MAKONDA ATOLEA MFANO KUNDI LINALOVUMA "WADUDU" ATAKA WANA ARUSHA KUJITAFAKARI "HATUNA UTAMBULISHO"

  Рет қаралды 42,545

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amehoji kuhusu Utambulisho halisi wa Arusha na kutaka wana Arusha kujitafakari kuhusu kile kinachoutambulisha mkoa huo wa unaopatikana Kaskazini mwa Nchi.
Paul Christian Makonda ametoa kauli hiyo leo Aprili 13, 2024 alipokutana na wadau mbalimbali na wafanyabiashara wa mkoa wa Arusha akisema miongoni mwa dhamira zake ni kuifanya Arusha kuwa mikoa maarufu Kiuchumi na katika mpangilio mzuri kama yalivyo Majiji mengine makubwa duniani.
Makonda akitolea mfano wa kundi la vijana lililovuma kwa siku za karibuni mkoani hapa la "Wadudu", amesema haipendezi kuwa na Utambulisho wa aina hiyo ilihali mkoa wa Arusha umebarikiwa kuwa na vivutio vingi vya utalii na Ardhi inayokubali kilimo Maarufu cha Kahawa.
Aidha Paul Makonda ameonesha kusikitishwa na hali ya uchafu na wingi wa Mabango Katika Jiji la Arusha na kuagiza kuandaliwa kwa Mpango maalum utakaoweka Jiji katika mpangilio mzuri wenye kuzingatia matumizi ya Runinga za barabarani kwenye matangazo ya kibiashara badala ya kutumia mabango ya kubandika na kugongelea kwenye nguzo na kuta za nyumba za biashara zinazopatikana katikakati ya Jiji.
Katika kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuinua Utalii wa Arusha Mkuu huyo wa Mkoa ameendelea na vikao kazi mbalimbali vya kusikiliza na kutengeneza mazingira rafiki kwa wadau wa Utalii mkoani humo waweze kufanya shughuli zao kwa namna inayofaa na rafiki kwao.

Пікірлер: 61
@AndreaMasengo
@AndreaMasengo 4 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu makonda
@consesaphelician9266
@consesaphelician9266 4 ай бұрын
Arusha iko kazi Makonda Mungu akuteteee Njoo wilaya longido, uone madudu
@jacquelinesangau4767
@jacquelinesangau4767 4 ай бұрын
Kabisa
@thadeikwangu2042
@thadeikwangu2042 4 ай бұрын
Bro amemaliza kiuongozi, God bless you karibu Geneva of Africa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 4 ай бұрын
Huyu mzee manywele nampenda sana anaongea Uwazi na Facts.
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 4 ай бұрын
Aka kaburu, mdau wa utalii miaka mingi arusha
@mohamedimuhinga9064
@mohamedimuhinga9064 4 ай бұрын
Uyu makonda ana upeo wa kuona mbali sana aisee
@user-ef6bv1fi1q
@user-ef6bv1fi1q 4 ай бұрын
Kaka makonda chapa kazi na mungu akutangulie wewe ndiwe rais wetu aje miaka ijayo unahekima unausubutu na unahofu ya mungu salut kwako brother
@JeremiasikilianiJeremiasikilia
@JeremiasikilianiJeremiasikilia 4 ай бұрын
Great I give you a big respect for that🙏🙏God bless your work Amen
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 4 ай бұрын
Makonda ni Mtaalamu wa kuongea na mtendaji 😂❤❤
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 4 ай бұрын
Ingelikua tuna viongozi kama Makonda dar Tanzania ingelikua nchi moja nzuri sana enzi ya Magu Makonda Makonda alikwenda mpaka jela kuwasikiliza wafungwa na akatoa magodoro mapya ndio tunataka viongozi kama hawa tunatamani huyu Makonda tungempata kama kisiwa cha pemba, tungestarehe sana Makonda Ubarikiwe
@user-xw9wo7nh6c
@user-xw9wo7nh6c 4 ай бұрын
Dar kaka yng makonda mungu akupe nguvu make Arusha ni dunia nyingine wamekupambanisha ukiwanyosha Arusha bac ww ni hatar
@atomphoton5000
@atomphoton5000 4 ай бұрын
Arusha wana Bangi nzuri sana. Arusha brandini hiyo Bangi iende kimataifa zaidi.
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 4 ай бұрын
Jamaa atawasaidia sana Arusha,sio usela mwingi kumbe wanalala saa mbili ndio maana matukio hayaishi...
@EliaMarco
@EliaMarco 4 ай бұрын
Akikata Arusha miezi sita tu Kila Kona patakuwa pamenyooka
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 4 ай бұрын
Ni kitu nakiona hicho!
@spabiton7989
@spabiton7989 4 ай бұрын
I like your confidence bro I like that God blessing you
@giriadbirusha7006
@giriadbirusha7006 4 ай бұрын
Ninakuombea Mungu akutunze kaka Makonda. Piga kazi.
@raphaelmtama6548
@raphaelmtama6548 4 ай бұрын
Daaaaa ila huyu kaka uongozi upo Damuni jamani
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 4 ай бұрын
Huuu jamaa anaweza kufuatilia mambo sana!
@user-sx4zh1ub8f
@user-sx4zh1ub8f 4 ай бұрын
Duuh kazi za uma ni nouma chapa kazi bro
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 4 ай бұрын
Mkuu hao Wadudu Wanyunyiziwe dawa waangamie! hakuna tunachojifunza kwao zaidi ya kupotosha jamii
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni 4 ай бұрын
Tutatambulishwa na wadudu na kinyonyo
@tukuyufm
@tukuyufm 4 ай бұрын
Mnasemje? Ifikie mahala viongozi Waokoke...
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 4 ай бұрын
Kweli wadudu na Bangi ya Kisimiri ndo utambulisho Wa Arusha
@jonakajigili6991
@jonakajigili6991 4 ай бұрын
+255 Makonde uhamishiwe na Dom
@lovemusicnoreen9185
@lovemusicnoreen9185 4 ай бұрын
Sahv wamezua kuja kundi zima kupima na manabgo ya matangazo ya biashara za watu😂😂😂😂 yani hawana kazi za kufanya NO PLANS NO PROGRESS NO PROCEDURES za kazi
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 4 ай бұрын
Kabulu uko vizuri sana aiseeee
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 4 ай бұрын
Makonda anaweza na ana akili sana. Jiji la arusha kweli kabisa alionyeshi raslimali zilizopo. Hakuna kitu kinaonyesha mambo ya arusha. Ukienda mwanza utakuta round about kuna samaki mkubwa. Hii ikionyesha karibu mwanza ule samaki. Viongozi arusha wamekaa tu kuangalia upigaji siyo kuwa wabunifu
@dismassamwel7130
@dismassamwel7130 4 ай бұрын
Makonda ana akili sana aisee
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 ай бұрын
Utaiweza Arusha na utamaliza longo longo nyingi, umefanya vizuri kukaa na wafanyabiashara wa Arusha.
@arongodfrey2620
@arongodfrey2620 4 ай бұрын
Oya, mbna unaleta fezea alooh
@ecmahealthcareInternational19
@ecmahealthcareInternational19 4 ай бұрын
Uko vzr Makonda
@bravelymatoto2095
@bravelymatoto2095 4 ай бұрын
Weww ni mdudu kweli yaani akili mingi weww
@Gersah
@Gersah 4 ай бұрын
Wadudu
@agneswilson908
@agneswilson908 4 ай бұрын
Ila Wewe kaka una kipaji bro
@issaadinaniissa6487
@issaadinaniissa6487 4 ай бұрын
Milard naomba namba ya makonda
@user-ky7mz7qh1o
@user-ky7mz7qh1o 4 ай бұрын
😢😢😢
@hafidhimarijani4961
@hafidhimarijani4961 4 ай бұрын
Mheshimiwa ni Identity sio Signature.
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 4 ай бұрын
Bangi ndoitawatambulisha ARUSHA😂😂😂😂😂😂
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 4 ай бұрын
Safi Sana. 😂😂😂😂
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 ай бұрын
Wajenge mnara wa bangi siyo?😂😂
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 4 ай бұрын
Translate ya gugo Bora mavi ya jera.
@user-qi4fn3jn6t
@user-qi4fn3jn6t 4 ай бұрын
Wadudu.nigani ani
@godfreymsemwa3137
@godfreymsemwa3137 4 ай бұрын
Nimemuona kama Mama ake chino wanaman
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 ай бұрын
😂😂wadudungaa
@lorelore2930
@lorelore2930 4 ай бұрын
Arusha wachumba tu wanyoooshe ety wadudu mnawajua wadudu nyinyi
@user-tc9vi3ow3n
@user-tc9vi3ow3n 4 ай бұрын
Huyu rc uwataki majengo marefu,nyumba za paa ndefu,sasa mlima na majengo wapi na wapi,
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 4 ай бұрын
Huyu nizaidiyakiongozi ndiomaana wanamchukia
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 4 ай бұрын
AUWSA idara ya maji wanatupa maji machafu watu wanaugua typhoid kila mara, tunanunua maji ya kunywa wakati tulizoea maji ya bomba. Biashara ya maji imekua kama Mwanza au Dar mikoa yenye joto
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 4 ай бұрын
Jambazi makonda umerudi Tena
@user-xj1kw9pl6j
@user-xj1kw9pl6j 4 ай бұрын
wew ndio unamwazo mgando kabisa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
​@@user-xj1kw9pl6jnyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi 😂😂😂😂😂😂
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 4 ай бұрын
@@user-xj1kw9pl6j Mimi au ww ndio umekua pumba
@user-xj1kw9pl6j
@user-xj1kw9pl6j 4 ай бұрын
@@user-bx3kl4hn6j alikuibia Nini watu wanamfrahia makonda kwa utendaji wakazi wew unasema jambazi. soma coment zote wew ndoupo tofaut nawengine kimawazo, km rais angekua anauliza mkoa gani wanamtaka makonda kilamkoa wangemhitaji
@sund2553
@sund2553 4 ай бұрын
Leo😂anaongea kiupole sio kutoa amri 😅
@giztony2009
@giztony2009 4 ай бұрын
Aisee nashangaa hata mimi
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 4 ай бұрын
Si kila jamii utaendana nayo kwa kuwa mkali
@jescadeogratias5292
@jescadeogratias5292 4 ай бұрын
Huyu Ni kiongozi,halipuki. Nampenda sana
@husseinally6699
@husseinally6699 4 ай бұрын
Si umesikia amekua mpole ili ajue mengi yanayoendelea arusha , mkoa huo anaugeni nao, akisha usoma ndo atajua pakuanzia
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 19 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 36 МЛН
BONGO STAR SEARCH SEASON 11 EP 1 Part 2 | ARUSHA AUDITIONS
17:25
BongoStarSearch
Рет қаралды 904 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН