Well said hasa hapo kwenye passion. Watu wengi hatujui kuwa passion is everything na hatujui kuwa hata kama hailipi Una uwezo wa kuifanya ikulipe so far as Una passion nacho basi utatumia efforts na uwezo wako wote kufanya ukamilifu na hatimae kufanya kazi husika Kwa furaha zaidi na kuepuka matatizo mengi hasa ya sonona
@salafitvsalafitv9103 жыл бұрын
Mashaallah beautiful day (kazi nzuri sana Allah bless you
@filbertpaul86634 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu ya kutosha, mwenyezi Mungu aliyeanzia kazi na wito huo ndani yako, yeye mwenyewe akaikamilishe
@TheHRChannel4 жыл бұрын
Amen, asante sana kwa mrejesho
@frankmfinanga27184 жыл бұрын
Asante sana kaka mungu akubariki
@emmanuelndutu6425 Жыл бұрын
Well and good brooo...inspirational work be blessed
@jacksonfulano60155 жыл бұрын
Ahsante sanaaa mhadhili muhimu kwa kipindi hiki kizuri
@michaelkatigula57933 жыл бұрын
Daah nimekuelew vizur kwa kwel Mungu akubariki
@TheHRChannel3 жыл бұрын
Amen Michael
@VeronicaBayyo2 ай бұрын
Nimekelewa Sana broo❤
@sallykapekasembo31836 жыл бұрын
Kelvin...Thank you for giving back to our Tanzanian society, GOD BLESS YOU ALWAYS 🤗
@TheHRChannel6 жыл бұрын
Amen, asante sana Sally
@gudilakimboka4046 жыл бұрын
Asante kwa Elimu, Mungu akubariki sana.
@TheHRChannel6 жыл бұрын
Amen
@lisahmunis16384 жыл бұрын
Thanks a lot sir umenisave
@kadunawewe72483 жыл бұрын
Asante.sana ubarikiwe
@chilaboytz37743 жыл бұрын
Kipo mkoA gan
@neylohneyto60134 жыл бұрын
I always appreciate ur work keep rolling sir🙏🏻
@lazomsafwaclassic17826 жыл бұрын
Ahsante kwa kuendelea kutuelewesha vitu vya msingi!!!!!
@TheHRChannel6 жыл бұрын
Karibu sana Lazo
@emmanuelchungu44795 жыл бұрын
Asante mwalimu wangu I get some thing
@suitbertfrank29266 жыл бұрын
Congolee kaka!! Umetoa msaada mkubwa kwa vijana
@TheHRChannel6 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka
@gracemeena58826 жыл бұрын
Asante mwlm
@TheHRChannel6 жыл бұрын
Karibu sana
@LyidiaBatholomayo6 ай бұрын
International business ni nzur?
@solinaswale7784 жыл бұрын
🙏kelvin
@jestinangwembele22354 жыл бұрын
Broo mim nipo EGM nataka nisome coz za bizshara lkn sasa sina uelewa wa kutosha
@LyidiaBatholomayo6 ай бұрын
Unijibu
@dailyupdatesonline68435 жыл бұрын
Ndugu kuna kauli hapo umeiongea mfano kam mtu unapend san kuwa mtangazaji na unazo sifa za kusoma journalism ila una kigugumiz au una any ttzo kweny kuongea hpo inakuaje
@maindazayumba24882 жыл бұрын
Sure
@mfaumeramadhani58472 жыл бұрын
Vuo vya daktari
@dorithacharles66164 жыл бұрын
Mimi nipo HKL ila sijui ni koz gani nisome
@matisony36034 жыл бұрын
keep it up bro
@tj58392 жыл бұрын
ukiwa na certificate ya coarse nyingine je unaweza kuendelea diploma coarse nyingine??
@mwanjaamdogo17873 жыл бұрын
So isn't correct for a person who study CBG to be a ingineering of oil and gas?
@hajimsangi47203 жыл бұрын
It isn't
@florachrist96023 жыл бұрын
Impossible
@florachrist96023 жыл бұрын
Labda nje za nchi ...na utapat tabu sana...maan engineer its ol about physcs na math
@estheryaya2713 жыл бұрын
Mzumbe kuna faculty zipi za diploma?
@JoicePeter-o4l5 ай бұрын
Tunaweza kupata namba yako
@JoicePeter-o4l5 ай бұрын
Kwa ushaur TU mm ni mzazi Natka nishauliane na mwanangu anasoma Kombi ya EGM
@nashonsekadende46686 жыл бұрын
Binafsi nimekuelewa, Nataman walio wengi waipate na kuielewa pia..