Amen... Mtumishi wa mungu umenibariki kwa jumbe zako za ufunuo
@mariakilasile87922 жыл бұрын
Mungu mwema kutuinulia mtumishi huyu, Asante sana Yesu. Ubarikiwe Baba.
@bettywandiema69003 жыл бұрын
Mungu akubariki sana muchungaji nimebarikiwa sana
@aisiamkonyi49772 жыл бұрын
🙏barikiwa Mtumishi
@elizabethmwepa37443 жыл бұрын
Mungu akubariki sana baba, wengi tunapokea kilakitu bila kuhakiki kama ni cha kimungu kwa kuhisi ndo imani yenyewe na kuhakikisha ni kama kutokua na imani. Umenifunza kwakweli
@salomemchewa51873 жыл бұрын
Halafu mmewekewa hapo namba za sadaka, kwa wale mnaopenda miujiza bila kufanya kazi , wenzetu wanzungu wanafanya kazi usiku na mchana , ndomana wanafanikiwa, sisi tunasubili miujiza, africa,
@innocentnsengimana16002 жыл бұрын
Thanks for the teaching.Mungu akubariki sana
@florahovard32122 жыл бұрын
Ubarikiwe na Yesu aliyehai
@rosemwakyoma83713 жыл бұрын
Asante Mtumishi umenifundisha kitu ubarikiwe sana
@pascalmuzuri43 жыл бұрын
Mungu akubatiki sana mtumishi wa Mungu. Akutie nguvu na akuongezee upako
@rafikiyesu31343 жыл бұрын
Somo hili limenisaidia sana,ni halisi kabisa, mtumishi wa Bwana 🙏 Yesu aendelee kukuinua kwa kazi yake🤝
@zaudamwaisanila91503 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi, hakika someone hili limenifungua, Mungu azidi kukutumia
@harrietwabosha16693 жыл бұрын
Thanks Pastor God bless you nimesoma vyema kuhusu ndoto kutoka kwako..Mungu akuzidishie wisdom and knowledge🙏🇰🇪
@yudesnestory47813 жыл бұрын
Nukupenda sana baba mungu azidi kukuinua kwa viwangi vingine
@rusiwadonatrusi36033 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@fortunecinogerwa14713 жыл бұрын
Mungu aku bariki mtumishi wa Mungu
@joharisadi8733 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana,nimejifunza kitu muhimu.🙏
@lilianjoshua4773 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwaajili yako nimepata kitu kuhusu ndoto . Naomba Roho mtakatifu anifunulie
@wamweru92862 жыл бұрын
God bless you 🙏,mafundisho yenye kuelimisha watu . 🇰🇪 .
@gemamwakyusa61003 жыл бұрын
Asante Mtumishi kwa fundisho zuri
@Francinegabriella3 жыл бұрын
Amen 🙏 nimejifunza kitu leo kbs God bless you 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏
@rebecapandisha Жыл бұрын
Umesema vema baba
@mmenesibety78143 жыл бұрын
Am betty from kenya pastor ukiota unaombea watu mapepo yanatoka inamaanisha nn
@mbarikiwaamina58852 жыл бұрын
Ina maanisha una huduma ndani yako
@winnyrocha13613 жыл бұрын
Asante sana mchungaji Kwa ujumbe mzuri.
@donathamallya3 жыл бұрын
Amen Mtumishi wa MUNGU Barikiwa
@amandamsangi78823 жыл бұрын
Baba my name is Amanda siku zote huwa napita tu kwenye chanel yako sikuwai kufikiri nitakusikiliza leo nimeota and hapa I was so struggling kutafuta mtumishi wa Mungu kuongea nae, baba kila ulichokiongea it's me I day dream sana na pia usiku. All I can is asante umenifundisha kitu. Thank u very much
@jacklineleonard3554 Жыл бұрын
Baba nimefurahia Sana hiki somo Kuna ndoto nimeota imejirudia mala 3 na siku ya nne nikaruhusu kile kitu kitokee na nikweli kikatokea ktk ulimwingu wa mwili
@agnesmutindi30943 жыл бұрын
Asante mtumishi was mungu. I have learned something new from you
@tinamagombeka91792 жыл бұрын
Man of God be blessed🙏
@elsaomondi20273 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe.nisaidie kufafanua ndoto hili. Baba ya mwanangu alioa mke na mara mimi huota huyu mke yuanialika kwa mlo wa nyama mingi na mara tunagombana akilia ati mimi ndiye nimemsababishia machungu maishani. Hii ni nini jamani
@neemaeliezamwampeta46353 жыл бұрын
Ameni 🙏🏼
@florahovard32122 жыл бұрын
Great message man of God
@judithsalvatory28923 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kweli umenigusa sana sikujua
@robertedward78533 жыл бұрын
Amen mtumishi somo zuri asante mwalimu
@gilbertbada83852 жыл бұрын
TEACHER!
