MAMBO MOTO! WOLPER ATEMA SHOMBO KWA AUNTY EZEKIEL -"AMCHANA Kuhusu VIGODORO"

  Рет қаралды 43,171

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 27
@tahiyasaeed
@tahiyasaeed Жыл бұрын
Watu wanazaa ovyo bila kiolewa na wala hawaoni haya, subhanallah!!! Zinaa imekithiri duniani.
@millycentgati2541
@millycentgati2541 Жыл бұрын
Hujakamilika ndugu usiwaseme hivyo wenzio dhambi ni nyingi Sana tunazofanya hata kuwahukumu wengine ni dhambi kwani hiyo ni kazi ya Allah Kwa hiyo tuwaombee
@laymashabani832
@laymashabani832 Жыл бұрын
ILOVE ANTIE❤️
@rizoibrahimovich605
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Ila aunt Ezekiel Wala hatumiag nguvu katika kumchamba mtu
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 Жыл бұрын
Mwizi
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Жыл бұрын
Umeona eeh😂
@elizabethmwafongo7829
@elizabethmwafongo7829 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 aunt wangu Mimi nakupenda buleee
@shhwhw7763
@shhwhw7763 Жыл бұрын
Juma anakuwa mpole iwapo umbea n wasiwasi ngoja apate full data mate amezi
@uwimana6533
@uwimana6533 Жыл бұрын
Kweli we kiboko 🤣🤣🤣🤣
@saidahj2543
@saidahj2543 Жыл бұрын
Ni marafiki zake wote sasa kachanganyikiwa asapoti nani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shhwhw7763
@shhwhw7763 Жыл бұрын
@@saidahj2543 alaa sikujua kumbe ndo mana kapooza atari
@yumnaothman3082
@yumnaothman3082 Жыл бұрын
Ni shiddah
@naplousemukunzi10
@naplousemukunzi10 Жыл бұрын
Hawo wanatafuta kuzungumuziwa tu .hawana ishu yoyote
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Auntie anawaburuza badala ya hasira zao kupungua ndio kwanza zinawazidi na solution hawapati tokea lini Tanga na Moshi wakafanya kolabo ni kama billnas aimbe na Bi chau😂😂😂
@codenamerobiner3816
@codenamerobiner3816 Жыл бұрын
aunt ezekiel mwivu
@jan6703
@jan6703 Жыл бұрын
Kweli waTz tuna kazi. Mtu unapomwambia mwenzio yuko kwenye "LONG SITE " ndio unasema nini haswa. Hizi L na R zimewashindia wapi?
@asnatqareem4792
@asnatqareem4792 Жыл бұрын
Juma hahaha
@abubakarkhamis1554
@abubakarkhamis1554 Жыл бұрын
Hao mademu nileteeeni Mimi huku nyumbn Pemba
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 Жыл бұрын
Hahahahahaaaa
@salimhassan3369
@salimhassan3369 Жыл бұрын
Labda niulize katka Media mambo Aya Yana elimisha nn na kufunza nn kwa jamii.... .
@mwanjinzara8009
@mwanjinzara8009 Жыл бұрын
Hivi kumbe wolper mi mdogo wa ruby
@djtiffa9664
@djtiffa9664 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qqOqg4KCp9tph9U DAWA ZA KUPANDISHA NYOTA YAKO kzbin.info/www/bejne/qqOqg4KCp9tph9U
@hassanbahati1319
@hassanbahati1319 Жыл бұрын
Wolper na hicho kinyau ruby wakae kwa kutulia
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
🙄😃
@mwanjumajongette8187
@mwanjumajongette8187 Жыл бұрын
Umbeya mtam
@bbss8623
@bbss8623 Жыл бұрын
Achen umbeya hao wanajuana
@hhmmmm6523
@hhmmmm6523 Жыл бұрын
😁😂😂
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
AUNT EZEKIEL KATIKA DENI ZITO NA DADA WA KAZI
27:16
Soudy Brown
Рет қаралды 41 М.
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 63 М.