Malaika mke wa Ricardo Momo afunguka baada ya kushutumiwa na Esma kuwa aliivunja NDOA yake kwa kuingia kwenye mahusiano na Msizwa, Kwenye exclusive interview hii ametueleza mwanzo mwisho kuhusu ukweli wa shutuma hizi. Enjoy!
Пікірлер: 973
@aairraahseif56484 жыл бұрын
Hongera Ricardo momo heshima yako,umesimama na mkeo na kumjengea heshima kama mke, napenda ulivyo mlinda na endelea kumlinda na shutuma za watu na family, esma alizoea kucheza na mahusiano ya naseeb,safari hii amekutana na kisiki cha mpingo,unamke mzuri maashaaallah,Allah ailinde ndoa yenu,huyu esma ni wivu unamsumbua hata ktk mahusiano yake hayadumu ni vile awatendea watu ubaya humrudia mwenyewe,hasbi'allah wanaimal wakil
@shamsahaji62024 жыл бұрын
Ahsante malaika unajielewa hongera dada namna hio nimekupenda bureee
@ruthmdamo76614 жыл бұрын
Hunishindi Mimi marafiki Hawa mmmmh
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Momo umepata mke mwenye hekma hongera
@SekelaJakson-ls7dd9 ай бұрын
Kabda ya kubadil mwil alikuwa mzur😢
@ikrammahonda45664 жыл бұрын
Asante sana nimekuelewa malaika esma amezid. Mdomo anajifanya kaxoea mitandao
@azaabdallah31864 жыл бұрын
Esma kivuruge ,mama yake nae yaleyale ,mtu mzima ovyo...malaika angalia familia yako. Nimeipenda uko strong
@nasrimohamed75564 жыл бұрын
Dah ile familia jamn
@mymunamymuna48074 жыл бұрын
Esma ni mchawi wa ndugu zake ana wivu na mawifi zake coz niwazuri kumliko ndio maana domo hakai na wanawake coz anawasikiliza sana esma na mamake
@saumushabani31704 жыл бұрын
Hahaha
@chundemayala66414 жыл бұрын
Kama umemsikia huyu malaika kamwambia esma ni mpumbavu shule hakna gonga like nataka kuzipeleka sokon
@bintqassimidarous16364 жыл бұрын
Kama mmeona malaika kafanana na wolper like
@onlytecna94984 жыл бұрын
Yaan sanaaa hata m nilikua nataka nicomment hvo
@salomewandya72574 жыл бұрын
Kweli wanafanana mnoo na wolper
@m-blnlabenie31384 жыл бұрын
👍👍👍👍
@catherinemsoffe83664 жыл бұрын
Wolpa Hana uzuri huu, angekuwa nao tungekoma
@masalakulwa76014 жыл бұрын
@@catherinemsoffe8366 naunga hojaaaa
@zahrasulaiman88274 жыл бұрын
Nakupenda Maraika kiukweli ww umemzidi ESMA iyo ndio tatizo
@sallygrace14954 жыл бұрын
Umependeza Malaika. God bless you sis 💞
@marianakapeller46994 жыл бұрын
Pole Malaika Allah akupe subra na uishi na mumeo vizuri
@salmanyangasa11714 жыл бұрын
Nimempenda Sana huyu dada yan anajielewa Sana wallah...hongera Ricardo una mke anaejielewa
@medaihatungimana1074 жыл бұрын
Nilikupenda juu hawuna mikucaaa kama watanzania wengine❤️❤️❤️❤️aace kukupanikisha uyooo esma ashacoka na maishaa😳
@olivemwamengonakilimombeya69514 жыл бұрын
One of the best interview chris
@elizabethjames26934 жыл бұрын
Wow wewe dada ni mzuri pia una roho nzur sana mungu akubariki Mimi nimekupenda hongera sana 🌹 yani
@salmafikirini48994 жыл бұрын
Mungu atakulipia dada nimekuonea mpaka huruma na mwenyezi mungu ataisimamia ndoa yako itadumu milele inshaallah
@zaraannabell31954 жыл бұрын
Uko mzuri dada kama namuona dada jacky wolpa❤❤ acana na esma. hananyota ule domo tu la bure. Kacoka
