Anayehamini baada ya hii interview Momo atakwenda kuhanzisha mahojiano mapya nyumbani au ugomvi anipe like tafadhali.
@sophiakassim67842 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@leolaganira86794 жыл бұрын
I applaud him for standing by his woman period!
@salmaseif87554 жыл бұрын
Momo nimekupenda sanaa we mwanaume na nusu asantee kwa kumtetea mkeo
@khalifapaul25434 жыл бұрын
@Ricadomomo wachana na Huyu Malaya katombwa Huyu Ana maneno mengi Kaliwa more love From kenya !🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Mina.152 жыл бұрын
Malaya kamtoma baba Ako au mama yako? Sounds stupid
@salmaseif87554 жыл бұрын
Kumbe Esma kumbe ujamkataa msizwa kuwa humpendi, Kumbe nimaumivu tu yakimapenz ya mumewe, msizwa popote ulipo Esma kumbe alikuzimikia👌 Msizwa we mwanaume na nusu 💪
@shankim34164 жыл бұрын
Ricardo you are a real man. May God bless your marriage
@janethndial57594 жыл бұрын
Yaan huyu kaka ni mwanaume zaidi ya wanaume daa
@winskitchen.6024 жыл бұрын
Amin
@musaabuebker17504 жыл бұрын
Kama umeona jicho momo anlomkata mkewe weka like twende sawa
@agnessbenedict30434 жыл бұрын
Cheee😂😂jicho la momo aki nmeliona
@Randy_minimalist4 жыл бұрын
Ni ngumu sana kujua ya mwanamke: Siri ya kuzini kwa mwanamke you need more than telescopic eye to identify the point of aim..! (POA) Wana akili sana Hawa viumbe ila mwisho wao huwa mfupi sana: it is because they never focus at the Point of Impact (POI) Pole sana kaka Ricardo Momo Shemeji kuna ulakini katika hadithi yake ... Shekhe.
@hamisomarykumba58774 жыл бұрын
37:21 Jinsi Bwana Ricardo anavyo mtazama mkewe ndiyo utajua kama wanawake ni wauaji😄😄😄,Msizwa amemla huyu mwanamke...
@aishaarusha8944 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@siahfrednand6704 жыл бұрын
Hamisi omary una uhakika kama kaliwa
@lilianrichard22984 жыл бұрын
Kaliwa uyu
@rashidaly41794 жыл бұрын
Uyo demu kaliwa kwel na wew momo unachosubir nikumkamata kwa mwenyo lkn hakuna cku nyingi utamkamata uyo demu cie
@cocobae51724 жыл бұрын
True body language tells it all
@lama63102 жыл бұрын
Wahuni Tunaelewa Huyu dada Kaliwa😂😂malegendary tunaangalia tu anavyoonge alaf tunajua😂😂😂
@vaestkusten6041 Жыл бұрын
hahahahah
@khadijazayumba84734 жыл бұрын
Daaah!!! hongera kaka momo tulia na mkeo mengine yanapitatu, una hekima sana
@hellenmanzi47404 жыл бұрын
Haahhaahha
@miriamlaurean22264 жыл бұрын
Hongera dada...umepata mume💓
@salmaseif87554 жыл бұрын
Kbs Mume anamsimamo wake wamsumbue tu uyouyo daymond wao
@rashidaly41794 жыл бұрын
Momo unakosea awa wanawake Ni mama zetu lkn Wana tabia ya kutotosheka kwaiyo umempa %100% nyingi Sana momo izo kwakumpa mwanamke ata uwe unamuamini vipi izo bado ni nyinyi
@jamalmageser93904 жыл бұрын
Ukisoma na kwenye sura ya tatu ndani ya qur-an 3(6-7) Allah anasema (...And those who accuse their wives of adultery and have no witnesses except themselves,then the witness of one of them shall be four testmonies (swearing) by Allah that indeed he is of the truth....). Ushahidi wa zinaa lazima waje mashahidi wanne kama wapo,na kama aliona mmoja basi atatoa viapo vinne kuthibitisha kosa hilo. Hao mashahidi pia wanavigezo ikiwemo 1)Tabia njema 2)waadilifu 3) wasema ukweli 4) na wameshuhudia kwa jicho la wazi sio kuambiwa au kusikia. So big up bro Momo kamatilia mke wako mpaka pale atakapowahuku Allah wewe na mkeo
Ukweli maisha yanahitaji ujasiri na sio nguvu wala Akili nyingi,,,Esma muharibifu anataka Wifi yake aachwe awe mdangaji Kama yeye,,,Wivu wa maisha unatuumiza wengi
@malongosalim68264 жыл бұрын
Momo mume bhna..Mariam tulia na mumeo..❤
@janethndial57594 жыл бұрын
Saaaaana
@fatmazullu49333 ай бұрын
@@janethndial5759Ndo keshasepa tena!
@rafaeliezekieli76854 жыл бұрын
Sema mwanangu momo uyo mkeo mwamba kapitanae
@olive-jaysilasofficial4 жыл бұрын
Acha umbea
@mymunamymuna48074 жыл бұрын
Aliliwa huyo demu, acha kuhepahepa
@rafaeliezekieli76854 жыл бұрын
@@olive-jaysilasofficial xo udea mzee dam mwenyewe anaunyesha hajatulia yan anavyo ongea2 hajiamin
@florabaruti80324 жыл бұрын
@@olive-jaysilasofficial kwani uongo
@josephvenus32594 жыл бұрын
Bongo raha sana jamani dah! 🤗🤗😎😎 sijui unakosaje vipindi kama hivi!? Ila tujifunze tu, na tusiyapeleke nyumbani 😁
@hamadshariff7424 Жыл бұрын
Mungu akujalie uwe namungu hivyo
@Nalxylee2544 жыл бұрын
Ustadh unazingua,khulil haq wainkaa na murah
@ashaally69934 жыл бұрын
Moja kwa moja inaonyesha msizwa kala mzigo...kuchapiwa ni siri ya ndani kaka vumilia 😂😂😂😂
@fatmasaid19114 жыл бұрын
Niko pamoja Na wewe
@ashaally69934 жыл бұрын
@@fatmasaid1911 👌
@magangashaban38354 жыл бұрын
Duu kaliwa tena huyo dada itakuwa wagombea bwana
@abdulhemedabdulhemed71104 жыл бұрын
Wallah hii familia inafanya mambo ya aibu na tatizo kubwa wako mbali na Allah mke wako kichwa wazi katika mtandao .... hii ni aibu tuu kwa hakika lipo jambo hapa na mume pia ajua lile jicho alilo kua anamuangalia mkewe sio mchezo
@sistersade9039 Жыл бұрын
Dah nakumbuka kusikiliza kipindi hiki 2 years ago. Maskini Momo ulimpigia kifua mkeo, Leo kakutupa huko. Maneno ya Asmah tuyakumbuke.
@habibamhina9075 Жыл бұрын
Mungu akujalie hekima nyingi kijana,Archana na wanaosumbuka na wivu, kaa na mkeo, wivu Tu na husda nandio maana kila kukicha anazaa na huyu mara Yule,mumuache Malika wawatu
@andrewjulius67964 жыл бұрын
Daàh..kipi ni kipi Sasa lkn hapo nakupa BIG UP MOMOOO"moyo wa kishujaaa namwaume shupavu(ila momo KILA nikikuona kwenye MACHO YAKO naona kitu.
@magrethjunior85574 жыл бұрын
Yanga
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
Ikiwa ni Wasagi su mwenye jina,HAKUNA MALAIKA BINADAMU 🤝
@aishamaina68154 жыл бұрын
Huyu msizwa inawezekana nikama alikua na mwanamke mwengine mpenzi wake ila akamsave jina lake kama Malaika..just in case ata ESMA akichukua Simu ya msizwa akipata hizo messages ajue kua ni Malaika.Msizwa ni MTU mmbaya sana.Tapeli,na mwenye kufanya watu wakigombana.
@Mina.152 жыл бұрын
Where is text msgs? She should've screenshot harakaharaka send to her phone 📱
@medaihatungimana1074 жыл бұрын
Muja muzitooo wakatii amekanaa kwa kishindo kikubwa mungu amuhurumiyee🤲🤲🤲
@salhaali37584 жыл бұрын
Kama umeskia mke wa momo kuwa esma alikua na mimba gonga like mana esma kwenye interview ya zamaradi kasema hajawahi kubeba mimba ya msizwa 😁
@darlinghadija13134 жыл бұрын
Yaani huyu mama anakaa hatari 😂 ameliwa kwa kweli 😂 😂
@zaerajuma91594 жыл бұрын
Ata wy unaliwaga pia
@oyay28214 жыл бұрын
Wahuni tmeelewa tunda la peponi ni tamu
@missannevwtvvvip15764 жыл бұрын
Esma is single and she wants all her friends to be single like her! Shame on you Esma!
😂😂😂sasa kama chart zilifumwa kuna nn apo kaka anajikaza tu ila demu wako kaliwa na mswiziiiiiiiiiii
@omakywazamani66964 жыл бұрын
Sana tena hapo anajikaza
@jeysenbenedict4 жыл бұрын
Anajikaza lakin ni kweli🤣😂
@hamisingeruko85764 жыл бұрын
Umeona ee,kusoma hujui hata picha huiyoni
@rogeradonis19565 ай бұрын
Très intelligent momo
@bahatirobert1009 Жыл бұрын
Kuna kajicho ka momo kamuangalia mkewe 😀😀😀😀😀😀
@butturachel17944 жыл бұрын
Ricadomomo anaakilisana namuunga mkono malaika unaweza zushiwa mambo hataambayo hujawahi kuwaza, mm nilizushiwa nadadaangu natembea nashemeji nawatu wakaamini nilimuomba Mungu ikajulikana siyokweli , Dada malaika Mungu atakulipa nyamazatuu
@SeverinoLuis-j1h3 ай бұрын
Anajishaua kumbe ela ya fremu anakopa ana ela malaika😂😂😂😂😂💋
@lama63102 жыл бұрын
Wewe jikanyagekanyage hapo.. sema unamtaka😂😂😂
@wananchitv86904 жыл бұрын
Tuliosoma Saikolojia tunajua huyu dem aliliwa
@leonardjaphety71044 жыл бұрын
Kwel kabisa
@gerry_macopper38084 жыл бұрын
Haha haha ikowazi hyo
@husnamfuko61364 жыл бұрын
Ndio Ana chachawa
@getrudemwangonelah58734 жыл бұрын
Hata maelezo yake tu kaliwa😂😂😂
@annaeriksson85554 жыл бұрын
Sana tu maneno mengi
@claudialupimo76144 жыл бұрын
Umesema hukua na no ya msizwa afu ukampigia sim tena,kivipi??
@janethndial57594 жыл бұрын
Alimpigi a esma kumbe hukusikia
@minicooper96424 жыл бұрын
Sasa hii radio au kituo cha family? Yaani radio ya kipuuzi sanaa upumbavu huu ndio wa kujadili radio station?
@mjobegameplay24104 жыл бұрын
Ww nmshenzi nn kwhyo unatakA wazungumzie mpra mda uu au taarfa ya abar c saa 2 usku mzee
@minicooper96424 жыл бұрын
@@mjobegameplay2410 yaani wewe ni mpumbavu sanaa kwahiyo unakaa kusikiliza upumbavu kama huo unaacha kulala achaga upumbavu hiyo ni radio station watu wengi sanaa wanasikiliza sasa kwa mfano baba yako au mama yako wanasikiliza huu upumbavu?
