Wallaahi napata raha sana Shekh Muhammad unapo fanya raddi kwa wazushi, kwa sbb wewe hukurupuki tu kama wanavyo kurupuka wao, wewe ni mtafiti na mpekuzi na mfatiliaji makini kwenye mambo ya kielimu kabla huja ongea. Maashaa Allaah.
@rahilaabdulrazzak99517 ай бұрын
Natumai Sheikh Mziwanda atakuwa amekufahamu vyema na wale wengine wote waliokuwa wakifata msimamo wake kwa kuburuzwa, watakuwa wameelimika na kuifahamu hoja hii na wataweza kuieneza na kuitetea kwa nuru yake Allah Subhaanahu wa Taala. Allah akuzidishie elimu, maarifa na nguvu za kuupeleka mbele Uislamu.
@johariabdalla33197 ай бұрын
M Mungu akuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu,kwa hakika unaelimisha vizuri sana sana,tena kwa lugha fasaha yenye kueleweka.M Mungu azidi kukupandisha darja wa darja
@TwahirBurhan7 ай бұрын
Jazaaka llaahu kheir sheikh,Kwa HAKIKA tumekuelewa sana Kwa darsa LAKO,NAAMINI HATA watu wa BID'AA wameelewa ila Kwa SABABU WANAFANYA Dini kama sehemu Yao ya KUTEKELEZA MASILAHI YAO ya KIMAISHA watazidi kupinga tu
@Bombwejr187 ай бұрын
@Muhammad Nassor bachu kama Utaona ujumbe huu Al Akhy sheikh wangu Naomba utoe darasa kuhusu Ibada ya swala na ilivothibiti swala zetu mtihani sheikh naomba Utuandalie darasa la kujua mambo ya swala na dhikir zake mpka swala inaisha Darasa ya swala sheikh allah akuhifadhi sheikh atuhifadhi na sisi piah 🙏🤲🤲
@aminahassani-jh5rp6 ай бұрын
Swala pia inakushinda loh
@Bombwejr186 ай бұрын
@@aminahassani-jh5rp tunahitaji faida kila mtu na upungufu wake ww ukijua mshukuru Allah amekupa tawfiq yakufahamu swala
@MohammedAlahdal-hs9vmАй бұрын
Kwani wewe unajuwa swala@@aminahassani-jh5rp
@moralist6100Ай бұрын
TUBIA KWA ALLAH MTUKUFU SIO UTARATIBU HUO HUJUI PENGINE KASILIMU KARIBUNI@@aminahassani-jh5rp
@binhussein44117 ай бұрын
Allah akuekee katika mizan ya hasanaat yako...cc tullabu ilmin twanufaika sanaa na kufunza wengine
@othmanhaji8627 ай бұрын
Shukran Sheikh wetu Mungu akupe umri wa Barka
@khadijahwanjiku7 ай бұрын
Sheikh wangu kipenzi Allahamdullilah Allah akupee umri wakutuelimisha, Allahamdullilah
@habibasalim30927 ай бұрын
Aameen
@wazirihamisi64847 ай бұрын
Maa shaa Allah baarakallahu fiyka yani bachu Allah akuthibitishe ktk haq na aendelee kukuongoza ktk sunna
@rekhanifaizi87462 ай бұрын
Masha ALLAH ujumbe umefikisha , Tuwe wakweli tumeusiwa ndani ya qur'an sheikh bachu ALLAH akuzidishie afya uzidi kuilimusha umma ALLAH akuhifadhi na kila shari daima
@YahyaYahya-vp2pp7 ай бұрын
Kila nikituza masikio naona ndio nakuelewa zaid. Allah akulind Muhammad bachu. nimekuelewa vizur
@shadhilmakame7 ай бұрын
Ndo unasema nini
@Nuruyasunnah.official_tv7 ай бұрын
na wewe una uliza nini ambacho hujaelewa?😂😂😂 huu wa leo ni mwiba mkali sana umewachoma MAKHURAFI NA WATU WA MAULIDI😂😂😂 "eti unasema nini" 😅😅@@shadhilmakame
@imamushafiiforgoodislamict54207 ай бұрын
Kwa uelewa wako na kiwango cha elimu yako utaona unamuelewa ila sisi wengine tunamshukuru allah tunaweza kumjua anaepiga kelele na anaeongea kwa kiwango
@@imamushafiiforgoodislamict5420 vizul pia usiache kumuomba mungu akonyeshe njia sasa hii ya kumuabudu yeye.. Useje ukafika mbele ya m/mungu hiyo elmu yako na ibada zako zikawa vumbe tu...
