MAMBO USIYO YAFAHAMU KUHUSU PROPHET UEBERT ANGEL NA PASTOR TONY KAPOLA

  Рет қаралды 14,736

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Күн бұрын

Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
KZbin : www.youtube.com...
#ChomozaTv#2023

Пікірлер: 56
@dennisngati2181
@dennisngati2181 Жыл бұрын
This is so powerful. Prophet uebert Angel is The prophet to this last dispensation.
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Жыл бұрын
"Uwezi kuzuia mkono wa Mungu" I like that
@victoriaurio2507
@victoriaurio2507 Жыл бұрын
God is good all the time, unshakable, marvelous. Glory to God.
@cittaboy
@cittaboy Жыл бұрын
Blessed sana nimejfunza mambo mengi sana tangia nimjue pastor Toni
@fredrickmakas100
@fredrickmakas100 Жыл бұрын
I love Tony's teachings ila uyo nabii bado sijamjua
@eliamtinda7222
@eliamtinda7222 Жыл бұрын
Huyu Nabii huko kwao anascandal nyingi za wizi zisizo na Ushuhuda wa kimungu Kabisa!
@iamdivineimage
@iamdivineimage Жыл бұрын
@@eliamtinda7222 Is it the only thing you know about Eubert Angel,,,, Umewahi kuona Mtumishi gani mashuhuri kimataifa ambaye hajasemwa vibaya?
@bryanlimbi326
@bryanlimbi326 Жыл бұрын
​@@iamdivineimagesio swala la kusemwa vibaya.. Mimi mwenyewe nishawahi kusali upande huo wa uebert angel .. na utapeli nimeuona Kwa macho Kwa watoto na wajukuu wake wa kiroho.. huyo tony mwenyewe namjua toka anasoma SUA mazimbu campus coz ya agricultural economics and agribusiness.. na alikua mlevi mmbwa though watu wanabadilika ndio.. nimekwambia tu ili ujue namjua.. ingia KZbin andika "the gold mafia" ni documentary zipo episodes nne utaona mambo anayofanya uebert angel kwenye serikali yao halafu utaniambia kama ni mtu wa Mungu!? ...
@martinmusoni607
@martinmusoni607 Жыл бұрын
Ahsante snaaa nafurahi 🙏🙏
@mahalawanamahalawana4019
@mahalawanamahalawana4019 9 ай бұрын
😊
@seerdoreen8005
@seerdoreen8005 Жыл бұрын
Mimi sijapata kuona mimi ni shuhuda nilikuepo mind blowing indeed
@drmaryjohnmponda3484
@drmaryjohnmponda3484 Жыл бұрын
MBARIKIWE SANA
@Ambassadorstuartlupatu
@Ambassadorstuartlupatu Жыл бұрын
Many are deceived because they don't know Scriptures...
@JosephLeonardMatemba
@JosephLeonardMatemba Жыл бұрын
Thank you tunasbr Osborn aje hapa
@FridahKaijage-ps5yi
@FridahKaijage-ps5yi Жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakati
@samsonananiah4629
@samsonananiah4629 Жыл бұрын
Imefika wakati mtu akiwa na kitu kizuri afanye mwenyewe bila kujali watu watasema nini, watu wengi si waelewa wa ukweli wa Mungu
@Wamimedia
@Wamimedia Жыл бұрын
I like it, Real
@LubatikoKayinga
@LubatikoKayinga 3 ай бұрын
0:36
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Жыл бұрын
"Mungu hayuko limited" Ni sisi kujitambua
@veeJesus
@veeJesus Жыл бұрын
kabisa
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Жыл бұрын
Exactly
@ufunuoministry
@ufunuoministry Жыл бұрын
Nyie chomoza mmechomoza kutoka kuzimu!!!!😂😂😂,
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Ukosefu waufahamuwako
@ufunuoministry
@ufunuoministry Жыл бұрын
@@oscanyakunga 🤣🤣🤣🤣🤣
@rosebaraka8406
@rosebaraka8406 Жыл бұрын
Usiwe mwepesi wa kuhukumu haikfaidii Wala haimfaidii Mungu Wala kanisa
@richardreuben3222
@richardreuben3222 Жыл бұрын
😃😆😀 Fumbua macho leo
@evawilliamchatila8211
@evawilliamchatila8211 Жыл бұрын
Pastor Rose shaboka alikuwepo day one
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 Жыл бұрын
Huyo naye ni wale wale tuu. Manabii wa uongo kama alivyo huyo Baba yao Ubert Angel, the father of lies
@jesuslove2205
@jesuslove2205 Жыл бұрын
Ubert angel the samw guy in gold mafia? Aljazeera
@amosjeremiar8006
@amosjeremiar8006 Жыл бұрын
Ndio
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 Жыл бұрын
Ni sisi tunamlimit Mungu du
@JustaJulius-ur3bl
@JustaJulius-ur3bl Жыл бұрын
Hiyo ya kutumia simu niwai mewai kusimamisha bando
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 Жыл бұрын
Uchawi umeingia kanisani. Hakika hizi ni siku za mwisho.
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 Жыл бұрын
Nyakati za hatari Sana ..dini imekuw biashara ...Ila hayo tote yaliandikwa Mathayo 24:24 , nyakati za kufanya Toba watu wanafata miujiza
@jacobgabriel656
@jacobgabriel656 Жыл бұрын
