Mithili yako hakuna na kamwe hatowahi kutokea, tuwatunze tuwapende na kuwaenzi mama zetu, mashaaAllah qaswida nzuri inahamasisha, rabby awajaalie mama zetu wawe ni miongoni mwa waja waliobashiriwa pepo na inshaaAllah akatukutanishe tena na mama zetu, pepo ya rahmani iwe ndio makaazi yetu inshaaAllah.
@sabihahamadi22873 жыл бұрын
Nasikiya machungu juu ya wezazi wetu walio tanguliya bila kupata matunda yetu ila tunaomba mungu awape makazi mema peponi mungu awalinde nyote munao tuleteya ujumbe mwema amini
Hii qasda nikisklz kila muda naumia najikuta nalia t na mama angu Yuh Ila nalia furaha uwepo wa mama angu ALLAHUMMA HFADH YAA UMMY❤ na uwarehem ambao wazee wa wenzetu walio kwisha tangulia amin amin thumma amin🙏
@rusimagese36123 жыл бұрын
Hakuna kma mamaa
@julykasongo23693 жыл бұрын
Hongera xana kaka hakika mama ni nguzo ya akhera
@julykasongo23693 жыл бұрын
🎀🍎
@kurbanabdallah23683 жыл бұрын
Kabisa mama ni ngozo ktk duniani na akhera
@saumuomazy76733 жыл бұрын
Mashaallah pepo ya dunia ni mama❤❤❤
@kurbanabdallah23683 жыл бұрын
Mama ni mama kwli hta kma ni mweuc au awe vp mama ni mama..mke au Mume au ndugu waeza pata lkn mama huezi pata mwngne icpo kua yule alokuzaa
@idrisamiro3335 жыл бұрын
Hakuna Kama mama 😍
@omarjuma83015 жыл бұрын
Mama ni mama nahakuna km mama nani hakubalian na mm???