MAUAJI YA WATOTO, SHAMBA BOY: BABA MZAZI/MWENYEKITI Wasimulia A-Z MAUAJI YALIVYOTEKELEZWA

  Рет қаралды 60,908

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

MAUAJI YA WATOTO, SHAMBA BOY: BABA MZAZI/MWENYEKITI Wasimulia A-Z MAUAJI YALIVYOTEKELEZWA
Dunia haina huruma! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia tukio la kinyama la mauaji ya kutisha ya watoto wawili, yaliyofanywa na Yassin Abdallah, ambaye baadaye naye aliuawa na wananchi wenye hasira kali.
Waandishi Richard Bukos na Hassan Ally wa Global TV Online, wamefuatilia kwa kina tukio hilo la kinyama, kwa lengo la kujua kwa nini Yassin amewatendea ukatili wa kutisha kiasi hicho watoto hao, na kuyakatisha maisha ya malaika hawa kikatili? Hapa wanakuletea undani wake.
Imesomwa na Felista Massae
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 104
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 Ай бұрын
Jamani ni magumu kuyapokea haya Mungu wangueeeee😭😭😭😭😭😭watoto jamaniiii😭😭😭😭jamani tuombee wenzetu waliopata mazito kama haya,ni mengi mnoo,wengi wanapoteza maisha kwakuuliwa😭😭😭
@user-il8wx3eq8i
@user-il8wx3eq8i 29 күн бұрын
Dah bora nayeye alivyo uliwa nae alipitia maumivu waloyapitia watoto😢 ila angekamatwa na police ungeskia kua wanalifanyia uchunguzi ila pole baba na mama kwa kupoteza watoto😭😭😭😭
@fatumaal4988
@fatumaal4988 2 жыл бұрын
Jamanii Dunia hii siyakuamini mtu tena yaani wema wote Ameamua kuua watoto bila sababu Inna lillahi wa Inna Ileyhi Rajiun haki niuchungu sana mama anauguza majeraha na watoto hana tena pole sana haki mola akupe Subra😭😭😭🇰🇪🇰🇪
@maryamahmed2453
@maryamahmed2453 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atunusuru, Ameen.
@esterelias8189
@esterelias8189 4 жыл бұрын
Tumbo limenikata kama vile naumwa uchungu..watu tunaroho mbaya ivi?? Rip pumzikeni kwa amani watoto wangu.
@Mariaibrahim-xp9dr
@Mariaibrahim-xp9dr Ай бұрын
Pole baba nampe pole huyo Mama
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 4 жыл бұрын
Innalilah wainna illah rajiuon... Subhanallah 😭😭😭😭
@joycemabarika584
@joycemabarika584 3 жыл бұрын
Dunia Kwa kweli imebadilika, yaani binadamu tumekuwa na roho ya kinyama Sana, Mwenyezi Mungu tunaomba rehema zako
@masasionlinetv1825
@masasionlinetv1825 4 жыл бұрын
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
@NeemaMateleka
@NeemaMateleka 21 күн бұрын
Jamai mungu utusamehe maana tupo kwenye giza kila siku damu zina mwagika tusamwhe
@mtotootarimo1027
@mtotootarimo1027 4 жыл бұрын
SubhannaAllah hii dunia sasa inapo elekea ni mwisho wa dunia polen wazazi jaman huu ni unyama mbaya sn hat kam unavisasi namtu si kwa wotot malaika wasiykuw na hatia
@praisesteven7774
@praisesteven7774 3 жыл бұрын
Ko inamaana chanzo nyegeeee😩😩😩😩😩kaona mama kamgomea ndio anaua watto eeeee mungu wangu
@christayohanayohanangepe1625
@christayohanayohanangepe1625 4 жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia
@user-qg7fw7si5i
@user-qg7fw7si5i 4 күн бұрын
Mungu husika
@MariamKileo-mu8rv
@MariamKileo-mu8rv 28 күн бұрын
Mungu wangu jamani poleni sana kwa familia na mama wa watoto augue pole
@saraluza5909
@saraluza5909 3 жыл бұрын
Wauaji tunaishi nao😭
@ShaiduTwahil
@ShaiduTwahil 28 күн бұрын
Mwenyezi mungu awalaze mahali pema hao watoto
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
MUNGU uturehemu sisi watu wako MUNGU wangu twende wapi,?? Mbona umetuacha mbona uko mbali nasi MUNGU wangu najua dhambi zetu zimetuweka na kututenga mbali na USO WAKO turehemu MUNGU wangu wanafamilia poleni sana kwa yotee MUNGU akawe faraja kwenu hata hapo MUNGU yuko pamoja nanyi jipeni MOYO mkuu ni uchungu mnoooooo
@mjombamjomba1887
@mjombamjomba1887 4 жыл бұрын
lnna lillahiy wa inna ilaihim rajioun Baki Allah pole sn wafiwa
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 жыл бұрын
Mungu awalaze mahala pema peponi maraika hao
@hamidauhuru813
@hamidauhuru813 3 жыл бұрын
Huyu shetani bora walivyomuua maana angeweza kutoka kwa msamaha huko baadae.Watoto walimkosea nini mpaka kuwaua kikatili namna hiyo!...inaumiza sana.
@prittypritty5561
@prittypritty5561 4 жыл бұрын
Nimeumia sana
@marianhaha9012
@marianhaha9012 4 жыл бұрын
God give you strength my brother
@anjunurdin2392
@anjunurdin2392 4 жыл бұрын
Subhana
@azizajuma2674
@azizajuma2674 4 жыл бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiuun poleni sana
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
tz kunatisha wallah kila kukich watu wauwana 2 jomn naumia saaaaaan sikuii nishitani gani kapit TZ inna illah waina illah rajiun Allah rehemakallh 😢
@saidahj2543
@saidahj2543 4 жыл бұрын
Pole kwa familia
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
subhanallah Inalillah wainaillah rajiun
@aishaharuna4118
@aishaharuna4118 3 жыл бұрын
Aisee
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Pole Sana kakaangu pole Sana .Ila dunia hiii😭😭😭😭
@aminamikidadi7754
@aminamikidadi7754 3 жыл бұрын
Inalilah wainaillaih rajiuun. ..
@nemambelwa142
@nemambelwa142 3 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah rajiuuna...Allah atunusuru na familia zetu yaa Allah watu tusiowajua vzri na kiundani bora tusiwaajiri kwani hawa houseboy sio waaminifu kabisa
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
Safi san na yy kuuliw, man hat angebak angekula chakul bule segerea kule, wanawawek tu kula bure kulala bure bora nae wamemuua chiz hyo,
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 жыл бұрын
Kweri kabisaa
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
wamefanya laamaana sana kumuua
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
Safi sana bora wamemuua
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 жыл бұрын
Global nyinyi sasa ndio mmepata habari ya kweli na hakika inalillah waiina irayhi rajioun poleni wazazi na wana kijijini wenzangu Funzo tusiajili watu ambao hatujui background zao
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
Safi sana wamemchinja dah amewaua watoto dah
@zwainazwaina9808
@zwainazwaina9808 3 жыл бұрын
Inalilahi waina ilayhi rajiun
@tausshasani2064
@tausshasani2064 3 жыл бұрын
Mmmh innallillaah wainna illaah rajiun
@mubarakkanyika7820
@mubarakkanyika7820 4 жыл бұрын
Daah. Dunia hii😔😔
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Kwani tunaenda wapi hii dunia. Watoto wamekosa Nini jamaniiii😭😭😭😭😭
@subiraomari5908
@subiraomari5908 4 жыл бұрын
Innalilahi wainailahi rajiun
@adamujuma5925
@adamujuma5925 4 жыл бұрын
Innalillah wainnailayh rajiun!!!
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 жыл бұрын
Pole dada
@perryswai3679
@perryswai3679 4 жыл бұрын
Ooooooh my God to sad
@MerinaMihayo
@MerinaMihayo 28 күн бұрын
Duh😢😢😢
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Jamani jamani jamani. Jamani
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 2 ай бұрын
Ana mapengo duhhh😢
@teresiawanjiku6890
@teresiawanjiku6890 3 жыл бұрын
Oh my God
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi Ай бұрын
jamani inauma sana
@OmarySalumu-n4o
@OmarySalumu-n4o 2 күн бұрын
Hao wanaofanya unyama kama huwo wakikamatwa nao wanyongwe to
@saadiaali5609
@saadiaali5609 4 жыл бұрын
Wanastahili muuwaji sio wakuwekwa ndani ama kusamehewa ni kuuliwa tuu
@hamisshabani3126
@hamisshabani3126 4 жыл бұрын
Daa uruma sana😢
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 Ай бұрын
Pole ni san
@paschallaffa2809
@paschallaffa2809 4 жыл бұрын
😢
@jnyarubamba88
@jnyarubamba88 4 жыл бұрын
Pole sana baba
@ramadhanmtetu1947
@ramadhanmtetu1947 4 жыл бұрын
Pole sana baba wa familiy mung akupe imani
@praisesteven7774
@praisesteven7774 3 жыл бұрын
Sema wananchi wamefanya vema saaaan kuua uyo mtuu wangemtengnisha kichwaa tukioneeeee
@husnatylyale2649
@husnatylyale2649 3 жыл бұрын
Poleni San inaumaa mnoo
@upendonzovu608
@upendonzovu608 3 жыл бұрын
Jamani! Dar Mama kauawa na mfanyakazi pamoja na wanawe.
@mamachris6811
@mamachris6811 3 жыл бұрын
Tena umri ni huo huo
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
Jamani jamani nini kinachoendelea mbona tumekua wakatili kiasi hiki why
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Nimelia Sana jamani watoto wamekosa Nini
@aminajuma2981
@aminajuma2981 4 жыл бұрын
Poleni sana mungu awape subili family yote
@muzdatsuleiman3186
@muzdatsuleiman3186 Жыл бұрын
Me hii serikl naichikia manke Hawaii adhab daw ya m2 alkuw nay anyongwe hadhran
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Ай бұрын
​@@muzdatsuleiman3186kauawa na yy n wananchi wenye hasira kali
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 Ай бұрын
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t Ай бұрын
inalilahi wainalilah rajiuni 😭
@manenoramadhan9587
@manenoramadhan9587 3 жыл бұрын
hii jmn polen wazazi wao maskin watto wasiona hatia
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 Ай бұрын
Mnakaaje wanaume wawili nyumba moja.Ikiwa wewe una familia.Mimi biashara hiyo siitaki.
@Mohaa4309
@Mohaa4309 Ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@azmedmtwana8135
@azmedmtwana8135 3 жыл бұрын
Tunaenda wapi?
@leilabuisha9976
@leilabuisha9976 Ай бұрын
Inakuaje mnajenga choo nje ya nyumba jamani, wakati nafasi iko ya kutosha humour ndani ya nyumba.......
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Salamghaikum huyo yasin siyo mtu anaroho gani ya kuuwa watu na kupinga mapanga hee mtihan
@janetmichael5611
@janetmichael5611 3 жыл бұрын
huo ni upuuzi hospital inashndwa kumtibu mtanzania najeraha ya panga, mhh
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 27 күн бұрын
ASANTE WANANCHI KWA KUUA MUUAJI
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Ivi nijuzi tu jamani
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 5 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢🙆🙆🙆🙆😭😭😭😭
@TheBg09
@TheBg09 4 жыл бұрын
So sad,
@esnathmwangupili6796
@esnathmwangupili6796 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@khadjamhozya
@khadjamhozya Ай бұрын
Waisilam uaga mnajitakasa kumbe wauwaji
@user-ji6cp1ng8g
@user-ji6cp1ng8g Ай бұрын
Ovyoooh nyie makafiri mumerusiwa kuuwa unaleta udini pumbavuuuh
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 жыл бұрын
Dunia haina huruma
@mrfix6596
@mrfix6596 4 жыл бұрын
Dunia bado INA huruma na sisi, ila sisi wanaadamu hatuna huruma.
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 жыл бұрын
@@mrfix6596 kwakweli,,, tumekuwa wanyama sana
@munamuna7488
@munamuna7488 3 жыл бұрын
Mtihani mkubwa
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Afadhali walivyomuwa na yeye anaroho ya ukatili
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 3 жыл бұрын
Baba mzazi unaongea Kama akuna kitu kikubwa
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 жыл бұрын
YANI NACC TUJITAMBUE IVI MTU MWENYE UMRI WA MIAKA 30 NK WAKUISHI NAE NYUMBA MOJA PAMOJA NA MKEO AU FAMILIA YAKO KUNA LIKA LA KUISHI NA MTU NDANI YA NYUMBA YAKO TUJITAMBUENI JAMANI NDG ZANGU
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
Kwakweli ingekuw 17 au 18 ndio Umri sahihi wa kuishi na .kijana wa kazi limtu lina miaka 30 la Nini Sasa? Limeshasota huko na Maisha stress tupu
@praisesteven7774
@praisesteven7774 3 жыл бұрын
Kwl uyo alikua tayar mzeeeee mbaba mtu mzima unakaa nae vp
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 3 жыл бұрын
Cyo 30 bali ni 35
@awadhkarama8137
@awadhkarama8137 3 жыл бұрын
....
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Alipatwa na Nini huyu yasini ivi nimtu kweli huyu yasini. Nibola alivyouwawa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Km kauliw huyo Yasin 👍🙏🙏🙏
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 Ай бұрын
bora wamemuua na yeye mshenzi mkubwa hao watoto wamemkosea nini
@bibiemohd3847
@bibiemohd3847 3 жыл бұрын
Jamani mbona wenzetu huko hamna Imani .
@aminielmbise2013
@aminielmbise2013 3 жыл бұрын
Mm nawaambiaga Masai sio watu mnabisa umesikia mwenyekt kasema walikuwa na kundi la watu pamoja na wamasai
@pendooscar9322
@pendooscar9322 3 жыл бұрын
Wamasai wamekosa nin bola alivyo uwawa shetani mkubwa huyo yaan huyo mama maumivu ya mapanga hayasikii Ila napata mauvu kupoteza watoto wawili unaishije kwenye hii dunia kama unalijua nibola ufe mama watoto waishi masikin hawana kosa malaika wa watu
@samweliraphaely1068
@samweliraphaely1068 3 жыл бұрын
Uyo cyo Masai hatunaga wamasai waislam
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Ni watu km watu wengn achen hizo Mungu hapend
@Mohaa4309
@Mohaa4309 Ай бұрын
Ujinga ndo huo kwa mara ya kwanza alipotaka kubaka mbona hakushikwa na police,
@annapeter4994
@annapeter4994 3 жыл бұрын
😭😭
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 14 МЛН
HOUSE GIRL EP 60 || SEASON FINALE
22:53
BUSATI TV
Рет қаралды 13 М.
Maternity
1:03:11
Archer Review NCLEX, USMLE, TEAS7, and FNP
Рет қаралды 2,3 М.
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН