1.Kufanya ibada 2.Kua naratiba y mambo yk 3.Kufanya Mazoezi 4.MDA wko kutumia vzr 5.Kusikiliza Sana 6.Kuliza maswali 7.kusafiri ndio kuona mengi 8.kujifunza kitu kipya kila siku Every day is a learning day
@shamsudintwalha4 жыл бұрын
Pia brother kuna njia nyingine kama 1.kuuliza maswali 2.kusafiri 3.kukaa na watu waliokuzidi umri 4.kupata usingizi wa kutosha 5.kuhakikisha unapata mlo kamili Brother hizo ni miongoni mwa ninazofahamu.
@annassuleiman45084 жыл бұрын
Bora hata wewe umeongea point Yaani ya 2, 4 na Ya 5 zote ni point. Huyo brother wako Mbili ndiyo point hiyo ya kusoma vitabu na Kujifunza Vitu vipya zilizobaki ni Pumba tupu.
@annassuleiman45084 жыл бұрын
Maswali ukiuliza uliza ovyo unaboa watu. pili unauliza nini?? Na unamuuliza nani?? Maana waweza kumuuliza kichaa akakuadabisha. Inatakiwa ukae na watu Timam wenye Akili zao. Umri ni Namba. Aweza akawa Mkubwa ila Akili zake ni za kitoto na aweza akawa Mdogo ila Akili zake ni za Kiutu uzima.
@hawaamohammed66874 жыл бұрын
Exactly
@zaqjebra79194 жыл бұрын
Njia 5 za kuongeza akili zaidi : - 1 . Kufanya kitu kipya kila siku (Be creative) . 2. Panga muda wako vzr (Manage your time wisely). 3. Kusoma vitabu kila siku (Read more everyday) . 4. Kuuifunza lugha nyingine (Learn new language) . 5. Kufanya mazoez kila siku (To exercise daily) .
@hawasamwel59134 жыл бұрын
👍
@sadicksanga33834 жыл бұрын
@@hawasamwel5913 ok
@eliudtimothy20704 жыл бұрын
Vema. Hii ni nzuri sana
@noelamadadi57314 жыл бұрын
I do the above everyday and i think I'm becoming smarter
@stanleygeoffrey82644 жыл бұрын
Uko vizuri bro mie sina cha kukupinga cha zaidi ni kukushukuru kwa madini mazuri unayotupa big up sanaaa ila kuna siku ulionyesha kitabu kimoja kinahusiana na mambo ya kampuni na ukaongelea mmeanzisha kampuni ya asali nilikuwa nina shida nacho pia
@helenamusa4324 жыл бұрын
Asante sana Kaka nazidi kuwa na akili nyingi kupitia maneno zako ubalikiwe
@MorientesEmmanuel24 күн бұрын
Da!!! we broo hii mada yako ni kweli iko vizuri ila ila unatishia kinoma em tiumridie Mungu bhana
@edmundisospeter78374 жыл бұрын
Asante Kaka Ezden kazi ni kwangu,👊👊👍
@AzizaMussa-hz8mk9 ай бұрын
Upo vyema kaka angu mwenyezi Mungu akupe moyo huohuo wa kuzidi kujenga watu
@frankmwakalinga74552 жыл бұрын
Nimekwelewa sana brother God bless you
@androidHphone Жыл бұрын
daah bro unajua sana wasio kupenda wachawi wewe level yako ni "pro" ❤❤❤❤❤❤
@monikabonny13824 жыл бұрын
Asante nimejifunza sana
@mozasaalim8584 жыл бұрын
Asante sana tuna fatilia mafunzo yako kwakweli yanatuepusha na msongo wa mawazo
@jacobnduya7984 жыл бұрын
Asante sana kwakweli nimeelimika sana na kufarijika sana.this education is important than school subjects
@kisiwanimedia88284 жыл бұрын
Maa shaa Allah kuna eneo Allah akujaalie kufika kwani huko kuna hitajio la watu kama nyinyi Allah akuongoze na atuongoze sote kwa rahma zake uko faswaha sana Allah azidishe nuru ya ufaswaha ktk ufahamu wako sina shaka umenielewa aaamin fasanazidul muhsinin
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Ammyn yarabb
@edwardmsanjala43764 жыл бұрын
Nimeamka asubuhi tu na kuangalia hii clip naamini nimejifunza kitu kipya kabisa siku ya Leo barikiwa EZDEN JUMANNE
@ZankulShakazulu-c2y2 ай бұрын
Nakuelewa sana kakaa🎉🎉🎉🎉
@NicodemusMboyaАй бұрын
Asante kaka ezden kazi ni kwangu
@lydiamichael55094 жыл бұрын
Asante mungu akuzidishie masiku
@salumshillah40354 жыл бұрын
Hongera uko vizuri masha Allah
@emmanuelmagesa86422 жыл бұрын
Barikiwa kwa SoMo zuri mtu wa mungu.