@elizabethsakina99874 жыл бұрын
That’s why I love SNS awachelewi kumtafuta muhusika good job
@salomewandya72574 жыл бұрын
Hii ndiyo Tz🤣🤣🤣
@dianamadege17034 жыл бұрын
Ila esma ni muongo jaman
@mariamniko94704 жыл бұрын
@@dianamadege1703 L L P L Ppp L L L L Ppp l L L Ll P P L Ll l P L L P Power
@mariamniko94704 жыл бұрын
@@dianamadege1703 L L P L Ppp L L L L Ppp l L L Ll P P L Ll l P L L P Power
@ms_caramel26884 жыл бұрын
@@salomewandya7257 yaan wanaichangamsha nchi ady raha
@jasnafkiser42114 жыл бұрын
Daah Ricardo momo ongera kwakupata mwanamke mwenye hekima 😍🪝
@FelistersMejumaa-xi2ge5 ай бұрын
Kuja urudie comment yako hebu sahii
@jasnafkiser42114 ай бұрын
@@FelistersMejumaa-xi2ge 🤣🤣🤣Daah
@PinnaLuoga3 ай бұрын
😂😂😂
@fatmaali76054 жыл бұрын
She’s vry wise mashallah keep going gurl May God bless u Malaika
@wahiduitsverycommentmane54214 жыл бұрын
uyoo malaya esma kakomaaa kama jinii majii anamuonea huyu malaika wivu mdada wa watu mremboo mashallah dumu na ndoa yako mamy achana na huyo malaya changudoa kama alizoea kina tanasha,hamissa na wengine akuache ukae kwenye ndoa yako kwa amanii na mungu atakufunika inshallah 🙏🏻
@aminalupetu36474 жыл бұрын
Malaika nakupenda bure mam na maneno yak ya busara 💖
That's great your 💯👌 write sure may God bless you and your family
@emmyyahya83584 жыл бұрын
Piga kelele kwa Malaika wake love bby girl
@arefali23124 жыл бұрын
Weweeee
@rayanndizeyes31614 жыл бұрын
nakupenda sana Malaika iyo nikweli mumewako anakupenda sana
@chauabdalah33114 жыл бұрын
Nimekupenda unajielewa na una hofu ya mungu safi endelea kusimama kwenye iman
@btylove18704 жыл бұрын
Kweli naamini now kuwa Esma nitatizo kwenye hii familia. That's why hata kaka yake hadumu na wanawake, na yeye Esma hatodumu na ndoa kabisa mpaka aache fitna na roho mbaya!
@azaabdallah31864 жыл бұрын
Ukoo ilitolewa pesa malimbukeni, unajua ukitoka kwenye maisha ya tabu ukipata unawapanda watu wote vichwani kwao
@marywamaitha4 жыл бұрын
I salute this lady 💪💯
@jeyshillyjack44704 жыл бұрын
Umetisha, alithan we ni akina Hamisa,wale anawapanda mgongo na kushuka
@mwasimbega87124 жыл бұрын
Kuanzia leo MIMI nishakua mteja wa malaika jamani....!ebu pambana na duka lako mpauko ESMA😏😏
@hawaloth71154 жыл бұрын
Pambe tuu😁😁😁😁😁
@hamedaabdultaleb53414 жыл бұрын
Huyu mdada nimzur kweli lazima aonewe wivu
@sekelamwangosi32894 жыл бұрын
Umeona
@maligeltabatholomeo81284 жыл бұрын
Ni wivu tu
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
Kwanza anaongea ukweli mtu ukimwangalia tu
@zaydelabay97764 жыл бұрын
Wallah
@salmaharoun70004 жыл бұрын
Lazima awone wivu anamzidi uzuri ndo mana anaamuwa kumchafuwa hivo
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Mmmm esma kiboko jina la yuda linamfaa sana 🙄 anafanya uyuda mpaka ktk familia 🙆♀️ da! Kiboko, malaika mrembo sana mashallah ❤🇹🇿🇨🇭
@sharinv88644 жыл бұрын
Esma ana matatizo amezoea kufukuza wake wa diamondplantinamz sasa hawako ameanza warecardomomo thats not good malaika usijali hayo yasikujalishe endelea na kazi zako mama.
