No video

Aliyedaiwa KUCHEPUKA na NABII GEORDAVIE Afunguka/Nampenda sana/SITOMUACHA/Alinipa HELA"

  Рет қаралды 145,343

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Mwanamke ambaye amedaiwa kuvunja ndoa yake kisa Penzi la Nabii Mkuu Geordavie afunguka ukweli wote juu ya mahusiano yake na Nabii huyo. Mwanamama huyo alichora tattoo ya Geordavie mgongoni amesema kuwa hajawahi kuolewa na hana mahusiano ya kimapenzi na Nabii huyo ila ni Njama za watu za kutaka kumchafua Nabii Geordavie
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#GeorDavie #NabiiMkuu

Пікірлер: 429
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 Жыл бұрын
Mwandishi uko vizuri, umembana mpaka kaingia kingi akawa anashimdwa hata kuongea, huyu mama mcharuko, wee angalia kwanza alikuwa anachepuka na mme wa mtu, yaani anawatia watoto wake aibu sana, just imagine lamda watoto wake wako vyuoni au shule watajisikiaje wakiwa na wenzao wanaposhuhudia uchafu huu ? mama anaonekana beautifully kumbe chenga tupu kichwani.
@ruciasimeo4431
@ruciasimeo4431 Жыл бұрын
Tubu mama mapepo yameisha kuvaa
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Hawa ni waovu kikundi cha makafiri
@francislmugami3222
@francislmugami3222 Жыл бұрын
Amini MUNGU MWENYEZI pekee ,usiweke imani Kwa binadam, binadam nimipita tuu, GOD is forever
@geofreypangani428
@geofreypangani428 Жыл бұрын
Pole Sana dada yangu Mungu akusaidie,usimwabudu mwanadamu Bali Mungu pekee kitendo hicho ni sawa na Ibada ya sanamu,
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Nabii ukimsifia tu anakupa pesa, naona mama kaangalia fursa
@geofreyndambo8635
@geofreyndambo8635 Жыл бұрын
Mgodi unatema
@angelfrancis929
@angelfrancis929 Жыл бұрын
Ulinzi wako ni mungu sio nabii utakuja kufa vibaya wewe unamuacha mungu unafuata nabii amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na moyoni make amemuacha mungu
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Nyakati za mwisho . Maajent wa kuzim wako kazini.
@Boaz22
@Boaz22 Жыл бұрын
Walawi 19: 28 “Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala MSIANDIKE ALAMA MIILINI MWENU; mimi ndimi Bwana”.
@pastor_mashimo
@pastor_mashimo Жыл бұрын
Kwani huyo ni mlawi? Hilo andiko lina wahusu Walawi makuhani
@khadijajacobo4660
@khadijajacobo4660 Жыл бұрын
@@pastor_mashimo kwa hiyo kumbe hata "waraka wa mtume Paulo wa warumi nk" Haziwahusu ??
@yustomlay
@yustomlay Жыл бұрын
Bibli yote itakuwa hatuhusu kama ni ivyo kama maandiko ni ya walawi,wayunani,warumi waefeso etc
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu Жыл бұрын
Utajua mwenyewe.
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Жыл бұрын
@@pastor_mashimo Kwaiyo Yesu ni wa waisrael pekee?!
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
innalilah wainna ilayh rajuuni.pesa hizi tusipo kuwa makini nazo.zinaweza kukuzalilisha na zikakutengenisha na mungu.
@aamaasm2141
@aamaasm2141 Жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Makafiri
@schosay_
@schosay_ Жыл бұрын
Unapataje ulinzi kwa jina la mchungaji wako?? Jina linalotupa ulinzi ni jina kuu lipitalo majina yote nalo ni jina la Yesu Kristo! Ni jina pekee lipitalo majina yote
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Жыл бұрын
Yaani kwakweli tunahitaji neema ya Mungu,baada ya kumsikiliza huyu Mama sijui nisemeje,maana kumbe na aliye naye si Mme wake amasema ni rafiki,hajazaa naye, watoto wana Baba mwingine, Mungu tuponye hata huyu Yesu ulikufa kwaajili yake mponye na roho hizo zinazo muandam🙏
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Жыл бұрын
Huyo ni Malaya wa zamani hamna kitu!!!
@marryfelician1426
@marryfelician1426 Жыл бұрын
Mimi naona huu ni umaskini unamsumbua iili apewe hela na Joe davi
@abdulhalimumlai3056
@abdulhalimumlai3056 Жыл бұрын
Ni kweli uyasemayo isipokuwa kuhusu kuwa eti Yeso kajifiya Kwa ajili yetu? Yesu hajamfiya mtu. Kila mmoja atabeba mzigo wake mwenyewe. Vipi ukimwi apate mtu mwengine Kisha Yesu ndio apigwe shindano?
@jacksaidi6704
@jacksaidi6704 Жыл бұрын
Amesha miminiwa sumu na nabii wake, huyu bimkubwa yuko mapenzini na nabii wake...hizi zama za manabii wa uongo zilitabiriwa.
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Жыл бұрын
Mathayo 7:15
@odamssanga9025
@odamssanga9025 Жыл бұрын
Mungu hakutaka tufanye Mapenzi yetu Bali katika Sala alisema tufanye Mapenzi ya Mungu sio ya nafsi zetu, hapo hapana.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Kiatu cha mke wa nabii siwezi kukivaa hata kwa mangumi siwezi ona huu ujingq ninyqmaze ningeamkia magereza🙋‍♂️😫
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 Жыл бұрын
Huyu mama hajielewi
@silasjonathan1952
@silasjonathan1952 Жыл бұрын
Mama kwakweli Mungu akusaidie akupe kuijua kweli kifupi tu. nikiongea sana ntakufuru Mungu.
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 Жыл бұрын
Nyumba yako inalindwa na jodeli au yesu au mungu mkuu.kweli utoto huu
@ellymartin9343
@ellymartin9343 Жыл бұрын
Kwa kweli kwa umri wako kifupi tunasema umeharibika tabia, kwanza umekuwa ukizini na mme wa mtu kwa miaka mingi, na sasa umeamua kumpenda Geodevi ilihali na yeye ni Mme wa mtu, umeweka Tatuu kinyume na maandiko ili kumfurahisha, Wewe ni mtu wa ajabu sana wala hujitambui. Geordev ni mwanadam kama Wewe tu hana chochote isipokuwa ujanja wa kujitafutia maisha kwa njia za Jongo na kuhalifu Neno la Mungu. Pole sana.
@rukhsanashamshu1727
@rukhsanashamshu1727 Жыл бұрын
Kwakweli hawa watu wako wengi waki hamua kuji tokeza kama huyo uta choka neno lina sema ishini nao kwa akili 😅😢
@vedastofransisfransinci5667
@vedastofransisfransinci5667 Жыл бұрын
Biblia imeandikwa, amelaniwa yeye awekae Imani kwa mwanadam
@mwatumumsofe2415
@mwatumumsofe2415 Жыл бұрын
Huna haya wewe mtu mzima ovyo
@injili90
@injili90 Жыл бұрын
Mungu atusaidie afumbue macho ya watu Kama Hawa wanawatukuza watu wanamuacha aliyewaumba watu hawa
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
1. Tutakuaminije km hujawahi toka na Mchungaji huku umekiri aliyekuacha ni mume wa mtu yaani ulikuwa nyumba ndogo 2. Mama hata km watoto umewazaa wewe siyo sawa unawatia aibu especially wamesha vuka 18,20🤔huoni utafanya watoto iwaathiri psychology ktk maisha yao? Stop being selfish kwakuwa umewazaa. 3. Mama umri huo ujui taoo ni dhambi dini zotee sorry mama umechachukaa saana nawaonea huruma wanao🤔
@jacquelineadrian6436
@jacquelineadrian6436 Жыл бұрын
Wamama weng tu ni selfish 😭😭😭😭sijui kwann yan
@edigarsanga5549
@edigarsanga5549 14 күн бұрын
Good journalist!!!
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
We dada tatuu Mungu amekataza.kabisa.tubutubu.kwa kuwa hukujua
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Ati nabii, ati kuokoka ! Siku ikifika mkijua hampo kwenye njia sahihi, lazima mlie na kusaga meno, Pale Yesu awaambie sijui mtokako.
@yustomlay
@yustomlay Жыл бұрын
Kweli mkuu
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Waovu hawa
@AmosSniper
@AmosSniper Жыл бұрын
Huyu mama anachokisema nikweli tupu, Kwa Imani yangu mamangu siku ukifatilia comment hizi elewa kijana wako' mie katka nafsi yangu nauwelewa wangu naimani yangu' nimeelewa huyu mama hamung'unyi maneno yupo sahihi mama nipekupenda Bure unajisimamia na unaeleza kweli kweli tupu, ubarkiwe mama na Imani yangu ukimpokea yesu kama unavyosema, utakuja kuwa bonge la Meinjilisti
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 Жыл бұрын
Kuna unri ukifika umalaya lazima uache, huyu mama ni Malaya mzee, yeye na huyo shetani mwenzie wanajuana vizuri sana...
@evalinalaurent3518
@evalinalaurent3518 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 malay mzee
@scolasticastephano4366
@scolasticastephano4366 Жыл бұрын
Huwezi kuokoka alafu uchore madudu kwenye mwili wako Yesu anasema jikane jitwishe msalaba umufwate
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
Huyu mwandishi ni kichwa sana anajua taaluma ya utangazaji na anajua kipi haulize swali
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 Жыл бұрын
Ujatulia wewe mama ni shida
@swahibually8349
@swahibually8349 Жыл бұрын
Makafiri mnapata taabu saana kumtafuta nani Mungu wa kweli,wengine mnasema Mungu ni Yesu,wengine mnasema Mungu ni watatu,wengine wanasema Mungu ni Bikira maria na vijisanamu na wengine mmetengeneza ng'ombe ndio mungu wenu,Lakini nawahakikishia mtakuja kujua ukweli juu huu Uhuni wenu wa kutomtambua Mungu aliewaumba na kuwapa kila mnachokitumia,Wachungaji wanawapoteza kondoo wao.
@salvingothalum5160
@salvingothalum5160 Жыл бұрын
Kila siku nasema mungu nisaidie mm ad siku utakayopenda kunichukua kumuabud bnadamu mwezamu cwez mungu endelea kuishika imani yangu kwako siku ukinipenda zaidi, katika hukumu yangu uniukumu kwa madhambi yangu mm mwenyewe lkn sio ya bnadamu mwenzangu hakika nakupenda mungu wngu wew ndio wakuabudiwa kurko mtu yoyte naomba niendelee kuishi ikupendezavyo wewe.
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 Жыл бұрын
Siku za mwisho tutasikia maajabu hili ni dogo sana makubwa yanakuja.huyu mama ni pepo kamili mtu yoyote mwenye hofu ya mungu hawezi kuchora tatoo kingine hana busara ni mama wa mjini anatafuta kiki kpengine ana biashara fulani anataka ajulikane.
@GMD820
@GMD820 Жыл бұрын
Mama Kwa yesu mpaka mapepo ya uzinzi yanasalimu amri mkimbilie yesu upone
@Veni584
@Veni584 Жыл бұрын
Soma ufunuo wa Yohana 19:16
@constanciashangali7523
@constanciashangali7523 Жыл бұрын
Ha
@sharmilaoman6389
@sharmilaoman6389 Жыл бұрын
Oky mama anatafuta Kiki kwann huyo nabii aside na msimamo maana yy twaweza sema Ana imani kushinda huyu mama yaan nabii anaruka kwa furaha kisa kuchorwa tatuu
@constanciashangali7523
@constanciashangali7523 Жыл бұрын
@@sharmilaoman6389 Kwenye Iman mtu anaweza kufanya chochote.., Mimi simshangai kabisa huyo mama, kiki anatafutiwa na WATU wanaompost na kumdhihaki.. Wakristu tunaamini Yesu (Mungu mwana) hakuja duniani kukutana na Wakamilifu.. huyu mama kimasihara tuu keshafunguliwa mlango wa mbingu.. Ila binadam watakuwa wanapoteza mda wao kumdhihaki.
@mesiamatheo2230
@mesiamatheo2230 Жыл бұрын
Pole mama..maongezi na umri wako na vitendo haviendani...duu makanisa haya yanatupeleka Kasi...
@TonnyCaesar
@TonnyCaesar Жыл бұрын
Mwandishi safi Sana unaijua kazi, umembana Hadi tumelijua dili 🤣
@charlessmndeme4349
@charlessmndeme4349 Жыл бұрын
Wewe unayejielewa umefanya nini, acha watu waonyeshe mapenzi yao kwa watu wanaowapenda
@murugamba5719
@murugamba5719 Жыл бұрын
Mama umepotea njia,unaacha mume wako kwa ajili ya mambo yasiyo ya msingi?pole sana mama
@rogerioathumani9084
@rogerioathumani9084 Жыл бұрын
Kweri kazi yani leo kiongozi wa dini anafulahia mke wamtu kuchora tatoo ya jina lake halafu anampa na hera juu
@japhetmichael2797
@japhetmichael2797 Жыл бұрын
Kiukweli huyu mama analake jambo moyoni mwake juu ya nabii. Anajipendekeza sana
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Wanamsngizia yesu kwa mambo ya ajabu hata yesu atashaangaaaa
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 Жыл бұрын
Huyu mama ni maisha tu ingekua sio njaa angeandika Yesu au Mungu. Huyu ni lafiki wa wafanyakazi wa joodev wamegawana zile million tano pole zake huyo mama
@prophetjoelymairaministrie1778
@prophetjoelymairaministrie1778 Жыл бұрын
Mama Hongera! Nabii Joe Davie Hongera
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Yaani Binaadam mwenzko amekuw nd mlinzi kwako kuliko Mungu aliekuumba dah!! Mtihani kw kweli
@lucasmfaume6673
@lucasmfaume6673 Жыл бұрын
Sasa kama unamwamini huyo mungu wako Geordavie yanini kujisumbua geuka mama umepotea sana wewe
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 Жыл бұрын
Kuchorana Tena alafu anashangilia wanajuana hao siku za mwisho
@charlessmndeme4349
@charlessmndeme4349 Жыл бұрын
Kuchora, kuchora kitu gani, unaweza kuchora lakini usione ndani.. way back mchizi mox
@sufianeassumane1313
@sufianeassumane1313 Жыл бұрын
Mimi ni mtu nawaishemu manawake, Nawe pia. Kama una itaji mumu atakae kukuheshimu, niko apa. Im come from Mozambique.
@stephanolukama1467
@stephanolukama1467 Жыл бұрын
Nimekupenda Bule naomba niwe rafiki yako 🙏
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Kweli mapenzi kizungumkuti, kawakana watoto, kamkana Mme wake, kanikana Kanisa lake, kanikana Imani yake. Hamwamini tena Yesu Kristu bali Imani yake ni kwa Nabii Mkuu, penzi limekolea anajiapisha kutomwacha nabii Mkuu Pepo la ngono likimwingia mtu hakuna wa kulipunga.
@AMINIELIHAALI-xv1rd
@AMINIELIHAALI-xv1rd Ай бұрын
Mama MUNGU akufungue AKILI YAKO UPATE kuelewa UCHAWI WA GEOR DAVY , ,HUO NI FRIMASON LIVE KABISAA, , , MUNGU WASAMEHE WATUMISHI WAKO HAWA
@aishaidrissa6133
@aishaidrissa6133 Жыл бұрын
Haya Sasa manabii wa uongo waanza kudhihirika waziwazi,anampogeza mama kujichoramwili wakati ni dhambi,lkn hata yeye mwenyewe geordavie kajichubua alikuwa mweusi,dhambi hizo
@user-os9xl4hu6s
@user-os9xl4hu6s 11 ай бұрын
nyinyinimashetani munguawashulikiye
@florajacobkiduma6495
@florajacobkiduma6495 Жыл бұрын
Mungu nifundishe kunyamaza
@stanslausbereghe3819
@stanslausbereghe3819 Жыл бұрын
Nabii naye mkamhoji ili tumsikie kwa mdomo wake. Utukufu wa Mungu upo karibu kuja....
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Huyu hana haja na neno la mungu Bali ana haja na huyo nabii tu anampenda nabii jamani ameamua kuvunja ndoa yake ili aishi na nabii Huyo mvunja ndoa za watu ni hatali sana Huyo mwanamke umejichafua mwemn
@edyi9187
@edyi9187 Жыл бұрын
😆😆huyu mama anahitaji maombi na ni mzinifu anakaa na mme wa mtu miaka minne alafu amwita rafiki yake,tena nyumba moja khee Dunia shuka,niteremke 😆😆
@hosenishani6418
@hosenishani6418 Жыл бұрын
Olopiga hii interview safi kwa sababu umekuja kwa reference ya bibilia mbona Mather anajichanganya mara kkkt mara sijaokoka du
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Ukisikiliza vizuri stori ya mama tu ni mtihani mtupu, anaishi na rafiki tu kwa miaka 4, kuhusu baba watoto ni private mmhh..ila muabudu nabii mkuu na muabudu yesu wote kundi moja.....yesu anasema "Na uzima wa milele ndio huo, wakujuwe wewe Mungu wa KWELI NA PEKEE"..
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Mama muhuni huyu, hata huyo mzee mwenzake kumbe siyo mume wa ndoa, na watoto si wa mwanaume huyo, lakini amekataa kumtaja mwenye watoto inaonekana anazaa na waume za watu.
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
Wewe si unaona kabisa kichwa chake sio kizuri
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
Yaaani haya ni majini kutoka kuzimu Yesu tusaidie
@samludo5435
@samludo5435 Жыл бұрын
Heri wew uliyejua! Wanavaa tu milli ili kuwafanya wanadamu waone dhamb yakawaida na Mungu ni kama anko wao mizaha makanisan ktu cha kawaida.
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
@@samludo5435kabisa
@samludo5435
@samludo5435 Жыл бұрын
@@neemaloy889 malaika ni watakatifu sana lakini kwa Mungu hawana ujasili wanatetemeka wanamuheshm na kumuhofu afu mwanadam kweny nyumba ya Mungu afanye mizaha mala awaite wachekeshaji wafanye mizaha umoumo mala a play mizk ya kidunia kanisan kwke hamna kitu apo ni ubabaishaj tu.
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
@@samludo5435 safari hii shetani amepigwa na kitu kizito @samludo ukweli ni kwamba wanafufuo roho za kuzimu ziwavae watu waone kila dhambi ni kawaida tu, na ukishaona ni kawaida ujue upo mbali na Mungu, ukiwa mbali na Mungu umekwisha, tuwe macho sana
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Жыл бұрын
Malaya na nabii feki mungu atawaabisha mtaona mengi juu yao
@ephremmtuya3094
@ephremmtuya3094 Жыл бұрын
Badala ya kuchora Geodavi ungeandika jina la yesu kristo
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 Жыл бұрын
Wanajuana na nabii
@GMD820
@GMD820 Жыл бұрын
Makahaba yote
@kenedymdemu6943
@kenedymdemu6943 Жыл бұрын
Wewe hujielewi hapo unamwabudu mtu na umemdharirisha sana mumeo ni njaaa zako tu ungetafuta namna nyingine na unampenda kimapenzi wewe irudie ndoa yako
@roselyimo3676
@roselyimo3676 Жыл бұрын
Kiukweli Mungu atufunue ufahamu wetu maana pamoja na Yesu kuwa na nguvu za Mungu Bado alikuwa anamuomba baba yake akiwa sirini. Hapa kwa manabii Hawa sioni maombi ndani yao zaidi ya unabii wa machoni na miujiza isiyokoma. Mungu ni Roho sio mwanadamu tujue hilo na usijifanyie sanamu wakati yeye yupo. Tuombe Toba kwa haya yanayoendelea ili Mungu aturehemu watu wa Mungu.