@julianangimba39273 жыл бұрын
Hongera sana Baba Mchungaji kwa mafundisho mazuri. Mwenyezi Mungu Akubariki sana👏👏👏
@gregorynyamas12342 жыл бұрын
Amen mchungaji
@rahabnganga27933 жыл бұрын
Mwalimu mwema sana wa neno la Mungu.
@salomeshila36713 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana nahili somo la ndoto
@thomaspapy35193 жыл бұрын
Asante sana Mungu
@gloriapraise33133 жыл бұрын
Very true
@suzansuzzan53443 жыл бұрын
Always blessed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Thankyou JESUS CHRIST...May GOD bless you Man of GOD 🙏🙏
@loycegodson77542 жыл бұрын
Nakuelewa Sana mtumishi...Barikiwa..
@eliasmalecela2 жыл бұрын
@@loycegodson7754 6
@rajabumakopa1238 Жыл бұрын
are you Kenya people
@danstonecool17343 жыл бұрын
tuned
@tuchannyitike3 жыл бұрын
Thank you for the sermon,ntazidi kutafakari it's a lot to learn 🙏
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏😓 from 🇴🇲
@luhekelondelwa97143 жыл бұрын
Amin ubarikiwe kwa somo zur
@emilynyaga59473 жыл бұрын
Amen ...am blessed by the teachings ave learnt alot..God bless you man of God
@marymwangi37293 жыл бұрын
Have learnt alot from this sermon God bless you sir
@hakizimanayusuf7802 жыл бұрын
5
@ruphaskwendo9183 Жыл бұрын
hallelujah
@neemamaganga97743 жыл бұрын
Ameen
@heavenlight50843 жыл бұрын
BWANA YESU ASIFIWE watu wa MUNGU, nina mdogo wangu natamani sana awe anasali reality, mpo sehemu gani dare salaam ,mana mm nawafatilia nikiwa arusha
@realityofchristchurch3 жыл бұрын
Dar es Salaam tupo Sinza Mori,ni karibu sana na ofisi za TAMWA. Karibuni sana.
@heavenlight50843 жыл бұрын
@@realityofchristchurch asante mtu wa MUNGU
@faisalalsalhi65553 жыл бұрын
thank you umenifunza kitu God bless you
@IrakozeChemsadorcas Жыл бұрын
Ndiyo baba
@dawsonbulaga71292 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@irenemukami57353 жыл бұрын
Thank you for the good topic
@vailethmbulule83393 жыл бұрын
nabarikiwa sana
@mhamdahmd77583 жыл бұрын
Amen barikiwa mutumishi wa Mungu
@amosjblack96143 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho nimebarikiwa sana 🇰🇪 🇦🇪
@elizabethfregrin3 жыл бұрын
Asante sana Man of God kwa mafundisho mazuri
@joyceyesayaswalle59473 жыл бұрын
Ameni
@joycekaijage39173 жыл бұрын
Pastor, asante kwa mafundisho yako, hii ni mara ya kwanza kusikiliza mafundisho yako. Naomba kujua kanisa lako lipo wapi ili niwe naudhulia mafundisho au semina zako.
@realityofchristchurch3 жыл бұрын
Kanisa lipo Dar es Salaam,Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Pia tuna Huduma DODOMA kila Jumatano kuanzia saa kumi na moja jioni pale ukumbi wa Dear Mama,Area C njia panda ya kuelekea Arusha.Karibu sana.
