Ubarikiwa sana ndugu David boyi kutoka kenya turudi katika neno sio mihemko na sarakasi hizi zote lo!
@mosespeter56186 ай бұрын
Kweli hata kama watu watakupinga na kukukata mimi nimekuelewa kweli hupo vzr zaidi ya sana keep up my pastor
@Byondorujulika176 ай бұрын
Asante sana muzee wetu pastor Hananja, karibu tena hapa kwetu USA 🇺🇸, from Cedar Rapids Iowa state USA.
@EvansMluhya5 ай бұрын
God bless you so much mchungaji Hananja. You are rightly dividing the word
@pilisamtyani94455 ай бұрын
Mungu akuweke kwa utumishi wake, Ur the multipurpose servant of God❤
@rosemkuye2 ай бұрын
Mungu akubariki sana na akupe miaka mingi ya kuishi mchungaji
@lilianowti54776 ай бұрын
Asante baba kunifungua akili,damu ya Yesu na toba tosha.
@jabalimikechi77506 ай бұрын
Wisdom Is Greater Than Knowledge thank you so much Pastor for this great teaching 🙏🙏🙏🙏
@bettybetty3876 ай бұрын
Kumtumikia Mungu ni ngumu sana,watu hawaelewi ya kwamba Mungu anatumia watumishi kwa njia tofauti,bado nashindwa mbona wakristu wanapingana kwa huduma yao,mimi napenda maubiri yako mtumishi wa Mungu na pia napenda saaana maubiri ya Pr.Ezekiel na mafundizo yake,shida ni hakuna mwenye anajua jinzi Mungu anatumia watumishi wake,napenda Mungu wangu zaidi na zaidi ni Yeye tu ndiyo mwanzo tena mwisho.Amen.
@abdulhakeem9596 ай бұрын
HANANJA YUKO KIINJILI ZAIDI.YEYE HUPINGA MAMBO YA KIBINAFSI KULETWA KWA DINI.HAPO NDIPO NINAPOKUELEWA.
@ChristinaKayela6 ай бұрын
Mchungaji yupo sawa kabisa wala hapingi Bali anatoa fundisho zuri Sana kupaka majibu ni ishara ya Toba na kumrudia MUNGU maana sisi Kama wanadam kunamuda tunajisau Sana na kwarezima inatukumbusha kutubu na kumrudia MUNGU na pia amefafanua vzr kabisa hata ukipaka majibu uso mzima bila Toba nisawa na Bure Mimi nimkatoliki lakini namwelewa vzr sana
@BenjaminKabebo6 ай бұрын
Sio ngumu ila watu walikuzunguka ndo watakufanya uone kumtumikia Mungu ni ngumu. Angalia kutenda ya aliyekutuma sio hao walioko njiani kukuvunja moyo. Hata yeye alikutana na upepo njiani alichukua hatua ya kuukemea ila wengine waliona safari imefika mwisho
@josephakondowe36456 ай бұрын
Ubarikiwe Rich ,wewe unaijua dini vizuri
@Smart7-b5e5 ай бұрын
Mungu akubariki kwa kazi nzuri mchungaji ❤❤❤
@pilisamtyani94455 ай бұрын
Ameen, mtumishi, unasimama na neno hasa, Blessed my pastor
@DavidGumbo-g3t3 ай бұрын
U r the best
@furahalazaro69016 ай бұрын
Nimekuelewa sana Mungu akubariki
@aminamsafari24075 ай бұрын
Shukran mchungaji Roho wa Mungu azidi kukupa mafunuo ya neno lake uzidi kutufundisha hasa sisi wakenya ili tuwache sarakasi nyingi makanisani.
@gabriellyadam94156 ай бұрын
Ubarikiwe sana BABA unatulea wengi kimaadili na kibiblia
@jesusdeliveranceclinicinte3476 ай бұрын
Tanzania tuna bahati sana kuona hata wazee wetu wa kidini wanasimama kwenye nafasi zao kukikanya kizazi hiki kilicholiacha neno na kukimbilia maji na mafuta. Tamaa za pesa kwa watumishi zimepoteza kizazi hiki. Na Mungu anawaangalia tu, sio kwamba aoni. Rudini kundini tulisome neno jamani . Asante baba Mchungaji kwa kutuchapa kibokoo cha pilipili. Yesu tusaidie sana uzao huu
@EverlyneKadenyi6 ай бұрын
Wah baba mungu na akutumie zaidi.mimi n mama Everlyne kutoka kenya. Una roho wa mungu 😮
@ApynesNzisa5 ай бұрын
Eti Roho ang'oa 🙄🤔🙄🤔
@michaelmushy44635 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukufunulia ubarikiwe.
