UZEMBE wa HOSPTALI WATAJWA VIFO vya WATOTO WATATU wa MTUMISHI wa TANAPA ARUSHA - KINA MAMA WAELEZA..

  Рет қаралды 21,888

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 98
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@vero57
@vero57 4 ай бұрын
HUYO DR LAZIMA APELEKWE MAHAKAMANI!!!! WAZIRI WA AFYA UNATAKIWA KWENYE HILI SWALA
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 4 ай бұрын
Nchi yetu ilinyooshwa na magu tu hata kipindi kile ukifika hospital wanakuhudumia vizuri sana saaivi Hawa madaktari hawajui kama na wai ni wahanga wa kesho
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h 4 ай бұрын
Ndoshida ya kupeana ajira kwa kujuana, ukute wengine wanaajiliwa hata sindano hawajuw namna ya kumdunga mtyu, mungu ibariki tanzania
@rehemayona2223
@rehemayona2223 4 ай бұрын
Inaumaa sanaa Ila nimipango ya mungu
@rahema1992
@rahema1992 4 ай бұрын
Kulunafsi dhaikatulimaut allah awape subra waifiwa wote polen sana
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 4 ай бұрын
Hii miongozo ya afya iangaliwe vizuri
@LudovickTibakyenda-gs2wh
@LudovickTibakyenda-gs2wh 4 ай бұрын
Poleni sana iliwahi kunikuta kidogo nipoteze watoto wangu watatu bila kuingia kwa daktari kwa nguvu ningewapoteza nesi alitaka nisubiri ili wapime uzito wakati wameshapoteza fahamu kwasababu ya food poison.
@hokumujeremiah1713
@hokumujeremiah1713 4 ай бұрын
Poleni sana majirani
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv 4 ай бұрын
Poleni sana wafiwa
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 ай бұрын
Tiba ya kwanza Oxygen kusaidia kupumua
@dhotashaaban1421
@dhotashaaban1421 4 ай бұрын
Kinachotibu ktk Hali km hiyo ni wito (empathy) sio qualifications.....hii ni safeguarding ya negligence....wafukuzwe kz
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 ай бұрын
Nini nikiona kunatatizo la haraka kama hivi watu 4 SI shauri kukimbilia hospital za serkali nendeni za binafsi hata kama gharama wa tz ni wakarimu watakuchangia Nchi za we nzetu wanasevu Hadi wanyama iweje binada unamuona anahali mbaya fungua faili fungua faili kama sina jina jee
@IssaMohamed-nn4rz
@IssaMohamed-nn4rz 4 ай бұрын
Mungu azilaze roho za marehem mahali pema peponi inauma sana jamani
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 4 ай бұрын
Ni kweli jamani Mount meru hospital kuna uzembe mkubwa sana sana hivyo vidactari vya Mount meru vinaleta mbwembwe za vyuoni kwenye Marshall ya watu hawako serese
@loycenicolao7488
@loycenicolao7488 4 ай бұрын
Kwakweli Mimi ni Muuguzi, MTU akija anahali mbaya sharti atibiwe kwanza kutokana na Hali yake Kwa wakati huo, Hali zipo ambazo haziitaji Maelezo, Maelezo baadae huku unatibu unavyoviona. Huduma kwanza mengine baadae. Poleni sana. Mtuombee tu si wote tuna tabia za hovyo wachache wanatuharibia utu wetu, hii kazi ni wito tu na tunahitaji tu kuelimisha watu jamani. Bwana awatie nguvu tunapokea USHAURI japo Mimi sipo Arusha. Wengi hulalamikia Arusha Kuna nini jamani?????
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 4 ай бұрын
Kweli kabisa Sister Mungu atusaidie maana wapo wachache wanao tuharibia tabia maana kweli situation zingine toa huduma kwanza mengine badae
@yacinterchuwa2148
@yacinterchuwa2148 4 ай бұрын
Bora mngewapeleka hospital ya private
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 ай бұрын
Hospital badala iokoe ndo kwanza inaua maunt meru uzembe sana wauaji wakubwa nyie BP presha ya Nini oxygen haipo fest aid kwanza majina walitaka ya Nini si mngekujayajua baadae tuu
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
Inalilah wainailah rajiun 😢😢😢ahadi yao imefika 😢😢
@dhotashaaban1421
@dhotashaaban1421 4 ай бұрын
Hawa hawajui kabisa first aid....hawana empathy.....wafukuzwe kz ...
