Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@ruthhamisi29024 ай бұрын
Nimelia sana,mama mtoto alivyoongea,nikakumbuka neno la mungu linasema mpende adui yako, muombee anayekuudhi na wala usimlaani
@florarwegerera80254 ай бұрын
Hiyo ni kesi ya Serikali, mama umefanya jambo kubwa sana mbele ya Mungu kwa kumsamee huyu dada
@givenessdavid37434 ай бұрын
Sijawahi ona Upendo wa namna hii....... Watu wazuri Bado wapo 😢😢😢😢😢Mpaka nmelia
@batistamngullu92354 ай бұрын
Hapa Pana funzo kubwa sana kuhusu msamaha! Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kusamehe, namuombea mtoto apone na arejee katika masomo yake.
@EdnaJohn-c5x4 ай бұрын
Dada una moyo wa kipe kee sana uchungu wa mwana kweli au juae mzazi lakini acha seli kali ifanye kazi yake pole sana na mungu aku tie nguvu
@joycehaule97174 ай бұрын
Hallelujah hakika moyo ni wa Mungu kusamehe ni MOYO WA MUNGI HASWAAAAAAA
@skeetergodwins25764 ай бұрын
Ubarikiwe dada. Hakika huu ni moyo wa Mungu
@umsulaiman74684 ай бұрын
ManshaAllah mama ake Malik Allah akujalie moyo wa subra na moyo wakusameh Jaman una moyo mpana mh ah huyo akimsameh asije kumuuwa hata hivo mama Malik kuwa makini Kwa huyo ulio msameh adui Ni adui tu hatobadilika kamwe
@christopherkaroli93654 ай бұрын
Pole sana mdogo wangu Mungu akutie nguvu, tuzidi kumwomba Mungu azidi kumtetea na kumponya mtoto, pongezi za pekee kwa rais yetu mpendwa na jeshi la polisi kwa juhudi zao
@ellykawa47554 ай бұрын
Hii familia inamtegemea sana Mungu kwa jaribu hili kubwa kubwa sana bdo wana imani ya msamaha kwa dada kwa kweli mkono wa Mungu na neema zake zisiwapungukie maana wameshinda jaribu
@loner_wolf4 ай бұрын
Serikali ni yetu , mtoto ni wetu na rais ni wetu na mtuhumiwa ni mtoto wetu na hapa ni kwetu . Together we can , strong we shall stand . Over❤❤❤❤
@givenessdavid37434 ай бұрын
❤❤❤
@agneskaseya84734 ай бұрын
Pole sana mzazi mwenzangu mwene mtoto m1 kama mimi kweli wema wako wa kuweza kusamehe toka moyoni kweli mungu karudisha kwa namna yake hilo lilikuwa ni jaribu na ukweli mmeshinda jaribu kama ibrahim baba wa imani na mtoto atapona kwa jina la mungu alie juu...AMEN
@piomallya99994 ай бұрын
Daaah Baba na mama huyu wana Roho wa Mungu ndani yao na upendo wa kiMungu. Tunamweka Mtoto kweny sala zetu atapona kwa rehema zake mwenyezi Mungu.😢😢🙏🙏🙏
@kissakayuni7674 ай бұрын
Asante muheshimiwa Rais wetu kwa msaada wako Mungu akutunze daima.
@fransicanikodem36843 ай бұрын
Poleni sana wazazi.Mwenyezi Mungu ampe mtoto uponyaji.
@MfaumeAdam-e9r4 ай бұрын
Mungu awabaliki sana kwakusamehe
@SalamaNauthar4 ай бұрын
Mashaallah' dada una roho nzuri sana ' nimekupenda Wallah' ALLAH Akulinde
@basilisamsaka84694 ай бұрын
Moyo wa kusamehe ni wa Mungu
@ZulfahMuhammad4 ай бұрын
Alhamdulillaah huyu Mama yuko na roho zuri sana kwakweli na Mola akuhifadhi na mtoto wake ampe afya njema ❤
@HappyGershon4 ай бұрын
Hakika Mungu ampoganie huyu Mtoto jaman, Wazazi kwakweli Mmeichukulia KiMungu sana Mungu awatangulie na kuwatetea Pia Mmekuwa Mfano wa Kuigwa Kabisaa
@DoreenMlay-e8g4 ай бұрын
jaman dada pole mungu akupe hekima zaidi ni wachache wenye moyo kama wa huyu dada
@محمدالقايد-د6ب4 ай бұрын
Asante Raisi wetu mzuri ubarikiwe Sana na Mungu
@MarryquizetShirima3 ай бұрын
Mungu akamponye huyu mtoto na mungu aendelee kuwapa wazazi wepes wa kusamehe hivohivo
@GdFf-ik2eo4 ай бұрын
Mungu awabariki Wazazi WA huyu mtt Kwa kusamehe DD WA kz
@umfahad26094 ай бұрын
Mama Samia tunakushukuru saana kwa kuwajali raia wako. Hasa wakati wanapo patwa na matatizo. MUNGU akupe umri mrefu MAMA.❤
@user133754 ай бұрын
Hii familia itafika mbinguni❤❤❤
@zuhurahamisi86874 ай бұрын
Shukran mpenz
@FortunataNguma4 ай бұрын
Hawa vijana Mungu atawalipa mara 2 kwa moyo wa msamaha Mungu awabariki
@maymunahomar50164 ай бұрын
SubhanAllah! Mungu amjaalie shifaa mtoto hali yake irudi kuwa njema.🤲 Mungu awabariki wazazi wake kwa kuamua kumsamehe huyo dada.
@LucyChengo4 ай бұрын
Haki dadangu umefanya vizuri sana kufungua moyo wako na kumsamehe dada Yako wakazi mungu atakufanyia wepesi Kwa kila jambo
@HamidaAhmad-jd5zi4 ай бұрын
Maashalah maashalah iaumiza ila Allah akulipe kila lenye kheri mama wewe kwel una ofu ya mungu na Mungu tunamuomba amponye mtoto wetu harud kuwa na afya kama zaman. Mungu akupe moyo wa subra
@joyceatupele88484 ай бұрын
Kwa njinsi ulivyo msamehee huyu bint japo kuwa si lahisi hi vyo na Amina mungu atashugulika na Mambo yako mungu amponye mtoto 😊
@FatumaMombo4 ай бұрын
Msamaha unanguvu sana katika roho ya uzima Mungu akaachilie roho ya uponyaji mtoto apone na arudi nyumbani kwa wazazi wake
@AishaAisha-r7t4 ай бұрын
Dadaa munguu akubarik wewe unamoyo wakipekee sanaa nashukuru tutambuakuwa sie binadam siwakamilifu❤❤❤
@elizabethdamas-zp9xl4 ай бұрын
uyu mama ana imani sana aiseh na ana hofu kubwa ya Mungu daah sijawah ona🙌🙌🙌
@abdallahsaidi31964 ай бұрын
Asante sana mama yetu samia kw kutushika mkono. sisi jambo hili likikuwa gumu mn.
@wisemaliva53764 ай бұрын
Dah imenitia huruma dada uliposema nimemsamee dah dada mungu akutie nguvu
@avernegervas58394 ай бұрын
Yan nmejikuta nalia maskini cjui ni nini kimeikumba hii familia mtoto mwenyewe m1 jaman mungu tutie nguvu,,@@SamiraameirSamira-qt9yn
@LuteMussa-tg1rv4 ай бұрын
Mungu akutie nguvu dad 🙏🙏
@JeniphaJohn-h8q4 ай бұрын
Pole sana dada mungu azidi kulinda familia yko
@MwanamisoAbdallah4 ай бұрын
Weee masha Allah masha Allah una roho y utu masha Allah ❤❤❤❤❤
@aishaalbalushaishabalush82914 ай бұрын
dada anaonekana anaroho nzuri sana sasa sjui mfanyakazi kilimkuta nini hadi kumfanyia hivo madame wake mtu mzuri hivi subhan allah
@jemimabakari4 ай бұрын
Mapepo sijui😢
@betrackjasson66984 ай бұрын
Nimeelewa point yako ndugu ila vitoto vya kiume uwa vina ubishi fran inaonekana alikuwa mletea zalau fran labda kumtishia kisu ntakuchinja mm grafra kikapita
@jamesswai65834 ай бұрын
Mm nilichojifunza ni kusamehe. Ata uponyaji huja Kwa kusamehe.
@rosehaule67654 ай бұрын
Pole.sana ukisamehw na ww Mungu anakusamehe nawe na.pia unapata uponyaji wa moyo.. na.mtoto wako atapona vizuri acha tumshukuru Mungu tu maana sote tunazaa hata atujui nini shida hawa watoto wa Sasa wana shida gani wa.ekuwa wakatili mnoo Mungu awabariki mnoo kwa msamaha mliotoq😢
@PendoGodfrey-lu2pm4 ай бұрын
Dada utafika mbali Sana,kimaisha.kwamoyo huo ulio jaa upendo.
@kessynurutajiri49404 ай бұрын
Jamani hii familia ya gani? Shukran za kipekee kwanza wamshukuru sana Mwenyezi Mungu, yeye ndiye kila kitu kwetu. Hakuna zaidi ya yeye, halafu tambueni Mwenyezi Mungu ameenea Mbinguni na Ardhini .
@Eleonora-ei6yx4 ай бұрын
Upendo hauhesabu mabaya 1cor 13:Hii familia wameonyesha uoendo wa Mungu kwa kiwango cha juu sana
@VumiliaMajoro4 ай бұрын
Pole sana familia mungu akutie nguvu mtoto apone , kiukweli mnamoyo mzuri sanammemsamehe bint wakazi mungu awazidisjie muendelee namoyo huo niwachache wenye moyo Kama yenu
@ImeldaIsdory4 ай бұрын
Kazi njema sana Imelda. Mama Malik Mwenyezi Mungu na awafanyie wepesi.
@SaumuAlly-lc8fw4 ай бұрын
Pole sana dada mungu akupe uvumiliv amponye mtoto
@barakaalex89124 ай бұрын
Mungu akupe wepesi was maisha Asante
@winfridamushimushi70254 ай бұрын
Pole sana jmn my dr Mungu akutie nguvuu
@BeibyDy4 ай бұрын
Nashukuru sana dada Kwa Imani hiyo dada mungu akubariki mungu atakuokoa nauovu wadunia hii kama lutu
@salmaathumani93814 ай бұрын
Mashaallah Mama Mzazi Allah Azidi Kukupa Moyo Huo Huo Wa Kusamee
@SophiaMahala4 ай бұрын
Pole my dada,naogopa na mm ndo kwanza na katoto kamoja mweee wanadamu mungu amponye mtoto kwa jina la yesu Amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@beatricehenry67764 ай бұрын
Una Imani sana M/Mungu akupende zaidi
@umfahad26094 ай бұрын
Pole saana ndugu yng. Kwa huo moyo uliokua nao MUNGU atamponesha mtt haraka. Na tunamuombea MUNGU amponeshe mtt haraka. Ni ndugu yako kutoka Oman. Imeniliza saaana hii jamani.😭😭😭💔💔
@FatmaHaji-sf6xq4 ай бұрын
Pole sana mama allha atampona mtoto Mungu tulindie watoto wetu
@Pixxmoleli4 ай бұрын
pole sana dada.Mungu atulindie watoto wetu
@VivianMorewin4 ай бұрын
Mungu awabariki sana,tunamuonba mungu aponye mtoto apone
@DxbYae4 ай бұрын
Mungu awasimamie sn wazazi kwa moyo wa upendo....kwa kumsamehe dada...haya kz ipo kwa serekali
@ttss77164 ай бұрын
Mama samia hoyeeee wako na imani sana hiyo familia❤
@AmisoMuyohira4 ай бұрын
Pole sana dada juma kutoka burundii 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 inasikitisha sana
@faridaaloyce43304 ай бұрын
Mungu anafanya jambo jipya kwa mtoto na familia nzima hongera kwa kumsamehe dada
@piusmdoe32004 ай бұрын
Yah! Nimewapenda bure.Moyo wa ujasiri,moyo wa uvumilivu,moyo wa kusamehe
@AminathaShamte4 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu, mungu amfanyie wepesi mtoto wetu
@christinakiula37434 ай бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa wazazi kwa kuwawezesha kusamehe na kuachilia. Tunamwombea mtoto apone haraka kwa uwezo wa Mungu.
@SalumuJuma-q3x4 ай бұрын
Hongera sana Kwa kujuwa kama mungu yupo naawape nafu ya hiyo mtoto
@peninamwailunda88134 ай бұрын
Abarikiwe mama Samia Kwa moyo wa upendo wa kusaidia
@eliaichraymond12154 ай бұрын
Mungu amekutendea hayo kwakuwa uliamua kusamehe!msamaha ni silaha yenye nguvu sana katika maisha na huyo dada atakuwa na mapepo,aliyechinja mtoto ni pepo kama siyo hivyo ni mchawi au ni mrundi
@hawaramadhani69544 ай бұрын
Ndugu yangu umekosea si vyema kuweka unchi roho mbaya Haina nchi ni mtu binafsi
@AnethMushi-c3e4 ай бұрын
@@hawaramadhani6954kweli kama kakosea
@aminamzuri99334 ай бұрын
Wala s mchaw Kuna kabila Zina roho ngumu mungu atuteetee tu na wasichana
@tinnahagustinolyelu42474 ай бұрын
Dada Mungu akutunze saana my dear
@AshaMalonga4 ай бұрын
Pole sana mwanangu mungu atakujalia mwanaoatapona
@PeterMahona-zd3oz4 ай бұрын
Mungu. Wetu akutieguvu namwanao apone unamoyo wauvumilivu sana ubalikiwe dada
@MichaelWilliamsNyirenda4 ай бұрын
Dada Mungu Wakubariki sana huo musamaha Mungu amependweza na ww pia mtoto nae naamin atamuponya
@FatumaJuaje-nc7om4 ай бұрын
Mwenyezi mungu atamponya mtoto wenu kwa hizo roho ridzo zenu nzuri 😢nimejifunza
@PeterMahona-zd3oz4 ай бұрын
Poleni kwahayo mungu atawasadia kaka
@AnnaSanga-bs7pl3 ай бұрын
Ubarikiwe kwa moyo wa msamaha
@kissakayuni7674 ай бұрын
Shani Mungu akubariki sana maana una moyo wa kipekee pamoja na baba wa mtoto nyie kweli hofu ya Mungu ipo moyoni mwenu.
@ModesterRuguzye4 ай бұрын
Moyo wenu wa msamaha Mungu amehusika hongereni sana mubalikiwe sana ila kuhusu dada nahisi alikuwa mnafiki anamoyo mkubwa sana ipo siri kubwa nyuma yake
@AnithaSimon-u9e4 ай бұрын
Vuzuri my kwamsamaha uho ulotoa mungu amponye uyomtoto🙏🙏🙏🙏
@Afyabora14124 ай бұрын
Respect for you Mama Mzuri Rais wetu ❤ Kwa upande wangu kama ningekuwa Mama mzazi wa Malik ningemsamehee ila serikali ifanye kazi yake fimbo inafaa kwa mwana mpumbavu.
@salomewandya72574 ай бұрын
Hii familia ina hofu ya Mungu,mtoto atapona kwa jina la Yesu 🙏🙏
@MagrethLonje14 ай бұрын
Mungu amponye mtoto mapito megi sanaa
@zuhurahamisi86874 ай бұрын
Alhamdur Lillah Mungu AZIDI kutusimamia ndivyo tulivyo watu wa kusini kusamehe
@eunicekisumo96114 ай бұрын
Kuna nguvu ya ajabu ndani ya neno msamaha nimejifunza kitu kikubwa Sana hongera kwa mama na baba wa mtoto Mungu awatunze mwe salama na awasamehe yote mliyowahi kukosea
@MariamPosian4 ай бұрын
Poleni sana mungu awajalie muwe na moyo huohuo na pia mungu amjalie mtoto apone
@julianapatrick79114 ай бұрын
Mungu simamia Nchi na watu wote😢😢
@JanethMollel-wk5th4 ай бұрын
Pole Sana Mungu akutie nguvu,,Mimi nilimpata agent sikurudia Tena mdada wa kazi nimemuogopa Kama ukomaa.
@LilianMoyo-wf2yq4 ай бұрын
Pole sana mungu akutie nguvu
@محمدالقايد-د6ب4 ай бұрын
MUngu Ni mwema jamanii pole dada ubarikiwe Sana Mungu amponye mwanao
@milletyjumaa23714 ай бұрын
Dada pole sn yan mm mwenyewe najikuta nalia mungu afanye wepesi katika hili
@RedeemerElias4 ай бұрын
Tunakushukuru Rais wetu Samia Suluhu Hasan pia jeshi la polisi
@AshaJuma-s7l4 ай бұрын
Nakupenda Imelda Mtema. Upo vizuri katika habari
@JulianaPaschal-y4h4 ай бұрын
Pole sana,mwanamke mwenzangu...
@Deogratiusvicent4 ай бұрын
Mungu awafanyie wepesi kwakweli
@givenessdavid37434 ай бұрын
Tukazane sana kuwaombea watoto wetu na Walezi wao shetani yupo kazini kisawa sawa.....
@RevinaFrancis4 ай бұрын
Pole sana KWA matatizo mungu akutetee na ongera KWA moyo wa kusamehe ukisamehe mawe utasamenewa
@anitabarnaba4 ай бұрын
Daaaah pole sana dada ila duniani kumbe Kuna watu wenye roho nzury bado 😢😢