@deokessy6596
@deokessy6596 Жыл бұрын
ALISEMA BISHOP SUMBE MANABII WA UONGO WATAJULIKANA
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Yn kiongoz wa dini ndo anakulinda badala ya mungu yn wabongo tubadilishwe akiri na hyo mama huenda kapewa pesa nyingi San na hyo nabii wa uwongo
@Qs3557
@Qs3557 Жыл бұрын
Aah we mama mjinga Sana huenda mnapanga folen Kwa huyo mchungaj wenu kuchepuka
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
J,Dav kweli habari hii???? Hana Mke????????????Sii angeoa tuu????????!!!!!!!! Watakuwa chama kimoja.
@paulmakau27
@paulmakau27 Жыл бұрын
Hahahahahaha chuma cha Japan hichoooo😂😂😂. Jua lenda na ukali wake hilooo duuuuh ama kweli kubanana hapahapa kazi ni sasa😂😂😂mama shikamoooo
@pronethpeterurassaurassa1272
@pronethpeterurassaurassa1272 Жыл бұрын
Mwandishi kichwa
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 Жыл бұрын
Mama mwamin mungu acha uhuni unamwamin nabii mpaka una chora yesu analudi
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Жыл бұрын
Geor davie ni shida aache ukikaa vibaya anagonga .
@TumainiNjema
@TumainiNjema 10 ай бұрын
Yaani umesomewa maandiko kuhusu huo mchoro mwilini mwako, Bado unasema ni mapenzi Yako. We una mpenda geor Davie kuliko MUNGU. Umefuata Hela na Wala sio kingine. Hufai wewe umekengeuka.
@saifarafa8728
@saifarafa8728 Жыл бұрын
Mtu mzima ovyo
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 6 ай бұрын
Umemu weka Geordavi kuwa mlinzi wako yeye ni MUNGU?sio kweli wewe mama lpo shida haipo sawa pole yako yesu anarudi Hadi aibu jamaaaaani kweli Dunia imekwisha anatafuta kula
@prophetjoelymairaministrie1778
@prophetjoelymairaministrie1778 Жыл бұрын
Naamini Kama huyo Mama angekuwa amechora picha ya mwanamziki Fulani maarufu au kiongozi mkubwa wa kisiasa msinge sema , Ila kwa Kuwa kamchora mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu Goe Davie basi nongwa. Nasema Tena mwacheni huyo Mama ni mtumishi wa Mungu Nyie Nani kawapa mamlaka ya kumuhukumu!
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 Жыл бұрын
Mama acha hizo mtu mbaya ww unajuaje mtu mbaya ameingia kwako Akiona picha yake hafanyi chochote? Halafu Geodevi ni mwanaume na ww umeolewa unawekaje tattoo ya mwanaume kwenye mwili wako na mumeo alikuelewaje mnamharibia Nabii kazi yake ya Mungu Hao watoto walishakuona ww ni mk..... Urafiki maana yake ni nn umeitesa Familia ya mtu miaka yote daaaah wanawake !!!!!!!!!!
@anethmollel6564
@anethmollel6564 Жыл бұрын
Una mapepo Mamy 😭😰😰
@simonrichardmosha6141
@simonrichardmosha6141 Жыл бұрын
Ulikuwa mpika kiti moto majengo Peters club?