@marthaaugustinokimilike4228
@marthaaugustinokimilike4228 4 ай бұрын
Mi ndomaana hospitali za serikali cnaga imani nazo,hovyo kabisa😢
@mwanas2
@mwanas2 4 ай бұрын
kwani emergency haijulikan jmni duuhh mnachemk sana madaktar wetu
@JustinaMunuo
@JustinaMunuo 4 ай бұрын
Eee Mungu tusaidie
@remiomar7154
@remiomar7154 4 ай бұрын
Innalillah wainnailahirajioun ....mukumbuke Hakuna MTU anaeweza kuzuia mauti mdawao ulikuwa umeshafika n kifo hakikosi sababu kikubwa nikijiombea sisi tuliobakia mwisho mwema
@hamisaally968
@hamisaally968 4 ай бұрын
Hakuna anayezuia ila kuna kuonyesha japo jitahidii ndugu sio kwa uzembee huu walionyesha hiyo hospital
@remiomar7154
@remiomar7154 4 ай бұрын
@@hamisaally968yote hiyo Ni kudura yake maulana
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 4 ай бұрын
Wee nae hta shuka walinyimwa hii nayo imekaaje
@remiomar7154
@remiomar7154 4 ай бұрын
@@salmamlokela1987 kwani shuka ndio inazuwia uhai wa mtu kalamu ya mola ikishaandika hakuna anaeweza kuifuta
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 4 ай бұрын
Nusu saa mtu hoi??? Ovyooooo😢
@dhotashaaban1421
@dhotashaaban1421 4 ай бұрын
Ingekuwa Ulaya kuua kwa negligence ni manslaughter
@tatusalehe8775
@tatusalehe8775 4 ай бұрын
Hospital kubwa ya rufaa Haina kitengo Cha dharura jamani kweli
@Naumitefaasungwile
@Naumitefaasungwile 4 ай бұрын
Poleni jamaa 😢😢
@hassaniidrissa5916
@hassaniidrissa5916 4 ай бұрын
Sukuma ndani hao madoctor, kufungua faill na uwahi wamtu lipi Bora,
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 ай бұрын
Ndio hospitali zilivyo wana dharau sana 😭😭
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 4 ай бұрын
Mimi huwa nawaombea hao wanaojifanya kuzembea kuh matibabu na wao wauguliwe wawafanyie hayo hayo.
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Ndio nchi yetu ilivyo mgonjwa mahututi akifikishwa hospitali utasikia una pf3 ya Polisi?.Yaani hamna Emegency care kabisa badala wawahi na oxygen wao wataanza maswali. Kusema ukweli Madaraka wapo kwa ajili ya mshahara sio kwa ajili ya kazi kiroho wao wanaroho ngumu sana .Kazi ya udaktari ni wito sio unyama .Madaktari hakuna kabisa Tanzania yetu hii aibu sana .Ndio mjue kuupiga mwingi ndio iwe mwisho. Viongozi wakiumwa wanaenda Ulaya kutibiwa kwa kodi za Mtanzania.
@hamisaally968
@hamisaally968 4 ай бұрын
Yaani siku hizi hii nchii kila mtu anafanya lake sasa watoto wameletwa dharura bado madaktarii wanaleta uzembee japo kifo kipo ila kuna kujitahidiii 😢
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Kifo kipo na uzembe upo emegency care hakuna kwa watu wa hali ya chini alafu bado tuunaambiwa anaupiga mwingi.Hospitali hakuna vitendea kazi.Madaktari mishahara hakuna .Wao wakiumwa ulaya
@SuzanFelix-mo8fq
@SuzanFelix-mo8fq 4 ай бұрын
Eee nilitoaga 😢msaada kwa jirani kumpeleka hospitali basi daktar alitaka vipimo vya damu nikaenda maabara yalionikuta huko mmh zalau tupuu😢😢 maana mgonjwa nilikuwa sijui jina Wala ubin wake
@MichaelElikana-r1m
@MichaelElikana-r1m 4 ай бұрын
Ipo siku tu tutachoka
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 ай бұрын
Mbona huku ulaya mgonjwa akiletwa na shuka na blanket ya hospital nyengine inaachwa pale kama ni Ambalence wanachukua shuka na blanket safi ya hospital ile wanaondoka nayo mimi nipo ulaya mwaka 23 nafanya kazi hospitl ni jambo la kawaida kubadilisha mashuka
@hawakiza6067
@hawakiza6067 4 ай бұрын
Fatma Ali upo nch gani Mimi nipo Nederland
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Hujaelewa kilichoongelewa pale ,achana na ya huko Ulaya .Hao walipeleka watoto kwa dharura na ni majirani hivyo hospitali ilitakiwa ijali hao walioletwa kwa mda ambao wapo nao pale .