@joycekaijage39173 жыл бұрын
@@realityofchristchurch kwa upande wa Dar, semina inafanyika siku gani na sangapi na uwa ni mara ngapi kwa wiki huduma inakuwepo
@neemasaidisaid17913 жыл бұрын
Amen. Kunakitu nimepata ubariliwe
@fhfbfcvcgfggf68443 жыл бұрын
Mtumishi hiyo inatokea Sana kwangu na huwa naumia kutaka Kukumbuku Ndoto nilosahsu
@irenengina2333 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@rusangdewagwan31513 жыл бұрын
Ansante pastor kwa mafunzo hayo. Naomba unieleze maana ya ndoto .. nimekuwa nikiomba mungu anibariki na ndoa baada ya week mbili nikaota nikiambiwa ghafula nijitayarishe kuvaa nguo ya harusi na ya suprise niliota 4am na wakati huo Sina mjumba. Lakini naona nimefanya harusi na mtu nilikuwa nimeanza kuchumbiana baada ya week mbili akapotea. Ikawa mwezi moja umepita hamna mawasiliano lakini ndiye naonyeshwa nafanya harusi naye na alikuwa mzungukutoka americani. Baada ya week moja rafiki yangu kaniambia Kuna nduguye ako ngambo familia yake ingetaka tujuane na tuoane na ako UK. Canada . Ningependa uniambie inamaana gani? From Kenya
@politicscultureandhealth50803 жыл бұрын
Great message
@agnestweve72182 жыл бұрын
Naombeni namba ya simu
@neemamaganga97743 жыл бұрын
Be blessed. A man of Jesus christ .
@stephensengo68773 жыл бұрын
Amen
@isaackasembeli67073 жыл бұрын
Asante mchungaji kutufunulia Mambo makuu
@Dolvinah2543 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@jaqueeen13 жыл бұрын
Be blessed man of God
@winfridahmkoba-rs4rm Жыл бұрын
Mm nilikuw naota sana na ninakumbuka lakin hivi karibun imekuwa tofauti ninaota lakin nikiamka ckumbuki,najitaidi kukumbuk lakin haziji
@aoman52143 жыл бұрын
Jaman Mimi nikiota kitu lazima kitimie sasa cjui ni ya. Mungu au vipi hmm
@piusmchalo2803 жыл бұрын
Barikiwa pastor
@rosenasimiyu63963 жыл бұрын
Pst Mimi nilikaa Kwa ndoa kwamiaka ine lakini kuna siku moja sister in law akakuja kuniambia aliota tumeachana na mume wangu tulikaa 1yaers tukaajana lakini bwana wangu anatezeka sai pls PST ni saitia, God bless you
@milkahmuringo47653 жыл бұрын
Great revelation prophet of God,I never understood
@ernestijalis043 жыл бұрын
Nitumie watsap mtumishi
@RoseRose-vf5km3 жыл бұрын
Naji funza mana of God
@margretmumbi433 жыл бұрын
God bless you sana Margaret Wambui from Nairobi
@florencendatila91833 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@magdalenarusimbi14383 жыл бұрын
Ahsante mtumishi, umenibariki sana. Mimi huwa naota niko na watu wengi kisha kuna minyama mingi ninakula. Ndoto hii inakuja mara nyingi, baada ya siku nasikia msiba mahali. Nifanyeje?
@damarisnjerunjeru3993 жыл бұрын
Bishop,,,kuna dugu yangu alikufa na kabla hajafa nilikuwa naletewa doto nikimwekelea mkono lakini nilikuwa bado mdogo miaka na pia kiroho,,,kipindi baada ya kumlaza,,,alikuwa ananijia kwa doto na kunishika mkono kwa umati mkubwa wa injili huku amevaa descent suit) maanake nn
@lacandylove3 жыл бұрын
Je nikawaida kuota mchana zaidi ya ndoto moja?
@farajamkuchu84583 жыл бұрын
Nikwer pastor hatamimi mdahuo hua naota na hua zinatokea kwer
@joharijohn70053 жыл бұрын
Mtumishi nimebarikiwa sana yani mimi kila siku naonyeswa matukio tofauti tofauti kunamda hadi nakuwa sijui niombee lipi niache lipi Natamani kupata namba yako ya WhatsApp tafadhari nahitaji unipongeze japo kidogo tu nitaelewa
@maureenauma73973 жыл бұрын
Kila siku nina ndota za pesa,nahesabu pesa,naficha pesa,yakuficha pesa nimeota mara mbili nikificha notes kwa drawers,nikificha coins mingi kwa mifuko na chumbani.
@ruthie84663 жыл бұрын
Dream manipulation ✅
@ellymaz21873 жыл бұрын
Nasahau karibu kila ndoto ninayoota au nakumbuka vipande vipande vidogo sana. Na kuna ndoto naiota mara nyingi sana, nifanyeje?
@hildanekesasichangi25633 жыл бұрын
Bwana asifiwe mtumwishi wamungu Mm niliota kuwa Niko kwenye stage yamagari bt kila gari lilikuwa linakuja limejaa baadaye Kuna gari lapik up LA yellow likaja na ndereva alikuwa mwanamke wang'ambo yaani muzungu na mume wake na watoto wawili vijana Sasa huyu kijana mmoja alisema tuingie kwa gari lao baadae tulipo ingia harufu ya pombe na sigara ilianza kunukia bt ule kijana mmoja alisema tunyamase kimya tuSiongee Kitu Then tukaanza safari bt gafla gari likakosa control then likamake accident bt huyu mtu atoki damu mahali namtu mwenyewe ni kiwete
@magrethsimtenda9263 жыл бұрын
Hilda nekesa sichangi hapo MUNGU anazungumza nawewe huenda wapo watu wanaokuzunguka hawamjui MUNGU ndomaake kiwete mlemavu n.k.nakusubiri gar pengne una huduma ya MUNGU unapaswa ufahamu usipitwe nasauti ya MUNGU maana ndoto namaono ishara utabir nisaut ya MUNGU asemapo nawatu wake sasa muombe MUNGU akupe kujua
@goodluckwayesu21903 жыл бұрын
Iko vzuriiii
@constancesidi33863 жыл бұрын
Thanks for this lessons. Am born again and I mostly dream of bad things and if I don't pray they will happen. Is it alright to have bad dreams? I would wish to wake up smiling after sweet dreams but it's never so.
@mwanrique2 жыл бұрын
Shalom🙏🏿 it is the holy spirit telling you of future things, so that you pray and stop them. God bless you Sister in Christ!😃
@pstbahavusylvain6892 жыл бұрын
Sasa inakua aje wakati Mutu anatolewa unabii wake in public ijapokua ni mambo ya Siri ? Je ! Kama hapo kuna mutu mubaya hapo, hawezi iharibu ?
@pstbahavusylvain6892 жыл бұрын
Otherwise nimebarikiwa na series hizi kabisa.
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Mm kuna ndoto ime nitatizsa sana mpaka sasa yani nime ota na zini na mwanangu fast born hii ina maana gani mtumishi
@sheilamaziku59803 жыл бұрын
Na mimi niliota naingiliana na baba angu yanii😭😭😭😭
@christianmwasakogo55793 жыл бұрын
Hapo ujue ni jini mahaba linakuwa limejibadilisha tu umbo au sura ndio linakujia, hivyo hiyo ni ujanja tu wa jini mahaba kujibadilisha kuwa kama mwanao au mzazi wako au laweza likavaa umbo au sura ya chochote!! 2korintho 2:11 ni mbinu tu za jini mahaba,anakuja kukuchochea uzini
@christianmwasakogo55793 жыл бұрын
Unahitaji usaidiwe maombi ya kujitenganisha na hiyo roho
@geendaki76783 жыл бұрын
Samahani mbona namba tatu sijaona naona namba nne
@realityofchristchurch3 жыл бұрын
Sehemu ya tatu ipo, imeandikwa MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (MAOMBEZI). Katika sehemu ya tatu tulikuwa na maombezi.
@geendaki76783 жыл бұрын
Ahsante Mtumishi
@jacklineerenest32113 жыл бұрын
@@realityofchristchurch mtumishi naomba namba yako mimi nnahitaji maombezi yangu na familia yetu mimi nipo Masasi mtwara na Familia yetu ipo bukoba mtumishi Nina shida sana
@margaretogega88363 жыл бұрын
@@realityofchristchurch Mchungaji ninayo shida ya kumwona mime wangu kwa ndoto na sa zingine analala namimi za zingine anatabazamu. Kwa mwil uhisiano wetu ni mbaya sana 2. Kuna kipindi fulani nasikia ni kama kitu kinanitembea kwa mwili kama nyoka na za zingine nikifunga macho naona mapicha za manyoka, Niko mbali nifanyeje, nisaidie, hela sioni nikiona ni kwa ugumu,.