@mjobegameplay24104 жыл бұрын
@Mini Cooper Kwahyo redio unaipata KZbin mbuzi ww???! Redio uzijui navipindi vyake et kwhyo ww apo unasikiliza au unaangalia acha kuchafua media zawatu ww hichi nikipind cha the switch interview zamastaa tunaowafahau na tunaangaliA ili tujifunze kwan ww umelazimishwa kuangalia??? Radio namaadili unazitaka kasikilize radio mariA uko redio free bhac
@minicooper96424 жыл бұрын
@@mjobegameplay2410 duuu we kweli ziro kipindi kipo wasafi fc alafu sikiliza nenda shule kidogo utaelewa mbuzi wakienyeji wewe eti KZbin unasikiliza radio duuu shame for you bra you need to go back school because you don't know anything that why you talk like unborn child that's wasafi fc online okay bumunda
@sharinv88644 жыл бұрын
Hebu tuleteeni mambo ya kutuelimisha hatutaki kila saa hivi vikesi vyia utoto sasa hii ni interview gani? Kama kuna jambo na nyinyi ni jamii moja kaeni pembeni mkatengeze hivi vitu ndo vinafanya harmonize anawashambulia sisi tunawapenda hebu tuleteeni mambo mapya.
@cheedvevo4 жыл бұрын
Hii ni redio na ina vipindi vyake elewa hiki nikipindi cha mashaamshaam kuna udaku ndani yake, fatilia good morning uelemike
Mabaharia tumeshaelewa huyu dada kaliwa story mingi mingi sana anatumix na mastory mob....
@ahmadshomali42064 жыл бұрын
Masitufanye sisi ni watoto huyo Malaika ametembea na Msizwa 100%.
@pujimontanapachino49584 жыл бұрын
Jamaa kagongewa lakini ndio kapenda atafanyaje anajikaza kiume tu.😂
@swaummussa12724 жыл бұрын
Kabisa😂
@shaibumahanda51904 жыл бұрын
Hahahahaha
@ayshabayun90144 жыл бұрын
Ningekuwa mm ningekaa kimya tu . Asa anatetea nini...hakuna maongezi ya faragha au makutano ya faragha kati ya mwanaume na mwanamke tena wote mazuri halaf ukiangalia momo na msizwa ni tofauti msizwa hb japo anatabia mbaya.
@abdallahsaidi29424 жыл бұрын
Momo ameshikwa na mkewe
@mussamwamoto82314 жыл бұрын
Anything could be happened,never trust woman,MOMOO000,uko strong,sio kwa kujieleza huko.
@rashidabdallakarisakarisa3 ай бұрын
Continue rest in peace dida daima tutakukumbuka😢
@aishajafa41394 жыл бұрын
ili uitwe mwanaume hakikisha uwe na moyo wa momo dah kijana umejikaza kiume mkeo huyo kapita na msizwa anashindwa hata kujieleza
@khalidtv62004 жыл бұрын
Sisi watu wa psychology tumeshagundua huyo mke wa Momo anaongopa!
@Mina.152 жыл бұрын
Psychology wa kariako stop making up stuff you don't even know her.
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Nimeamini sasa maneno ya Esma,kuhusu mke wa Momo na Msizwa
@aboukillo9694 жыл бұрын
Strong man
@franciscomasungulwa35754 жыл бұрын
Kuna ukweli fulani mke wa MOMO anaujua same tu ndo hivyo hawezi kusema... Ila ESMA naye wivu kweli unamsumbua
@pendochimammy5013 Жыл бұрын
Momo uko. Na mke mzuri sana malaika malaika kweli si mchezo
@rajabrwambo80834 жыл бұрын
Dem anajikanyaga kanyaga tu kaliwa complete na msizwaaaa
@adbashtv67014 жыл бұрын
Tatizo la kuowa wanawake wazuri sana ndo hili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@carstuslucas42484 жыл бұрын
Wivu nikitu kibaya Sana mwenyez mungu atusimamie.
@jemimahaloyce47404 жыл бұрын
Sanaaa
@pendojeremiah91114 жыл бұрын
Yuda ni msaliti jamani ila kuongea uongo huwa hawezi
@divinebernard10473 жыл бұрын
Kabisa
@shellaking61853 жыл бұрын
Hìi family ikona kazi balaa laana sielewe.
@Noname-gg6bx4 жыл бұрын
Huyu Mke wa momo anaonekana tu kama hajatulia na momo anajua kila kitu kama demu hajatulia sema anaamua kukausha kutokana hiyo pisi ni kali akiiacha Leo watu wakubwa wataimiliki hiyo ni pisi ya BMW sio Ist na momo kachoka hana uwezo wa kumiliki Hii pisi ndo maana anakubali hata demu akimpiga matukio
@chrispinimkanda71274 жыл бұрын
Kitu Kama hicho bingwa!!
@lama63102 жыл бұрын
Wewe jidanganye hapo😂Ety mapenzi wakati mabaharia wanakula
@baimarrajahbuayan62374 жыл бұрын
Esma kaachwa yeye anataka kuvulugwa ndoa ya mwenzio!!! Ovyooooooo
@patsonmassawe77144 жыл бұрын
Oops..wawe kama Diamond tu....Maana Diamond anapitia mengi sana..mengi sana..ila ni mkimya..mpaka now hajaoongea
@rizikiwaadee87904 жыл бұрын
Sasa ndo napata picha huyo Momo anavoongea ni diamondi mtuuupuuu kweli damu nzito
@salamakombo32574 жыл бұрын
Ata mie nimeona ilo
@separatebetres53154 жыл бұрын
Kweli wamefanana sn
@mamukassim40754 жыл бұрын
Ata mtoto wa tanasha zaidi kafanana na momo
@Agent-oi9sj4 жыл бұрын
Duuh! Inaonesha Msizwa ni Tapeli sana! 😂😂
@janethndial57594 жыл бұрын
Tapel Sana huyo kaka
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
nimalizie kwa kusema tumuachieni mungu kama yapo hayo Allah aje ayabainishe bayana bayanuna mchana kweupeee tuseme insha allah
Mhhhh 😂 mariamu unakijambo umefanya wacha kigugumizi mama
@fatmasaid19114 жыл бұрын
Ukweli ASA huyu dada katembea Na mswiza, ila momo anaogopa kumuacha mana mzurii hahahahhahahahaha
@OTMonique4 жыл бұрын
I believe this woman mybe it was another woman not her.....
@filletist14 жыл бұрын
Mume wa Esma Ali save Malaika kwanamba ingine. Kumuumiza Esma
@thisiszai20454 жыл бұрын
50 50
@OTMonique4 жыл бұрын
@@filletist1 lakini Dar yote kuna Malaika wangapi? Yeye mwenyewe kasema alisoma haraka haraka alafu hakuangalia number ku confirm kama ni yeye. Sikuwa na mtetea lakini ukiamua kuleta maneno haya njee u need a lot of good evidence.
@karimchindema98234 жыл бұрын
Hahahaha mweee... Ukiona manyoya kuku kashaliwa
@leylamohamed99394 жыл бұрын
Huyu Malaika anaonekana tu hajatuliaaa, anaonekana kabisaa.. ila Ricardo anajikaza sana kiume.. Ukweli anaujua mwenyewe.. Ila Esma anatatizo sehemu na huyu mdada.. Esma huwa hasemi uongo
No problem nyingii... Msizwa alijuaje kama una duka kama mkewe hajui!!!
@charlskpc11034 жыл бұрын
Msizwa kapita hapo,
@fravoredstunner54 жыл бұрын
Braza achana na huyo dem. Yupo kweny mission yake.
@mrgeorgeisdory52774 жыл бұрын
Waswahili tukiona manyoyaaa Tunajua kitoweo kimesha liwa Ila jamaa hana Momo moyo wake haunaga kusema basi Na akili yake imevaa nepi😂😂😂
@jumongjr58374 жыл бұрын
Momo kaibiwa chombo 😂😂😂😂😂😂😂
@Gigizlife4 жыл бұрын
Huyu dada simwamini hata kidogo. Kafumaniwa ndio anajidai innocent
@alshabje71854 жыл бұрын
Wewe kaka zidi kumpenda mkeo uko powa 🤲🙏♥️
@garoedod62724 жыл бұрын
Malika malaya kweli bwana.kajuza sana Oman 😏
@sharonchristian37114 жыл бұрын
@@garoedod6272 🤣mlikuwa ote
@medaihatungimana1074 жыл бұрын
@@garoedod6272 umekutana nayee ao alikuwa combo yako Oman😏😏😏😏
@rahmazahor43334 жыл бұрын
Asma mshenzi sana .......Malaya mkubwa wewe ......Ulisema umeolewa kwa mkataba wa wiki mbili ...Sasa unataka kumuharibia malaika...Brother momo you have beautiful wife....wivu tuu usifate huyo Asma mshenzi ..malaya asma hana maadili hajalelewa...maskini wa Roho ...