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 Жыл бұрын
Mwamini mungu ww kimama. ww kimalaya tu
@AMINIELIHAALI-xv1rd
@AMINIELIHAALI-xv1rd Ай бұрын
KUMBEE MAMA UNA MAKANDO YAKO MENGI SANAA, , HII DUNIAAA
@benjaminisululu267
@benjaminisululu267 Жыл бұрын
Harafu unakuta watu wamejaa kanisani kwake wakisema bwana asifiwe nakudhangilia huku wakiimba nyimbo za kumtukuza baba MUNGU wa mbinguni hakika hili linauma sana wana wa MUNGU
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Hata mkake wake hatajisikiaje jamani watu Mbona wanamuharibia Nabii
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Kuna nabii hapo 😳 hushangai kwa nini anafurahia kuachana kwa wa wanandoa Nabii analindwa na Mungu sio bodigadi 😏😏😏
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Nabii mwenyewe kafurahia hadi amegawa mamilioni na mjulusi ukasimama ama hujaona video🤸‍♀️
@malulamuhoja1692
@malulamuhoja1692 Жыл бұрын
Huyu ni adui wa Mungu na mwana wa kuzimu, asubiri ijara yake,
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Жыл бұрын
Nabii mpenda totoz dah! Uyo jama anakula waumini wake sana🤣
@GMD820
@GMD820 Жыл бұрын
Kbsa
@adamufundikira7878
@adamufundikira7878 Жыл бұрын
@@GMD820 UWA mnakuwepo chumbani nae
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Жыл бұрын
Mchungaji anakula kondoo wke😂
@jeremiapeter683
@jeremiapeter683 Жыл бұрын
Tatizo ibada nyingi Ni za. kipepo wengi Hawa Oni..hyo KWA jinA la yethu Ina wadanganya Maaana huyu YESU KRISTO WA NAZARETI ALIYE HAI. Hatumiki..Bali Ni Wana KEMEA kwa jinA la huyo yethu. Wao mkuu wa Giza. 😭😭
@happinessmisanga4944
@happinessmisanga4944 Жыл бұрын
Kwa ufupi hujielewi wewe naachilia damu ya Yesu kichwani kwako pepo liko limekujaa kichwani litoke kwa jina la Yesu umekosa mume watoto hawatakupenda tena sahau
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Kavutiwa na pesa zake. Wanawake upenda wanaume wenye pesa na wanaojua kuvaa
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Badala ya kumpenda Yesu unampenda mwanadamu. Baadhi ya watu wa Kaskazini,inapofika issue ya pasa,huwa wana muweka Mungu pembeni Huyo 100% kafuata pesa.
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Жыл бұрын
MAJIMAMAMA ya mjin hayo,huwa hayaolewagi wenyewe ni kula Bata tu, wanapoint sehemu zenye pesa tu,hawaangalii ni mume wamtu wala nabii ukijichanganya tu wamekunasa
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 Жыл бұрын
Siku maisha yakinipiga nitafungua kanisa langu( maana siku hizi mtu anakuwa na kanisa lake ,anabandika picha yake na mkewe kwenye kanisa) ili nipige pesa ,nikihubiri kanisani kwangu nyuma lazima kuwe na bodyguard (upuuzi mwingine) ,bank ,account ya kanisa itakuwa kwa jina langu na mke wangu . Hii inaitwa kutapeli kwa jina la Yesu.
@kaimasawe1919
@kaimasawe1919 Жыл бұрын
Tatizo ukiruka stage utafanya Mambo ya hivyohivyo...
@mustafamsatimuhenga253
@mustafamsatimuhenga253 Жыл бұрын
Fanya tafiti kisha silim
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@esthershaluah3770
@esthershaluah3770 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa ndg yangu hiki kitu kinanikera sana sana, A/C ya kanisa badala ya kusoma jina la kanisa eti inasoma majina yao Mmh! Hatari.... Eeh Mungu tusaidie!
@neemamhongole2801
@neemamhongole2801 Жыл бұрын
Mamangu,ndo nini SASA hicho!!!????
@rukiasalum7628
@rukiasalum7628 Жыл бұрын
Umekwisha wewe ulizi wako tauu mungu akuijilie akufunguwe
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Huyu ni kafiri ni idhihari yao
@groriarichard8562
@groriarichard8562 Жыл бұрын
Mwandishi Wahabali Upewe Ulinzi Unahoji Vizuli Yaaan Wew Uko Vizuli Kwamaswali Uyo Mama Nae Anahojiwa Hajielewi
@hapinessobeth4131
@hapinessobeth4131 Жыл бұрын
Aiseeeeeeeeeeeeeh inasikitisha saaaaana tunaomwamini MUNGU tumwombe awafungue ufahamu wajue kweli ya MUNGU na mtu anaacha kumwamini MUNGU anamwamini mwanadamu
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Tattoo ni dhambi kwa dini zote
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Kabisa
@mwanadigital1
@mwanadigital1 Жыл бұрын
Duh ndo kujiaibisha kwenye media hivi kweli! Nahisi hajui Kama anajiaibisha
@rastonmwakifuna8583
@rastonmwakifuna8583 Жыл бұрын
Huyu mwandishi anaijua kazi yake,media kubwa zaidi ya hapa alipo Sasa inatakiwa kumpa nafasi. Ameweza kubalance maswali na ameeleweka!