@QeysMaxamed-kp4fh7 ай бұрын
Allah Akuhifadhi Sheikh Muhammad/Tunaomba ile Darsa ya tawhiid Iyendelee Tunaisubiri Kwa Hamu
@Assalamualaikum-d7t7 ай бұрын
MaashaAllah tabarakallah nakupata mubashara kutoka Lusaka Zambia ❤
@OmarAlly-iz8ot7 ай бұрын
Maashaa Allaah, Ahsante Mwalimu, mwaga elimu na muongozo, atakae achukuwe asietaka basi
@AbdulkareemNyongoro7 ай бұрын
Shukran sana kijana mwenzetu allah anipe nawe ujuzi zaid katka dini hii
@swabirswabiri1714Ай бұрын
Ilmu ni tamu wallah
@abdullahimohamudosman36957 ай бұрын
Maa shaa Allah sheikh Bachu Allah akubariki, mimi ni shabiki wako wa kindakindaki.
@KhalfanMassoud7 ай бұрын
So shabiki DINI sio mpira sawa brooo "Huyo ni mwalimu wetu" sema "ww ni mwalimu wetu mzuri" Au "mm ni mwanafunzi wako namba moja" Au vyovyote vile ila usitumie shabiki asante safi sana mtu wa mwenendo kama wakwangu,, thanks🎉🎉🎉
@hilalalhabsi20477 ай бұрын
Naomba MASHABIKI mniulizi kwa mwalimu wenu. Adhana ya kwanza ya swala ya ijumaa sio amri ya ALLAH SW wala hakusema Mtume saw. JEE SIO KHERI KWETU WALA IBADA KWASABABU MTUME SAW ALIIWACHA HAKUTUFUNZA AU MWENYEZI MUNGU SW NA MTUME WAKE HAWAKUKUMBUKA HILI MAANA ZAMA ZA MTUME SAW HAIKUWEPO?. NAOMBA JAWABU SIO MANONGWA
@ayububakari99427 ай бұрын
@@hilalalhabsi2047 MTUME ﷺ ANASEMA LAZIMIANENI NA SUNNA YANGU NA SUNNA ZA MAKHALIFA WAONGOFU : (01)ABUU BAKRI (02) UMAR (03)UTHMAAN/AMBAE ALIAMRISHA IADHINIWE ADHANA YA KWANZA SIKU YA IJUMAA (04) ALLY رضي الله عنهم
Bachu yupo anaburuza mbumbumbu wenzake. SUALI LA BACHU. 1) KAMA MAULID NI IBADA KWANINI HAJAYAAMRISHA ALLAH SW AU ALIKUWA HAJUI? 2) KAMA MTUME SAW AMETAKA ASHEHEREKEWE (AFURAHIWE) KWANINI HAKUAMRISHA MASWAHABA WAKE AU MTUME SAW HAKUJUA HIO IBADA?. JAWABU. KWASABABU KHERI YAFAA KUFANYA. SUALI LANGU, NO 1) KAMA ADHANA YA KWANZA YA SWALA YA IJUMAA NI IBADA KWANINI ALLAH SW HAKUAMRISHA AU ALIKUWA HAJUI KUWA WATU WATAONGEZEKA? 2) KAMA ADHANA YA KWANZA NI IBADA KWANI MTUME SAW ALISAHAU HATA HAKUWAITA MASWAHABA AKAWAKUSANYA DARSA AKAWAFUNZA KUWA IJUMAA NI ADHANA MBILI?. KAMA KESI NI MTUME HAKUFANYA NA ALLAH SW HAKUAMRISHA, JEE KWANINI MNACHAGUA KUYATUKANA YALE YA KUMPENDA MTUME SAW NA MAWALII?. HIVI BILA KUMPENDA MTUME SAW NA WAJA WEMA, HIO DINI INAFAIDA GANI KWAKO WEWE BACHU?
