk12 сағат бұрын
Kwa hivyo walimpiga hadi vitu vya ndan vika haribika , na wewe mwandishi unakazania hiyo ahali wakati ,hakuna hajali yoyote , kwaza simngeenda pale Alipo patia ajali
@MiriamKhalid-z6o acha tu mmy ni sad 😔 kwakwel bora ingekuwa vita tungejua moja,
@YusuphBakari-k9p9 сағат бұрын
Huyo askari aliemleta atafutwe atakua na maelezo zaidi😢😢
@peterjohnbahhi156512 сағат бұрын
Haya madhaifu yataisha lini Tanzania?kituo cha afya hakina motuary? Polisi alimpeka lkn eneo la ajali haijulikani
@leonnyntandu43244 сағат бұрын
Hospital zenye hadhi ya kuwa na mochwari ni za wilaya na kuendelea ndio maana kuna rank ya vituo vya matibabu kulingana na hadhi yake kuna Hospital zipo kubwa tu lakn hazina mochwari
@AmaniMathod10 сағат бұрын
UKWEKLI POLISI HAWAUSIKI ACHENI UJINGA....KAMA MLISIKILIZA VIZURI MKEWAKE ALIVYOSEMA ALITOKA KWAKE MIDA YA SAA 6 MCHANA NA DOCTOR AMESEMA ALILETWA MIDA YA SAA 7 APO MNA SEMA POLISI WAMEUSIKA...? ACHENI UJINGA..
@leokamil628410 сағат бұрын
Mimi nawazia lori lilikimbia jamani bahati mbaya sana Mungu ampumzishe kwa amani
@lilyjones35849 сағат бұрын
Msemaji wa familia aliyejitambulisha kama Bomboko anadai ajali ilitokea saa saba na dakika 55. Ujinga wa watu ni kuhoji? Yaani watu wapewe taarifa za kijinga wazipokee tu!!! 😢
@lameckmasasi935012 сағат бұрын
Ajali hata ya baiskeli ikitokea wasamaria huwa hawakosekani. Inamaana ajali ilimpata porini hakuna mashuhuda hata wa kuongea ukweli? Maana ushahidi umeelekea upande mmoja tu. Hawa watu watatumaliza jamani.
@mcharo25512 сағат бұрын
Lori lililo mgonga lilikimbia??
@shafiimdogwa148211 сағат бұрын
Mungu Tujarie Sisi Waja Wako Ridhik Yetu IPO barabar
@DicksonMakundi-zs1yw3 сағат бұрын
Kuna maswali mengi sana, mtangazaji fuatilia eneo lililotekea hiyo ajali uliza boda boda , na hilo lori hapakuwa na watu?
@kanankirannko617412 сағат бұрын
Millard Ayo ikiwezekana tumeni timu yenu Tengeru kwenye kivuko kuna tukio hatukulielewa Kwa haraka manake nalo lilienda kazi mnoo mkiuliza boda Wa pale mtajua what happen
@kalebphilip3426Сағат бұрын
Lory liko wapi?
@husseinshabani952210 сағат бұрын
Mi napenda kusoma coment lakini si coment.
@RutiMasaryk12 сағат бұрын
Kila amwagae damu ya mtu na kuondoa nafsi yake , lazama itaonjo unauti pia ,this is not right at all , kweli mnamwita mtu na kumuuwa , emwenyezi mungu nena na kila mmoja alie husika kwa kifo cha huyu baba maliza vizazi vyao vyote nao wafyatie 😢 , kama familiyake ilivyo na maumivu basi wape familia zako pia na maumivu ,
@japhethlameck109012 сағат бұрын
Wewe askari walimuuwa kwa ajali? Pia unauhakika kuwa aliitwa na askari? Tarifa ya kwanza ilisema Oromi alitoka ofisini kwake na piki piki kwenda kufuatilia mzigo mwesho kapata ajali wewe unasema ameitwa akauliwa hivi binadamu mkoje
@Yuleyule-u6c10 сағат бұрын
DAKTARI ALIPOKEA MWILI..MH.. ALIPOKEA MAJERUHI DOCTOR.AJUI TAARIFA KAMILI ZA MAJERUHI UNGALI KAFANYIWA VIPIMO HAPOHAPO KWANI TAARIFA HIZO ANAKAA NAZO MTU AU ZINAKAA KWENYE FAILI LA MAJERUHI.
@josephineokama22009 сағат бұрын
washatuona SS ni WA kunyea
@PeninaAdam3 сағат бұрын
Toka tar 11 kuonekana tar 16,maiti kwenda mwananyamala
@MariyamSimba-ub7lz6 сағат бұрын
Hata maelezo hayaeleweki unababaika wewe mama MUNGU atajibu haki itadhihirika
@NatashaJoyAbdallah10 сағат бұрын
Huyo Askari kwa nini hakutoa tarifa alie mshona kwa nini hakutoa tarifa nyie hospital kwanini hajatoa tarifa hio Lori kwa nini haija kamatwa trafiki kwanini ham kufanya kazi yenu jamani mimi mi mdogo wa kaka D naumia
@FrankAthuman8 сағат бұрын
Hapo hakuna ajali yoyote kama kwer niajali isisikike kwer mtaan hiyo sio kwer kabisa
@AdmiringChateau-eu5yd17 минут бұрын
Hajawa wai kuhojiwa msameheni
@mauasylla502411 сағат бұрын
Mmmh. Huyu Daktari Mfawidhi anaonekana amekaririshwa cha kusema ila amejichanganya kusema polisi ndiyo waliompeleka hapo hospitali/ zahanati.
@tanzcanmediatv44735 сағат бұрын
Si alipelekwa na wasamalia wema dah contradiction
@Jacklinejohn73 сағат бұрын
Me buyu doctor ata simuelewi hawezi ata kujielezeq au wa mchongo huyu
@RujainaJohn54 минут бұрын
Anko j naomba part 3 daysha
@VitalisMmassi-oh4jb4 сағат бұрын
Kumbe kapelekwa na polisi na sio wasamaria wema.😅
@asinahussein21764 сағат бұрын
Mbona hamna alili wakwanza kwenye ajali ni polisi au watu wakawaida tumia akili kuwa na smartphone isiwe shida
@brightsakafu52 минут бұрын
Kama mwandishi wa habari unatakiwa kwenda eneo la tukio ambapo ajari ilitokea ili uka hoji watu pia
@giztony20098 сағат бұрын
Huyu itoshe kusema alipata ajali ya pikipiki wakati anaenda kuangalia hilo kontena lake bandalini sasa kama alikuwa pekee yake njiani na hakuwa na vitambulisho ni ngumu kutambulika!
@asinahussein21764 сағат бұрын
Avaliable nyingi za piki piki zinatokea na sizioni mtandaoni na zinauwa leo mijitu eti ajali ikitokea lazima iwe mtandaoni.