MAKOSA MAKUBWA YA UTOAJI WA TALAKA KWA WANA NDOA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL

  Рет қаралды 11,564

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

4 жыл бұрын

Makosa Makubwa Katika Utowaji Wa Talaka Kwa Wanandoa.

Пікірлер: 51
@nasraalismailiy5188
@nasraalismailiy5188 4 жыл бұрын
Shukran sana sheikh jazzakaAllah lkheyr Allah akuzidishie afya na ilmu yaarab 🤲
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 4 жыл бұрын
Masha Allah yaani huy sheikh anaelimisha vizuri hongereni kwa wafuatiliaj wote jmn
@abdallahhassan6740
@abdallahhassan6740 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Mimi nilimuacha make wangu talaka tatu kwaasira baada ya siku nikajirudi kutoka kwenye hasira lakini mama yake hataki nirudiane namke wangu mwanamke nishamtamkia nanikakaa nae wiki alivyoenda kwao mama yake kamzuia sijui nifanye nini
@aishamohammed3547
@aishamohammed3547 4 жыл бұрын
Allah atuekembali na mtihani watalaka tulioko kwenye Ndoa
@afric01
@afric01 3 жыл бұрын
Aslm alkm wtw..... Hata sisi tunakupenda sanaaaa Sheikh Othman. Shukran sanaaa tume elimika vya kutosha Sheikh. Jazakallahu kheir. Allah akulinde.
@mzungumwinyiashs9244
@mzungumwinyiashs9244 4 жыл бұрын
Shukran shekh...kwa kutujuza Mungu akupe atupe umri uzidi kutuelimisha
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 4 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@salimummy852
@salimummy852 4 жыл бұрын
Jambo zuri saana ulilolizungumza Shekh ... ALLAH AKBAR tunaomba kisa cha watu wa pangoni
@Aisha-om9go
@Aisha-om9go 4 жыл бұрын
Masha Allah
@meedaafarai9677
@meedaafarai9677 4 жыл бұрын
Tabarak rahman. Jazza Allah kheir shekh. 👏
@rkenea4262
@rkenea4262 4 жыл бұрын
Mashaa Allaah shukran sana ya ust
@halimaomari3415
@halimaomari3415 4 жыл бұрын
Mashaallah sheikh mola akubarik
@mzeemwamguno9367
@mzeemwamguno9367 4 жыл бұрын
shukranii shekhe wangu
@fatumaramadhanmashaallahal9966
@fatumaramadhanmashaallahal9966 4 жыл бұрын
Shukran wajazaka llahu heri
@khadijaothman7648
@khadijaothman7648 6 ай бұрын
Assalamu alaykum Mm nimeachwa kwa kufukuzwa kwa hio eda nakaa kwetu
@user-be7nl6ep3z
@user-be7nl6ep3z 5 ай бұрын
Mimi pia
@user-ei9nc1so5m
@user-ei9nc1so5m 5 ай бұрын
Talaka kwa njia ya sms inajuzu?
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
Jazakar allahu kher
@aminamichael1706
@aminamichael1706 4 жыл бұрын
shekh allah akulipe mada nzuri imetutarch wengi
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 4 жыл бұрын
Sheikh shukran Sana Ila naomba hii mada ukaizungumze chanika kwa chikila inshallah
@athumanmichael8501
@athumanmichael8501 4 жыл бұрын
Inshaallah
@ayoubnazir1493
@ayoubnazir1493 4 жыл бұрын
Jazzaka Allahu khair
@faizasaid8262
@faizasaid8262 4 жыл бұрын
Mashallah shukuran
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@aquilerahchris9082
@aquilerahchris9082 4 жыл бұрын
Mimi naimah,nilisilimu, sheikh naomba unijibu hili swali langu tafadhali,mimi mume kanipa talaka nakuoa aliekuwa mpango wakando, aliyekuwa akizini Naye muda mrefu,alvo toa talaka,aliniacha kwa nyumba na mtoto mchanga na kukataa kulipa nyumba,ilinibidi niende kwetu,nlivo fika kwetu, kabla eda kuisha, akaniambia mimi bado mkewe ,tuwache yalopita atakuja nyumbani, hakukja eda ikaisha,lkn baada ya miezi kaadha,alinifwata mahali nlikokuwa naishi na kufanya tendo la ndoa wkt ako na mke mwingine,nika kaa tena baada ya miezi miwili tena kaomba tena tendo la ndoa hapo ikabidii nikatae juu alikuwa hataki mtu yeyote ajue kama tunaonana,na hivi sasa matusi na kuniambia sina maana alipata aliyewamaana,nakuniambia niishi maisha yangu,nini hukumu ya mume kama huyu sheikh,wakati kakopesha pesa kwa yule mpango wakando, na kulipa mahari yangu nusu,na hapo hapo kutoa talaka,na Kuoa aliyekuwa mpango wa kando.naomba unijibu tafadhali.na hivi sasa ataka kunipeleka kotini kuwa nimnyima mwanaye, wakati ukiomba usaidizi unatukanwa na kulinganishwa na aliyemuoa hivi sasa,
@omadybinumady5427
@omadybinumady5427 4 жыл бұрын
Naam shekhe nimekuelewa
@makusuditv9596
@makusuditv9596 2 жыл бұрын
Asaalam alaykumu warahmatullah wabarakatuh
@omadybinumady5427