@tinahlukas51834 жыл бұрын
Nabalikiwa sana na mafundisho yako bro mungu akubariki kipekee sana
@timothsamwel58404 жыл бұрын
Kaka mbona leo unaongea na mimi thank you very much kwa kuniandalea this wonderfully insparational speech
@gracemwanyika7429 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@claraprosper86424 жыл бұрын
Asante kaka ezden ,point no 3👍,readers are leaders! TRUE LEADER FOCUS ON PURPOSE, PASSION,PRINCIPLES,HUMANITY,VISION etc..
@aidanmwinuka33264 жыл бұрын
Kaka nakukubali sana
@juliussimiyoylaizer83414 жыл бұрын
God bless you my brother mafundisho yako nayakubli %100
@AllyAbdulrahmanAbdallah Жыл бұрын
Asante nimefaidika nahaya asante san broo
@successpathnetwork Жыл бұрын
karibu sana Ally
@azizsoud43194 жыл бұрын
Bro big up , najifunza mengi kupitia ww , mungu akutalie akupewepes kwenye kazi zako
@NgizwenayoPaulin10 ай бұрын
Mungu Akubariki
@mamunote35074 жыл бұрын
M.mungu akubariki sana Tunastafidi sana
@selestinmlelwa-jq1iz Жыл бұрын
Thanks bro keep it up
@dannyerasto1374 жыл бұрын
Thanks much brother ezden, May God bless you more.
@nyasatomakunja29564 жыл бұрын
Your so amazing thanks , Nina swali kwann mwili huwa unachoka kwa kukaa tu bila kushughulish
@joharishabani84522 жыл бұрын
Jumanne asalla mwalaiku nimependa sana ushauriwako nahitaja vitabu nitavipataje
@baloziubalozini50744 жыл бұрын
Nime Click faster hii video,km mmbea kaona UBUYU. Nice stuff brother.
@SaimonjasperEnzi-w4 ай бұрын
nkubliiii
@allyothmani2894 жыл бұрын
Asante sana.
@NduwimanaNadine-j8s Жыл бұрын
God bless you and God to protect you❤😊🎉
@stephen98562 жыл бұрын
Safi sana kaka mungu akubariki
@josiahjonaschima79524 жыл бұрын
Ahsante sana broo nimegain kitu k
@molaizer9922 жыл бұрын
1 penda kuandika 2 jifunze kitu kipya kila siku 3penda kusoma Readers are leaders 4 jifunze lugha nyingine mpya 5 fanya mazoezi
@landemauriac72324 жыл бұрын
Asante kwa mafunzo. Sasa ina ni bidi niya tendeshe Kwanzia léo
@estherkihongosi79022 жыл бұрын
Thanks a lot I learn more today
@glorywillium53114 жыл бұрын
Asantee bro lakn ni vitabu gani unapaswa kusima
@bashirumussa70454 жыл бұрын
Shukrani sana.......