@OnesmoKway-mk7zt6 ай бұрын
Wachungaji wote wangekuwa kama wewe dunia igekuwa sehem sahihi ya kuishi unaubiri vzr sana baba yangu unamaliza mwendo wako vzr sana
@magrethmicheal46632 ай бұрын
Ubarikiwe Baba,
@FarajaPaulo-n7l6 ай бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa MUNGU
@risperrehema58425 ай бұрын
Mtumishi WA Mungu, babangu ubarikiwe Mino. Kutsoka Kenya MSA,
@papembithe5036 ай бұрын
Yesu ndio mwazilishi wa miujiza
@abilityemmanuel57046 ай бұрын
Big up sir. Do the work of God.
@neemasonje16205 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@kaninimuindi64706 ай бұрын
Surely pastor wanapigana wenyewe kila mtu si haede pande zake alishe watu neno mnapigania nini na sehemu za kulusha kondoo ni kubwa sana kila pastor na kipawa chake na vipawa ni tofauti na mwenye kupeana ni rohoo mtakatifu tu
@tfjtv89293 ай бұрын
Ubarikiwe
@Byerakahungya6 ай бұрын
Amina imani kwa Munguwetu tu
@dorcaswekesa33005 ай бұрын
God bless you
@MaggieG2765 ай бұрын
Amina,neno mbele ya yote.
@KibangaSai3 ай бұрын
Kila MTU na karama yake, amen
@gradwellmwanja6 ай бұрын
Ameen
@richardrugemalira69345 ай бұрын
Watu wa dini /mafarisayo Yesu Kristo aisema hao ndio kikwazo kikuu - wao ni mashahidi wa adui! Kazi yao kuhukumu na kulewa ufahamu potofu kuwa wao ndio wawakilishi wa Mungu!
@stephenodhiambo7745 ай бұрын
❤paster napenda ukweli yako mimi ni Stephen kutoka Kenya
@UhuruNanzigirwa2 ай бұрын
Fesbook yana ni lutu kiss marekami
@uziasinkamba73806 ай бұрын
Mungu ni Roho nao wanaomwabudu wata mwabukatika roho nakweli.yeyeniyuleyule jana leo hata milele hakuna zamani hataleo anafanya.wanaokufutilia mzee kuku hoji uwemacho sana nao
@isaacktweve37736 ай бұрын
Asante sana🙏🙏🙏🙏
@rahabnkya82766 ай бұрын
ASANTE MTUMISHI wa Mungu umenena sawasawa na maandiko matakatifu. Turudi kwenye maandiko, tuishi kwenye toba ya kweli na ufuasi ucha Mungu mbingu tutazifika na kupaishi. Eee Mungu NISAIDIE nitoke kwenye mavumbi ya mauongo ya watumishi HEWA
@Mwasame_Official16 ай бұрын
Lakini watu huchukuliwa mchungaji,,wakaonyeshwa mambo na mungu hapo sikubaliani na wewe ,, mambo ya mungu hayachunguziki .
@MzeeMkoloni3 ай бұрын
Biblia kweli ni ngumu Aisee
@husha63725 ай бұрын
Kwenye kufunga Jeremiah36:8Mchungaji
@maryamsuleiman15096 ай бұрын
Sana to Baba uzidi kuinuliwa
@happykisarika13376 ай бұрын
Amina
@millanolotu28395 ай бұрын
Ukweli huo iendelee.Christina ana TAMAA
@sosom145 ай бұрын
Amen
@AaAa-zo3yj6 ай бұрын
Rita Ukweli kabisa umesema pastor
@ASALABOY6 ай бұрын
Ukweli unauma sana baba tema Nondo nazipenda sana
@SelijusiMalambo-q2u5 ай бұрын
ukweli kabisa
@pastorfredimbali6 ай бұрын
Amen..mafunzo mazuri
@emmanuelthomas49676 ай бұрын
MUNGU akuongoze zaidi na zaidi.