@Khatib-xp6fp7 ай бұрын
Hujamfaham mwalim ww upo kiushindani ndio ukatafuta Jambo ili ulinganishe msikilize vizuri Utapata kitu
@hilalalhabsi20477 ай бұрын
@@Khatib-xp6fp sio kiushindani. Mnalazimisha lile munalochagua nyie MNAONA ndio haqi NA msilolipenda MNAONA baatwil. Kwanini kitu aseme ati kwasababu haja fanya MTUME SAW ni kharamu. KIGEZO HIKO HAKUNA KWENYE UISLAMU. PILI. MAULID MTUME SAW ALIFANYA
@nassleydady57837 ай бұрын
@@hilalalhabsi2047shida kibur na kujua sna unazungumzia azana wakat mtume (saw) alikuwepo yy ndio alikua anahaki ya kusema hili linafaa hili halifai ss yy mtume (saw) aka funga kwa kusema dini ss imekamilika kisiongezeke kitu wala kisipunguzwe kitu ss kinamziwanda wao ninani waliotuengezea ibada yy sio swahaba wala sio mtume vyenginevo kitabu na sunna ndio alivotuambia mtume (saw) tukisema tufate mawazo atamm naweza nikasema kwaumma ulivo na maasi tuengezen swala badala ya 5 ziwe 6 je ilo nikosa kwa jili ya Allah?
@nassleydady57837 ай бұрын
@@hilalalhabsi2047ushaur wang achakibur soma uelew ukielew huwez kuja na izo hoja
@TwahirBurhan7 ай бұрын
JAZAAKA LLAAHU KHEIR SHEKH,ALLAH AKUZIDISHIE KILA LA KHERI, NGUVU NA SUBRA UZIDI KUWAPA RADDI HAWA WATU WA BID'AA NA UZUSHI WAO
@jumamohamed31687 ай бұрын
Wewe unamuona Bachu ni mdogo kwa umri ,lakini elimu haiangalii udogo wa umri wala ukubwa , inategemea zaidi uwezo wako wa kuzingatia mambo katika kufundishwa na upeo wa ufahamu Mungu aliokunalia.
@binbuhakhamis43367 ай бұрын
ALLAHU akupe umri mrefu nanguvu yakuendelea kutu elimisha
@AliNassor-qt6fm7 ай бұрын
Tunatumia dalili na hadithi sio akili shukran sana sheikh wetu
@YassanYussuf-em3lu7 ай бұрын
Bachu tusibabaishwe na watu bidaa Sunna ndio hiii hamna kurudi nyuma ila qiyami saa inshallah
@AhmedMohamed-mw3ev7 ай бұрын
Mashallah Muhammad tupe elimu mdogo wangu Allah atakulipa kheri
@rashidmohamed19497 ай бұрын
Mziwanda kama anajua haqi basi hawezi kubisha. Hii ilimu ya Sheikh Muhamad Bachou iko juu. Ameweka wazi na usawa kila kitu
@SadickMussa-g6h4 ай бұрын
Allaah akuhifadhi shekhe Muhammad na akupe umri mrefu ili uzidi kuitangaza sunnah na kuzibainisha bidaa
@Hassanihaji-uf9nb7 ай бұрын
Allah akuhifadhi shekh kwa ilmu unayotupa
@husnajuma-md2uj7 ай бұрын
Alhamdulillah maneno yenye ladha Kwa mwenye elimu ktk kuielimisha jamii shukran Sheikh
@sultan101-e2s7 ай бұрын
Barakallah unajua sana abu muhaddith yani kwa furaha hadi nimeshindwa kujizuia kukoment kwakweli hongera ibnu bachu.
@stanslausmteme8455Ай бұрын
Huyu Shekhe akili nyingi sana
@mohamadmaulidngava15107 ай бұрын
Mashaalwaa Shekh wangu nakupenda sana kwaajili ya Allhwa
@samorajama88337 ай бұрын
MAAA SHAAA ALLLAAAH SHUKRAN SANA BAARAKA LLAAHU FIYKA ILA ULIUDHI SIKU ULOKUJA TANGA UKASEMA KILLA ANAEMCHUKIA SHEIKH FLANI WA TANGA AFE NGUVU ZA KIUMI ULINIUDHI SANA ILA HUMJUI NDIO MAANA UKASEMA HIVYO.