@onesphorymsemwa64363 жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@BrunoDeus-h8fАй бұрын
Thanks bro I'll do change be blessed
@dennisjorvis55462 жыл бұрын
Njia nyingine ya kuwa more smart Ni kumtegemea Mungu .coz Creator knows better than the product
@dafrozachalukula97454 жыл бұрын
Nani amesikia sautiyake kama Idris Sultan(comedian) gongs like yako hapo,,!!!
@furahinikisapi99874 жыл бұрын
Yan huyu kaka na Idrissa sultan wanafanan mnooooo ......nahic kunaundugu hapa
@judithsalvatory28924 жыл бұрын
Asante sana umenigusa sana kwenye muda niko vizuri, shida kwenye kusoma vitabu, ni mpenzi sana kununua vitabu shida kusoma nina kuwa mvivu sana nifanyeje niwe msomaji mzuri??????
@swalehebaraka40284 жыл бұрын
Read few pages everyday.
@togolanisaidi53884 жыл бұрын
Tenga walau dakika 20 tu kila siku, kwa muda huo dakika hizo 20 , huchoki, na baada ya mwezi Hivi utajikuta unapata ham ya kusoma zaidi, ukiona dakika hizo Ni nyingi weka walau dakika 10 tuu, kilasiku. NB:ZINGATIA KUWA NA NIDHAMU YA DAKIKA HIZO KIKA SIKU.
@togolanisaidi53884 жыл бұрын
Pia, Kama inawezekana , tafuta mwangalizi, mtu ambaye mna ukaribu ambaye yupo sirias nikimaanisha ambaye anaweza KUKUWAJIBISHA , ATAKAEKUWAJIBISHA DHIDI YA MALENGO YAKO hayo ulojiwekea, ATAKUWA akikuuliza daily Kama ushatekeleza lengo au la!???
@togolanisaidi53884 жыл бұрын
SIRI KUBWA SANAAAA, IPO KATIKA KUWEKA MALENGO ILA SIRI YENYEWE IPO KATIKA NIDHAMU KATIKA KUYATEKELEZA MALENGO YAKO
@ibrahimkondrad48934 жыл бұрын
Asante sana kwa Elimu
@wayaumememagari4633 Жыл бұрын
Ahsante sana kaka
@medsonstarlon08054 жыл бұрын
Shukrani sana kaka Ezden
@haniphaabou48884 жыл бұрын
Somo nzuri saana
@bensonminja12894 жыл бұрын
Thanks brother nitarudia kuangalia hii video"the secret is in repetition "
@yunusmusa56752 жыл бұрын
Shukrani jazzaka
@vivianvincent41364 жыл бұрын
Nakukubali jembe Unaelimisha wengi sana
@petershumbi8924 жыл бұрын
Asante broo
@tunkuh6614 жыл бұрын
Binafsi naamini sana katika kusoma .... nimejifunza mengi kupitia maandishi ya watu na yamenisaidia kujitambua na wakati mwingine kutatua changamoto mbalimbali ninazokutana nazo.
@yohanamagele36334 жыл бұрын
Wow thanks bro
@adidasshapwata74432 жыл бұрын
Asante Sana niwiwa kuungana na wewe kaka
@moshiponola47183 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@selestinmlelwa-jq1iz Жыл бұрын
Oooooh thanks bro keep it up
@successpathnetwork Жыл бұрын
Amiin... nashukuru sana
@successpathnetwork Жыл бұрын
Thanks
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Pia nimefurahi kusikia kujifunza kiarabu nayo ni nzuri sana itakusaidia hadi akhera yako
@karimkisokile99434 жыл бұрын
Unanifurahixha sana kaka bravoo
@tanzithebest5624 жыл бұрын
Nice looks nice and one more is sticking in your ambitions
@ibndhunnuun38054 жыл бұрын
Masha allah akhy allah akulipe na akuhifadh
@fridathomassen58984 жыл бұрын
You forgot one important thing. In order for the brain to function well, you need to eat well especially to the young ones who they brain are still developing. You can't learn something new while you are hungry., It doesn't work.
