Рет қаралды 27
Yusufu Macho Muso, Bakari Malima Jembe ulaya, Idd Moshi Mnyamwezi na Bita John Musiba ,walikutana katika mjadala wa kumbukizi maalumu siku moja kabla ya pambano lao la Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa ligi ya Maveterani iliyochezwa January 12 katika dimba la KMC