MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO 4 kwa MPIGO AFICHUA -"TUMBO LILIKUWA ZITO-MUME WANGU ALIOMBA NIPATE PACHA"

  Рет қаралды 2,720

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO 4 kwa MPIGO AFICHUA -"TUMBO LILIKUWA ZITO-MUME WANGU ALIOMBA NIPATE PACHA"....
Mama Mmoja aliyefahamika kwa Majina ya Elizabeth Vicent (30) Mkazi wa Eneo la Majengo Mapya Mtaa wa Nyankumbu Halamshauri ya Mji wa Geita Mkoani Geita amejifungua Mapacha wanne wenye uzito pungufu ambapo wanaendelea kupatiwa Matibabu katika hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Geita.
Global Tv ilifika hospitalini hapo na kuzungumza na Mama huyo ambapo amesema kabla ya ujauzito alikuwa akitamani kupata mapacha ambapo baada ya kubeba ujauzito alikuwa akiudhuria kliniki na kuambiwa kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha wanne.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 19
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
​​Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 2 ай бұрын
Hongeta sana mwanamke mwenzangu...Allah naomba na mm unijaalie Mapacha...nitafurahi
@JihaadIsmail
@JihaadIsmail 2 ай бұрын
Mimi napenda mapacha.sana mungu anipe watoto wanne hongera dada
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 ай бұрын
Mungu hashindwi na kitu jamani dada Mungu akukuzie
@gladyjackson1481
@gladyjackson1481 2 ай бұрын
Hongera MUNGU mwema
@MaryKazimili
@MaryKazimili 2 ай бұрын
Hongera sana mpendwa, NAMI mungu anisaidie
@tanzaniaafrica7019
@tanzaniaafrica7019 2 ай бұрын
Na mimi mwenyezi mungu nijaalie nipate mapacha wanne au watatu
@vickytango5591
@vickytango5591 2 ай бұрын
Hongera jeshi kubwa
@MariSwai
@MariSwai 2 ай бұрын
Namimi naomba nipatre macha watano kwa jina la yesu
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr 2 ай бұрын
Swai mambo vp
@MariSwai
@MariSwai 2 ай бұрын
Poa tu
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr 2 ай бұрын
@@MariSwai upo wapi?
@MariSwai
@MariSwai 2 ай бұрын
dar
@GeraldSwai-ty1hr
@GeraldSwai-ty1hr 2 ай бұрын
@@MariSwai Mimi Nipo Moshi machame
@ElizabethCry-w3p
@ElizabethCry-w3p 7 күн бұрын
Mungu ni mwema
@VenasiaEmmanuel
@VenasiaEmmanuel 2 ай бұрын
Jamani na mimi mungu anikumbuke.nimesha omba sana mungu anikumbuke tu
@fatumamolel7486
@fatumamolel7486 2 ай бұрын
Kwa kweli Ni Neema ya MUNGU
@fatumamolel7486
@fatumamolel7486 2 ай бұрын
Ashukuriwe MUNGU wa mbinguni
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 ай бұрын
Ambae hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana mfano na chochote
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 46 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 72 МЛН
How One Family Lives in the Mountains Far from Civilization
34:48
Food Around The World
Рет қаралды 2 МЛН
MASHEIKH WAVURUGANA KWENYE MSIBA WA DIDA
42:49
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 116
7 Weird Facial Expressions of a Narcissist
12:22
Danish Bashir
Рет қаралды 405 М.
GUBU LA MAMA KIJACHO (part 3)
7:57
BHAILAM
Рет қаралды 91 М.