Uchawi tena????? what makes you useme ivo
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 Жыл бұрын
@@jacobgabriel656 huyo jamaa sio mtumishi wa Mungu kama watu wanavyomuona. He is the servant of Lucifer aliyefanikiwa kuwahadaa watu wasioujua ukweli kuhusu yeye.
@davidmembedalamethepsalmis2885
@davidmembedalamethepsalmis2885 8 ай бұрын
Huo ndio udhaifu wako
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 Жыл бұрын
MUNGU ANAWEZA KUFANYA CHOCHOTE. ALAFU WAKO WATU WANASEMA MUNGU MKUU AKIONYESHA MAKUU WANASEMA NI USHETANI. NAFURAHISHWA SANA KUONA NGUVU ZA MUNGU
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Жыл бұрын
Nguvu za Mungu yupi maana mnatuchanganya mliochanganyika
@veeJesus
@veeJesus Жыл бұрын
Kabisa japhert umesema vizur sana
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 Жыл бұрын
@@chrismassawe2939 Alie kufa pale msalabani kwa ajili yangu. Alie mkuu kuliko chochote kila, anatenda mambo ya ajabu kama nini. Hivi imaging impossible kuwa possible. Ohhhhhhh my GOD
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
They love crediting satan akati Mungu katuumba ili tumuabudu yy
@barakanatus5676
@barakanatus5676 Жыл бұрын
Rekebisha hakuna ofisi ya unabii sema karama ya unabii ambayo kila mtumish anaweza akapewa ni htr sana kuona watu wamepanga mstari eti watabiriwe.
@josephinemichael1514
@josephinemichael1514 Жыл бұрын
Kuna tofauti kati ya karama ya kutoa unabii na Huduma ya Kinabii.
@iamdivineimage
@iamdivineimage Жыл бұрын
Katika huduma tano (ofisi) Unabii upo...
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 Жыл бұрын
​@@iamdivineimageYes Ipo Ofisi ya Nabii, kama ilivyo ya Mchungaji, Mwalimu, Mtume, na Mwinjilisti...
@emmanueljacob4303
@emmanueljacob4303 Жыл бұрын
MTU wa MUNGU umesema vyema
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Nabii wa uongo, the gold smuggler. Ni Punguani pekee anayeweza kumwamini huyu charlatan.
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
Usinisahau na ww mkristo wa uongo na maandiko yalianza na makristo wa uongo watu wa design kama yenu mnaopinga matendo makuu ya YESU KRISTO mko wengi na nyie ndo makristo wa uongo na wapinga kristo kaa ujitambue nafasi uliyo nayo ww ni mkristo wa uongl na mpinga kristo
@seerdoreen8005
@seerdoreen8005 Жыл бұрын
May JESUS forgive you
@michaelcheyo4072
@michaelcheyo4072 Жыл бұрын
UJUI LOLOTE NDUGU KAANGALIE LAST REPORT KUHUSU IYO GOLD SMUGGLER
@Vees12
@Vees12 Жыл бұрын
Hujui lolote nyie ndio mnaendaga kwa upepo wa maneno ya watu..yet you no nothing about....alafu usimweke kwenye box kwamba hiki anaweza kufanya kile hawezi kufanya....mjue kwanza Mungu na ukuu wake....Mungu hawekewi mipaka wewe
@veeJesus
@veeJesus Жыл бұрын
Kwa faida ya wale ambao hawafahamu msije mkaingia kwenye dhambi hii ya kutukana mtumishi wa Mungu tena Nabii. Wapendwa nchi ya zimbabwe imewekewa vikwazo na nchi za MAGHARIBI hawawezi kuuza bidhaa zake duniani kama russia saivi. Kwa hiyo njia pekee ya wao kuuza gold na rasilimali zingine ni kuwatumia watu ndani ya nchi kuwasaidia kuuza bidhaa uko duniani. Nabii alikua akiuzia nchi gold zake na adui akaona amtengenezee picha la kumchafua. Na saiv aljazeera wako kesi nae amewashtaki na wanamlipa mabilioni ya fedha kwa kumchafua. Ko nyie mnahisi kwa hile documentari ndo mnaweza kukoment ushuzi poleni mmechelewa sana
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 223 М.
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 13 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 122 МЛН
How To Teach Your Children In A Godly Way | Prophet Uebert Angel
9:57
Mfumo wa Mungu Kuwainua Watu Wake | Pastor Tony Osborn | 14th November 2023.
1:37:23
Pastor Tony Kapola Ameomba Mungu Anipe Adam Mchovu Niweze Kumlea
33:10
How I Met My Wife | Prophet Uebert Angel
8:20
Uebert Angel
Рет қаралды 179 М.
"Mawazo" Sehemu Ya 72 Thoughts Dr Elie VD Waminia''
41:35
Chomoza Tv
Рет қаралды 4,7 М.
Prayer Request Sunday Service I. 02 | 16/07/2023 | Pastor Tony Kapola
34:47
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 22 М.
Alivyo NITABIRIA Nabii UEBERT ANGEL | Prophet JMusa Meizon
3:52
Musa Meizon
Рет қаралды 17 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 223 М.