@everlynkwamboka81015 ай бұрын
Tunakitaji Kenya pia
@stevenandrea78476 ай бұрын
Umesema kwel baba
@christophermlelwa62956 ай бұрын
Imani yoyote in miongozo yake
@BenjaminKabebo6 ай бұрын
Tatizo la hawa wachungaji ni wivu na kutoamini Huduma zinatofautiana Msingi mkubwa kabisa ni NENO LA MUNGU lakini neno hilo haliwezi kubaki pasipo matokeo. Neno hubadilisha hali na kuwa kitu. Na imani za watu hutofautiana watumishi wa Mungu wote hamuwezi kuwa mikono. Kuna mwingine atakuwa mikono mwingine masikio mwingine jicho ila Roho ni yule yule.
@dorcaswekesa33005 ай бұрын
🙏🙏🙏
@RojasMvungi3 ай бұрын
Ngoja nikusikize
@isayatippe64096 ай бұрын
Ni kweli Mchungaji Hananja, 27:17 kinacholeta tofauti na ugomvi kati yetu Madhehebu ya Kikristo ni theolojia yetu tuliyojitengenezea wenyewe, lakini NENO ni MSINGI wetu usio yumba!
@protusisiaho13522 ай бұрын
Lakini unakubali kwamba Watu walijipaka majivu kama ishara ya toba wakati wa Yona. Na pia kama unavyosema majivu peke yake hayatoshi, sisi pia Wakatoliki hatusemi eti majivu peke yake yanatosha, la hasha. Lazima yaambatane na matendo mema. ubarikiwe mchungaji.
@risperrehema58425 ай бұрын
Kutoka msa🎉
@BmQrystal694 ай бұрын
Sawa
@ngowibeatrice17016 ай бұрын
Watumishi ambao awana vipawa vya kuwafungua watu wanapenda sana kukataa miujiza
@nuruupinga27436 ай бұрын
🙏
@Reginajohnson198846 ай бұрын
Kweli kila mtu na mwito wake
@UhuruNanzigirwa2 ай бұрын
Sawakabisa nikweli sijuwe mdaweza kukupata vipi?
@ElihrJones6 ай бұрын
Subiri kidogo. Umesema Mungu anaongea kupitia neno tu. Sasa huyo Mungu aliekupa ufunuo kutumia maji aliongea nawewe kwenye biblia pia au alivunja miiko yake akatumia njia nyingine?. Kama alitumia andiko tunaomba utuoneshe hiyo andiko lililoandikwa hananja tumia maji sasa
@EliyaBahati-l2u6 ай бұрын
Jameni tuwe na nidhamu kwa kuongea dhidi ya mchungaji huyu ,sababu mwajiletea laana tu juu yenu .yeye huongelea point za hali yajuu kulingana na neno
Najua wewe pastory unafata maandiko ndo maana wengi hawakutaki kumbuka nyakati za sodoma alipona lutu na familia yake wengi waliangamia sema ukweli watao pokea kweli wataokoka usikubali kushawishiwa na maajenti wa,,,neno lipo wazi mngu akupe ujasili upigane vita vilivo safi amina
@isayatippe64096 ай бұрын
Mchungaji umekiri kabisa kuwa Mungu alikuambia utumie maji ili yule binti apone, na akapona. Lakini mbona humkubali yule aliyesema alizungumza na Mungu
@fortunataangelo55755 ай бұрын
Hivi vitu vimewekwa kimsaidia tu mtu kuishi,, vizuri na hata walio weka hawaja sema ni biblia imesema,, ndoa hazija ruhisiwa si kwamba ni dhambi au haiwezekani kabisa kufanya hicho , nikwasababu ndoa nyingi zina ambatana na sherehe,, na ni kwaresma kipindi cha toba,, ndio maana ukawepo utaratibu wa kuto funga ndoa,, ila haimaanishi watu wakifunga ndoa kwaresma ni dhambi,, lakini kitu najua Mungu huheshimu makubaliano kama yanatusaidia kumkaribia yeye zaidi, na trust me, kipindi cha kwa resma ni kipindi cha baraka mnomno mno kina Neema nyingi nyingi nyingi
@anns.s87606 ай бұрын
KILA MTUMISHI NA HUDUMA YAKE ...PIA WAGANGA NI WATUMISHI
@tumainipeter4586 ай бұрын
Pastor uko viziri unatoa ukweli simple
@MohamedMohamed-u3t1n2 ай бұрын
Sasa watu watubu dhambi yesu alikufa kwa dhambi zipi kwa imani yenu kumbe unatakiwa kutubu?