@AlIrshaad-j7 ай бұрын
Allah akuhifadhi Muhammad bachu Nkupenda kwaajili ya Allah
@IsmailKhamis-fh8nh7 ай бұрын
Mashaallah allah akuzidishe ufahamu wa kielimu tuzini kusoma kwako inshaallah
@suleimanmkanga2 ай бұрын
Bachu mziwanda kazungumzia kumswalia mtume ulitakiwa useme haifai kumswalia mtume kwa namna ile aliyosema lkn siko ulipokwenda weye. Kuwa mkweli bachu kweli usitqfute maslah ya dunia kwa kupitia dini ❤
@swabirswabiri1714Ай бұрын
We umeiskiza hiyo video yote
@suleimanmkangaАй бұрын
@swabirswabiri1714 msikiliza vipande vipande ni huyo huyo bachu kama alivyo msikiliza sheikh samir
@RamadhanTajiri21 күн бұрын
Wote tumemsikia mziwanda, majibu anayopewa ni sahihi.usipotoshe.
@OmarAlly-iz8ot7 ай бұрын
Tunamuomba Allaah akuweke, na akupe nguvu ya kupambana na wazushi, na ainyanyuwe hadhi yako na jina lako duniani na akhera
@ر.ج.ب7 ай бұрын
Makkah tunakupata vizur Ustadh Muhammad usikate tamaa zidisha kuelimisha na asihangaike na wanao taka kukushusha kwasababu ndio ubinadamu
@suleimanmkangaАй бұрын
@@ر.ج.ب watu wa wiki nzima kwa ajili ya abdulwahabi
@sheikhabuusakakin32437 ай бұрын
جزاك الله خيرا يا غالي ❤❤❤❤
@farheenmasoudchannel24952 ай бұрын
MUHAMMAD BACHU MIMI NAKUELEWA SANA WALA WASIPOKUELEWA WAO CC TUNAKUELEWA
@idisaidi2877 ай бұрын
ALLAH akuhifadhi Sheikh Muhammad bachu
@AbuuCholo-q5i2 ай бұрын
Shekhe bachu maashaallah mungu akupe Zaid Kwa kwel umetufungua akili sasa ndo naelewa
@YusufMriri7 ай бұрын
جزاك الله خيرا في الدنيا والأخرة شيخنا محمد بن ناصر
@KhalfanMassoud7 ай бұрын
آمين، وأنت مع جميع المسلمين
@MwajumaRamadhan-qi4wi7 ай бұрын
mashaallah unanitoa ukungu kwenye masikio yangu
@manrectorz7 ай бұрын
Mashaallah, Umepewa kipawa kikubwa sana cha kufanya Ufafanuzi na kum Raddi mtu mpaka anakuelewa japo Kumtoa mtu ambaye amepata mafanikio yake na Kufahamika kwake kumetoakana na Maulid ni ngumu sana ila kwa Taufiq ya Allah tu
@defantasticacomedy63666 ай бұрын
Wallah huyu sheikh wanamchukia tu kwa maslahi yao binafsi ila anayoongea ni facts tupu na ana dalili za kutosha.Allah akulipe ujira mwema sheikh Muhammad Nassor Bachu.
@babatidaawa65507 ай бұрын
Masufi bhana ni tatizo kubwa sana aisee pambana sheikh wangu Muhammad bachu
@ramygichero10167 ай бұрын
Hamna kitu huyo ubwa
@Nuruyasunnah.official_tv7 ай бұрын
@@ramygichero1016😂😂😂Lkn c umeelewa? au bado utaenda maulidi?? yan kama utaenda basi wewe ni KONKI SUFI
@mohagurey22147 ай бұрын
Endelea na sherehe zako utakipata mbele ya Allah @@ramygichero1016
@Nuruyasunnah.official_tv7 ай бұрын
😂😂😂ni ukweli usio pingika kua masufi wote Africa mashariki wanamjua bachu vizur ndo mana wote WANAMCHUKIA
@mohammedhassan-o9s7 ай бұрын
Sahihi kabisa, akhy
@Hamis-ks1sy7 ай бұрын
Kingine wanapiga kelele eti ni mtoto mdogo hawajui kwamba elmu haina utoto waweza kuwa mkubwa halafu hamna kitu kwan Ibn Abbas Allah amwie radhi alkua na elimu kubwa yeye ndo alikua mkubwa sana mbele ya maswahaba! Watu hawataki kukubali ukweli
@giltaemi40177 ай бұрын
@@Hamis-ks1sy Watu wa Bidaa huenda hawajui kua hata Wajinga pia hua wanazeeka.