@Elsie394094 жыл бұрын
Alifuza wa Diamond Nyange wa kwanza sasa amesonga kwa wa Ricardo Nyange wa pili
@neemaumwemasana98234 жыл бұрын
Pole mamy
@ndaganoanastazia26584 жыл бұрын
Siyo Esma ... Msizwa kiboko kaja kuwavuruga familia nzima.... ona mama dangote amemvuruga mzee.... malaika kavurugwa na Esma.... na msipo kaaa kufamily 2021 mtaparangana sana ... yetu 👀👀👀🇧🇪
@Directorhernrypro4 жыл бұрын
Fact
@nuryatmussa99664 жыл бұрын
🤣🤣shikamoo msizwa
@salmaseif87554 жыл бұрын
Huyu Esma kwani yupojee hii familia kiboko inapenda ugomvi km wanamajini cheketu vile🙌
@swahiliwithZita4 жыл бұрын
Keeping up with the Chibus is sooo juicy than the Kardashians kwakweli😆🤣
@ashorass44314 жыл бұрын
😄😅🤣
@lybiajohn41224 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@amrish13164 жыл бұрын
😂😂
@didaamohsin65944 жыл бұрын
YAANI TODAY..IS TODAY...DANGOTEE FAMILY..MAMBO NI🔥🔥🔥
@najmasalimsalim27414 жыл бұрын
Hahaha fireee
@scolamwanisasu84994 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa hekima nimekupenda mungu awatunze mama uwe mwanake mwelevu mama angu
@chibandamwende36764 жыл бұрын
Huyo mtu wa Familia I hope si Diamond juu wewe ni type Yake unafanana sana na Zari jamani 😜😂😂😂
@happynicholaus64744 жыл бұрын
Sema huyu dada ajui kujipendekeza nimempenda
@lucyheigre19744 жыл бұрын
ALIYESKIA WHAT is GOES On!!!!! GONGA LIKE
@chicamoreno4 жыл бұрын
I laughed my ass silly.she is guilty af*
@alsam48814 жыл бұрын
😂😂😂
@shanyabdul23864 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mercyndujilo53634 жыл бұрын
Ila wew mnaaa😂
@btylove18704 жыл бұрын
😂😂😂
@bbb6nnn5614 жыл бұрын
Upo sawa dada umesha muumbuwa wew pig kaziii mama wasikuletee useng maisha yot ukitaka uhasama udai chako
@ifgodsayyes.nobodycansayno17964 жыл бұрын
SO BEAUTIFUL
@jamilahathumani42224 жыл бұрын
Safi malaika nimekupenda sana inaonekana huna shobo na unajiamin sana na unajitambua sana bishost,,safiiiiiii
@sonialand26464 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo nimefundwa! Safi sana!
@Agnes-qq4np4 жыл бұрын
Dada wewe nikiboko ya yuda(Esma)alizoweya wakina Amissa tanasha anawo onea
@azaabdallah31864 жыл бұрын
Malaika jina nzuri dada kama malaika kweli wa peponi nakushauri more shekh me yamini umkomeshe huyo esma yamezidi sana mdomo yy na mama yake
@ukhtynaa10964 жыл бұрын
1.esma alikua na mimba akawa hapendi harufu , esma kasharudiana na baba taraj weuweee piga kelele
@zaitunimohd36174 жыл бұрын
Jamani familia hii tutaona mengi
@khdijaahmed84584 жыл бұрын
Umeonaeeh
@mercyndujilo53634 жыл бұрын
Tutaambiwa uncle shamte anatembea na Esma sasa😂
@kibongobongo46084 жыл бұрын
😁 😁 Kama Egoli vile Kwa kupenda Kiki wapo tayari kwa chochote. Sasa mpaka kumkataa baba mzazi Sio kitu kidogo
@mamukassim40754 жыл бұрын
Esma. Kachanganyikiwa na kuachwaaaaaaaaaaaa
@awezayesu17794 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@judithgeofrey11074 жыл бұрын
Huyu Dada mzuri MWe!
@margaretndungu59014 жыл бұрын
mzuri wapi
@jeyshillyjack44704 жыл бұрын
Ni kweli huyu dada anaakili Sana akiamua kuchukulia hatua anaeza mlipa
@agriparose39424 жыл бұрын
Esma mungu hamuachi mtu mbaya akaishi umezidi ubaya kwa wanawake wa diamond tena unajitapa kabisa kua we na mama ako mkilipanga lenu juu ya mwanamke wa dai hamsindwi...wallah Esma kutokua na maisha marefu kwa kujutia umungu na kusumbua wanawake wenzako kisa pesa na jina la kaka ako..Esma Bora ufe kina tanasha na wengine waishi vizuri na mzazi mwenzao Daimond na yule mama akifuate nyuma dai awe na maamuzi yake na kuweza kuishi na mke.