Eti anapiga madafu na chakula mpk analala chali eti kafunga na Chakula wapelekee wahitaji . Kweli uwokovu ni safari 🙏🏾🙏🏾
@LovelyOutdoors-wd5nh6 ай бұрын
Hahaaaa
@adenmwakalobo7606 ай бұрын
Nchi yetu inahitaji watu walio wazi na wanaozindua umma kama huyu mch. Hananja! Naamini mijadala yake inasaidia kuwaanika wale wanaotumia mahuburi ya dini kupumbaza watu na kuwatia woga ili wawape pesa. Wasiopenda ayasemayo Hananja (na hapa nimewasoma) ni wale wanaotafuta kunufaika kupitia sadaka, ni wachungia tumbo! Huwezi ukasema "waache wachungaji waeneze neno" wakati tunajua wayafanyayo hao ni ulaghai, utapeli mtupu; na tafsiri yao ya biblia imejaa upotoshaji na/au uongo kabisa!! Huwezi kudai waachwe kwani taifa linaharibika pale watu wanapopumbazika.
@periskoigi60886 ай бұрын
Usipige wachungachi wezako
@olaislukumay22086 ай бұрын
Me nlikula nyama Sana siku hiyo
@abdulhakeem9596 ай бұрын
Ukiisoma INJILI KWA UHAKIKA WAKE HUWEZI KUBURUZWA KIJINGA JINGA.KULA NYAMA.GONGA SUPU AISEE
@NdolozKathele6 ай бұрын
Wewe hukosagi la kusema....
@JacksonMutinda-jw5qw6 ай бұрын
Lakuuma e? Usijali na usimchukie ju apedwa na wengi ju anaogeaga ule ukweli,,,usiumwe saana
Mchungaji mm unanichanganya TOBA na KUTUBIA mnamanisha nini ?? Na vip kifo cha YESU kimesaidia nini ?? Naomba wasomi wa bibilia waniweke sawa ..!!
@neemakanani43466 ай бұрын
Pekee haya inakubidi kuyatafuta uyajue sana kila siku tujifuze kristo kila itwapo leo sisi wakristo tuna tubu nakurudia dhambi tena mungu atusaidie sana
@alexsaidi39406 ай бұрын
Toba ni kitendo,kuhutubia ni kielelezo
@georgemashauri46575 ай бұрын
Natangaza rasmi tangu sasa na hata milele nitakuwa upande wako.
@eatlawe5 ай бұрын
Vyama vya upinzani vina furaha na vicheko?
@lindakapongo84216 ай бұрын
kwa ndoto
@JacksonMutinda-jw5qw6 ай бұрын
Swali uwa moja,ukifika kwa kanisa la ezekiel utashagaa tuu,ile mijego iko pale ya mabillioni ya pesa,yale magari na ma bus yako pale ya mamillion,aaya anatoa misaada ya pesa nyigi sana kwa watu sasa swali uwa moja,,ao washirika kwan utoa sadaka nyigi aje io imefanya mambo mengi ivo,,,apo kuna kisugumkuti
@EvaMguss6 ай бұрын
Rafiki asifiwe Yesu sadaka kwa pasta ezekiel ni nyingi sana kwa maana kanisa tu lake ni ekari sita na watu huja mataifa mbalimbali kupokea uponyaji na nyota kwaiyo utajiri lazima awe nao tu Mimi nachoona watumishi wa Mungu Kila mtu na maono yake hivo wasichukiane huyu hawezi kuwa kama huyu yani wakisemana wanawachanganya waumini lakini kwanini mtumishi umrekebishe mwenzio? Kwanini usiwahubirie watu wewe bila mifano ya mwenzio? Na huu ni udini mtu akiponya anatumia pepo wanapingana wenyewe kwa wenyewe lakin Kila mtu hawez kuwa kama wewe lakin pia achukue mda wa kumfatilia ezekiel na ibada zake mafundisho haswa