@athumanimraji24693 жыл бұрын
Thanks somach
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Nashukuru sana Athumani Mraji kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya kununua vitabu andika neno "VITABU" na kujiunga na group langu la vitabu andika maneno "SPN BOOK CLUB" nitumie Text ya kawaida au Whatsapp namba 0759191076. Karibu sana!
@moshiponola47183 жыл бұрын
Napenda kufuatiria elimu yako asant
@kijangwazay77114 жыл бұрын
Ahsante kaka hakika najifunza mengi kupitia wewe
@jescamohamed53224 жыл бұрын
My brothr nakupenda ulinifanyaaa niwe jasiri na niwe na maamuzi
@SamuelUrio-dn1pu Жыл бұрын
Yoh I like u broh✌️😅
@josephchuma7313 жыл бұрын
Nakukubar san mzeeeee
@stellalemma62394 жыл бұрын
Asante sana kaka
@aminaachambo53474 жыл бұрын
Kaka asante nilijua tunazaliwa na akili zetu
@faidamwalim47794 жыл бұрын
Asante bb
@betishebajoachim59584 жыл бұрын
Thanks for everything
@vitalesjosephat72944 жыл бұрын
Guy am so interesting with your subject
@emilydmj98704 жыл бұрын
Brother nimekupata vyema kabisa shukurani bro ubalikiwe sana
@husseinhusseinseif31014 жыл бұрын
Mng akupe afya njema bro
@anethmkinga28534 жыл бұрын
Thanxiiii broo kwa nondoo
@kassimali14774 жыл бұрын
great content 👍 tunafatilia kila video
@fanyahayakwaurahisiwamaish40634 жыл бұрын
Thanks for knowledge
@ibinswidiiqi32264 жыл бұрын
Maashaa Allah.. shukran
@denniskerongo60174 жыл бұрын
Nimeipenda sana hili somo
@professormasinde71974 жыл бұрын
Nakubal speech zako bro
@pendatv16754 жыл бұрын
I love your videos bro.. hongera kaka
@chrismassawe3264 жыл бұрын
Somo zuri sana nimejifunza kitu kitu kipya
@devothabishagazi23904 жыл бұрын
Barikiwa
@barakamwaki2534 жыл бұрын
Shukran bro
@yussufismail28224 жыл бұрын
Ahsante
@pauloambasada14504 жыл бұрын
mungu akujaalie afya njema uzidi tupa mmb mema
@abdul-azizbeja61342 жыл бұрын
tunashkuru kwa elimu yako ezden
@TheodoraJoseph-s2f5 ай бұрын
mbna mm nikiwa masoma ama kujisomea nawahi kusahau nilicho jifunzza afu natumia mdaa mwingi sana kuelewa nifanye nn
@hamidumasiri49844 жыл бұрын
Bro''nime kubali ushauri wako endelea ivo Allah Ata kulipa
@LucasSanga-d8b4 ай бұрын
It's good
@worldinternationalgospelmi27634 жыл бұрын
This is more than class
@paulmine81424 жыл бұрын
Nakubali. Bro
@zahrakitchen58804 жыл бұрын
Keep going my love❤❤
@mbubatv4 жыл бұрын
mwanaume kutafuta mademu inakupanua kiakili na kuto kukaa kizembe
@jumazwili85604 жыл бұрын
Unajua mtu 1 anaweza akafundisha watu 2 na wawili watafundisha 4 na 4 watafundish 8 ,unajua maana yake nini??? Ni kwamba ww hapo umenifunza mm na mm naenda kufunza wawili so thanks for your MATLAB end of the day dunia itakuwa imara kwakuwa kuna channel ta success path each one teach one