@elit3_furor5174 жыл бұрын
Hatari mna mambo familiya ya diamond mlimtafuna hamisa na wanawake wengine wa diamond sasa leo mnatafunana kama mihindi jamani mungu ni shujaa malipo ni hapa hapa
@derickydeniz5834 жыл бұрын
Hii familia Ina trend kuliko bongo movie 😂😂
@fidianishimwe40354 жыл бұрын
Kabisa 😂😂👏👏👏
@medaihatungimana1074 жыл бұрын
Wallah😂😂😂
@asiliyakechuma43194 жыл бұрын
🤣
@healthchoicewithluciebern87414 жыл бұрын
😄😄😄 kweli, movie zinakosa soko
@zaydelabay97764 жыл бұрын
Malaika nenda kamdunde esma🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiiii
@azizadangote92132 жыл бұрын
😂😂😂😂😂polee dadaa momo hakuachii
@ayshabayun90144 жыл бұрын
Yan we Ricardo ungekuwa na akili usingeliongelea hilo aibu nyoo mkeo kat*** na msizwa unaenda kumtetea..
@aa-bk3ej3 жыл бұрын
wanaona gere tuu kwa sababu malaika na momo wanapendana
@Legends_Interviews4 жыл бұрын
Demu wa momo kaliwa haha
@zenamadhan25174 жыл бұрын
Keshaliwa mbna msizwa kasema malaika ajipendekeza
@mariangittu74184 жыл бұрын
Familia ya nyange mpooooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salamamohammed54464 жыл бұрын
Wapo
@winfridadominancy34924 жыл бұрын
Mungu waajabu sana mmekuja kumuaibisha mzee Abduri mmejikuta mnaaibika wenyewe
@sponsertv50094 жыл бұрын
Acha tuishi na hii cc wenye uelewa wa haraka YUDA MSTARITI ILA AJAWAHI KUSEMA UONGO ila respect mwanetu wa nyange mmorogolo mwezetu
@johnrahab26984 жыл бұрын
Pole mariam ndo duniha hy
@kinasatz72664 жыл бұрын
Daaa!! Kwel utabili wangu umetimia, uongeaji wa momo ni mond mtupu, sikujua ni kwanini,, kumbe kaka bwana.
@abedkarume90884 жыл бұрын
Kweli anaongea kama diamond umeonaeee
@mariammwakimbi44394 жыл бұрын
Yaani wamefanana mpak kuongea..
@nancywamimi21684 жыл бұрын
Sanaaa Yan nmeliona hilo
@abdulmtausi83274 жыл бұрын
Hilo nililijua siku nyingi wanafanana wanavyozungumza
@bahatimawalla94764 жыл бұрын
Yan wanafanana Sautii jmnnn uwiiii
@kingmorani4694 жыл бұрын
Msizwa kagonga Dada na wifi hahahaha
@wozanawewoz9794 жыл бұрын
Yaani alafu yule jamaa ana vi biashara vingine ambavyo sio halali na esma kasema ,yaani unashindwa unajivuna kwa laki nne anti mchumi angetafuta mwanamke mwenye heshima sio hao ,
@gracedaudi41244 жыл бұрын
Huyu Dada hajielewi Mara hajawahi kulala nje Leo tena anasema alikuwa snalala nje Kwa ajiri ya esma kaliwa namsizwa
@irenenyange94094 жыл бұрын
emsa yan ukiachwa ww unatak n watu wengine waachane kwenda uko roho mbaya emsa