@giltaemi40177 ай бұрын
@@darajanida Makhurafi mna mambo ya ajabu sana
@giltaemi40177 ай бұрын
@@darajanida Nani kutukanwa. Au kumuambia mjinga kua unachokifanya ni cha kijinga sasa acha kufanya mambo ya kijahili ili uonekane mtu safi kisha mjinga huyo akaendelea kufanya ujinga wake sasa mimi nikimuita mjinga nakua nimemuita kwa sifa yake au nimemtukana. Acha Ujaahili alafu ukiitwa jaahili ndo ulalamike. Huna hoja isipokuwa ni kutetea ujinga sasa kwa usalama wako ukiendelea kutetea ujinga na wewe utakua katika wao. Maneno ya mtume ni kwamba ukijifananisha na watu na wewe ni ni katika wao
@AbuuKiweru7 ай бұрын
Qweli ukiwe qwenye upotevu huwezi jua mpka ukae mbali ndo utajua.....sheh wangu Allah akupe muongoz nauzid kutunufaisha naallah atakulipa kila la kher
@MusaYusuphu-y2l7 ай бұрын
Nyinyi watu wa maulidi mnaijua dini sana kuliko mtume swalallahu alihi wa salam na maswahaba radhiya llahu anhum
@AliJabal-fx8pd7 ай бұрын
Jazaaka Allah kheir tume faidika.
@Muharram-c5n7 ай бұрын
Baaraka llahu fik,umebarikiwa sheikh
@momadesuales6 ай бұрын
Mimi binafsi namuelewa sana huyu shaikh Muhammad Bachu maana ni mwepesi mno wakufafanua vitu
@farheenmasoudchannel24952 ай бұрын
ALLAH akuhifadhi sheikh MUHAMMAD BACHU
@chinammasai99672 ай бұрын
Wewe Muhammad bachoo hata adabu huna na Allah atakurudi insha Allah
@swabirswabiri1714Ай бұрын
Wapi kakosa adabu
@saidjumaabdalla178919 күн бұрын
❤❤❤mungu akuhifadhi shehe wetu inshaallah
@aminahassani-jh5rp6 ай бұрын
Eheheeeeeee😂 wallah nakupenda sana Mwalimu yetu yaani umenyoosha maelezo mno
@khamisali59427 ай бұрын
Me nakuelewa sana kabla sijamaliza kuiangalia na kuskiliza
@Nuruyasunnah.official_tv7 ай бұрын
nimejifunza kitu kua shaikh bachu حفظك الله ورعاك HII RADDI umeiandaa ukiwa umemuomba ALLAH akupe ufasaha na kueleweka kwa watu ndo mana umeweka bayana amabyo mtu yeyote wa MAULIDI na BIDAA akiskia basi ataacha bidaa na maulid ila naamini pia wapo WAZUSHI watasema 🗣️🗣️🗣️🗣️ BACHU HUNA ELIMU NENDA KASOME 😂😂 ( pumbaaaav sana atakae sema hivyo), ✍️✍️✍️ila nimalize kusema kua hii RADDI ya leo imempiga vibaya sana MAWLANA WETU MZIWANDA, sjui kama atapona(Allah amuongoze) NB 🔴 shaikh bachu, ALLAH AKUHIFADHI kwani wewe ni katika wale wanaofanya operation safisha jiji liwe safi 🏝️🏝️🏝️ بارك الله فيك وعلى والديك، وعلم "إنتَنصُرُو الله يَنصُركم ويُثَبِّت أقْدَامَكُم"🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️
@Muhidinimngazija7 ай бұрын
Allaahu amrehemu babaako, ampanulie kaburi lake na alinawirishe,
@algakire7 ай бұрын
معاكم عثمان من رواندا 🇷🇼. الله يحفظكم جميعا 🤲
@abdulfatahumarsaideazamo26547 ай бұрын
آمين و إياكم
@abilahiMajasho7 ай бұрын
Shehe wangu Allah Akulinde na husuda Natamani mwanangu Asome kwako ndio itakua kitu cha samanj na bahat aje kuelimisha watu shehe uko mjin hakika vivijin uku tuliko sis tuko mtupu watu wanakumbatia bidaa nakufanya kua ibada wakidai watapata malipo Shehe la mwisho mim mkulima mwanangu nataka asome elimu yenye manufaa nitalipia galama itayo kuwepo anamiaka 5 mim ndoto ya mwanangu ajekuwafundisha haki
