MAKONDA: DEREVA WANGU ALIKUWA MWIZI ANATAPELI WATU KWA KUTUMIA GARI LANGI,.

  Рет қаралды 38,114

HABARIMPYA TV

HABARIMPYA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@halimamasai2234
@halimamasai2234 15 күн бұрын
Maashallah kijana wetu Makonda mungu azidi kukupaisha juuuuu zaidi na awafumbe macho maadui zako 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@ombenipenieli1432
@ombenipenieli1432 13 күн бұрын
Watu walisema Makonda hajasoma mara hili mara lile ila hiki kichwa ni zaidi ya PhDs kadhaa,piga kazi mkuu
@oswaldsambaya4422
@oswaldsambaya4422 15 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akutangulie katika kazi hii ambayo imetawaliwa na UZALENDO asilimia 100+
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 15 күн бұрын
Hongera sana Mh kwakugundua km dereva wako alikuwa mwizi. Ila hizo nyama uwe makini watu wanapenda unyunyu. Mungu akulinde sana
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 15 күн бұрын
Makonda uwe makini na nyama hizo tunakuhitaji
@GodfreyMhando-gn7ok
@GodfreyMhando-gn7ok 15 күн бұрын
brother unajuwa sanaaaaa hongera raisi tz Mama sami
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv 12 күн бұрын
Nakupenda bure , Mungu akupe maisha marefu...Mungu akupe na vya uvunguni kwaajiri wa wananchi ....tunakukubali sanaa
@Zawadilwiche
@Zawadilwiche 13 күн бұрын
mtu sana mwenyezi mungu akupe ulinzi tunahitaji viongozi wenye kumkumbuka mwenyezi mungu japo kazi unayo fanya ningum pengine hata kuhatarisha maisha yako ila mungu atakupambania zidisha kusimamamia ukweli maana ukweli ndio mungu anataka ❤❤❤❤❤❤❤
@jenestermakyala847
@jenestermakyala847 15 күн бұрын
Mungu akulinde muheshimiwa,mimi naomba mkopo wa samia niendeleze kiwanda chang cha maziwa niondoke kwenye umaskini.
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 15 күн бұрын
Ila ukweli Makonda anajua kuunganisha watu nafursa kuliko tunavyodhani🎉🎉
@StivinWambuto-zy5ft
@StivinWambuto-zy5ft 15 күн бұрын
MUNGU azidi kukulinda na kutupa ujasiri, umenifurahisha Sana ulivyo mwakilisha YESU KRISTO bila woga, hakuna kuruhusu pombe , wewe ni kiongozi wa kuitwa na viongozi wengine.
@emmanuelmbwile3240
@emmanuelmbwile3240 15 күн бұрын
Munguuu akulindee makondaaa wetuu
@aivekidai5200
@aivekidai5200 15 күн бұрын
Mtoto mungu akutenze kiukweli big up
@leylaruhabaye9017
@leylaruhabaye9017 15 күн бұрын
Mungu akulinde MAKONDA wetu
@HamadHamza-x5b
@HamadHamza-x5b 9 күн бұрын
Acha UONGO!! Dereva hanaga hizoo
@user-yh9yh8no2q
@user-yh9yh8no2q 15 күн бұрын
Sema baba.Mungu akulindee
@OscarKasalile
@OscarKasalile 15 күн бұрын
Katika watu ninao waamini mheshimiwa makonda nakukubali sanaaa
@AlfanMwiru
@AlfanMwiru 15 күн бұрын
Mwamba ni jembe sana. Namkubali sana sana
@boychidu
@boychidu 15 күн бұрын
My blood makonda hao wote wapangie kazi zingine za kufanya maana hawafai katika jamii
@VeredianaKalembi-gs4vs
@VeredianaKalembi-gs4vs 15 күн бұрын
Aisee huyu ni kiongozi muunganisha njia
@GodfreyMhando-gn7ok
@GodfreyMhando-gn7ok 15 күн бұрын
Makonda unajuwa sanaaaaa
@medardkihekaabel2601
@medardkihekaabel2601 15 күн бұрын
Wewe ndo Ulimfundisha😂
@kivatirokitojo657
@kivatirokitojo657 15 күн бұрын
😂huyu jamaa ni very straightforward
@amosmachibya1800
@amosmachibya1800 15 күн бұрын
Kiongozi bora na si bora kiongozi
@giztony2009
@giztony2009 15 күн бұрын
Maana halisi ya kujaa kwenye mfumo ndo hii hapa hatimaye kajitaja
@samirshabani-yu4xu
@samirshabani-yu4xu 15 күн бұрын
Jitaje nawewe mbona unabanduliwa au nawewe kunasiku utajitangaza
@OscarMathew-e2q
@OscarMathew-e2q 15 күн бұрын
Kweli mkuu
@philimonndinadyo2120
@philimonndinadyo2120 14 күн бұрын
Makonda we muongo ulituongopea kuhusu mgogoro wa ardhi ulitupokea vizuri mwisho ukatukaushia
@magrethdamian2191
@magrethdamian2191 15 күн бұрын
Mkuki kwa nguruwe kwa Binadamu mchungu
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 15 күн бұрын
My leader
@richardhoseni2643
@richardhoseni2643 12 күн бұрын
Ukijua vitu anavyochuma nyuki hutakula Asali
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 12 күн бұрын
Jamani Mwanangu Makonda umenitamanisha nitumie hata paja lakuku
@empafricatv
@empafricatv 14 күн бұрын
Duh
@joojombi2341
@joojombi2341 15 күн бұрын
Hiyo ndo bongo land aisee aibu tupu kwakweli funga tu huyo dereva
@NANGUJIMAKAME
@NANGUJIMAKAME 14 күн бұрын
Ok
@jumabonge8577
@jumabonge8577 15 күн бұрын
ongea sana
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 15 күн бұрын
Mungu murinde
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 14 күн бұрын
Kula Nyama nyamaza😅
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya 15 күн бұрын
Win both win😂😂
@makende82
@makende82 15 күн бұрын
Sijaelewa bado....
@AbediRashid
@AbediRashid 15 күн бұрын
England have
@philimonndinadyo2120
@philimonndinadyo2120 14 күн бұрын
Kwahiyo wewe peke yako ndio ulikuwa na dereva peke yako mbona wapo wengi
@user-jm7qj6kx8c
@user-jm7qj6kx8c 14 күн бұрын
Je umemchukulia hatua gani baada ya kugundua hilo?
@aloyceponela3249
@aloyceponela3249 15 күн бұрын
Duh RC makonda ni nomo Rudi dar mkuu
@januarypetro2774
@januarypetro2774 15 күн бұрын
Hapana sisi tunamuhitaji sana Bado hajamaliza kazi ya Mungu
@JosephJohn-q5p
@JosephJohn-q5p 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂​@@januarypetro2774
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 15 күн бұрын
Umenipa neno la busara
@boychidu
@boychidu 15 күн бұрын
Jamani hii dunia haina huruma
@SelemaniAmiry
@SelemaniAmiry 15 күн бұрын
Kwann
@NicoMwakindingo
@NicoMwakindingo 15 күн бұрын
Duuu
@kingkendrickk
@kingkendrickk 15 күн бұрын
So mchezo
@consesaphelician9266
@consesaphelician9266 15 күн бұрын
mtu na nusu
@EdwardJoseph-cu8mb
@EdwardJoseph-cu8mb 13 күн бұрын
Jembe jembe
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 15 күн бұрын
Nasema hiviii hapa si comment ng'o
@MalaikaHome-b6r
@MalaikaHome-b6r 15 күн бұрын
Mwamba
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 45 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН