MAMA ZAWADI ALIA JUU YA NYUMBA YAKE |UPEPO UTAONDOKA NA SISI

  Рет қаралды 2,186

DTV

DTV

20 күн бұрын

Пікірлер: 28
@chikujuma18
@chikujuma18 15 күн бұрын
Pole sana fabi maneno ya mkosaji hayo wewe mwachie mwenyezi mungu Kama hajakwambia ya mtu fulali wewe ufanyeje achana nahao wanafiki wanaoongea hivi ndo hata mia hawatoi
@firdaus7428
@firdaus7428 18 күн бұрын
Maskini Fabi wema unakuponza usijali kuambiwa maneno makali, nguvu zako Allah atakulipa ,subra muhimu.
@zuwwnaramadhan6941
@zuwwnaramadhan6941 17 күн бұрын
kaka fabi pole sana brother piga kazi bro achana na hao wavimba macho
@hyy4114
@hyy4114 18 күн бұрын
Ndg yng fabi usisikie maneno ya binadamu siku zote hatuna kheri Kikubwa ww angalia usivuke Amri za Allah Kwan yy Allah ndo anaekuona
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 15 күн бұрын
Binadamu tunapenda sana kutuhumu wenzetu ubaya nawanapenda wenzao kuwaponda hembu tuacheni kulaumu wenzetu
@asiasalim9323
@asiasalim9323 16 күн бұрын
Daaaah ni mtihan wallah pole Sana Fabby ndo changamoto
@user-yd2dw5nt7r
@user-yd2dw5nt7r 17 күн бұрын
Wewe simaskin Allah atakubariki
@HalimaOmary-fq5so
@HalimaOmary-fq5so 18 күн бұрын
Sawa,kaka kila kazi inachangamoto,ila,usikate,tamaa
@AminaLibisa
@AminaLibisa 18 күн бұрын
Fabi achana nao hawajui chochote wanacho kijua wewe fanya unavyo ambiwa na watoaji wanafiki tu ao wanao sema Wala hawajawahi kutoa chochote zaidi ya kukomenti tu
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 18 күн бұрын
@@AminaLibisa Kama ninavokuona kwa comment kila kona umo hujambo lakini
@AminaLibisa
@AminaLibisa 18 күн бұрын
@@FatimaAli-of4gh sijambo alhamdulilah labda wewe mpendwa uko poa!
@naimatanzania
@naimatanzania 18 күн бұрын
Faby piga kazi achananae hyo anae comet na kumtukana yule bibi wa watu bibi yule anabahat ya kusaidiwa
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k 17 күн бұрын
Pole kaka angu aliyeongea vile achana nane ajui aliongearo mana ww unawatamgaza walengwa wenye kuhitaji kusaidiwa na unachopewa iki kiasi flan peleka sehem fln inatakiwa kweli ufate yale maagizo baibi Fahadi Ana bahati yake tu ameshushiwa na Allah wengi sana tim yk inamp3nda sana ht mm tu ipo siku nitafika kwa bibi Fahad inshaallah tuombe uzima Allah atakulipa Fabi
@user-vs7vv7xd2f
@user-vs7vv7xd2f 18 күн бұрын
Pole sana Fabian nimeumia sana lakini achana nao hao wenye wivu na soho mbaya sie wengine tunakuelewa
@omanmct135
@omanmct135 18 күн бұрын
Binadamu wana maneno sana wache kaka
@cecyngitu4752
@cecyngitu4752 14 күн бұрын
Nimeumia jamani
@cecyngitu4752
@cecyngitu4752 14 күн бұрын
Tumsaidieni mama zawadi jamani nawaomba
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 17 күн бұрын
Kila mtu na riziki yake kwahyo watu wasimlaum fsbi kikubwa tujitahidi kumchangia huyu mama jamani
@omanmct135
@omanmct135 18 күн бұрын
Maskin fabi kilamwenyekufanya yakheri anapata mitihani
@MasouHusein
@MasouHusein 18 күн бұрын
Amaliziwe hata chumba 1 Tu kwanza
@user-mz6lq3gr9l
@user-mz6lq3gr9l 18 күн бұрын
Shida hajui kujieleza jamn na hajui kuomba
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 18 күн бұрын
nikweli were unaendajimsiulivo agizwa
@omanoman2044
@omanoman2044 18 күн бұрын
Mie sijui ni coment nin hiv unaona maisha magum bado unabeba mimba jaman ifike mda tujielew japo din imetuamrisha duu sh8da kajitakia mwenyeq ban mie mwenyeq maisha kam haya niliwah pitia lak8n sikuendelea kuzaa ten nilitulia nikajipambania sai maisha siyo ma baya lakin ningeendelea kuzaa sasa nyumba ya chumba kim9ja na seble ndo unasem milion nne kweli duu chumba kimoja bat 10 bat 10 shingap duuh mtihan napita tuy sipo hata kidogo
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 18 күн бұрын
@@omanoman2044 Mimi niseme tu hao wanaotaka michango tatizo hakuna anaejiendeleza unapewa unatumia una maliza shida ipo pale pale ifike pahali tutambue ya kwamba abebwae hujikaza lakini tokea day one mtu kila siku anaombewa misaada inakuwa ndo maisha yake yote sio mzuri at list iwe kama wale wengine akipewa atafute japo andazi apike sio wanakaa tu na hawana ulemavu jamani jamani watu huku nchi za nje tunafanya kazi ngumu kazi za kushenzi tungekuwa bongo tunabandika kucha ,kope na tunabafilisha mawigi huku wenzenu tunaumia kazi
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 18 күн бұрын
Nimeiona ile comment uliyoambiwa wewe ni mnafiki ulivoenda kwa bibi fahadi
@hyy4114
@hyy4114 18 күн бұрын
Na alikoment mpk maneno machafu tu Yule dada mpk anamwambia Kazi yako kwenda kwa Yule bibi ana mdomo sijui kama chiriku kama sijakosea alisema hv sisi wanawake tuna maneno ya karaha sana kama mtu unajiweza ni kujitolea tu na kumsaidia mtu lkn so maneno ya kashifa
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 17 күн бұрын
​@@hyy4114 ile komment hata mimi niliona nikabaki mdomo wazi
@omanmct135
@omanmct135 18 күн бұрын
Pole kaka yangu kama mimi siwagi nabahati Pole san😢
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 4,7 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
UTACHEKA BIBI AKIHESABU PESA|OMARY KUPEWA MAFUTA
15:09
DTV
Рет қаралды 2,7 М.
Mume wangu alinipiga na kuniacha uchi mbele za watu huku mama yangu akiona,
1:32:14
PEPO YA MWANAMKE NO: 01 ( RADHI ZA ALLAH ZIPO KATIKA RADHI ZA MUME )
5:14
UTAPENDA MAISHA YA HII FAMILIA|BIASHARA INAENDA VIZURI
9:28
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 4,7 МЛН