MAMA ASIMULIA MTOTO WAKE MWENYE UALBINO ALIVYOIBWA MULEBA na WATU WASIOJULIKANA......

  Рет қаралды 43,550

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAMA ASIMULIA MTOTO WAKE MWENYE UALBINO ALIVYOIBWA MULEBA na WATU WASIOJULIKANA......
Watu wasiojulikana katika Kijiji cha Bulamila kata ya Kamachumu Wilayani Muleba Mkoani Kagera wameiba mtoto mwenye mwenye umri wa miaka miwili jinsia ya kike ambaye ni Alubino kisha kutokomea nae kusiko julikana.
Akizungumza na waandishi wa habari kwa uchungu Mama wa mtoto huyo ambaye amejulikana kwa jina la Judith Richard amesema kuwa tukio la kuibiwa kwa mtoto wake limetokea may 30 mwaka huu majira ya saa mbili na robo nyumbani kwake ambapo mtoto huyo anayeitwa Noela Asimwe Novath aliibiwa na watu ambao akuwatambua na kutokomea naye jusiko julikana.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 50
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 3 ай бұрын
Pole sana dada.Damu ya maraika Asiimwe itanena juu ha yeyote aliyeusika
@mkudesimba9518
@mkudesimba9518 3 ай бұрын
Pole sana mama ! Tunaelewa kwa sasa unapitia mengi mno na kusahau ni vigumu mpaka utaingia kaburini ! Lakini kwa kutumia dini uliyonayo muobe Mwenyezi Mungu mara kwa mara kisha muombee marehemu mtoto wako kwa muumba wetu itakusaidia kukufariji na utajisikia faraja nahisia yamtoto wako itakuja kivingine utamuona mtoto wako anaishi peponi na yupo mikononi kwa Mungu hii itakusaidia kiroho na afya yako ya kiriho itaboreka ! Tupo pamoja sio wewe pekee bali watania wengi na wasio watanzania wameguswa na hili ! Hata mama yetu mpendwa rais ameumia ! Tutazidi kukuombe kwa Mwenyezi Mungu akupe nguvu na moyo wa ustahamilivu ! Na hao waliohusika cha moto mtema kuni watajutia nafsi zao kwani tuwaomba wanaowashikilia wawape adhabu kali mno kuliko walivyomfanyia mtoto !
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 3 ай бұрын
Ushirikina huo, mganga kawatuma ampelekee albino. Mnyezi mungu muokoe malaika huyo
@JacquelineKinyonge
@JacquelineKinyonge 3 ай бұрын
Me ndo maana mtu yeyote anayejiita mganga simpendi Mungu anisamehee tu
@EmmanuelKamala-wy1ot
@EmmanuelKamala-wy1ot 2 ай бұрын
Pole sana dada Mungu tuu akurudishie furaha yako
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano 3 ай бұрын
Unafikiria mpaka moyo unajamba mungu tusaidie
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 ай бұрын
Masikini wee dunia hii sijui tunaelekea wapi hao wanyama saa hii hawaindani tena wametuachia binadamu hatari wallah serikali mukiwakamata hawa watu pigeni risasi mumeweza kuzibiti panya road mushindwe na hawa mataira waliobakia
@graceannah8452
@graceannah8452 2 ай бұрын
Pole sana dada, pole sana
@chandigamoses05
@chandigamoses05 Ай бұрын
MAMA ASIMULIA MTOTO WAKE MWENYE UALBINO ALIVYOIBWA MULEBA na WATU WASIOJULIKANA......
@teedullah5708
@teedullah5708 3 ай бұрын
Mungu jaliya mtt apatikana mzima duh
@user-wb6ls2pu9c
@user-wb6ls2pu9c 3 ай бұрын
pole sana dada alie fanya hayo alaniwe na kizazi chake
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 3 ай бұрын
Pole kipenzi Mungu akutie nguvu ila maumivu ni watanzania wote Mungu atawalipa wahusika tumemlilia Sana Mungu wetu atatujibu😢😢😢😢😢
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 3 ай бұрын
Uchaguzi ukikaribia balaa huanza
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 3 ай бұрын
Naumia kila nikiwaza jinsi gani kapitia magumu mtt asienakosa wanamkata anaita uku anatizama kwa huruma Ila wao sio kitu wanatoa macho mpa sauti inatoeka dah moyo wamtu kichaka Ila huyu maraika wa Allah damu yk itawatesa tu😭😭😭😭😭😭
@FADHILIRAJABUSWALA
@FADHILIRAJABUSWALA 2 ай бұрын
Mungu muumba mbingu ardhi na wanadamu atawalipa sawa na matendo yao tena haswaaa pole dada huu ukatili kwa kweli Mungu aingilie Kati😭😭😭😭
@judyngowi391
@judyngowi391 3 ай бұрын
Lakini mimi naona kuna tatizo kubwa sana kwenye akili za watu! Kumwamini mganga kuliko kumwamini Mungu
@subiraibrahim8100
@subiraibrahim8100 3 ай бұрын
SubhnAllah Mungu awalipe kwa hilo wanalolifanya
@nassibu-hy5ny
@nassibu-hy5ny 3 ай бұрын
Kama kwel binguni Kuna Moto bas wangine watakua kuni wallah yàn unachuma dawa Kwa binadamu mwenzio yeye azikwe afu we utajirike apana apana apana mwenyez mungu tia mkono wako
@FatmasaidhamesaHamesa
@FatmasaidhamesaHamesa 3 ай бұрын
Mungu saidie mtoto mdogo huyu
@joysekiza3944
@joysekiza3944 3 ай бұрын
Mungu asaidie mtoto awe salama
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 ай бұрын
Ndo wamemuua😢😢😢😢
@naomijoshua6923
@naomijoshua6923 2 ай бұрын
Pole sana mtani wangu
@renithajeremiah9911
@renithajeremiah9911 2 ай бұрын
Pole sanaaaa jmn
@لويسلويس-ص6ر
@لويسلويس-ص6ر 3 ай бұрын
Binty mzur aki mungu awalaani walio fanya huo ukatil
@EvatiusElias
@EvatiusElias 3 ай бұрын
Pole sana
@tato8979
@tato8979 3 ай бұрын
Pole sana mama 😢
@happylife349
@happylife349 3 ай бұрын
Dah aisee, moyo umeumia sana,
@Chrisscherry
@Chrisscherry 2 ай бұрын
Watanzania hampendani kufikia sasa hamjamjengea huyu mama nyumba?
@JanethJackson-li9jz
@JanethJackson-li9jz 3 ай бұрын
pole saana
@nyakatongongo4292
@nyakatongongo4292 2 ай бұрын
Nadhani walitoa viungo wakati mtoto yu hai .wasinyongwe sababu hawatateseka wafungwe maisha tena wateswe kila kukicha huko magereza
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 3 ай бұрын
MUNGU wangu tusaidie Mtoto apatikane salama
@BenitaJosefath
@BenitaJosefath 3 ай бұрын
Pole dada
@AtuganileAsubisye
@AtuganileAsubisye 3 ай бұрын
Duuu polee
@ChristinamgombelaAgnery
@ChristinamgombelaAgnery 3 ай бұрын
wanadam mbon tunakuwa na mioyo migumu sana ee mwenyezi mingu tusaidie 😭😭
@khadijabakari2932
@khadijabakari2932 3 ай бұрын
Masikin wamrudishe jamn mtoto mzur mbona watu wa huko wako hvyo lakin wamrudishe mtotoo
@EllyloveMoses
@EllyloveMoses 2 ай бұрын
😢jmnii serikali isiachie awo watu wanyongwe
@kolosii4351
@kolosii4351 3 ай бұрын
Hapo kutokana na maelezo mpaka majirani walihusika. Polisi upelelezi wawe makini kwenye matukio haya, majirani huwa wanaandaliwaga mapema wafanye kama hakuna kitu kinachoendelea kwa kuweka miziki mikubwa eti wasisikie chochote, pesa huwaga tayari zimetembea, tena kwa vijijini nyumba ikipewa elfu 10 tu imeridhika. Majambazi wanafanya wanachotaka hasa kwenye matukio ya mauaji.
@EsterPaul-jt5im
@EsterPaul-jt5im 3 ай бұрын
Mimi nawaza tu mtoto wakati wanamuua cjui alikuwa anaita mama yaani mimi naomba waliohusika nawao wauliwe kwa haraka sana tena kwa mateso makari sana
@user-re2em2zd2u
@user-re2em2zd2u 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭💔nyie naumia sana kiatu cha huyu dada hakinitoshi kabsa kweli watu wametenda unyama kwa malaika asiyeweza kurudsha hata kofi 😭😭
@user-so2si9dt9u
@user-so2si9dt9u 2 ай бұрын
Yan nalia mpaka leo
@ROBERTKITAMBALA-dy2ku
@ROBERTKITAMBALA-dy2ku 2 ай бұрын
😢💜💜😻😻❤️🎉💓💗
@eriyaMayani
@eriyaMayani 9 күн бұрын
Tukio lawez arusha
@Zubaiba
@Zubaiba 2 ай бұрын
😭😭😭😭
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 3 ай бұрын
😢😢😢😢
@JenniferJacob-hh3ij
@JenniferJacob-hh3ij 3 ай бұрын
Yan huyu dada anatia huruma anashindwa hata kuongea
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 ай бұрын
HILI TUKIO HILI WAHUSIKA WANYONGWE
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um 3 ай бұрын
TUOMBE MWENYEZI ATUNUSURU UOVU UNAZIDI MWENYEZI NI MUWEZA JUU YA KILA KITU ATAWALIPA
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 3 ай бұрын
Pole kipenzi Mungu akutie nguvu ila maumivu ni watanzania wote Mungu atawalipa wahusika tumemlilia Sana Mungu wetu atatujibu😢😢😢😢😢
@HymonGodfley
@HymonGodfley 3 ай бұрын
😢😢😢😢
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 41 МЛН
Mama Amwaga Machozi , Baada ya Miaka 29 Amekutana na Mtoto Wake
4:16
Mtu Mrefu Zaidi Duniani |WATU WA AJABU ULIMWENGUNI
8:02
Afrimax Swahili
Рет қаралды 199 М.