MAMBO MATANO (5) USIYOYAFAHAMU KUHUSIANA NA KELVIN KAPUMBU/KIUNGO MPYA WA MNYAMA SIMBA

  Рет қаралды 17,494

SIMBA PRO

SIMBA PRO

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@IbrahimThomas-h3r
@IbrahimThomas-h3r 7 ай бұрын
Simba sc nguvu Moja wanasiiiiimbaaaaaaaaaaaa♥️♥️♥️♥️♥️♥️ naipenda sana simba
@KambiMnyama-my7sk
@KambiMnyama-my7sk 7 ай бұрын
Naomba kujiunga katika gulupu la simba
@gatsonmatiko8000
@gatsonmatiko8000 7 ай бұрын
Naomba kujiunga katika gurpu la simba pro
@SaidAli-cf2sm
@SaidAli-cf2sm 7 ай бұрын
Dulla Hasan nakukubali Sana mwamba Yani una drible vizur sana hungera
@ShukuTete-wb1fp
@ShukuTete-wb1fp 7 ай бұрын
Sisi lini tutaacha kusajili mizee viongozi wa simba bwana
@abilahimkata3123
@abilahimkata3123 6 ай бұрын
Naomba kujiunga katika kwenye group hili
@andrewkivuyo5454
@andrewkivuyo5454 7 ай бұрын
Kongole sana mchambuzi uko vizuri
@SimbaProSupporters
@SimbaProSupporters 7 ай бұрын
🙏🙏🙏
@abilahimkata3123
@abilahimkata3123 6 ай бұрын
Huyu mchezaji atafaa kwenye klabu ya simba maana ni moto sana
@joshuamtagwa347
@joshuamtagwa347 7 ай бұрын
Mchezaji wa miaka 28 sio mzee ndugu yangu!
@deusmanyenye5190
@deusmanyenye5190 7 ай бұрын
Mimi sina mashaka hata kidogo na huyu Mwamba! Naomba Magori awe serious na huyu jamaa
@SaidAli-cf2sm
@SaidAli-cf2sm 7 ай бұрын
Mm naomba kuuliza nje y nada hiyo flana uliyo vaa naweza kuipata na mm dizain hiyo
@SimbaProSupporters
@SimbaProSupporters 7 ай бұрын
Ndio 0626629644
@imanmasawe749
@imanmasawe749 7 ай бұрын
jamaa anafaa ajee mwamba kwelikweli
@charleslinhege690
@charleslinhege690 7 ай бұрын
Mimi nadhani mzungumzie kapumbu na siyo timu na hao wengine
@SimbaProSupporters
@SimbaProSupporters 7 ай бұрын
Hii Comment inatoka kwa mtu asiejua chochote kuhusu mpira 😂
@kassidpandu866
@kassidpandu866 7 ай бұрын
utoporo wanaumia sana kwa kweli na hizi sajili
@kamuogo
@kamuogo 7 ай бұрын
Oyooo
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 7 ай бұрын
MAGOLI NI MWAMBA WA USAJILI HUWA HASHINDWI NAJUA NA MAYELE ATAMLETA
@charleslinhege690
@charleslinhege690 7 ай бұрын
Aidha ni vizuri pia uwe unaeleza mapungufu yake Ili watu wampime sawa
@saidmfaume1282
@saidmfaume1282 7 ай бұрын
Kuna aina ya sajili za Simba huwa zina maswali mengi. Huu usajili siyo sahihi kabisa, wakati wa kumsajili ulishapita.
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 7 ай бұрын
Unamjua kapumbu kweli?
@shukraninsikini112
@shukraninsikini112 7 ай бұрын
Good player
@SimbaProSupporters
@SimbaProSupporters 7 ай бұрын
Penda kuskiliza kwanza kabla ya kutoa maoni
@amourjuma1807
@amourjuma1807 7 ай бұрын
Au akasajili yeye sasa
@kamuogo
@kamuogo 7 ай бұрын
Kama ulisha pita alichezea Simba?
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
JEAN CHARLES AHOUA (JINI) ANAYAWATESA WENZAKE.
4:00
kefa sika
Рет қаралды 24 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН