Malaysia Flight MH370: Ukweli wa KUTISHA kuhusu kupotea kwa NDEGE hii, MABAKI yalipatikana ZANZIBAR

  Рет қаралды 18,069

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

8 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 60
@henry1933
@henry1933 7 күн бұрын
The first best online TV in TZ. If you agree click like this comment untill Bro Skywalker see it
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 7 күн бұрын
Thank you
@abubakarimsere
@abubakarimsere 7 күн бұрын
Sns ❤❤
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 6 күн бұрын
Unanitisha sasa mungu atulinde tunaotafita maisha kutwa kupaa angani
@abuysalim7163
@abuysalim7163 7 күн бұрын
Simulizi na sauti kila Leo munapiga hatua,...nimekuwa nawafuatilia Kwa karibu mda mrefu hivi karibuni nimeona jitihada zenu na naamini Kwa Kasi hii malengo yenu ya 10M per month itatikia soon tu big upo Sana
@Ahikigufa
@Ahikigufa 6 күн бұрын
Ni leo asubuhi, nilikuwa nawaza mlichokifanya. Nikiwa naendelea na shughuli za asubuhi, nikawaza ivi kwa nini makala 360 isisimulie sakata la malaysian mh 370. Nikawaza nitajaribu kucomment kwenye moja ya video za makala 360 ili kushawishi hili. Mchana naingia youtube nakuta mzigo uko kwa hewa, hamjui mlivyonisha kwa hili. Pongezi sana kwa sns, sky walker, lachman na makala 360
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 7 күн бұрын
Nakubali SNs fredik bundala🎉
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 7 күн бұрын
Fredrick
@ELIFASMADEBHO
@ELIFASMADEBHO 7 күн бұрын
Hilo songs lililoanza Huwa nalkubali sana sky
@mnyotaramadhankazi7357
@mnyotaramadhankazi7357 7 күн бұрын
Fredrick bundala sna nakupata vizuri kabisa from Tokyo japan
@smgfamilygroup2414
@smgfamilygroup2414 6 күн бұрын
😮
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 7 күн бұрын
Asante sana my brother from another mother
@sinatatizonamtu
@sinatatizonamtu 2 күн бұрын
Thanks Kwaku Sikiliza Ombi Langu La Malaysia Airlines, Nimechelewa Ila Now Na Subscribe ❤️✍️
@sadamissa5687
@sadamissa5687 7 күн бұрын
Wanipe kazi me naipata hii😢😢
@theprince5253
@theprince5253 7 күн бұрын
Safi sana kaka leo nimefurhi sana
@Mubarak552
@Mubarak552 6 күн бұрын
Bundala huwa nakuita Mwamba, pasua mawimbi kaka, kazi nzuri simulizi ya iliojaa kusisimua
@bishweko
@bishweko 7 күн бұрын
❤❤❤
@user-rx7te2px5d
@user-rx7te2px5d 3 күн бұрын
Mungu atusaidie
@marcomathew8439
@marcomathew8439 7 күн бұрын
Noma sana
@abuusufian6506
@abuusufian6506 7 күн бұрын
360 ❤❤❤❤
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 6 күн бұрын
Fredrick Bundala you are such an amazing Narator, train wale vijana wako hata 2 tu at least wawe wanaweza kufanya naration za serious documentaries, isiwe ni intertainment pekee, other wise SNS mnafanya kazi nzuri sana
@khamisally9559
@khamisally9559 6 күн бұрын
Keep it up brother. This is a wonderful piece of work.
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 7 күн бұрын
Hatariii. Ukicha crown media media ninayoipenda ya pili ni Sns
@JumaRick-o1e
@JumaRick-o1e 7 күн бұрын
Wakwanza kwa mara yanza likes zang pls
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 7 күн бұрын
Ndiye hiyo nawakaangaliye mkondo WA Pemba kisuwa Panza iko chini ya bahari watu huiyona nakuokota vitu
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 7 күн бұрын
Hii #makala360 ni tam sana hua napendelea kila week itoke Apa hata bando likiisha limeixha xeem xahhi Hongera #SNS
@allahisone6386
@allahisone6386 7 күн бұрын
❤🎉
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 6 күн бұрын
Sasa mbn hii ndege ilidunguliwa? Maana isingetawanyika kiasi hicho. Ingezama kwenye maji yote bila kukatikakatika. Hii ilidunguliwa bana!!
@jacksonseverin5670
@jacksonseverin5670 6 күн бұрын
Niliisubir kwa ham sana hii kitu😊😊
@theophilwisdom2308
@theophilwisdom2308 7 күн бұрын
Sio stimulator ni Flight Simulator Brother Sky
@alfonsimwalongo942
@alfonsimwalongo942 7 күн бұрын
Sawa baba
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 күн бұрын
👊✌️👍.
@hemedimkitu350
@hemedimkitu350 4 күн бұрын
Weka back ringtone mzee
@NeemaMasawe-ox5tp
@NeemaMasawe-ox5tp 6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@pascalmanyama2304
@pascalmanyama2304 2 күн бұрын
Huwa nafuatilia sana hawa jamaa wa NTSB wanavyofanya uchunguzi wa ajali mbali mbali za ndege,huwa wapo vizuri sana lakini hii naona imewapasua kichwa,na kinachowavuruga zaidi iweje mabaki yake yaje kupatikana huku?.Hapa kuna jambo ambalo si la kawaida lakini muda utakuja kuongea kama ni njama za watu au taasisi fulani.
@frankadamz6278
@frankadamz6278 4 күн бұрын
Big shout out To Frank
@ezzy_e2450
@ezzy_e2450 7 күн бұрын
🎉 hatariiii
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 7 күн бұрын
Hii ndege ilikuwa na majasusi waliondoka na taarifa za watu
@moseskulola6913
@moseskulola6913 3 күн бұрын
Nakumbukasana hii siku ilikuwa siku ya mwana muke Dunia. 8.marc.2014
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 7 күн бұрын
Nlikuwa naisubiri sana hii makala 360
@jacksonseverin5670
@jacksonseverin5670 7 күн бұрын
Kaka ww ni balaa na nusu kwenye hii mambo🫡🫡🫡
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 7 күн бұрын
SAUTI YANGU PENDWA
@hosnakamees5454
@hosnakamees5454 6 күн бұрын
🙏🙏🙏👊🤝
@mtupeacetz2589
@mtupeacetz2589 5 күн бұрын
SKUPINGI MZEE UNAJUA. ILA KUNA KICHAA 1 ANAITWA DUPA MDUPANGE HUKO ANA ADISIA KAMA NA YEYE ALIKUWEPO KWENDA HYO FLIGHT YANI BALAAA😅
@mosesbarnabas3379
@mosesbarnabas3379 5 күн бұрын
Noma sana
@frankjuma7295
@frankjuma7295 6 күн бұрын
C.I.A $ boeng will know. Because boeng MH370 is suport remoting pilot and if pilote remote remorting actvated to the MH370 the pilote canot do anything..on my think i think is the company wich deal with the,,,,,,,,,,,,,,,,,,
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 7 күн бұрын
Mnatuchanganya juzi niliona kuna channel ilipost tukio hili lenye utata akisema ndege ilipoteza mawasiliano kisha ilitoa Signal sa1 :20 almost 1hr baada ya muda uliotakiwa ndegeg itue China asubui kua ndege iko angani inaruka na haina shida kisha ikaja kutoa tena Signal Masaa ma3 baadae kua bado inaruka na haina shida yeyote na walipo mpigia ruban simu ikapokelewa nila mtu kuongea chochote kisha haikutoa Signal tena na ikapotea mazima hadi leo
@djafro8729
@djafro8729 7 күн бұрын
Sma ruto mwizi na muuaji. 2007 alichoma watoto moto kanisani
@innocentboykid2442
@innocentboykid2442 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@evansogutu4167
@evansogutu4167 7 күн бұрын
Mbn mukampigia Tena kura ...mulisema ni maombi
@farajiissa560
@farajiissa560 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@jacobeliufoo7635
@jacobeliufoo7635 7 күн бұрын
Mbona hii ndege jeshi la maji la uingereza walikuja kuiona na wali ikuta ipo chini ya maji kaskazini visiwa vya uingereza miaka hivi karibuni ipo na abiria wote wame bakia mifupa
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 7 күн бұрын
Mh hii sijawai skia Na ingeonekana ingekua habar kubwa sana dunia nzima ingejua coz tukiolake liliteka hisia za watu wengisana dunian
@jacobeliufoo7635
@jacobeliufoo7635 7 күн бұрын
@@saidymbagalla6622 mabaki yalipatikana march 8 2024
@peterdavid20149
@peterdavid20149 7 күн бұрын
Uvumi itakuwa
@catherineshayocwbp.2093
@catherineshayocwbp.2093 7 күн бұрын
Kuna documentary Netflix wanaelezea pia
@l.marley_2542
@l.marley_2542 6 күн бұрын
Iyo taarifa unayo wewe peke yako umekaa ki abunuwasi😂😂
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 7 күн бұрын
Ndugu maajamaa wapewe pole sana maana inaumiza sana
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 7 күн бұрын
Dah safi sana
@user-ro1fg5ur9l
@user-ro1fg5ur9l 7 күн бұрын
❤❤❤
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,8 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 47 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 12 МЛН
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 892 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 64 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
Ninja H2 Moto Tourist Bogey Biker Highlights -Ride4 Isle Of Man Drive Motorcycle Race Crashes #crash
0:20
W truck driver #edit #trollface
0:20
TRET1
Рет қаралды 6 МЛН
дед повернул на встречку
0:13
YPS
Рет қаралды 3,3 МЛН
heavy equipment
0:26
Mr PumpOperator Saudi Riyadh
Рет қаралды 14 МЛН
#bugatti #tourbillon #2024 جديد بوغاتي #music #anime #beats
0:15
Пружинный ДВИГАТЕЛЬ? РАБОТАЕТ!? #секрет #энерголикбез
0:27