@omadybinumady5427 4 жыл бұрын
Naam shukran sana shekhe othman
@ibrahimnoor9872
@ibrahimnoor9872 4 жыл бұрын
Mashalla shukran
@fatumamasudi2153
@fatumamasudi2153 4 жыл бұрын
JazzaAllah kheir sheikh
@fatumamasudi2153
@fatumamasudi2153 4 жыл бұрын
Allah akupe Afya njema hakika tunafarijika mno na mada nzur
@athumanmichael8501
@athumanmichael8501 4 жыл бұрын
@@fatumamasudi2153 shukran dadaang
@athumanmichael8501
@athumanmichael8501 4 жыл бұрын
@@fatumamasudi2153 anta kadhaalika
@mohammedsalum9079
@mohammedsalum9079 2 жыл бұрын
Assalamu aleikum naomba kuliza mm nnamke lakini huyumkwe wangu anhitaji talaka sasa hivi inakaribia humwezi wapi lihajanipa unyumba ikifika miezimi tatu kamasijamuinglia bado hajachika
@laylisaid9563
@laylisaid9563 4 жыл бұрын
W/salam shukuruni 🙏👍 unagitoa ushehe wew ni shehe 2 hataukikimbia jee unataka uituwa Nani? Mwalimu au doktori
@salimajuma5530
@salimajuma5530 4 жыл бұрын
MashAllah shucran.swali.sasa kama mume anaeshi ulaya kikazi,muke anaeshi africa.mume yaweza kumpa talaka mkewake ? Nisahihi?
@mohammedsalum9079
@mohammedsalum9079 2 жыл бұрын
Nawaombeni mnisaidie
@sakinaabdallah7874
@sakinaabdallah7874 4 жыл бұрын
Tufafanulie Shekh Dada mmoja aliolewa na mume aliyekuwa na mkewe ila hakuwa na kazi. Dada huyu akamtafutia kazi mumewe. Cha kushangaza sasa mume akabadilika matamshi machafu, hamjali matumizi Wala kumjulia hali ? Mume yuasema talaka hampi na atafanya atakavyo akiweza akae akishindwa shauri zake. Tafadhali Shekh nipe hoja kulingana na Quran na Sunnah.
@makusuditv9596
@makusuditv9596 2 жыл бұрын
Nina weza ku pata namba zako unisaidiye sheikh
@greysonflams2237
@greysonflams2237 4 жыл бұрын
Jazakallah khairy
@khadijahpretty3121
@khadijahpretty3121 2 жыл бұрын
Anaondoka jumla jumla
@faizasaid8262
@faizasaid8262 4 жыл бұрын
😁
@uwingeneyeshadia7697
@uwingeneyeshadia7697 4 жыл бұрын
Shehe ninaswali mwanamke alie fiwa namumewe mwanamke akaka eda iyo miezi mi4 na siku10 ile siku ya mwisho mwanamke anatoka eda wanasoma dua iyo siku mwanamke anaruhusiwa kuolewa apo apo?
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 4 жыл бұрын
Assalam aleykum akhy....hyo dua hakuna ktka Sunna...mwanamke aliefiliwa na kumaliza eda ana ruhusiwa kuolewa hapo hpo
@Suleimansalum
@Suleimansalum 4 жыл бұрын
nitalaka sio taraka
@athumanmichael8501
@athumanmichael8501 4 жыл бұрын
Sawa
@zammaulidi7507
@zammaulidi7507 4 жыл бұрын
Hayo ya kulisha usiseme mke anahudumia watoto 6 mpaka 7 nini mume kaowa hapa je huyu mume anafaa kweli ? na pia anasema talaka sitoi na mahari yake 50 elf na bwana anasema talaka sikupi Hadi unipe milion7 je hii halali ? Ukipata MDA nijibu jpo neno moja tu
@athumanmichael8501
@athumanmichael8501 4 жыл бұрын
Siosahihi
@aishakhery4748
@aishakhery4748 2 жыл бұрын
Asalaam alykumOthtadh mimi kutokana na maudhi ya mume wangu yalinipelekea nidai talaka japo nimekosea ni mjamzito halafu alikua ananifanyia vitendo vya ukatili mwanzo aliniacha moja juzi akanipa mbili kwa mpigo je anaruhusiwa kunirejea?au zimekamilika tatu au zinahesabika mbili wabilah tawfik
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 4 жыл бұрын
Masha Allah
FUNGUA RIZIKI ZAKO HAPA
46:27
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 57 М.
episode No. 2  NABIY NUH a.s
8:40
al-imam media
Рет қаралды 209
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 27 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН
SHEIKH ASSIM AL HAKEEM || MOMBASA DA'AWA TOUR || MASJID AZHAR GURAYA
1:27:27
AINA ZA TALAKA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
16:23
arkas online tv
Рет қаралды 15 М.
AINA 3 ZA SUBRA | TWAA | MAASIYA | FARAJA | SH. OTHMAN MICHAEL
43:02
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 53 М.
JE UNA FAHAMU  MAANA YA NAMBA ZA KWENYE NYUMBA NA  MAGARI?
10:05
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 646
Kisa cha Mke wa Ustadh na dereva boda - Sheikh Othman Michael
27:21
HIZI NI AINA 3 ZA DUA | HUJIBIWA HARAKA MNOO | SHEIKH OTHMAN MICHAEL
44:34
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 132 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 27 МЛН