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 4 ай бұрын
Ukitaka kuyajua haya lazwa hospital za serikali ni shida hawajali kabisa mungu warehemu watoto hao
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 4 ай бұрын
Duuh inauma Sana jamanii😭
@MonicaSimon-wr2qj
@MonicaSimon-wr2qj 4 ай бұрын
Mount meru wanaua watu sana hiyo sio hosp jamani
@upendogreutert199
@upendogreutert199 4 ай бұрын
Somehow Wenzetu nchi zilizoendelea wanatuonaga kituko mana kwenye Kazi inayohusu binadamu bado TZ kuna shida baadhi ya Sector fulani
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Sekta ya Emegency hakuna fikiria wanakimbilia kununua magari ya wabunge ya gharama kubwa wakati unakuta Wilaya nzima ina fire 2 tena moja unaweza ambiwa mbovu.Ambullance huoni wakati wa dharura hata Helikopter ya emegency hakuna hii nchi ni Mungu tu ndie anajua hatma yetu watu wa hali ya chini
@kaznakazn3495
@kaznakazn3495 4 ай бұрын
Jamaniiiiiii 😭😭😭😭
@joyceraphael2586
@joyceraphael2586 4 ай бұрын
Huduma ni mbovu sana kauli zao ni mbovu sana huudumiwi vzr hata unaweza kwenda hospitali unaona Bora ununua dawa mtaani kuliko kwenda kukutana na hao manesi na madactar, Ni shida unakufa hivi hivi
@upendogreutert199
@upendogreutert199 4 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 jamani kwa habari za huduma hospital sio zotee Ila nyingine Madaktari na Manesi ni mtihaniiiii Sanaa
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 4 ай бұрын
Hospital zoote za serikali huduma zao hovyo tu
@munirasallim6450
@munirasallim6450 4 ай бұрын
Innalillahi wainnaillahy rajiun zao zishakoma ndio ahadi Yao walochukua
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 ай бұрын
Yaani madaktari na manesi hizi roho mbaya sana yaani hata wangewasaidia mapema ndo maana wamekuwa washenzi Hawa yaani Bora mngeenda praivet
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 4 ай бұрын
Jamani wauguzi wetu tujaru uhai wa binadamu kwanza
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 4 ай бұрын
Watoto na baba yao RIP
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 4 ай бұрын
Inauma sana jamani
@jocelyneliaminarukundo3633
@jocelyneliaminarukundo3633 4 ай бұрын
Oooh my God😢😢😢😢
@joyceraphael2586
@joyceraphael2586 4 ай бұрын
Manesi wanapuuza wagonjwa
@fattymusa4857
@fattymusa4857 4 ай бұрын
Mwadishi, kichwa cha habari na maelezo ni tofauti,.
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Utofauti ni nini sikiliza mpaka mwisho
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 4 ай бұрын
Wewe bwege kweli maelezo yanajitosheleza kabisa kwa alichoandika mwandishi. Mamao wewe.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 ай бұрын
Inasikitisha Shana yaliyomo ndani ya nchi hii kama huna shuka hata ya kumfunika marehemu inaataje hospital hiyo duuh
@elizabethmwamdanga7377
@elizabethmwamdanga7377 4 ай бұрын
Ilitakiwa wawahishe icu wawekewe oxygen wakati mambo mengine yaendelee
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Exactly lakini hapa Tanzania ukifika unawekwa kwenye benchi unaanza kuulizwa pf3 ya Polisi mara lipa mara andikisha mpaka mtu anafia kwenye benchi .Stupid kabisa
@FortunataNguma
@FortunataNguma 4 ай бұрын
Nchi hii hakuna haki.hosp wanajivuta
@roseafrael75
@roseafrael75 4 ай бұрын
Nyie acheni tuu madaktari na manesi roho mbaya sana
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 4 ай бұрын
Yani sanaaa😢sijui kwanini wamekosa roho za huruma
@loycenicolao7488
@loycenicolao7488 4 ай бұрын
Hapana si wote jamani, Mimi Nina roho nzuri sana ya utu uliojawa huruma karibu nikuhudumie. Nilisoma Kwa wito na si wote tuko hivyo. Hao mnaowakuta wamechanganyikiwa tu
@HijiraHussein
@HijiraHussein 4 ай бұрын
Mmmmmmmmh kazi mnayo wahudumu wa afya
@florianhenry7198
@florianhenry7198 4 ай бұрын
Serikali iweke utaratibu wa kutoa uduma kwanza malipo badae
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 4 ай бұрын
Mountmeru ni wazembe sana hawana huduma ya haraka kwa usahihi kwa kweli
@HappyMsele-n8r
@HappyMsele-n8r 4 ай бұрын
Acha usenge sikiliza taarifa vizuri panya wew
@Kaambale-ve5el
@Kaambale-ve5el 4 ай бұрын
Je. Utendaji wake kwenye kazi tanapa je kuna ssehemu alijikwaa huko kwenye zoezi la kuwahamisha wamasai kwenda msommera? Kwasbbu huenda ni malipizi ya kisayasi ya kienyeji kulingana na matukio yake kwa wamasai ngorongoro
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Hakuna kwa nini hiyo sayansi isifanywe kwa Viongozi wa hizo ngazi waliosema watolewe ingeanza kwao basi maana huyu anatumwa tu kazi sio kweli ni ajali tu
@antonimabaga442
@antonimabaga442 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 poleni sana
@JasminMneney
@JasminMneney 4 ай бұрын
Unacheka au unalia
@billaljuma6297
@billaljuma6297 4 ай бұрын
😢😢😢
@hassaniidrissa5916
@hassaniidrissa5916 4 ай бұрын
Innalilahi wainna ilaihi rajiun
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 4 ай бұрын
Mbona sijasikia kuhusu mama ya hao watoto?
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm 4 ай бұрын
Mama na kichanga wanaendelea vizuri
@FortunataNguma
@FortunataNguma 4 ай бұрын
Wanamaswali.mno mashetani wakubwa wauaji hao
@lucypeter7804
@lucypeter7804 4 ай бұрын
Hivi madaktari huwa na wao wana roho mbaya km manesi???????????
@NdilanhaBoniphace
@NdilanhaBoniphace 4 ай бұрын
Sio kwamba manesi wote tuna roho mbaya ila tatizo ni over work bila kupumzika ndo zinawafanya wachoke sana ushauri wangu ni kuongeza watumishi waajili weng maan vituo vya afya vina watumishi wachache mno wanachoka nao ni binadamu 😢😢
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 4 ай бұрын
Ushauri wangu,mtu anapoletwa ktk Hali ambayo siyo,apatiwe majibabu ya haraka kwanza,majina ni baadaye,umri ni baadaye,hivi mnasomea Nini mbona mna kero sana,badala mwokoe mnachangia kuua kwa uzembe wenu,wajinga kabisa huu ni uzembe,eti kaleteni shuka nyumbani ni akili au ni matope,Bora Mimi ambaye sijasoma kabisa,ningetumia hata akili ya kuwapaka asali kwa kupunguza maumivu mmenikera sanaaa
@SaudaIddy-tk8jt
@SaudaIddy-tk8jt 4 ай бұрын
sauda iddy saidy
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 4 ай бұрын
Mama nasra mkavuu
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 ай бұрын
Uzembe wa madaktari ndo imeleta yote haya badala ya kuwapatia oxygen kwanza uzembe serikali iingilie kati
@florencemeza6540
@florencemeza6540 4 ай бұрын
Myakuwa mnasingizia hosp tu kuna degree ambazo ukiungua au hewa chafu ikiathiri mapafu huwezi kupona
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Na pia ingewezekana kusaidia mapafu labda ingesaidia au ?Kwa hiyo kwa jibu lako ni mgonjwa apimwe kwa macho na sio kwa juhudi za kujaribu kuokoa uhai wake ?
@nicethgabriel3319
@nicethgabriel3319 4 ай бұрын
Mama amepona vip, na kichanga chake cha wiki mbili
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
@@nicethgabriel3319 Unamuuliza nani hivi nani kaloga watu wa nchi hii wengine hawana akili hata nusu kijiko
@TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA
@TRIPLEDMAZIWAYANGAMIYA 4 ай бұрын
Ni uzembe wa wauguzi wachukuliwe hatua wa kinidhamu makonda umeyasikia
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 4 ай бұрын
Innalillah waina ilayhi rajiun
Which team will win? Team Joy or Team Gumball?! 🤔
00:29
BigSchool
Рет қаралды 14 МЛН
2 MAGIC SECRETS @denismagicshow @roman_magic
00:32
MasomkaMagic
Рет қаралды 31 МЛН
Disrespect or Respect 💔❤️
00:27
Thiago Productions
Рет қаралды 33 МЛН
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 3,7 МЛН
Which team will win? Team Joy or Team Gumball?! 🤔
00:29
BigSchool
Рет қаралды 14 МЛН