@nasrahsamwely68714 жыл бұрын
Maskin Dada wawatu mtarabu mwenyew 😢😢😢
@salomewandya72574 жыл бұрын
Kweli Esma hafai kuwa rafiki ana uswahili mwingi sn,ata Tanasha alishaliongea hili
@salmaseif87554 жыл бұрын
Ndio mana daymond hakai na wanawake kwa tabia za mamaake na dadaake
@shabanwatabora2694 жыл бұрын
Kama umiona huyu jamaa anae muhoj malaika anafanana na dj kidylaks wa wasafi ngonga like hapa
@zaraannabell31954 жыл бұрын
Unajielewa dada God bless u . Urafik aca ata ikitokea akuombe msama
@judithsidi10874 жыл бұрын
We dangote family mtatuonyesha mambo mengi basi huyu esma ame chukua tabia za mamake
@selestineosoo50454 жыл бұрын
Esma, wacha mambo mob, hiyo ndiyo malipo ya Diamond kuchezea wasichana wa watu, wembe ni ule ule
@TASHAOCHUN4 жыл бұрын
This is is keeping up with diangotess family episode 2...😂😂😂
@azizayassin36234 жыл бұрын
😀😀😀😀absolutely
@olivemwamengonakilimombeya69514 жыл бұрын
True
@annedavienyamhanga47384 жыл бұрын
So true😊😊😊
@aaa64sa134 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@nurukhalifa94134 жыл бұрын
Sio dangotess ni nyangezzzzz
@burhanikumba22744 жыл бұрын
Upo vzr sna malaika acha na chizi yule Esma asojua maisha ni nni ndo mana ndoa zake zinshinda kwa umalaya ye anajua kila mtu anaweza kufanya anachoweza kukifnya yeye
@rajabdibwa64154 жыл бұрын
Hii series naitaka season 2!🤣🤣
@mohhamedmasai39114 жыл бұрын
Mwanamke Huyu kakomaa kweli kweli Mungu Amoungoze vyema......Katika Maisha yake
@rajabdibwa64154 жыл бұрын
Mbona Esma anasema hajabeba mimba ya msizwa? Hichi ni kizungumkuti🤣🤣
@mbarikiwambarikiwa39884 жыл бұрын
Sasa hapa Mama Dangote kapata mwenga anaejua kumuchamba bint yake Kutoka familia aliyoitaka. Hongera queen Darlline kuwa kimya.
Wanawake tuna mambo mengi jaamaniii haya ya nini lakin
@umutoni-roussel52334 жыл бұрын
🤦🙆😲Drama kama drama ,but what's wrong with that family?? I'll pray for them.
@marysaituni45844 жыл бұрын
Huyu dada ni mzuri ndo maana Esma anamchukia bure jmn anataka dada wa wenyewe aachike Kama vile yeye alivyoachika .🙆🙆🙆
@pizzaz43334 жыл бұрын
Sky ongeza Creez na Esco mshahara. Si kwa hustles hizi za kutuletea habari 😂
@azizamohd57284 жыл бұрын
Tena exclusive kabisa very hot
@sultansultans94624 жыл бұрын
Momo atapata majanga maans Malaika ni nzuri na kila mtu anamtamani Mungu atunusuru
@marynoella17524 жыл бұрын
Jamani family iyi inanini kweli esma mimba kutowa mama kunyanganya mtoto baba yake kwani laana gani iyo
@uwitekamimy34314 жыл бұрын
Malaika mzuri jamani uwiiii 😊 Huyo Esma was ha so Elena kuwa Mtu mbaya wala hata hatumuamini nyoooo 😏 eti hakutoa mimba
@pizzaz43334 жыл бұрын
Mmmhh, na mlidhani shida ni Hamisa! Kumbe familia yote full vituko!
@victoriadaizy52774 жыл бұрын
🤣🤣🤣🎤
@maryamdunga38964 жыл бұрын
😄😄wale mashabiki madazi ndo waelewe hiii family niyadizaini geni
@maligeltabatholomeo81284 жыл бұрын
Atari na nusu😅😅😅
@maryamm77654 жыл бұрын
😆😆😆
@hawajarufu57072 жыл бұрын
Duuh esma kakomeshwa..hii ni kiboko ya esma 😂😂👍
@mangofish90794 жыл бұрын
Waongo hawa wanatafuta contents tu na view kuipaisha media ya boss wao
@allthingdranabeauty4 жыл бұрын
Mzuri sana naona kam kafanana na jack kidogo
@everrineanyango74104 жыл бұрын
Esma wivu na roho mbaya itampasua ubongo
@sebmalunde59454 жыл бұрын
Wote ni binaadamu tunaweza kufanya makosa lakini Malaika naona uko sawa. ⬆️Foward
@scolanalle75034 жыл бұрын
Live your life Malaika
@mubarraqallye484 жыл бұрын
Pole xana Malaika umeeleweleka Piga moyo konde hii ndo dunia ya Wanaadam
@jenestermerchades91114 жыл бұрын
Mara mimba Esma anasema hakuwahi kuwa nayo mara Malaika anasema Esma alikuwa mjamzito Tutasikia mengi
@zayanazayana53534 жыл бұрын
Msizwa Mwanamme mbaya Sana kuliko Uchebe
@yunyun7994 жыл бұрын
😂😂😂
@rose_Winchester864 жыл бұрын
Be humble malaika.
@shamkrause41694 жыл бұрын
Hawa wanavituko
@AbdulAziz-wz4rb4 жыл бұрын
Awo ndugi zake mondi pia washambaa sanaa awo kina esma huyo mondi mwenyewe pia pimbi sazote kwenye matako yamamake Yani jitu zima lkn lapangiwa familia yake nawazazi ama madada life yakiswaili kweli ndio wanake awakai wanamuona mondi pimbi he's not a man and half💪🏽