@k.kchakua13767 ай бұрын
Jazaqallahu khaira Sheikh Allah akuongezee Umri Aamin
@wazirihamisi64847 ай бұрын
Wachape tu masufi hao Allah Awaongoze ktk haq
@suraiyarashid45686 ай бұрын
Mashallah Allah akupe umri mrefu
@KassimMuslih6 ай бұрын
Akhy kunywa maji ntalipia.. جزاك الله خيرا
@AshrafBunu7 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh letu
@Kachuba-w9p7 ай бұрын
Allah bariki❤ message sent
@KhalfanMassoud7 ай бұрын
Truly have been clarity,,,,,, May Allah guide all inventors to straight way? Ameen
@YussufMohd-fc1dj7 ай бұрын
Bachu we unajua hadi unakera
@sultan101-e2s7 ай бұрын
sema barakallah au mashallah waislamu tukisifiana tunapaswa tuseme hivyo yakhe
@KhalfanMassoud7 ай бұрын
@@sultan101-e2s ww ni mzenji au? Naona yakheee. But nice
@sultan101-e2s7 ай бұрын
@@KhalfanMassoud hapana niko bara napenda tu kusema hivo
@KhalfanMassoud7 ай бұрын
@@sultan101-e2s ahaa basi mzuri hio.
@wazirihamisi64847 ай бұрын
Kweli
@hassanmohamedlaizer5697 ай бұрын
Sheikh mziwanda tatizo ukweli hataki kukubali
@IsmailJuma-x6z11 күн бұрын
Bachu omba mdaharo na shehe mziwanda na kuomba Sana uje daa nako
@Hamad10Salafi7 ай бұрын
Sheikh weka muhadhara InshaAllah uwakabili Mashia na Bida'a zao
@WetendeMaher7 ай бұрын
Jazzakallahu khaira sheikh Mohammed
@FatuNahimanaАй бұрын
Ila jamani mbona ukweli huko wazi allah akuhifadhi kijana wetu
@seifhamid83297 ай бұрын
Allah akuhifadhi
@Hamis-ks1sy7 ай бұрын
Maa shaa Allah,jazaakallahu khayran
@SharafuAli6 ай бұрын
Maneno safi sana endelea kutuilimisha
@ameirameir43497 ай бұрын
Bibi Aisha mke wa Mtume aliishi muda mrefu baada ya mtume kufariki lakini hakuwahi kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume je alikuwa hampendi Mtume je alikuwa hajui kuwa kuna ibada ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume ? Hapana bali Bibi Aisha alitambua kuwa hakuna ibada ktk uislamu inayoitwa maulidi ya Mtume.
@Maherzain_Tz2 ай бұрын
Lakin huyu sheikh alishatowa challenge ya namba zake usifmnyie radi mtandaoni mpgie sim mpnge mjadala
@badrudinsalum31397 ай бұрын
Barakallahu fiyka
@mohagurey22147 ай бұрын
May Allah guide them before it is too late
@KhalfanMassoud7 ай бұрын
Ameen, before hereafter day
@fakijecha7 ай бұрын
Mm sina ninacho kupinga ila uwislamu tunapowelekeza tunaufaya km timu za mpira ni hatari sana na ndo mana kila kukicha tunapigwa vita na wala hatusemi lolte tunatukanana wenye kwa weye tusipo amka tukawa sisi tunajitoa kwa ajil ya din kwenda sehemu tofaut kuisambaza dini basi tujue tutabeba zima kubwa km huwuwelewan walimu wetu tafuteni njia ya kuitana muwekane sw mana siai tunawapenda kwa ajil ya allah na sijengine
@mohamedfarijallah59754 ай бұрын
Huyu sio shekh muhuni tu na mgonjwa
@sultanbakary42927 ай бұрын
Allah akuhifadhi shekhe muharram mziwanda
@KhamisHaroub-uj5ci7 ай бұрын
Shukran Simba wa Allah ❤️❤️❤️
@ShabanHassan-td3lx7 ай бұрын
Hahahahahh! Simba wa Allah wko msituni uko, hawpo kwny udahyya, huyu muhammad bachu.
@ShabanHassan-td3lx7 ай бұрын
Akhiy khamis huo ni utani tu nimeipenda comment yko sn.
@AbdallahSalim-tf1ee7 ай бұрын
Mwanzo Bachu fataha na kasiri umeshajua kuweka pahali kwake mana twakujua ukipewa kitabu hakina mayaka kwako mtihani
@wazirihamisi64847 ай бұрын
Fuata dalili acha na makasira na mafataha hayo
@IsmailKhamis-fh8nh7 ай бұрын
جزاك الله خير
@kombomakame95417 ай бұрын
Bachu huna Kazi ya kufanya. Toa andiko ktk Quran au hadithi inayoonesha kwamba mtu akisoma maulid anaenda Motoni. Kusoma Maulid ni kitu kisichoepukika Kwa Waumini wa kweli. Tumswalieni Mtume Muhammad! "Allah hummaswali wasalim wabaarika alyh."
@canoksancomprehensivelearn71827 ай бұрын
Nawe toa katka hadithi au aya kuwa bangi ukivuta unaenda motoni. Wacheni ushabiki dini haiendi kama unavyotaka wewe na vitu vipo wazi Aya yasema "Nani alodhalimu kamaamsingiziaye Allah uongo ..." Na kusemamaulid ni ibada ni kumsingizia Allah aliposema kuwa dini haijakamilika na Alllah asema "Leo nimeikamilisha dini yenu...." maulid ni bidaa uzushi wa kishia na maulid ni bidaa na kila bidaa ni upotevu na kila upotevu ni katka moto
Huyo mwalimu lkn spite kwenye kila engo ili ahakikishe umepata uelewa,lkn anzie deep,ww tu ndo unashida,tumia akili
@AnubakarAli7 ай бұрын
Mtume aliruhusu wapi kuhutubu kwa kiswahili je hii bidaa au sibidaa tueleze
@AnubakarAli7 ай бұрын
Shkh mimi nakuuliza mtume alihutubu hutba ya ijumaa kwa lugha ngapi je ipilugha inofaa kuhutubu je kiswahili kimepokewa na nani katika hadith zamtume sahaba au
@stanleykipingu2287 ай бұрын
Mashaallah nakuelewa vyema
@uledihassan60657 ай бұрын
Muhammad bachu wewe ni mwanazuoni na hao wengine ni wapotoshaji
@chinammasai99672 ай бұрын
Mheshmiwa kataza na ijtimai mana ilikuwa Allah anajua umuhim wa ijtimaii lkn hakuiongelea
@canoksancomprehensivelearn71827 ай бұрын
Mziwanda nampenda kitu kimoja huwa akipata dalili sawa sawa harudishii kwa kibri sijamuona na hilo na sidhan kama inafikia matamanio namuomba Allah amuongoze nasi atuongoze maana ni mujtahid japo yupo na watu wengine sio.
@balkisamisi21317 ай бұрын
Allah ameisha tuamrisha kumfurahikiya Bwana Mtume katika Kur'an 10:58
@giltaemi40177 ай бұрын
Nitajie mwanachuoni hata mmoja Duniani alie sema kufurahia ni kufanya maulidi. Kama hayupo we ni mzushi na hujaelewa Aya Bali wajishikiza kwenye Aya za Allah kutetea maslahi ya ubwabwa wa Maulidi. Tunasubiri Mwanachuoni huyo na kama hujui sema tukupe Tafsiri sahihi ya aya hiyo na sio kukurupuka hata haujui aya Inamaanisha nini we wakurupuka tuuuu.
@karimdaud39937 ай бұрын
Weee umesoma kuliko watu wote usimuite mkurupukaji muislam mwenzako mtume hajatufundisha lugha hizo
@karimdaud39937 ай бұрын
Sasa hakuna vita
@idisaidi2877 ай бұрын
Kwa hiyo Qoran wew umeelewa kuliko maswahaba
@wazirihamisi64847 ай бұрын
Ufahamu huo uliyo kuwa nao umetanguliwa na nani ktk wema walio tangulia?
@MustafaOthuman7 ай бұрын
Mwenye kulitafuta kajaa ten,😂😂😂. Bachu utapata shida Sana. , na utapoteza muda wako bure Kwa kushuulika na jambo ambalo huna elimu nalo, , yn ungekaa kimiaa ingekuwa ni Bora kwako kuliko kurukaruka bila ya kujuwa hata madda unayo izungumxiya, ,
@sefoo80847 ай бұрын
Unaonekana wewe una ilmu sana kijana zaidi sheikh mohammad bachu. Hongera endeleza misimamo yako
@wazirihamisi64847 ай бұрын
Ww huna akili na unaonekana huna elimu ya Dini
@ramadhankilango90887 ай бұрын
Kama Kuna aya inayokataza kutaja na kumsifu mungu na mtume Muhammad s.a.w ndiyo bidaa inaingia vinginevyo ukisema hasara ya ghalama za sadaka utaeleweka
@binismail85277 ай бұрын
Namna yakutukuza na kumsifu imebainishwa Sasa ww mwenye mapito haya ya mkusanyiko na ubwabwa mmeitoa wapi???????????
@BushDoctor-dw8el7 ай бұрын
Langu ni nasiha kwenu: Sura Ar Rum: 28-37 Lakini nitagusia tu aya 32 من الذين فرقوا دينهم وكانوا شيعا كل حزب بما لديهم فرحون. Jama rudini kwa Qur'an badala ya vitabu vyenu أفلم يدبروا القول أم جأهم ما لم يأت أبأهم الاولين
@AbdallahSalim-tf1ee7 ай бұрын
Mziwanda anajua zaidi Bachu akasome bado elimu yake ndogo
@wazirihamisi64847 ай бұрын
Ww ng'ombe uwezi kuitumia akili zako
@saidsuleiman17537 ай бұрын
Dah Muilsam unamwita Muislam mwenzio ng'ombe
@shadhilmakame7 ай бұрын
Bhana hamna kitu hapaaaaa Bachu hem Achia watu wafanye yao na weye fanya yako
@Nuruyasunnah.official_tv7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂TUMIA AKILI
@hassanmohamedlaizer5697 ай бұрын
@@Nuruyasunnah.official_tvtumieni akili😂😂
@ShabanHassan-td3lx7 ай бұрын
Watu wa maulidi tumieni akili, hahahahahh ah.
@ShabanHassan-td3lx7 ай бұрын
Watu wa maulidi tumieni akili hahahahahh
@binfarhan8797 ай бұрын
Kama we ni Muislam ndug yangu hio sio dini, walio pita walilaaniwa kwa ndimi za Mitume Yao sababu hawakatazani maov wanayoyafanya.
@TwahirBurhan7 ай бұрын
INA MAANA NYIE MASUFI AU MATWARIQA MNA AKILI NYINGI KUMZIDI MTUME MUHAMMAD S.A.W NA MASWAHABA ZAKE??
@Khamismwtn7 ай бұрын
Mashallah mwalimu wang
@MattarOnlineTV7 ай бұрын
Harakati za kutumia AKILI tu Sheikh MUHAMMAD 😅😅😅😅
@ShabanHassan-td3lx7 ай бұрын
Iyo poa sn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AmanYusufu7 ай бұрын
Bada hajajuw vigawanywo vya ibada bachu anay kuxukuma tunazid kufahamuudhaifu wako ustadh kusoma xi kilimo cha miyez3 alaf xoma kama kulivo andikwa hauna amana ya elimu xom vizuri
@iddimutua4207 ай бұрын
Watu wa matwalaga ni vipofu na viziwi hawaoni haki wala hawaisikii pia,usichoke sheikh wetu malipo yako yapo kwa Allah.