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 Жыл бұрын
Nakubali sana amejitahd mno
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 Жыл бұрын
Mimi nitachora ya mweshimiwa Raisi😆😆😆😆😆😂
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Ya mapenzi.acha.tatuu.Mungu.amekataa kabisa hata nabii kama hakuambii.jiurize
@joshuamatagane1318
@joshuamatagane1318 Жыл бұрын
MAMA ANAONEKANA WA HESHIMA ILA NI MJINGA SANA....YAANI AMEJAA UJINGA NA MATOPE KICHWANI
@allykamwela9498
@allykamwela9498 Жыл бұрын
Mungu akukumbuke
@magazimahushi6417
@magazimahushi6417 Жыл бұрын
Hiyo mimama ndo mi sugarmummy. Ndo yanabaka vijana na kuwaambukiza ukimwi
@janechacky3810
@janechacky3810 Жыл бұрын
Nacheka kwa sauti eti hujui kuchora mwili ni dhambi ulikuwa unatafuta kiki huna lolote .
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Huy7 mama amejitoa ufahamu kiwango cha sgr..umri huo unachoraje tatoo
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Nilichokigundha huyu mama ni mdangaji maana hata historia yake ya nyuma ya wazaz wenzake inatatanisha sana Mungu amhurumie tu
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Hili danga 💯%
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Kabisaa mdangaji haswaa hadi kuchora tatoo🙄🙄🙄🙄🙄
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
@@salomewandya7257 aibu sana jaman
@Jehovarohiband
@Jehovarohiband 7 ай бұрын
Tangu nishimwe na ni some biblia sijawahi kusoma matukio kama haya Ila tayari yesu kasha sema mathayo 24:24
@magretsamba5002
@magretsamba5002 Жыл бұрын
Hata Mimi nitachora ya Raila maana nampenda sana...Kupenda ni Roho sio vile mnavyofikiria
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 Жыл бұрын
Ila bibilia imetukataza
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 Жыл бұрын
Huyu mama Ni malaya kabisa, yaani mume wake aliyezaa naye watoto wameshaachana na bado kachukua mume wa mtu na huyo mume wa mtu ameona hamfai amehamia kwa huyo sijui Nabii. Hakika umalaya Ni mbaya Sana hata huyo baba aliyezaa naye naona aliona huyu mwanamke ni Malaya akaamua kumkimbia.Sasa huyo Nabii eti kafurahi kuchorwa tattoo mpaka anatoa hadi na zawadi ya mil sita kisa tatoo kweli dunia inaelekea mwisho.
Нашли чужие сети в озере..💁🏼‍♀️🕸️🎣
00:34
Connoisseur BLIND420
Рет қаралды 3,6 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 6 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,3 МЛН
SISHIKIKI "NAPENDA WANAUME WAZEE KUANZIA MIAKA 50, VIJANA SIWATAKI"
13:14
SHEIKH KISHKI AWAJIBU WALIOPEWA PESA NA NABII MKUU
23:22
Kishki Online TV
Рет қаралды 183 М.
Mch Mbarikiwa Mwakipesile "Nahoji huyu ni Nabii mkuu au ni Muhuni mkuu..kwa jambo hili..?
28:36
Kikosi kazi cha injili Dodoma 🎖
Рет қаралды 113 М.
Нашли чужие сети в озере..💁🏼‍♀️🕸️🎣
00:34
Connoisseur BLIND420
Рет қаралды 3,6 МЛН